MBETO: MARA HII TUTAANZA NA WEWE, HATUTAKUACHIA KAMWE IKIWA UTAHAMASISHA UVUNJIFU WA AMANI 2025

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 40

  • @KhamisSeif-t3d
    @KhamisSeif-t3d День тому +3

    Kwahiyo hiyo ndio sera yenu kupinga watu pamoja na kuuwa kila unapokaribia uchafuzi na sio uchafuzi basi sawa endeleeni kutuuwa sisi tuko tayari

  • @نوفل-س5ر
    @نوفل-س5ر 2 дні тому +5

    Msimamo upo pale pale ,ujinga ujinga sasa basi,Baraza Gani la uwakilishi ilo? Baraza wenyewe gharamu .

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 2 дні тому +1

    Wiziii haoooo

  • @DuuSaid
    @DuuSaid День тому +1

    Hatutaki mambo yajecha hapa wananchi wamechoka maisha magumu mlo mmoja kwatabu 😎

  • @FaridaAly-r5n
    @FaridaAly-r5n 2 дні тому +3

    Ww ni mpumbavu tu dhulma itawatafuna tu mwisho wenu

  • @kassim1262
    @kassim1262 2 дні тому +4

    Nyinyi mukipiga w2 nakuua cku yauchaguzi ili mupate madaraka munawajibishwa nanani ss bc namuungu marahii ataanza nanyinyi munategemea dola tunamtegemea mungu bc akiacha kuanza nanyinyi hapa duniani bc ataanza nanyinyi kesho mbele yahaki ishallah apo vp

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 2 дні тому +3

    Wazanzibar tulishazoea kufanyiwa zuluma na nyie watanganyika wakoloni wetu.

  • @NassorOmarDadi
    @NassorOmarDadi День тому +1

    MWEHU HUYO Mtwana wa Tanganyika huwezi kufanya lolote mtwana tu ww na Zanzibar utahama hata km hutaki

  • @AliKhamis-u2d
    @AliKhamis-u2d 2 дні тому +3

    Mutaanza na yeye kumuuwa au vipi na kama ni kumuuwa ilo sio jambo geni tushawazoweya hamuwezi kuingia madarakani kama hamujauwa

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 2 дні тому +1

    Vijana njaaa sana hawa wanatoka mitaani njaa kali ndio shida

  • @AbdulhaamisSoud
    @AbdulhaamisSoud 2 дні тому +2

    Muendelee tu ila hamna ridhaa ya watu Wala mungu mupo tu na Dunia yenu

  • @FaridaAly-r5n
    @FaridaAly-r5n 2 дні тому +2

    Linajiona kama yy halitakufa kila nafc itaonja kifo ucjidanganye mwehu ww

  • @abdullatifhassan9399
    @abdullatifhassan9399 2 дні тому +4

    Hao wenzako maskini hata hawana furaha hapo wako hoiii bin taabani wanafuata tu kwasbb hawana budi.... Dah kutawaliwa bwana kubaya😅

  • @AllyOmarHamad
    @AllyOmarHamad День тому +1

    Ccm imepoteza muelekeo

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 День тому +1

    NYOTE WAUWAJI MIAKA 60 MNAUWA WAZANZIBARI NA WAZANZIBARI HAWATAKI MUUNGANO HARAMU MNALISHA FAMILIA ZENU HARAMU TUPU MAJAMBAZI WAHUNI WATUPU WEZI WANAFIKI WAONGO MADHALIM MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA NA WATU WAOVU MADHALIM WAONGO WANAFIKI TAMAA WEZI HAKI KAILETA NA ATAILETA IN SHAA ALLAH AMEEN 😮😮😮

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 6 годин тому

    mukianza vijana tunamaliza wallahi ujinga ujinga basssss

  • @ISSAJR-fo5nt
    @ISSAJR-fo5nt 2 дні тому +2

    Angalia hayo mazingira ya hapo gari inapopita utacheka...😢

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 2 дні тому +1

    TUMBO KANA KWAMBA ATAZAA SASA HIVI🤣🤣

  • @shaabanmohammed2611
    @shaabanmohammed2611 День тому +1

    Mjomba jihakiki kauli yako....au Kiswahili ni lugha yako ya pili? Pasipokuwa na Kura ya mapema au pindi ikiwepo Kura ya mapema ndio kitimtim....

  • @fahmysaid-zw4np
    @fahmysaid-zw4np 2 дні тому +4

    weee uwanza na nanii osman sio nadir walaa hao wajinga wenzio kajaribun kumgusa uone usipo rudi kwenu kwa mguu

  • @IsayaMala-v1r
    @IsayaMala-v1r 5 годин тому

    Wananchi tutaanza na wew mboto sijui ndo mbeto tena uko ww tutaanza ww

  • @MshamAli-o4e
    @MshamAli-o4e 18 годин тому

    Hata firauni aliuwa Kwa sababu ya utawala wake usianguke na ukaanguka alikua na jeshi kubwa punzi zisiwahadae bado mda na siku tu

  • @MshamAli-o4e
    @MshamAli-o4e 17 годин тому

    Mmbeto kurukaruka kwa maharangwe ndo kuiva kwake siku na wakati inakaribia na ukombozi wa znz unakuja acha kujizonga zonga sio mda wa kuwatisha watu sheria ndio inayoongea si mda wa kuwatisha watu jibuhoja uchaguzi wa siku mbili umeuwona wapi mmefanya maendeleo njaa imeondoka sasa mnaogopa nn

  • @HumudNassor-pg6lq
    @HumudNassor-pg6lq 21 годину тому

    munavyotaka tunataka

  • @seifmohamed8725
    @seifmohamed8725 2 дні тому +1

    Wewe kama nani chunga domo lako hapakuhusu hapa tafuta kwenu

  • @OmanIbri-hj8ss
    @OmanIbri-hj8ss 2 дні тому +1

    Wewe ni mpuuz km hao wenzio

  • @IsayaMala-v1r
    @IsayaMala-v1r 5 годин тому

    We nan umkamate koma ww hapa hamna kura ya mara pili umeona wap duniani

  • @akaumbo9433
    @akaumbo9433 2 дні тому +1

    Tanzania bara watu million 60 kura siku 1 ila Zanzibar watu laki 3 kura ya siku mbili hahahaha 😂😂😂😂

  • @Mahirwazanzibar
    @Mahirwazanzibar 2 дні тому +1

    Kwnn nyiny ccm hamutoshek na madara 60 years muko madarakan khaa wat washakuchokeniii

  • @VillaBoy-fv2zw
    @VillaBoy-fv2zw 56 хвилин тому

    Kafirwen uk kazi yenu wizi tu katiba gani mnay ifuat

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 2 дні тому +1

    SIKU ZA WIZI, UBAGUZI, KIPIGO CHA MBWA KOKO
    NA MAUWAJI ZANZIBAR
    Mara ile Tume ya Faina na Chama Cha Mauwaji (CCM) walianza na Ismail Jussa, baada ya kutangaziwa kwa "Kipigo Cha Mbwa Koko."
    ALLAH ATUNUSURU NA
    MADHALIMU

    • @Mahirwazanzibar
      @Mahirwazanzibar 2 дні тому +1

      Hawa CCM wahun t

    • @2002-h6c
      @2002-h6c 2 дні тому

      OMO pesa za Wamanga mlizopewa wewe na Kumbaro Jussa mtazitapika, Mapinduzi daima 😂😂

    • @kylesmeight4837
      @kylesmeight4837 2 дні тому

      😂😂​@@2002-h6c

    • @seifmohamed8725
      @seifmohamed8725 2 дні тому

      Wacha chuki mbwa wewe tafuta kwenu hapa sipo wakuja​@@2002-h6c

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 День тому

      CHRISTIAN MOTIVATION FOR REVOLUTION AND CREATION OF TANZANIA
      AGAINST ISLAM
      ​@@2002-h6cMapinduzi ya Zanzibar waliasisiwa na Wakiristo akina Nyerere, Okello na Kambona:
      1) Ukombozi wa Makanisa.
      2) Kuzambaza Ukiristo.
      3) Pombe na Malaya.
      4) Kupinga Uislam.
      5) Ukoloni Mpya.
      Nyerere alipeleka Zanzibar Jeshi la Mauwaji kumtisha Karume akubali Muugano.
      Nyerere alisema alikuwa yeye na Karume peke yao. Wote hao hawakuzaliwa Zanzibar. Karume alizaliwa Nyasaland (Malawi) na Nyerere ni Tanganyika, alikozaliwa Hussain Ali.