Shilole na EX wake Rommy-3D wapigana vijembe "usione mtu kakaa kimya sio kwamba hana la kusema"

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 16

  • @TrinaRoman345
    @TrinaRoman345 Місяць тому +5

    Ila shishi jamani mtu asilale we kupambana na huo mwili usiku kucha, fanyamasihara nini 🙌🙌🤣🤣

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 Місяць тому +3

    Kuishi na huyu dem sio kitu rahisi umalufu una mrevya alafu chapombe

  • @sgfbase
    @sgfbase Місяць тому +1

    Verse ya Mbuzi na Khaligraph kwa Hennessey Cypher ni noma sana

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 Місяць тому +2

    Comment ni kutafuta ela tu

    • @user-uo8xw9kr4b
      @user-uo8xw9kr4b Місяць тому

      Pesa sio kila kitu utu uwepo mm nna boss wangu anamilik majumba dubai kuna muda analia tu kisa ni changamoto za maisha kwa hiyo pesa haitatui kila kitu.

  • @user-fy9pw2zr8l
    @user-fy9pw2zr8l Місяць тому

    😅😅😅😅acha wararuwane😅😅😅😅 tulia niwani acha uyaone

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Місяць тому

    Shilole hawezi ishi na mwanaume hana heshima kama wanawake wengine

  • @Lewinglovbi6699
    @Lewinglovbi6699 Місяць тому

    Washa wa waambie hampend kutafut hel mnaoend kulelewa sn😂😂😂😂😂

  • @emmadora7848
    @emmadora7848 Місяць тому

    Vijana tafuteni pesa acheni kujiwekeza kwa wamama

  • @hamisibakari342
    @hamisibakari342 Місяць тому

    JAMANI GURUDUMU HILI KULIBIMBILISA MPAKA likojoe USIKU KUCHA,UNAZANI ATAWEZA KUAMKA MAPEMA KWELI ??? Angekua anakupa pesa alafu kitandani 0 pia ungesema

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 Місяць тому

    Huyu mwanamke ,nayeye nikumuanika,,,,

  • @amosmemba9926
    @amosmemba9926 Місяць тому

    SNS

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 Місяць тому +2

    Kiufup nimekuelewa shishi

    • @edwardtrigga5701
      @edwardtrigga5701 Місяць тому

      Wapi nyinyi wanawake uwa mnatapa tapa mkiachana na mtu