Mungu Baba Pokea Sadaka Yetu | Traditional | Sauti Tamu Melodies | Wimbo wa kutoa Sadaka/matoleo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 477

  • @mikemusic254
    @mikemusic254 4 роки тому +44

    The tenor_soprano harmony on stanzas is on another level. My best song so far.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 роки тому +2

      Asante Mike

    • @johngatehi7587
      @johngatehi7587 3 роки тому +2

      Thought ni alto

    • @abinesskosana9583
      @abinesskosana9583 2 роки тому +1

      Me too, sichoki kisikia na kuimbba hii nyimbo

    • @nessi1003
      @nessi1003 2 роки тому +2

      The way I admire your choir and songs. I feel like being part of this Marvelous team.

    • @daisykoila9981
      @daisykoila9981 2 роки тому

      @@SautiTamu vhj

  • @merryngowi6607
    @merryngowi6607 3 роки тому +2

    Tumuombe Mungu. apokee sadaka yetu Amina Hongereni Sana kwa uimbaji wenu mzuri Mungu awabariki

  • @themoderntutor2608
    @themoderntutor2608 4 роки тому +29

    I'm proud to be a catholic, i cant just sleep! Streaming these lovely songs from youtube makes even sickness to melt... Feeling blessed ♥️♥️♥️

  • @kimanijohn9529
    @kimanijohn9529 4 роки тому +10

    I would say, Corona brought a lot of sadness in the world but this song brings joy, happiness, peace and its uniting the world, blessings to you all, watching from Maryland U S A, proud to be a Catholic

  • @albertokindole4454
    @albertokindole4454 3 роки тому +2

    La babaaaaa na laaaaaa mwanaaaaaaa na rohoooooo mtakatifuuuuuuuuu.Aminaaa sana

  • @ivangaya5874
    @ivangaya5874 3 роки тому +2

    Mniambie hio alto Ni ya Nani♥️♥️♥️♥️😂😂😂😂great music Sauti Tamu.... Homabay are loving it again 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 роки тому

      Alto Rosalia na Syombua na Mercy

  • @Collinscj
    @Collinscj 4 роки тому +7

    Hongera sana kwa nyimbo zenu... Feeling blessed in Doha Qatar.

  • @philipmugagolo2878
    @philipmugagolo2878 4 роки тому +2

    St Paul mko Juu sanaa Nairobi Univasity Mungu awatiye nguvu sana kwa Nyimbo zenu tamu im enjoying all the way from Doha Qatar

  • @paulmukhwana5181
    @paulmukhwana5181 2 роки тому +3

    Thanks for taking us back in time... Where our music was our music

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 роки тому

      Indeed, music was great then

  • @fredericdestanberg8442
    @fredericdestanberg8442 3 роки тому +2

    Halo kwako, asante kwa wimbo huu mzuri, haujui kutuma ikiwa haukubali maneno yote ya wimbo asante, niko katika kwaya huko Kinshasa, moyo wa malaika asante

    • @fredericdestanberg8442
      @fredericdestanberg8442 3 роки тому

      Mon numéro Whapzapp, 0032479874330

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 роки тому +1

      Asante, ubarikiwe

    • @fredericdestanberg8442
      @fredericdestanberg8442 3 роки тому +2

      @@SautiTamu Je revient vers vous, merci de m'avoir répondu, c'est gentil, vraiment. Est se qu'il est possible d'avoir toutes les paroles du chant?? Se serais super gentil merci l chorale, tout les jours j'écoute et chante vos chants!!Ninarudi kwako, asante kwa kunijibu, ni nzuri, kweli. Je! Inawezekana kuwa na maneno yote ya wimbo? Ingekuwa nzuri sana asante kwaya, kila siku nasikiliza na kuimba nyimbo zako !!

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 роки тому +1

      Thank you

    • @fredericdestanberg8442
      @fredericdestanberg8442 3 роки тому +1

      @@SautiTamu Je pourrais pas avoir toute les paroles du chant svp merci

  • @ndetichrissantos652
    @ndetichrissantos652 4 роки тому +3

    The church is being born again and again kupitia hizi Nyimbo za zama zile ....Roho mtakatifu atukuzwe kupitia kwa Mwana na Baba kwa wimbo wenu mzuri Sana.......#2020

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 роки тому

      Amina🙏🙏🙏 ubarikiwe

  • @janaleokesho8374
    @janaleokesho8374 4 роки тому +2

    St Paul mko juu❤️.lovely❤️❤️❤️ .ipokee sadaka yetu,ndilo fumbo la kukupendeza......................🔥🔥🔥🔥🔥🕺

  • @maryvuguza561
    @maryvuguza561 Рік тому +2

    Wow,haki mnaimba vizuri sana,I feel good when I listen to your voices.then nlikuwa narequest kama mnaeza play pia ule wimbo wa (mkristu simama ukatoe sadaka kutoa ni moyo Wala si utajiri)

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  Рік тому

      Thank you. We shall work on your request

  • @anoldlitimba9948
    @anoldlitimba9948 3 роки тому +2

    mwenyezi mungu awabariki siku zote za maisha yenu hapa duniani.Hakika nafurahi sana ninaposikiliza nyimbo zenu.

  • @fredmbasi4248
    @fredmbasi4248 3 роки тому +2

    well done thanks

  • @Maggie-m6c
    @Maggie-m6c 4 роки тому +2

    Waooooo nimekumbuka nikiwa sadaka girl🙏🙏🙏🙏

  • @kipkorirkipkemoi4217
    @kipkorirkipkemoi4217 3 роки тому +3

    Nyimbo za tumshangilie bwana ndizo nyimbo nzuri sana

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 роки тому

      Nyimbo za zamani tamu sana

  • @richardkithia8936
    @richardkithia8936 4 роки тому +2

    Mungu ambariki Kwa mwito huo wa uenezaji wa injili

  • @vivianagolla5124
    @vivianagolla5124 4 роки тому +1

    aki mbarikiwe najivunia kua mkatoliki hongera

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 роки тому +1

      Amina, ubarikiwe Vivian

  • @michaelshayo187
    @michaelshayo187 4 роки тому +1

    Safi sana

  • @moisembuba1542
    @moisembuba1542 Рік тому +1

    From the DR of Congo I say thanks for this mervellouse and Angels song.

  • @gerardokeyo49
    @gerardokeyo49 4 роки тому +1

    The owner will give a big thumps up..Good job..

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 роки тому

      Asante Gerald

    • @gerardokeyo49
      @gerardokeyo49 4 роки тому

      I will purposely attend one of your masses. I find music the epic of my connection to the Creator. Not just music but quality and well executed music. Continue evangelizing.

  • @deodatusmwaipopo7284
    @deodatusmwaipopo7284 4 роки тому +1

    Asanteni sana kwauimbaji mzuri wapendwa. ukweli mnaushilikiano mzuri kwanyimbo mnavyoziimba hakika mnazitendea haki dhahabu zetI. Kutoka mlowo songwe tz.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 роки тому

      Shukrani sana Deodatus, ubarikiwe

  • @givenalupolaantony1476
    @givenalupolaantony1476 4 роки тому +3

    Najiskia raha Sana barikiwa sana

  • @ambrossmosha4255
    @ambrossmosha4255 2 роки тому +1

    Vizuri sana huyo dada aliyeimba sauti pili kaimba vizuri sana

  • @paulinewambua8498
    @paulinewambua8498 3 роки тому +1

    I love love you . Sauti tamu..Bwana abarikiwe kwa nyimbo

  • @doreenandcollins3435
    @doreenandcollins3435 4 роки тому +6

    This is what is called kuita Roho mtakatofu ashuke kwetu .May the Lord who granys people diffrent gifts like singing soo well bless you all🌹🌹💖

  • @kabwebwejeanbreloque8615
    @kabwebwejeanbreloque8615 4 роки тому +9

    Wimbo tamu sana, from DRC, i Love u

  • @bichangapaul7522
    @bichangapaul7522 3 роки тому +1

    I love this songs so much...nakupa kongole Martin munywoki mungu azidi kukupa hekima na busara

  • @lucymalungu3435
    @lucymalungu3435 4 роки тому +2

    Woow! Ncy song am proud of it

  • @dellah2673
    @dellah2673 4 роки тому +1

    Beautiful maneno yanasikika vizuri na sauti haziko highly peached feeling blessed from China nimemiss Swahili mass sana 😩🙏

  • @dannyke.5424
    @dannyke.5424 4 роки тому +2

    Sauti zuri kwa kweli

  • @kyla7008
    @kyla7008 4 роки тому +5

    Waah! Nani anaskia utamu reloaded kama mimi veenye sop na tenor wanamalizia stanzas??? pure talent!!

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 роки тому

      So sweet, asante, ubarikiwe

  • @domitilakingook4737
    @domitilakingook4737 4 роки тому +2

    I like them....you sing vizuri saaana... smart wote

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 роки тому

      Asante sana Domitila, be blessings

  • @tumshangilielyrics6753
    @tumshangilielyrics6753 4 роки тому +8

    I like that harmony of the bass........'' la baba-a na-a-a-a mwa-a-a-a-na ''..... and that altoish tenorish on the stanzas

  • @nessi1003
    @nessi1003 2 роки тому +2

    I can’t stop listening to this organized choirs songs with nice lyrics.Continue preaching the Gospel through music.A big reward is awaiting you in heaven.Be blessed brethren.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 роки тому

      Thank you so much Nesterio.
      Be blessed

  • @Mzeewainfo
    @Mzeewainfo 4 роки тому +1

    Asante sana kwa Wimbo huu wa Matoleo.. Mungu awabariki wana Sauti Tamu wote

  • @bitnettonics6070
    @bitnettonics6070 4 роки тому +2

    Sauti tamu kweli kweli. Congratulations and be blessed to produce more songs.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 роки тому

      Asante, be blessed too

  • @marcusodhisls
    @marcusodhisls 2 роки тому +1

    Nice song. Pokea Sadaka Baba

  • @nan8731
    @nan8731 4 роки тому +1

    Ya baaba na mwanaa hapo ndo nilikuwa naingiza base yangu hadi naskia baasi .... I miss swahili mass.... Anastazia Muema I see you...good job guys

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 2 роки тому +1

    Mbarikiwe sana melod nzuri sn

  • @paulmunguti4066
    @paulmunguti4066 4 роки тому +7

    Well done! Angelic voices...

  • @carolinamuchi5980
    @carolinamuchi5980 4 роки тому +2

    Wow Asanteni sana, mbarikiwe

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 роки тому

      Shukrani Carolina, na ubarikiwe pia

  • @yassinirashidi2955
    @yassinirashidi2955 4 роки тому +2

    Amina m balikiweeee

  • @bernardbarasa5686
    @bernardbarasa5686 2 роки тому +1

    Nyimbo nzuri zaidi

  • @veroniquevee2444
    @veroniquevee2444 3 роки тому +1

    Tumshangilie bwana was the real deal, still enjoying old is gold indeed

  • @samuelmwangi6041
    @samuelmwangi6041 4 роки тому +1

    Kazi njema. Mwenyezi Mungu na awabariki wote

  • @juliethpius2066
    @juliethpius2066 3 роки тому +1

    Unabariki sana naupenda sana mbarikiwe

  • @geroldjacob9845
    @geroldjacob9845 3 роки тому +1

    Woow!!! Now i thinkng this is mostly and brilliant for all catholic an other religion. Thanks and big up to singers

  • @bibianmukiri2209
    @bibianmukiri2209 4 роки тому +3

    Hey hii song reminds me whenwe were kids

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 роки тому

      True old memories, old is gold. Be blessed

  • @kiarienjuguna6812
    @kiarienjuguna6812 4 роки тому +1

    Tumsifu Yesu Kristu. Mungu awabariki. Nashukuru sana 👍

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 роки тому

      Milele amina, ubarikiwe pia

  • @unclewanairobioriginal
    @unclewanairobioriginal 4 роки тому +2

    Watching here in doha

  • @natiiveson4846
    @natiiveson4846 4 роки тому +2

    Wow!
    It is Christmas eve and I am watching this and in Bethlehem (the house of bread), our Lord is about to be born. He is the bread that comes from heaven.
    This awesome choir should sing the song 'yakubu alienda kwa mjomba, akampenda Raeli, siku ya mwisho ilipofika, akapewa Leah.......Si Raeli......mapinduzi ya Baba na Mama...'
    I'd love to hear that song being performed by these wonderful ladies.

  • @BahatiKiziala
    @BahatiKiziala Рік тому +1

    Mungu amibariki kwa kuimba nyimbo nzuri

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  Рік тому

      Shukrani sana, nawe ubarikiwe

  • @Rozay2030
    @Rozay2030 3 роки тому +1

    Proud to be a catholic this song melts my heart watching from Riyadh Saudi I miss holy mass

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 роки тому +1

      Be blessed Rick

    • @Rozay2030
      @Rozay2030 3 роки тому

      @@SautiTamu thanks a lot good work

  • @eadwinnyakweba5378
    @eadwinnyakweba5378 4 роки тому +2

    Wow! Wow! Wow! Sweet real Catholic songs

  • @antonysylvester193
    @antonysylvester193 4 роки тому +2

    Sauti Tamu has it all. God bless you.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 роки тому

      Thank you Antony. Be blessed

  • @Loraine2t
    @Loraine2t 4 роки тому +2

    Wow!nostalgic!Thanks for bringing back memories.I miss home now.Congratulation!

  • @trizahndichu140
    @trizahndichu140 9 місяців тому +1

    I can’t stop playing this song.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  9 місяців тому

      Thank you Trizah

  • @urbbycharity.5753
    @urbbycharity.5753 4 роки тому +1

    I tell you ..,you people you are changing many.., God will bless you

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 роки тому

      Thank you, God bless you too

  • @festkeisa1241
    @festkeisa1241 3 роки тому +2

    Here you feel the essence of being a catholic ,,,God bless you great choir

  • @essyangel9650
    @essyangel9650 3 роки тому +1

    My words are not enough to explain my joy. Sauti tamu na sauti zenu tamu. Mungu awabariki

  • @nicholasmuinde1884
    @nicholasmuinde1884 4 роки тому +1

    Beautiful harmonization of the voices. Mungu awabariki

  • @erickmbuya8373
    @erickmbuya8373 4 роки тому +2

    Hongereni sana

  • @kimanijohn9529
    @kimanijohn9529 4 роки тому +3

    These songs are uniting the world, corona brought a lot of sadness in the world, voice itself is so so fine, may God bless you all, watching from Maryland U S A

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 роки тому +1

      Amen, Thank you, God bless you too

  • @mwaiwafrancis201
    @mwaiwafrancis201 4 роки тому +1

    Good work Celestine Mutindi

  • @theresiamathias437
    @theresiamathias437 3 роки тому +1

    Oh nice song ....love it

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 роки тому

      Thank you Theresia Mathias. Be blessed

  • @hgk322
    @hgk322 4 роки тому +1

    Mubarikiwe kwa ukumbuzo WA nyimbo kutoka tumshangilie Amina

  • @florencemawere2338
    @florencemawere2338 4 роки тому +21

    well done, well done! these were the original catholic mass songs...sijui ni misa bura au gani? nimeguswa na nyimbo

  • @francisosward6930
    @francisosward6930 4 роки тому +1

    Amina barikiwa sana

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 роки тому

      🙏🙏🙏nawe ubarikiwe

  • @danielnjoroge4684
    @danielnjoroge4684 4 роки тому +1

    Good voices mubarikiwesana

  • @fridanguli884
    @fridanguli884 3 роки тому +1

    Mungu Baba asifiwe na mwanae ndie aliyetukomboa, Roho Mtktf ndiye wetu mfariji, Utatu Mtktf Mungu mmoja twakiri .Be blessed to the maximum

  • @imaculatadominic7005
    @imaculatadominic7005 4 роки тому +2

    mm nabarikiwa kwa kuwasikiliza nyakati zote mko vizuri wapendwa nafill haapy kuwa mkatoliki pia

  • @chemtaikorir4744
    @chemtaikorir4744 3 роки тому

    I heard this song today at church and it touched me so much I had to look for it here.....kama vile sadaka ya abeli na Ibrahimu ilikupendeza may mine be acceptable before you dear lord 🙏

  • @ericnzau
    @ericnzau 4 роки тому +3

    Simple with a lot of Class

  • @elizabethmambai2072
    @elizabethmambai2072 4 роки тому +2

    Haaaah awesome

  • @dianaNyanchama-bc6sj
    @dianaNyanchama-bc6sj 4 дні тому

    2025 listening to the nice song proud to be a catholic 🙏

  • @SimonMuia-g2t
    @SimonMuia-g2t Рік тому

    keep it up guys and God bless you all

  • @saviojameswatari5137
    @saviojameswatari5137 4 роки тому +1

    Hello, thanks for the nice work you do here at Sauti Tamu...

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 роки тому

      Thank you James. God bless you

  • @davisalphonce7001
    @davisalphonce7001 4 роки тому +1

    Nzuri sana aisee.Thanks for the remaking

  • @norbertmutuku6167
    @norbertmutuku6167 4 роки тому +2

    This is very interesting rendition of this classic sadaka piece. Once again, well done.

  • @stellamulisa-englishandlit7461
    @stellamulisa-englishandlit7461 4 роки тому +4

    This is one of my favourite offertory songs

  • @henrynyaga1989
    @henrynyaga1989 4 роки тому +2

    Mungu Baba pokea sadaka yetu leo
    Tukutoleayo kwa jina la Mwanao
    Ya Abeli na Ibrahimu ilikupendeza
    Yetu Baba ipendeze uipokee
    Ipokee - (ipokee) sadaka yetu
    Ndilo fumbo - (ndilo fumbo) la kukupendeza
    La Baba na Mwana na Roho Mtakatifu *2
    Njooni wote tutoe sadaka yetu leo
    Kwa sifa na utukufu wake Mwenyezi
    Mkate huu na divai ndivyo mwili wake
    Kwa heshima kuu sadaka tumtolee
    Ee Mwenyezi tupokee tuwe mali yako
    Twakusihi kwa heshima utupokee
    Tunakutolea nguvu kazi na mavuno
    Kwa huruma yako dhambi tuondolee
    Kama mwanzo Mungu Baba a-si-fiwe
    Na mwanaye ndiye aliyetukomboa
    Roho Mtakatifu ndiye wetu mfariji
    Utatu Mtakatifu Mungu mmoja twakiri

  • @theclapeter2991
    @theclapeter2991 4 роки тому +3

    Thank you so much for taking me back to my seminary days..be blessed🙏

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 роки тому +1

      Amen. Be blessed too Thecla

  • @kimaserenaliaka7846
    @kimaserenaliaka7846 4 роки тому +2

    Wow.This reminds of St Anne's Kisoko Girls' .I love 💕 this

  • @nicholasmwambuwa9638
    @nicholasmwambuwa9638 3 роки тому +1

    It takes me back to my home parish Bura mission. Nice songs

  • @basilodienge9977
    @basilodienge9977 4 роки тому +3

    Beautiful and Inspiring. Amen

  • @kemuntoangie1859
    @kemuntoangie1859 4 роки тому +5

    This choir blesses me big time 😭❤️

  • @kaylynnlozen2070
    @kaylynnlozen2070 3 роки тому +1

    Nice song, am proud to be a cotholic

  • @jovinusmutabuzi4647
    @jovinusmutabuzi4647 11 місяців тому

    Wimborne huu umenibariki

  • @carolinemwiti
    @carolinemwiti 4 роки тому +5

    Lovely...
    Well articulated ♥️

  • @annetmulama6249
    @annetmulama6249 4 роки тому +5

    The memories daaaaamn🤗🤗. Reminds me of how I used to dance in church 😍😍

  • @naftarymutwiri3216
    @naftarymutwiri3216 3 роки тому +1

    Nice song,reminds me 90s.God bless this choir.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 роки тому

      Asante Naftari
      God bless tou too

  • @annamuli6377
    @annamuli6377 2 роки тому +1

    This song melts my heart...May God bless you as you continue touching and converting souls..

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 роки тому

      God bless you too Anne

  • @hillarylagat4900
    @hillarylagat4900 4 роки тому +1

    Good Job Martin. The harmony by Makoye is super good. Well done.

  • @fabiolashali6879
    @fabiolashali6879 4 роки тому +2

    You've real improved this sonq beinq one of the sonqs be blessed.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 роки тому

      Thank you Fabiola, be blessed too

  • @georgegakungah1505
    @georgegakungah1505 2 роки тому +1

    Tumshangilie bwana.

  • @janexlaureen9068
    @janexlaureen9068 4 роки тому +1

    Nice to see you Rosalia.Baraka😍

  • @lydiakimilu1529
    @lydiakimilu1529 4 роки тому +2

    kazi safi

  • @benedictmwangi-
    @benedictmwangi- 4 роки тому +1

    Great work