RECAP: HARMONIZE alifanya show MBAYA, MAKOSA aliyoyafanya JUKWANII, RAYVANNY, MARIOO & DJ ALLYB noma
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny
Broo umeongea point kabisa ,show ya yanga Harmo alizingia sana
Anatakiwa kuhifunza vingi😂kwa mondi bado bangi
Facts mzee ndy maana ata dada Mwijaku amemwamby ukwel 😂😂😂😂😂😂
Bro wewe ni mkweli sana nakukubali sana
Courage pour les informations nécessaires essayer de lui faire comprendre Harmonize cette année pas des bonne chose dans son sanat,🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Weeeeee nilikua nakungoja
bro leo umeongea sana
Asante sana mchambuzi wa mziki
Kondeeeeee😂😂😂 Ana mdomo sanaaaaaa huyo dogoooo
Daaaah😢😢
Sasa we julize kwenye show ya yanga kavaa nguo za ccm😂😂😂😂 zina pcha ya samia😂😂😂
Mondi akifanya usemaga kahuwa kukosowa danganya hivo vitoto vya 2000😂😂😂😂😂😂
wew nikuma
Huyu ako hivyo wanao mtumia waongeze dau manake anafanya kazi kubwa kushinda mwijaku na babalevo.
Ifike mahala wasani wajifunze kwa diamond bila ivo taifa linaenda kupoteza vipaji vingi
Kweli bro hongera 🎉🎉🎉
Show ni mbovu uyoo kaishiwa😃😃
✌️
Harmo jau
Yako yamekaaje achana na harmo ndo kwaanzaaa tunampenda harmooo
wasio penda kuambiwa ukweli😅😅😅
Bangi nyingi Ka overdose . 😂😂😂
Dah bro umeongea point sana mwanzo alianza kusema wasanii wengne ni mashabk tu ila yy nimwana chama wa yanga
Siusemetu halijui
Menja wap amepia sana hapo hapana
Tatizo watangazaji wa media tanzania 🇹🇿 hutaka msanihi afanye unavo taka ihiiiiiii mmmmm. Wewe sasa hivi ni WCB 😮😮😮😮😮😮😮😮😂😂😂😂😂
CCM na Samia wametetemeka kwa nguvu ya uchawi wa Harmonize kuweza kupunguza nguvu za video views za Diamond youtube...Mzee Popo❌❌❌❌❌🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mzee small 😂😂😂😂
😢 sio utoto,# bangi na pombe noma😢
Kama uko na watu wanao ku support ukiongea hivyo waambie waongeze dau manake unafanya kazi kubwa kushinda mwijaku na babalevo🙌
Ukumbuke ukimwongelea kwa mabaya aumeme kwakenifaida kwaiyo aimshutui ndokwaza tunampenda kuliko jana
cv
Anajikuta kontawa wakati mwenzake hana time nae mond hana wasiwasi kwenye performance
Tayar alikua kashatoka on mood
Na wamakonde kwa sifa hatar
Acha ushamba ww wangetaka kupewa maneno ya heshima wangeenda church
Nchomari ni uchamba😂😂😂😂
Ni pombe hizo sio yy mizigo ww huezi taja kama huna bangi kichwani 😂😂😂
Unaogea sana ukweli kaka nakkubali gonga like kama umekubalian nae
Kurudia wimbo siyo kosa. Umeshasema hajalipwa umejuwaaje hacha hujinga mwana.
Umetumwa
Labda alikua na pombe nyingi kichwani sio vitu vingi kichwani 😂😂😂😂
Wee mnafki tu ata useme aj fala
Sisi tunajuwa km ww ulitaka apigesho mondi acha umama ww
Kilichomponza harmonize Jana ni alitaka aonyeshe ukubwa wake kumzidi diamond platnumz wakati ukubwa wake Kwa diamond platnumz hata nusu hafikii, kikamponza akapanic akaanza kuweweseka
Makelele tu na mabuti yake😂😂😂utoto mwingi elimu ndogo masifa kibao...Moshi pumz ilikata akaanza huhema kama anataka kufa
Na zile mbio za huku na huku jeee😅😅😅😅😅😅 apunguze moshi
Ch
Weee nawe kila siku hamonise harmonise hadi tushajiongeza kwa sasa 🥺.....sawa hakufanya show nzuri but hakuna siku ushawahi msifia hata single again ulisema ni mbaya ilipopenya ukaanza oooooh sijui hatawahi toa heat kama single again .......jua tu tushakuzoa wee endelea kujipiga kifua eti fact zaa nyoko!!!!!!!!
Unaongea kwa hisia mtu atafikiria unamtamania mema kumbe hiyo negative part ndiyo ulikuwa ukiisubiri kwa hamu upate content tushakuona sana usifikirie ukiongea huwa hatujiongezi hadi tushaunda group kwa ajili yako huwezi tudhalilisha kwa faida zako mwenyewe
Wasurpot wasanii sio kuwabonda kishenzi,
Hata wewe mwana ripoter acha ujinga,
Wewe ungeweza,
Unapoongeya kuhusu harmz, unapenda sana kuyaongea mabayake Kwa muda wa muisho WA stori yako ili yakumbukwe sana. Kifupi wewe unauwa kipaji cha harmz sasa hauna siku unae yaongea mesma tupu ya harmz Bila kuyataja na mabaya yake. Ila kaa ulikua kama mista pimbi aliaza kama wewe na yeye aliishia tu kupigua je wewe utaishia wapi, pili jua kama yule ni binadamo nae anaumiya na ameazambali kuipambania hadi kufika pale, ila wewe Leo unaongea mengi mabaya ukiwa unaoshusa samani yake kila siku. Usipende tu pesa kwako, penda na tua wako kuna maisha baada ya kazi
Huna unchokijua
Pumbavuu sasa mtu anaingia stejini anataja mara kajala, mara kuna mademu wengi yanga, mara wasani wote ni wapenzi yy ni mwanachama wa yanga kwa kifupi huyo jamaaa ni mvuta bangi
Msiwe mnaongea utumbo,
Mnafikiri kufanya kazi ya mtu ni RAHISI hivo,
Na sio kila siku utafanya vyema,
Acha kuwapoteza wasanii wenu, hili ndo tatizo la wabongo,
Mnashindwa kuwapongeza wasanii wenu WAENDE,
Kimataifa,
Yani kuwabonda ndo mnajua tu,
Ndo maana huwezi kazi anayo ifanya mwenzio unazani utaweza ,
Acheni unafiki na ugomvi,
Mbona mondi hukosowaji mondi hivo? Unamchukia bwana mondi kila siku wana fanya mangapi na zuchu husemi? Wewe kwa sasa nichawa siyo media tena tumesha jua hupande wako 😂😂😂😂😂😂
Akili yako ndo imekufikisha hapo sio 😅😂
Huo n uzeze 😂😂😂😂😂
Kwani ni Siri hajawahi makosa mondi alaaah!!!!!!@@kizdady2544
Huyu tunamwangalia na jicho la tatu asifikirie watu ni wajinga
Fwata yako