Mungu akubariki na usawo wako wote. Tuna imani. Tunaima kwamba Mungu atatupa umiliki wa arthi yetu 🙏. Tunaonyanganywa na mwarabu. Mungu utuokoe maana hatukubali arthi ya Tanganyika. Kuuzwa tukiwa Hai 🙏🙏💪💪💪🇹🇿🇹🇿😭
tunajua ni kazi ya Iddi Amini mwanamke , kuteka , kutesa na kuuwa na kutupa maiti katika mito ya mamba, lakini tuone nae kama ataishi milele. Namsubiri kama anaweza aje aniuwe na mie , samia ni kifuu tuu
@@victorianchimbi8640 Ngorongoro sawa kasema mbona ya watawala anashindwa kusema moja kwa moja? manabii walioandikwa kwenye Bible walikuwa wanawaambia watawala moja kwa moja na wanatoa njia ya kufanya ili kujiokoa, lakini yeye huyu anataka tuliombee taifa wakati wanaosababisha wapo ni kitendo cha kupaza sauti na kelele ili wabadilike.
@@AGM19697 hakuna hekima kwenye maono ndugu yangu Mungu anakupa ujumbe utoe kama alivyokupa na yeye angekuwa anamfumbia sasa asimuoneshe kila kitu. kama kiongozi hatakiwi mwambie nimeoneshwa hutakiwi kuwa kiongozi. sasa mafumbo haya unakuwa na wasiwasi na Mungu alivyokuonesha yajayo!!? mtumishi wa Mungu huwa yupo tayari kufa kwaajiri ya kazi ya Mungu ndio maana watu walikatwa vichwa, wekwa kwenye tanuru la moto, kwenye Simba na hadi jera kisa Mungu.

Shalom Prophet, tunaendelea kuombea taifa letu, kilicho cha Mungu kisimame, na kisicho cha Mungu kiharibike kwa Jina la Yesu.
Mungu aendele kukutumia prophet,Mungu atusaidie Sana Tanzania
Mungu akubariki sana nabii wa BWANA uliyetoa unabii kwa Jina la BWANA. Mungu azidi kukutumia!
Amen na ikawe hivyo kwa jamii la Wamaasai❤
OMG MEDIA TEAM YOUR ARE AWESOME 🎉🎉🎉🎉🎉
you are missed alot sir! we can't wait to serve With you in the house of GOD. Your knowledge and skills is much needed in our department.
@@jeremiahmasuke8375 am coming soooooooooooon
Mungu wetu asimame na nchi yetu wamadai wasinyanyaswe kwy nchi yetu
Ujumbe umefika na Mungu ana waona
Mungu utusaidia Mungu baba, lakini tunaomba aridhi yetu ya Ngorongoro ya Asili Mungu Utulindie.
Ubarikiwe mtumishi kwa ujumbe,Mungu atutie nguvu tuendelee kuomba kwa ajili ya nchi yetu.Mambo yanayofanyika yanatisha aisi.
Hogera Prophet kwa hili. Nakumbuka kuhusu huo Unabii wako. Yanaendeleaa Kutimiiaaa
Mungu ibariki tanzania na kuilinda daima tujalie kukaasalama katika nchi na kutjalia viongozi wenye hekima na busara kuliongoza taifa
Utabiri wako imetimia mtumishi wa mungu
Mungu akubariki sana katika huduma yako
MUNGU aendelee kukutumia mtumishi wa MUNGU
Mungu akubariki sana
amina mtumish mungu akutunze 🎉
Amina amina amina mungu akubariki mtumshi wa mungu
Viongozi waone haya.maamuzi ya hovyo yatawagarimu na taifa kuingia kwenye shida za kujitakia.
Ubarikiwe
BARIKIWA NABII WA MUNGU ALIYEHAI ! BARIKIWA MTUMISHI WA MUNGU ALIYEJUU.
Mungu azidi kukufunulia
Mungu akubariki sana akupe maisha marefu sana.
Yametimia 🙏🙏🙏
Mungu akupe afya njema Baba ili uendelee kumtumikia kwa nguvu zote
Mungu akulinde mtumishi wa mungu🙏🙏
Yaani prophecy tuwaombee wamasai warudi kwao
Mungu aliyehai akubariki Sana
Emen 🙏
Bwana atusaidie
AMEEN UNABII NA UTIMIE KWA JINA LA YESU
Wasioamini manabii safari hii wataamini
🙏🙏🙏🙏 mungu akutangulie
Mungu atusaidie
Mungu akutangulie amen ifanyike hivo
Mungu akutunze Prophet , na Azidi kukupa Mafunuo ili tuweze kuomba juu ya nchi yetu.
hakika mungu ni mwemaa
More Blessing Sir
Jehovah God have mercy on our motherland Tanganyika😢❤❤❤
Sisi atuna mlinzi mwingi isipokuwa mungu pekeyake
Amina
Nabii ulipaswa wew uwe waziri mkuu kabisa
😀😀
Yes I believe
Ameeeeeen
Shaloom
Amen
Na Bandari tunaijia
Emungu jitunze tz❤❤
🔥🔥🔥🔥🙏🇹🇿
Mnyama na mshenzi ni samia tundu la choo , kajaa ufisadi na rushwa , mpumbavu mmoja yule
Muulize mwenzio aliyechoma picha yake huko Mbeya yupo wapi?
tunajua ni kazi ya Iddi Amini mwanamke , kuteka , kutesa na kuuwa na kutupa maiti katika mito ya mamba, lakini tuone nae kama ataishi milele. Namsubiri kama anaweza aje aniuwe na mie , samia ni kifuu tuu
Mungu mkuu asimame Na JAMII ya wamasai .. Na Mungu huyohuyo awape Ujasiri... Wasiogope.. na mi naomba mikataba mibovu YOTE ife .. HAKI itendeke..
Mungu akulinde nakuelewa kwa Taarf za kimbingu Ni kweli na Amina
Wachungaji koko
Acha kumkashfu mtumishi wa Mungu,kama huna cha ku comment unaacha tu,,usije ukajibebea laana za bure
Warudishieni ardhi wamasai mtu asije akashutuka na radi atakayotumiwa msione ukubwa kila kitu basi.
Naamini MUNGU aliye hai atafanya
Yooote yanatokeaga ukitabir tu
Usifurahi kwa kuwa unatabili na Mambo yanatokea ufurahi ikiwa jina lako limeandikwa na linajulikana mbinguni usije ambiwa ondoka sikujui.
Wewe jina lako linajulikana wapi!?
Unaitaji kujifunza vizuri ili usiwe unachanganya mafundisho ya Bibilia.
Wazawa asili wa Ngorongoro ni Warabu au Wamasai? Wamasai asili yao ni Ngorongoro ndo maana wanarudishwa kwao? Iangaliwe upya
Naombeni namba ya huyu mtumishi jamani
Fuatilia kwenye Mitandao ya kijamii FB, UA-cam na IG Utaipata
HAWA NDO WAPIGANIA HAKI BILA WOGA
MUNGU WETU WA MBINGUNI ATUTETEE
Amina
Tuombee nchi
Amina
Matukio unayaongea kwa mafumbo, manabii wa zamani wanaongea direct
Kwa mfano khs Ngorongoro kuna fumbo gani hapo?
Mafumbo ya wazi ni hekima kubwa
Hiyo ni hekima