MENEJA WA KAMPUNI YA MBOLEA YARA ADAKWA NA POLISI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 40

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 8 місяців тому +4

    Duu hata kwetu Zanzibar yaani Tungule na Tikiti ni mtihani kumbe mbolea mnatuuzia ishakwisha muda wake!

  • @catherinemzurikwao3265
    @catherinemzurikwao3265 8 місяців тому +3

    Huyo ni muuaji kabisa. Yaani wakulima wanavyoteseka kulima kwa jasho na bei kubwa ya mbolea lakini bado wanajibana na kununua halafu mtu anataka kuhujumu wakulima na kuleta changamoto ya usalama wa chakula Tanzania! Hawa watu walitakiwa wanyongwe tu 😢😢😢😢

  • @sfggf468
    @sfggf468 8 місяців тому

    😭😭😭nimenunua 85000/= juzi tu kumbe mbolea ni feki. SERIKALI wafanye jambo hela zetu zirudi. Hii ni nchi nzima sio hapo tu. Kwenye mazao naona nmekula hasara tayari. YARA NAOMBA HELA YANGU NYIE NI WAUAJI KABISA

  • @cosmaslunyembeleka251
    @cosmaslunyembeleka251 7 місяців тому

    Tunateseka sana kwa kuweka mbolea zilizokufa.
    Yani nilinunua mbolea mwaka juzi ile ya DAP nilitumia milioni 1.2 yani niliumia sana kwa kuharibu mashamba yangu na hasara kubwa sana na nilichovuna kikaporomoka bei nilijuta sana kujumlisha na mbegu 20000kwa kilo mbili nilitumia mifuko mingi.
    Yani tena kila mkoa unatakiwa uwe na mahabara za kuhakiki mbolea kabla hatujanunua.
    Tunachezewa sana
    Uwa najiuliza kwanini sisi watu wehusi huwa maisha yetu niya rahana kiasi iki wakati tunakilakitu.
    Taifa la urusi ukifanya ivi ni kufungwa maisha maana unataka kuuwa watu kwa njaa.

  • @abdallahomary515
    @abdallahomary515 8 місяців тому +2

    Ukiwa na pesa raha sana, ageiba kuku apo, jela miaka saba,

  • @issaramadhani9141
    @issaramadhani9141 8 місяців тому

    Hii nchi ni shida kwakweli, watu wanachojali ni pesa tu. hasara kwa mkulima, tabu kwa mkulima hawaini tabu kikubwa wametoa mzigo. Unagharamia shamba kwa kuingia gharama ya mbolea kwa imani ya kuongeza mavuno kumbe ndio unaharibu zaidi

  • @froma3732
    @froma3732 8 місяців тому +3

    Hakana Radhi nikuweka ndani

  • @ladislausmoris9638
    @ladislausmoris9638 8 місяців тому

    Mungu wamshukuru maana chuma chetu hapo hapo wangeisoma ndan rest in peace my favorite john pombe magufuli

  • @johnsonsamwel7207
    @johnsonsamwel7207 8 місяців тому

    5:37 makonda uko wp mbolea inaonyesha ndio tabia yao hatuna imani tena Yara huenda nchi nzima sio huko tu mchezo wao

  • @thomaspeter2540
    @thomaspeter2540 8 місяців тому +3

    Wafungwe

  • @user13375
    @user13375 8 місяців тому +4

    Wahujumu uchumi hao

  • @ladislausmoris9638
    @ladislausmoris9638 8 місяців тому

    Kwa hiki kitendo tz hatutaiga hatua wanyongwe hawa watu

  • @hoseastephen4508
    @hoseastephen4508 8 місяців тому

    Mnawachekea wakati wanahujumu uchumi. Peleka mahakamani ushahidi ni hiyo mbolea itapelekwa kwa mkemia mkuu athibitishe kama ni expired wapate adhabu kwa mujibu wa sheria.

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 7 місяців тому

    Mbolea za Yara ni Bomba ila hpa wamezingua

  • @saimonstephen7250
    @saimonstephen7250 8 місяців тому +3

    Ndio maana yara ubora umepungua, pumbavu zenu

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 8 місяців тому +2

    NINA WASIWASI HATA,VYAKULA TUNAVYOTUMIA KAMA ,UNGA WA NGANO....NAYO INAFANYWA VIVYO HIVYO....
    - LADHA YAKE ,SIVYO ILIVYO

  • @ubuntubantu2404
    @ubuntubantu2404 8 місяців тому

    Nina shida sana na matumizi ya amri ya kumweka mtu ndani, inatoka zaidi kukomoa kuliko kudhibiti, kwa kosa hilo sidhani kama kumuweka ndani ni hatua sahihi

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 8 місяців тому

    Ukiona jambo mpaka linafahamikaaana yake lishafanyuka kwa kitambo. Futa hiyo kampuni. Ndio mchezo wao.

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 8 місяців тому

    Dah tumenunua bei ghali sana mwaka huu mbolea kumbe imekispay ndo maana mahindi haya sitawi kabisa

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 8 місяців тому

    Hii nchi haiko serious kabisa wangefutiwa leseni na wapigwe faini na kufunguliwa kesi

  • @catherinemzurikwao3265
    @catherinemzurikwao3265 8 місяців тому +2

    Hakuna cha mmeteleza! Wapumbavu nyie, mnataka faida kubwa kwa jasho la wakulima

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 8 місяців тому

    Watu wa ajabu mtu ana makosa tena hiyo ni kosa kubwa kubwa eti wanakaa kujadiliana naye kumbe ndio maana mazao hata uweke vipi mbolea hazifabyi kazi

  • @shaameshaame9721
    @shaameshaame9721 8 місяців тому

    futia lesen mbuzi hao

  • @shaameshaame9721
    @shaameshaame9721 8 місяців тому

    funga mbwa hao

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 8 місяців тому

    Wakati wa Mzee BABA ungeongea utumbo

  • @EmmanuelNyinyigwa
    @EmmanuelNyinyigwa 8 місяців тому

    Mmesha rambishwa Yani muhalfu Mme mkamata na kizibiti anawadanganya mnakubari hao NI wezi wahujum uchumi sio tabora Tu

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 8 місяців тому +1

    Jamani tumepata hasara sana mahindi yameungua

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 8 місяців тому

    Mnaujumu uchumi Alafu mnaomba lazi mushafanya mala ngapi mpaka mnakamatwa mnacheza na selekali 😂😂😂

  • @lordsm.k-db3wy
    @lordsm.k-db3wy 8 місяців тому

    Afrika bwana, mnatuletea habari ya kukamatwa ya kuchukua hatua kimya.

  • @ahmedghoth2996
    @ahmedghoth2996 8 місяців тому

    Uhujumu uchumi

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 8 місяців тому +1

    Tia sindano watu km hao

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 8 місяців тому

    Ndio wanafanyaga hivo,,, kwani ikiwekwa mfuko mpya haifanyi kazi?
    Kama ndio! Mbona mbolea yenyewe ni adimu ?

  • @masoudymichael
    @masoudymichael 8 місяців тому

    Mi naona Kuna uhujumu uchumi iba kuku miaka 30😂

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 8 місяців тому

    Kinacho expire ni mfuko au mbolea? Serikali kama usilias upo pima quality ya mbolea wakemia si wapo!! Maneno yanini pimeni quality maana mbolea ni salt fanyeni analysis kitaalam

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 8 місяців тому

    Tunaomba makonda aje huku

  • @AminielMkwizu
    @AminielMkwizu 8 місяців тому

    Kumbe ndiomana viazi vimetoka vidogo vidogo wapumbavu nyie

  • @chingaboy1149
    @chingaboy1149 8 місяців тому

    Mnapembejea mbwa kama hawa hawahitaji zamani hao walai Tz hamna viongozi 😢😢

  • @chingaboy1149
    @chingaboy1149 8 місяців тому

    Hawa mbwa wakufunga tu

  • @sfggf468
    @sfggf468 8 місяців тому

    😭😭😭nimenunua 85000/= juzi tu kumbe mbolea ni feki. SERIKALI wafanye jambo hela zetu zirudi. Hii ni nchi nzima sio hapo tu. Kwenye mazao naona nmekula hasara tayari. YARA NAOMBA HELA YANGU NYIE NI WAUAJI KABISA