VIDEO: BIRTHDAY PARTY ya NANDY ilivyonoga /MA-KISS Njenje/ BILLNASS Amtunza DHAHABU
Вставка
- Опубліковано 5 вер 2024
- Hivi ndivyo the African Princes Nandy alivyo sheherekea birthday yake usiku wa kuamkia November 10. Birthday party hiyo iliudhuriwa na watu maarufu mbalimbali kama Lil Ommy, Mamy Baby, Ammy Girl, Barnaba, Madee n.k
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#NANDY #BIRTHDAY #BILLNASS
Nandy the African princess 👌,ndo msanii wa kikee ninaye penda the Holly world 🌎,,hongera sana mama
Mashalaa!! Asante billnass kwa zawadi tutegemee zawadi kutoka kwa Nandy akimpa mpenzi wake na mama mkwe (mama billnass) itapendeza
Wamekatwa midomo wanaosema billinass hawatakiwi wataishi wapi na mvuwa imkuwa kubwa hatari 😍😍
Mungu awajalie maisha marefu yenye Furaha tele.
Baada ya ndoa Niko hapa nawapenda Sana Bilnandy
Hao watu wasije kuachana wanaenda kiukweli na billnass Nandy mama tunakukubali wengi happy birthday to you
Kama unahisi kuna pahali upo mwaga makopa Kwao 😘😍😍😍
Haha erieth wamependeza nampendaga, mama nandy
Naipendaga, hiyo nyimbo ya, happy birthday to you
MC NIMEMPENDA
Baba, mshuwa uyo keki kajifanya kama anampa nandy badaye kachenj
Jamani pesa rahaaa happy bornday to mom n dota
Mambo si hayo. Mashaallah. Happy birthday
Nenga una heshima sana
Jaman yaaani imependeza sana Mungu awalinde.
Nandy fantastic
💖💖💖💖nakukubaliii
Nawapenda sana
Nakupenda San Nandy
Mammy ana busara❤️❤️
Nandia thank you for marriage
HBD nandy
Lovely birthday ever
Happy birthday 🎂🎊 pacha wa mm nandy love
Mungu awe nanyi xku zote
Hbd 😍 nawapeda
M C A voice is amazing walai
Duuu mi siwez kwa kwel kufanya Ivo mbele ya wazaz et ata siku ya hard yangu sikuweza..
Upendo wako uzidi kwao kaka💞
Mbona bilinas anajikuna
Nanda umenifuraisha kutaman zawad ya mama
Mabord guard wametisha
Waikati mwingine mtumie stick ambayo mkitumia unatupa sio uma Unatumika kwa wote
Kiukweli BILLNAS UTAMBUA KWAMBA MAMA NDO NGUZO YA MAISHA
Wanashea tarehe kumbe
Hio nguo kwa wazaz sasa mmh,.ndio usan tunafanyaje sasa
Amemeza keki kampa ulim mmmmmh
Mc umetisha love you😘
Bugana hilo
Na huo mkisu ilikuwaje🤔
Maisha yawe marefu
❤️❤️❤️❤️❤️❤️🕊️
hbd
Mkisu wa kuchinjia mtu
Mammy ana busara❤️