Heshima kwanza kabla ya kutowa kauli neno lolote nipe dalili kuwa hizbi ni watu wa motoni ? Ao pako salafi ni watu wa peponi ? Ivi huwoni kuwa Allah anangaliya mwisho wa mja una uhakika gani kuwa utamaliza vizuri? Tumuombe Allah mwisho mwema ila kusema kuwa huyo ni hizbi ao salafi sio njiya mtu kuingiya peponi bali Muislam anatakiwa kufata coran na sunna kisha nakukumbusha tu hata maswahaba walikoseya kama watu na Dr anaweza kukoseya saana tu kama binadamu mweye na kundi lenu mlijafanya malaika hamkoseyagi lakini mnachofundisha mjuwe mnanuku kwenye vitabu kama wangine ila ufahamu wa watu njoo tafauti baki na usalafi wenu na sisi tunabaki na coran na sunna.
Barakallahu fiik , ume gusa ofisi maasha Allah ,Allah atuongoze sote inshaa Allah
Shekhe Allah akuongoze na azidi kukudhibisha zaidi kwenye haki hakiki wewe ni ktk wasomi wakubwa wa din wa Africa mashariki
Ktk mitandao aongeze kutupa ilmu
Baarakallahu fiika yaa sheikh
Allah akubariki Kwa kufata sunna ya mtume.Muhammad.kunako umoja wa umma huu
Masha Allah TabarakaAllah... ustadh Allah akuzidishie subra elmu na hekma uzidi kutujuza nakutufunza Sunnah hadith na vinginevyo ktk dini yetu Islam.
Allah akuzidishie elimu na akuingize fil dausi
Maashaa Allah shukran Dr kwa elm jazzakallakheir
Shukran Sheikh Allah akujaze heri amiin
Kweli kabisaa
Allaah akulipe
Wacha kubabaisha watu sema ukweli. Ikiwa mtu yuwafuata wazushi kama hassan banna Sayyid Qutb Qardhwaawi. Wewe ni hizbi hataujificha.
الله المستعان
Heshima kwanza kabla ya kutowa kauli neno lolote nipe dalili kuwa hizbi ni watu wa motoni ? Ao pako salafi ni watu wa peponi ? Ivi huwoni kuwa Allah anangaliya mwisho wa mja una uhakika gani kuwa utamaliza vizuri? Tumuombe Allah mwisho mwema ila kusema kuwa huyo ni hizbi ao salafi sio njiya mtu kuingiya peponi bali Muislam anatakiwa kufata coran na sunna kisha nakukumbusha tu hata maswahaba walikoseya kama watu na Dr anaweza kukoseya saana tu kama binadamu mweye na kundi lenu mlijafanya malaika hamkoseyagi lakini mnachofundisha mjuwe mnanuku kwenye vitabu kama wangine ila ufahamu wa watu njoo tafauti baki na usalafi wenu na sisi tunabaki na coran na sunna.
Unaeza Taja watu wa bidaa anaowafata Dr islam?? Au unajiongelelea muogope Allah