Cye ndio tunaitia dosali dini kwani hilo ni vazi la farume za ughaibuni tujitaidi walau kutembea ili tusome or kujua zaid cyo tuishie kariakoo na kibaha t tunapitwa na mengi
😂😂mko na upuzi sana kumbe kanzu ni dini 😂😂na hawa warabu wanavaa kanzu wakienda sherehe bar harusin mbona hawajawai lalamika 😂😂😂waafrica akili za kipuzi tu
Yan hapa Kuna basata na bakwata wakikaa kimya hili Jambo bas wajue kabisa harmonize hakukosea alichokiongea Yan ni sawa n mond avae nguo za mapasta afu ashutie ngoma ya amapiano je utajusikiaje we mfuasi wa dini hiyoo...
🎉🎉🎉 🔥🔥🔥 this guy is very talented
The way diamond shakes his head 🤣 makes me damn happy
Me too! Like he enjoys the music!
Huyu mtu ni yeye na nusu
Undefeatable creater simba be the greatest all the time🔥
Subhana llah wallahi allah tusamehe sisi waja wako hatujui tutendalo yaa rabb tuongoze katika haki
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hujui unachofanya kolongo ww
@@GwakisaMwaisanga-th7uz 😂😂😂mna abudu kanzu za warabu ...guoka
wamelanika
Freemason Ina fanya kazi hapo yaani yuatumia vazi la heshima kwenye upuuzi Mungu atuongoze
Ni vazi la kiarabu vazi Kama vazi lengine
@@sketadre1981vazi takatifu, hata kwenye biblia yako limetajwa kuwa ni vazi takatifu
Mnaudhalilisha uislama mngetafuta mavazi mengine mxhu
Na wale wanaovaa wakaenda kukaa BAR NA KULEWA mbna hatuwanyoeshei vidole jmn🤔🚶🚶🏿
Cye ndio tunaitia dosali dini kwani hilo ni vazi la farume za ughaibuni tujitaidi walau kutembea ili tusome or kujua zaid cyo tuishie kariakoo na kibaha t tunapitwa na mengi
He is always the best simba of songs❤❤❤
2salimiane kwa like wajomba
Comasava
Wapizani mpaka waisomenamba ❤❤❤❤❤jamanieeetumupe mauwayake b.p.sana s.mba🎉🎉
KIUKWELI Mondi ni mbunifu sana
Naombeni like na mimi nimewahi
Sasa like kwako zina faida Gani 😊
Upewe upelekewapi ww tako
Utaliwa tako wewe endelea kuomba mshamba
@@almasiabdallah3563napnda
Remix
🎉🎉🎉🎉 imetisha sana lamasimba dangote
Chibuuuuuu
😢😢😢😢
3DD9dod9dZ 0:32 😅 0:32 z@@JeremiahNurbeth-bk8kk
Simba la masimbaaaaa
Wajomba nudaimond🎉🎉🎉
Kivazi chetu mnakizalilisha dah mungu tunusuru
Kumbe ni kivazi chenu??? Sasa hapo kinatafuta nn???
Wewe ni muarabu wa wapi? Kivazi cha waarabu hicho.
Koma naukomae kweli hii nisalamu koma sava🎉
Diamond 💍 is good dancer 🕺 😊
Wana WCB family🎉,,,Ngoma kali💯
Mad tune guys 🔥🔥♥️
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Noma Sana mwamba anajua
sasa na masheikh wamevamiwa dondosha like hapa usikae kinyonge
Achana na Simba nmemkubali☝️☝️☝️☝️☝️
Allah akuongoze na akututiliy wepesi
Yani ukishakua msanii basi wewe nisawa tu nasheytwani ndomana unafanya matendo ya laaaan 🤟
ulitak wafanyaj
Jamani kwanini mm hamunipi Maua yangu
Cool j'adore ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Heeeeee jaaaamanii😮😮😮😮
Uko sawa kaka
Wa kwanza nipeni like zangu kwanza mengine yatafwata
Mukari wangu umeuwa hapo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉comasava d mkali
Nomaa sana mondi we ndo kipaji bongo
Huyu alaniwe afe kifo cha mende kanzu ni vazi la mwenyezi mungu
😂😂😂😂😂vazi la warabun ndio unasema vazi la Mungu 😂😂😂si uje warabun ujionee mko na upuzi sana
Hahaha mwenyezi mungu alianza kufaa kanzu lini 😅 watu waache ufala
@@SalamaFrancis-yg7sr Huyu hajui hawa waarabu ata hua wanaenda kulewa nazo 😅😅😅
wa kwanza kenya😚😚😚like zangu
From Somalia 🇸🇴
Fanyeni yooooote myafanyayo,ikifika kwenye dini wajemeni acheni mzaha, kanzu vaz la heshma na lina pahala pake
😂😂mko na upuzi sana kumbe kanzu ni dini 😂😂na hawa warabu wanavaa kanzu wakienda sherehe bar harusin mbona hawajawai lalamika 😂😂😂waafrica akili za kipuzi tu
Washenzi nyie.ilo vazi sio la kuchezea .
warabu wenyewe wanaingia na kanzu club so NI mavazi Tu 😂😂
Kali❤❤❤
hivi nyinyi mmekosa zivu la kuvaa adi mkavaa vazi letu la eshima katika uhanisi wenu
Mamae baada ya mda mrefu sanaaaaaaaa Sasa naona style mpya ya dance ya mapiano imeenda hiyo
Mwamba kweli kweli
Whaou 🎉🎉🎉
Karibu mtaimba na vikoi sasa😂❤❤
Noma sana platnumz
Umekosa mavaz mpaka uvae kazu ukachezea nayo mziki mungu anakuon walah
Kanzu ni vazi la tamaduni za watU na sio vazi rasmi la imani ya dini hasa UislamU
@@pillyzubery5031 nawe c ndo wale mlio kolew na, dunian hata kufa hamuwaz pia huyo diamond unamuona km sjui mkomboz wako
Wanetisha
Mondi anajua sana,💜💜💜💜💪
I would love this video a million times
Amazing song,keep it up Diamond.
Komasava 🔥🎉🎉🎉
D Voice big up
Always brings something new to the table ❤
Unyama ni mwingi sana
Diamond he learnt alot from costa tich juu bado anamwiga
Kaka yaGu nakukubali nimeipeda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Cjapenda mavazi ya dini kua kwa huu ujinga
❤❤❤❤❤❤🎉🎉😅😅 good broo
Wimbo wenyewe hata sijauelewa
😂😂😂 utaelewa wakati wako ukifika.
Mngu awasmhe
Fanya yko ndo ulipoona lkn kwenye dini yoyote ayo mambo hayafai baadae ataleta migongano na basata na bakwata wao likizo ama
UNAZINGUA MAN.MTOTO WA KIISLAM UNAAIBISHA UISLAM.ABU TUBU KWA ALLAH.
ALLAH ATAULIZA ,JE UJUMBE WA WAONYAJI HAUKUKUFIKIAA
EBU TURUDI KWA ALLAH
True
Tatizo sio mondi tatizo viongozi ndy wanampa mondi kipaombele ingekua Kenya mapema tuu angeshugulikiwa vazi la respect hilo😢😢😢
Na inshallah Kwa uwezo wake Allah Mondi soon 😢😢😢 soon atapata Kwa Allah answer 😢😢 inshallah 😢
Lauwa sana
Na mimi najaribu omba like jamani
Kanzu si vaz la kuchezea mziki diamond umekosea sana
Fuatilia wanamuziki wa kiarabU uone wanavaaje
Waswahili wamekariri dini na wanadhani utamaduni wa waarabu ni sehemu ya dini.
Ndio wameiga wapiga kaswida hivyo
🎉🔥
Subhanallah 😢😢😢
Eti mnasema ni ndoa
Koma sava ( kqnzu) 😢😢😢
Sasa hili vazi mungu wangu siwawe na hishima nalo
he is brillient
Asante sana ça va Bien.
Hki y mungu
Mondi huyo njo unichukue
Subuhana llah 😢😢😢😢😢😢😢
Tunahangaika na sara na zuchu,mwenzetu yuko huku na koma savaa,😅
😂😂😂
noma🎉🎉🎉🎉
Ujawah kukosea chibu
Afadhali hawa hajavaa chupi 👍😀
mondi acha hizo acha kuchezea vazi takatifu acha kabisa
Mnazngua
Mungevaa vijora mungependeza kuliko ilo vazi la heshima kwa waisilam
Laheshima ila haliheshimiwi hata sehemu Moja wenyewe wanademka nalo huku oman😂😂 kama hawana akili vizur
@@user-hy9pp5rp9i😂😂😂😂
Yan hapa Kuna basata na bakwata wakikaa kimya hili Jambo bas wajue kabisa harmonize hakukosea alichokiongea Yan ni sawa n mond avae nguo za mapasta afu ashutie ngoma ya amapiano je utajusikiaje we mfuasi wa dini hiyoo...
Naomben support ndug Zang
Mambo ni moto
Inna lillah wainna ilahi rajiuun
Wanafki nyie mbna mapenzi ya jincia 1 hatukuwaona mukiongea lolote mulikuwa kmya t hapa ng'ombe nyie
Naipenda saana d voice
Duu..vibaya..ivyoo
🔥🔥🔥🔥bang bang
Subhanallah
Naombeni jamanii like zangu
Balaaaaaaaaaaaaaaaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Subxanallah 😢😢😢😢
Diamond l like you dancing style
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Simba lá masimba
❤❤❤❤❤❤
On 🔥🔥🔥🔥💯💯💯❤❤
Weuweeee❤❤❤❤
Hatari ❤❤❤❤❤
Inna lilahi waina ilahi rajiun