Haka kajamaa ni kabaraka tu tunachojua unapiga mnada wa hizo fram za milango sokoni tu labda mlisikia watu hawatakuja tena Pia chama chetu hakiendeshwi kwa michango ya kipumbavu na kuwapokonya watu haki zao mbona darajan souk hakuna watu waliokuepo awali kwa sabb ya ubadhirifu wenu tunakujua vizur ccm nyote wizi tu Tukutane 2025
Huyu mzima lakin😂😂 akajifundishe hata kuongea kwanza😂😂
😂😂😂😂 CCM em tulieni msirape rohozeni hatuwatakii!!!!!!!!!!!!! Tumemechosha na nyinyi wacheni fitna
Masikini, Mbeto kafilisika hata Uongo hajuwi kutunga😂😂😂
😄😄
Huy jamaa
Mm naon km anamatatiz ya afya ya akili
Mbeto umekwisha hujui unaongea nini
Du hata sisimizi hauwezi kudànganya mbeto kaugua akili hili jamaa kudànganya halijui hawa wakoloni ccm hili kitu wamelitoa wapi
Huyo jamaa hana hata sera za kuwongeya
Wadanganye wenzio t ww
Haka kajamaa ni kabaraka tu tunachojua unapiga mnada wa hizo fram za milango sokoni tu labda mlisikia watu hawatakuja tena
Pia chama chetu hakiendeshwi kwa michango ya kipumbavu na kuwapokonya watu haki zao mbona darajan souk hakuna watu waliokuepo awali kwa sabb ya ubadhirifu wenu tunakujua vizur ccm nyote wizi tu
Tukutane 2025
Haha hahhhhhhhhh 😅
Ila ww do unatia siyasa
Mbona haingii akilini story Yako ifanyie marekebisho
Na huyu mshenzi aloandika kichwa cha khabari hahaha mchezo mchafu ni wake yeye asojijuwa
Kwani ww umejenga kwa pesa zako pesa zetu ss na ww pia sio lako
Tatizo kwa nini mlikuwa mnapinga miradi ya masoko?
Tutolee siasa chafu ww
Upumbavu mtup
Hili mabato sio mubeto dalali mkubwa ww unaongea pumbatu zanzibar mushaifisidi kwa laana zenu