Tengeneza 300,000 Kila Mwezi kwa Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • kumekuwa na imani potofu kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji kuwa hauna faida, Leo tutjifunza ufugaji wa kuku wa kienyeji wenye tija na jinsi ya kupata shilingi 310,000 kila mwezi kupitia ufugaji wa kuku 150 wa kienyeji.
    Twende pamoja kwenye safari hii ya ufugaji wa kuku wa kienyeji ili upate faida na kubadili maisha yako

КОМЕНТАРІ • 114