BREAKING: BARBARA GONZALEZ ATOA MASHAITI MATATU (3) KWA MO DEWJI ILI KURUDI TENA NDANI YA SIMBA SC!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 кві 2024

КОМЕНТАРІ • 16

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 18 днів тому +1

    Yaan Mo fanya jambo .Huyo Mangungu :majura: Try agein waondoke ndipo Timu itakuwa bora. Na Kocha Mgunda awe Kocha Mkuu.❤❤❤ Huyo Babura safi sana kuludi tena Big Up❤❤❤

  • @NajasonMagava
    @NajasonMagava 25 днів тому

    Karibu Sana babla kwa wekundu wa msimbazi

  • @FardinHoza
    @FardinHoza 7 днів тому

    haojamaa waondoke babra njooo kazini tumekuelewa sana

  • @ChandeMuinde-zs6rj
    @ChandeMuinde-zs6rj 10 днів тому

    Watolewe wote wawiri

  • @user-gh2yh4zq5e
    @user-gh2yh4zq5e Місяць тому +1

    Baadh ya wachezaj wamechokaka sana hawafundishik km kapombe anavujisha sana magoli

  • @JaphetiJohn-dh1mb
    @JaphetiJohn-dh1mb 10 днів тому

    Akiludi huyu dada naamini tunaweza kuendelea tena maana tumeshuka kweli

  • @MbazingwaMchangila-nz9cs
    @MbazingwaMchangila-nz9cs Місяць тому

    Wachezaji wote wanaoringa ondoa ACHA wanaitetea Simba Kwa nguvu zao zote!!
    Km tulivyo ona Leo,Vijana wasiaminiwa wanafanya Vitu tofauti na wale makomredi!!! Kata kabisa watuachie Simba yetu Ili tuone Balli safi km hivi afanyavyo Guduola mnene (Mgunda na Matola)

  • @Godfreylagwe
    @Godfreylagwe Місяць тому

    Kwamajina naitwa Godfrey Michael nipo manyara ushauri wangu mm kama mshabiki wa simba naona juma mgunda apewe mkataba wa miaka 2 pia benchi la ufundi livunjwae lote

  • @LaurenciaMpmbe
    @LaurenciaMpmbe 5 днів тому

    😅

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 7 днів тому

    Kwani Simba mmelogwa na nani mbona kizunguzungu yaani mtakosa bara na pwani kwanza huo ungonzi uondoke hivi km washabiki na wanachama hawataki huo ungonzi mnasubiria Nini au mnasubiria serikali impe mtu mwingine hiyo timu maana mmeshindwa

  • @user-wu2yn1lb2e
    @user-wu2yn1lb2e Місяць тому

    Wanao haribu timu ya simba sports club ni mwenyekiti na makamu wake wanatakiwa kujiuzulu tu kwani wanachanganya siasa na mpira ni kitu tofauti sana ndio wanatuletea kuonekana kuwa timu yetu iwe mbovu

  • @user-ek7tp2fg8t
    @user-ek7tp2fg8t Місяць тому

    Acheni kua mnatudanganyabmbola makae kimy nyinyi

  • @musalimbu-pp9es
    @musalimbu-pp9es Місяць тому

    apa Simba also qay Safi 😅😅

  • @DamasiMushi
    @DamasiMushi Місяць тому

    Heshima kwako rais waheshma kabla ya yote ningependa kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema kiongozi kwa heshima naomba kwani ana mashabiki wa simba nakuomba uyodada yetu babra asipangiwe watu wakifanya naye achague yeye ondoa mangungu jaribu tena na imani kajula wanakula genji wasenge tu tena wanakupa hasara ubarkiwe modewj

  • @user-zo3tl2ip6l
    @user-zo3tl2ip6l Місяць тому

    Uogozi. Sio. Mbovu. Niwachezaji. Mfano. Ukiwa. Nawachezaji. Kama. Inoga. Unategemea. Nn. Kitafanyika. Wanaolaum. Viogozi. Naowajuwi.tu.wachezaji.wanizam.kama.hao.watupishe