NATAKA NA MIMI 💞 Love story | DONTA TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 232

  • @Daestoto
    @Daestoto 8 місяців тому +6

    Mafunzo mazuri sana nawapenda guys

  • @allyzegele1373
    @allyzegele1373 8 місяців тому +19

    Sikieni nyie waomba LIKE , comment maneno mazuri mtapata LIKE zetu kwa sababu sisi ni waangaliaji wazuri wa DONTA T.V.

    • @JovitaBuberwa-zh1gl
      @JovitaBuberwa-zh1gl 6 місяців тому +1

      😂😂😂

    • @MariaSalim-u5z
      @MariaSalim-u5z Місяць тому

      Mm wananikera balaa MTU anacoment nakuomba like bila hata kumaliza kuangalia movie

  • @BwitondeMutula
    @BwitondeMutula 8 місяців тому +5

    Hali hii ya unafki ndani ya ndoa nyingi inatawala sanaaa mariamu ,kwa wa mama na wa baba jameni ,poleni sana wenu. Lubumbashi rdc

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 8 місяців тому +5

    Da vick Mwenzio kalishwa huko njee anakudanganya Tuu ulale tu basi

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 8 місяців тому +2

    victoria et nimemiss Dada victoria Nakupenda ila Wanaume hawakatai hio kitu wanaipenda jipimie da Vick ❤❤❤❤❤

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 8 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Da victory Mungu akuweke Nakupenda Bure acha nilale sasa Usku Mwema Dada

  • @Viviankemmy-p4k
    @Viviankemmy-p4k 8 місяців тому +4

    Weee ndoa kama hii Mimi siwezi Kila siku umechoka kwn uliniona nikae housemaid yko😅😅pia mm Niko na hami bwana mwaga unga ni mwage mboga n hvyo😂😂😂😂😂😂

  • @RaheemaOmani
    @RaheemaOmani 4 місяці тому +1

    Nawapenda sana Wana donta kwa sababu manatuletea vitu ambavyo vipo kwenye uhalisia

  • @AghHh-v3f
    @AghHh-v3f 8 місяців тому +9

    Nery acakumutesa mukewe kwajiri yakimada kesho akiyafanya na yeye utakoma nduru 😂😂😂😂

  • @jamesmwangi8598
    @jamesmwangi8598 7 місяців тому +2

    Asante sana mariam rudi kwako mke wa kwanza,ndio mke ata ufanye nini.

  • @mohdmassoud3052
    @mohdmassoud3052 8 місяців тому +14

    Mnavyofunikana kwenye mashuka hamupakuani nyie lakin maan naona mmezid sanaaaa😂

    • @Nailaty564
      @Nailaty564 8 місяців тому

      Wangekuwa wanaweka na part two

    • @shakaholakijana
      @shakaholakijana 8 місяців тому

      Kwan huelewag behind the scenes do nini lakin😂😂

    • @priscilladama8686
      @priscilladama8686 7 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂haupati pcha😅😅😅😅

  • @NeemaMbuji
    @NeemaMbuji 8 місяців тому +3

    Jamn mnatufulahish cn dada vick umejua kuukosh moyo wangu

  • @AndreSartos-z8n
    @AndreSartos-z8n 8 місяців тому +7

    Kazi nzuri sana ❤

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 8 місяців тому +2

    Mwanamke Haombagi hio Kitu Wanaume Ndio wakwanza ila ukiona Hivo kuna mwenzio ana pewa

  • @SuzanDithenya
    @SuzanDithenya 8 місяців тому +1

    Vicky umetisha🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊😊😊❤

  • @GetrudaSanga-d7l
    @GetrudaSanga-d7l 8 місяців тому +21

    Kumekucha tena watu wa Donta Tv mambo yako moto huku mjeni kwa wingi🤣🤣🔥🔥🔥

  • @NgaboGabriel
    @NgaboGabriel 8 місяців тому +8

    Nigabriel nikiwa Kigali Rwanda nawafuatavizuri

  • @BintmohamedNasiri
    @BintmohamedNasiri 8 місяців тому +19

    Marimu kua na subra wanaume kama hao sikuhizi atuwabembzi😂😂 nao pia tunwatenda na ngoma inaenda mbele akimwaga Unga mwaga mboga watu walale njaaa au mnasemaje wenzangu

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 8 місяців тому +1

      Daah, hayo mawazo mabovu. Nyumba itanuka zinaa. Bora kufanya subra ili Mungu akutaftie sababu ya uolewe na mwengine mwenye heri

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 7 місяців тому

      ​@@hilalkhalfan1452Kaka huyo ni Malaya anayekuambia atalipiza kisasi.

  • @AlidaTheobard
    @AlidaTheobard 8 місяців тому +2

    Nelly ww ni mshez unafukuza mkeo kisa awala ila viki unaroho mungu akusaidie

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 8 місяців тому +1

    Much love from 🇰🇪 nawapenda sana Wana Donta TV 🎉

  • @mtikamtika8013
    @mtikamtika8013 8 місяців тому +31

    Nimekuwa wa nne naombeni like hata kumi ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @jamesmwangi8598
    @jamesmwangi8598 7 місяців тому +1

    Mwamke huyo ni paka poli chunga

  • @RachelThomas-ox3jr
    @RachelThomas-ox3jr 8 місяців тому +6

    Nzur sana 🌹🌹

  • @doricemwakasengo1167
    @doricemwakasengo1167 8 місяців тому +32

    Hi move ya leo hatari mtoto wangu kashazoea kila siku tunaangalia wote move za donta leo ile inaanza nikasema tobaaa nimeyakanyaga

  • @Nadzuamwatsenze
    @Nadzuamwatsenze 8 місяців тому +2

    HII KITU ILINIKUTA 😢😢😢😢😢 ,AKY MAPENZI SHIKAMOOO ,AFADHALI NIWE SINGLE NIKITAFUTIA WATOTO WANGU AKY

    • @Oscar-dg8le
      @Oscar-dg8le 8 місяців тому

      Pole sana utapata usijal

  • @PrincessMoh-ck4zl
    @PrincessMoh-ck4zl 4 місяці тому +1

    Endeleeni na hyo roho

  • @GladysMnyazi-ou2on
    @GladysMnyazi-ou2on 8 місяців тому +3

    Mapenzi shikamoo😂😂😂😂😂

  • @MariamRiziki-o8x
    @MariamRiziki-o8x 8 місяців тому +2

    Daa vicky nakupenda sana❤❤❤❤❤❤

  • @InnocentBadminton-jh2vx
    @InnocentBadminton-jh2vx 8 місяців тому +1

    Nmekumbli hpo from Kenya Mombasa ❤❤❤❤

  • @PacificiqueJuma
    @PacificiqueJuma 7 місяців тому

    Nyinyi ni wakali kabisa🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 8 місяців тому +1

    Tina Wew cha kujaribu ndoa za watu usije zoea hiv japo mchez dada

  • @RammyanLewah
    @RammyanLewah 8 місяців тому +1

    Wah!!, wanaume hawa, yani wanaitwa wanaume

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 8 місяців тому +1

    Nelly Computer Ulikuwa una chezea endeleea kudanganya

  • @CharityGilla
    @CharityGilla 8 місяців тому +1

    Mariamu😂😂😂😂😂af jmn tumemmis kelvin lin tunamuon next movie bc jmn❤❤❤

  • @SamwelShao-l1o
    @SamwelShao-l1o 8 місяців тому +19

    ❤❤❤ wakwanza kbsa like zangu

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 8 місяців тому +1

    Mpe nelly Achaa ujinga na kudanganya mwanaume atachoka vyote sio dudu una danganya tu

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 8 місяців тому +3

    Nelly kula chuma iko😂😂😂

  • @JeandeDieuNibizi
    @JeandeDieuNibizi 8 місяців тому +1

    Ata mimi Jean kutoka burundi nawafuata kwa sana na nampa pol vicky

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 8 місяців тому

    Huyu Jamaa ni mduanzi sana...Mm ata nikicheza Away na pia Home sikwepagi siwezi mridhisha Hawara pekee na mke wangu anafaa aridhike mara dufu...From Kenya but watching from Qatar

  • @MariamRiziki-o8x
    @MariamRiziki-o8x 8 місяців тому +2

    Waah hio mm siwezi samehe kitu kama hio jamani roho yangu ndogo

  • @RebeckAunt
    @RebeckAunt 5 місяців тому

    Wanaume muache tamaa.pole sana Miriam

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 8 місяців тому +1

    Ametema Big G kwa karanga za Kuonjeshwa😂😂😂

  • @mnyakyusambunifu143
    @mnyakyusambunifu143 7 місяців тому

    Wewe Kijana Unacho Nifurahisha Move Zako Zote Zinamaadili Tunaweza Kutazama na Kuangalia Nawatoto Mungu Akutunze Hakika Wewe Nifundi🙏🤝

  • @MonikaSaimoni
    @MonikaSaimoni 7 місяців тому +1

    Haha😂 namimi ripening like eeee ata moja tu

  • @JumahEvans
    @JumahEvans 3 місяці тому

    Nawapenda sana pokea ❤❤ yangu wana tonda tv

  • @Janeregina-t4m
    @Janeregina-t4m 8 місяців тому

    My favorite vick, nywele zako nzuri sana

  • @Florence-hd2sj
    @Florence-hd2sj 8 місяців тому +1

    Yani Vic anapenda kale kakitu😅😅😅😅

  • @khamisjina8833
    @khamisjina8833 8 місяців тому

    Maryam, sauti ya kidogo regeza 🤣🤣🤣🤣 unanguruma huenda ikawa sababu . Ila nimekupenda jitahidi🫀

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq 8 місяців тому +1

    Ivi ndo wa2 wanavo haribu ndoa zao😢

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 місяці тому

    Mariamu mume hyo mwashea wawili hatari sana Mariamu uclazimishe jambo haliwezekan mume kwalogewa inje

  • @EvalineDaniel-l5m
    @EvalineDaniel-l5m 8 місяців тому +20

    Sasa nyie mnao omba like huwa ni za Nini haswa😏

  • @PriscarGodrick
    @PriscarGodrick 7 місяців тому

    Wanaumeeeee😂😂😂😂🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @OdethaMudugu
    @OdethaMudugu 6 місяців тому

    Kiukweli hua nakupenda Vicky unapoigiza hiv...... Nasio kuigiza mambo ya uhuni

  • @JanetKimindu
    @JanetKimindu 5 місяців тому

    Vick Leo kubali kulala naukame wako mwezio kapitia Kwa mama shikamoo

  • @Jacksbalampa
    @Jacksbalampa 8 місяців тому +1

    Kina mariam wana moyo wa kipekee mbinguni kuna nafasi yao

  • @RechomsafiliMsafili
    @RechomsafiliMsafili 2 місяці тому

    nimependa sana ❤❤❤❤❤

  • @Kinyua-ye8kk
    @Kinyua-ye8kk 8 місяців тому +1

    Tamara yko mwenyeee nicholus

  • @celinendikiminwe6053
    @celinendikiminwe6053 6 місяців тому

    Pôle Nicolas mupenda tuwili kamoja kamemuponyoka 😂koma😅😅

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 8 місяців тому +4

    Wa saba mm🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @samiahsalum3464
    @samiahsalum3464 8 місяців тому +2

    wapuuzi mnao wah kuomba like kabla yakuomba hizo like mshawahi kuuomba hata uzima kwamwenyez mung japo Dak 1 tu nahizo like mnozipatag huwa mnafaidika na nn lbda???

  • @GraceMbulu-rp8ko
    @GraceMbulu-rp8ko 8 місяців тому +1

    Niko kauponza😅😅❤❤❤

  • @IrankyndaAline
    @IrankyndaAline 7 місяців тому

    Vik nagupenda sana kasababu unanifunza sana bitubingi

  • @LovelyHamis
    @LovelyHamis 7 місяців тому

    Daaaah wanaume nyieee mna moto wenuuuu

  • @JumahEvans
    @JumahEvans 3 місяці тому

    Yaa mariam ako sawa apewe haki yake, ukimwaga unga namwaga mboga😂😂😂😂

  • @MineniAbedialphonce
    @MineniAbedialphonce 8 місяців тому +2

    Kelv ukipata wa sanii kumi kama vick na loves mbona ni atari mamangu duhuuuuuu!

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx 6 місяців тому

    Malipo na hapa hapa duniani umefukuza vicky saai😂😂😂

  • @Ased-qy7sh
    @Ased-qy7sh Місяць тому

    Nelly hajui kufoka😂😂

  • @pascosalvatory5274
    @pascosalvatory5274 8 місяців тому +2

    #HII IDEA YA KUTOA VICLIP MNAWAZA NN ASEE BORA MUUNGANISHE AIDEA IWE NA MAUZUI HAYA HAYA ILA MOVIE IWE 1 MABOSS KAZ MBOV SJAPENDA KUWENI CREATIVITY ASEE

  • @saimoniroman8462
    @saimoniroman8462 8 місяців тому +1

    Uyu dada ana juwa kuigiza Sana atae howa uyo ata mpata mke Bola

  • @ConstanceZiro-r3l
    @ConstanceZiro-r3l 7 місяців тому

    Mmmh bx kl cku umechoka nelly,,mwambie ukwel kua nimetoka kufanya huko nilikotoka😂😂😂

  • @YusuphPeter-q2m
    @YusuphPeter-q2m 8 місяців тому

    Mpenzi akikukosea mpe nafasi nyingine kwani kabla hujamuhukumu mwenza wako jiangalie pia na wewe je humuibii mwenzio?

  • @khajumkhamis7910
    @khajumkhamis7910 7 місяців тому +1

    Ivi wakijifunika shuka huwa pana usalama lkn

  • @SallynOchieng
    @SallynOchieng 8 місяців тому

    Mapezi ni kama gas ❤

  • @MosesMunyoki-gk3yc
    @MosesMunyoki-gk3yc 8 місяців тому +1

    Tina kuzoea kuaribu doa zawatu asha

  • @asha-z3n
    @asha-z3n 7 місяців тому

    Halafu ukirogwa unaanza kuhaha😂😂😂

  • @RoziPeter
    @RoziPeter 8 місяців тому +1

    Tina unamcheka mwanamke mwenzio

  • @silaslelei-r6x
    @silaslelei-r6x 7 місяців тому

    Kama ne wewe ndio ulimfunza xi mpee aky yake🙏🙏🙏🙏😅😅😅😅😅

  • @SuzanyJohn
    @SuzanyJohn 8 місяців тому +2

    Donta tv bd hamjaweka uhalisia kwnn mwanaume alale na shati?????????

  • @SmilingCorgi-pr9bn
    @SmilingCorgi-pr9bn 8 місяців тому +3

    Kazi zury san naombeni ata like zero jqmn 😅

  • @Omarnkeshimana
    @Omarnkeshimana 8 місяців тому

    Wallahi Wallahi Wallahi nawapa 10/10

  • @RamadhaniJumanne-n2c
    @RamadhaniJumanne-n2c 8 місяців тому

    ❤❤❤❤ nimependa sn movie

  • @mamajohncena
    @mamajohncena 7 місяців тому +1

    Uyo jaa nimchagaaa

  • @JanetKimindu
    @JanetKimindu 5 місяців тому

    Haya ndio mambo ya watu uitwa wanaume niwanaume wachache awachiti wake zao

  • @pascosalvatory5274
    @pascosalvatory5274 8 місяців тому

    #NTAANZA KUPIGA NA VIBOKO DIRECTOR TOENI #SHORT SERIES HATA KAMA VIPANDE 7 AU 8 MWISHO ILA SIO KIPANDE KIMOJA AF UNALETA IDEAS NYING HII KAZ SIO MNAPOTEZA MUDA WAZEE

  • @Lucy001-j2g
    @Lucy001-j2g 4 місяці тому

    Wee vicky mie siezani na ndoa hiii,,,yaani unalazimisha kuku kumeza maindi

  • @shadrackmwangangi-z2h
    @shadrackmwangangi-z2h 8 місяців тому

    Wana donta KAZI yenu nixury lakini mwatuchanganya c mkue mnatupeleka na movie moja Ady mwisho kisha tukimalixa mnatutolea nyingine tafadhali

    • @nicethgabriel3319
      @nicethgabriel3319 8 місяців тому

      Kwa uelewa wangu hii sio move, ni love story maana yake haiwezi kuwa kama move, fuatilia kesho yangu kama unataka move, mi nazipenda Ivi vipande vipande,

  • @MineniAbedialphonce
    @MineniAbedialphonce 8 місяців тому +1

    Tina mkorofi duuuuh weacha tu ana mtima nangu

  • @josephellytemu9645
    @josephellytemu9645 8 місяців тому +1

    Et 😂uliwe kwanza au chakula

  • @NishaMussa-os4np
    @NishaMussa-os4np 8 місяців тому +1

    Nimkuawamwisho naombeni like zenu hatakumi

  • @MackSon-z1x
    @MackSon-z1x 8 місяців тому

    Duh mm cwez samehe wallah so kwaroho yangu

  • @ISSACKRICHARD
    @ISSACKRICHARD 8 місяців тому

    Amna uhalisia unalalaje na shati upo na mkeo😂😂😂😂😂

  • @MartinaAgustino-fp5eo
    @MartinaAgustino-fp5eo 8 місяців тому +1

    Kwel binadam ni wawili wawili duniani vicky umefanana na dada moja jiran yangu yani kila kitu

  • @Nasasha591
    @Nasasha591 8 місяців тому +1

    Much love ❤❤❤❤

  • @SosisRoti
    @SosisRoti 8 місяців тому +5

    Nice move

  • @JanetKimindu
    @JanetKimindu 5 місяців тому

    Mariam pole kwaumayo pitia kua namsimamo ndunia ni lelemama

  • @JanetKimindu
    @JanetKimindu 5 місяців тому

    Sighel mother kwakweli tunaejoy maana atutarajii vyao m2

  • @AntyBy
    @AntyBy 8 місяців тому +3

    Taaam kweli

  • @JamimaZ
    @JamimaZ 2 місяці тому

    Mariamu mume hyo wakuramba kisogo pamoja na huyo Tina

  • @rizickmafungu7337
    @rizickmafungu7337 8 місяців тому

    KUSEMA UKWELI NAJIKUTA NAMPENDA SANA UTU LOVE NISAIDIENI NAMNA YA KUWEZA TU KUMUONA

  • @piusthuranira1541
    @piusthuranira1541 7 місяців тому

    Mm ata kw ndawa singerundi kwa uyo mwanaume