Much love from Kenya guys like back to ndonta tv Kama munamkubali loveneeess tujuane kwa like gonga like Apo chini👇
Kazi nzuri sana dada yangu loveness
Hata mm nimecheka sana ilo kofi la makalio ni hatarii❤❤❤❤❤❤ nawapenda sana❤❤
Macho meupe peeeeee tu
kuona aibu aaaaaah😂😂😂😂🙌🙌🙌
Njonjonjo was just chilling then boom🤣🤣🤣James hongera kwa msimamo mwema👏👏👏
😂😂😂vile James anaelezea eti kanipiga makalio😂
Naomba likes zangu
James unachekesha sana kwa kweli😂😂😂😂🎉🎉
Movie nzuri sana ,,,lakini baadhi ya movie zenyewe zinaishia katikati bila hata mwisho wake
From Kenya wapy likes za loveness❤❤❤❤
Jaman jems Unajua xn Umenichekesha Mpaka Nimeunguza Mboga , Fanya unipe No, zako Jems ❤❤❤❤
Kupanta mwanaume kama wewe nifuraha kabisa ❤
Very nice movie congratulations 🎊 james I salute❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Lakin kelvin nimeomb umwambie loveness aigize move moja t kupitia jina langu lakin sijaon jmn😢😢😢 naitwa juwairiya
Lovely anajua kucheza party yake nampenda bure movie tamu sana 👏
Jem's Tunakupenda Xn Una Comedy Flan iv Ameizing Af ww Hauchek 😂😂😂❤❤❤jemssssssss
😂😂😂Nilijua tu Tina ndie mnyang'anyi🫣😂😂😂🤣
In not easy kuona mwanaume kama wwe James 😂kazi nzuri sana kaka ongera
❤❤❤❤❤❤❤ nawapenda sana donta tv mumekuwa na muvi za tofauti sana na wasanii wengine munaburudisha na kufundisha munafaa sana kuwa walimu WA jamii zetu 🎉🎉🎉🎉🎉 pongezi zenu nawapa sitoacha kuwafatilia
Kutamani tu wanawake wengine Mkeo Aaaaaah😂😂
Wallah nimecheka na ivyo anvyohadthia kupigwa kofii la makalio🤣🤣🤣🤣🤣
We mkaka hujaonesha hata uhalisia kumkuta shemg yako choon ata hujashtuka 😂😂 ila hongera
Mme2funza ki2😊😊😊😊😊
Ukipata mume kam james ushaumia eti atanunua mboga ila kofi la makalio hatar😂😂😂😂😂
Eeh nyie vp mara love na kunambi mara love na James 😅shemej huyo huyo Tina vp lakin
😂😂😂😂😂nimecheka hayo mapozi
Waa sijawai comment lkn hapo kwa makalio aisee😂😂😂
Rafiki wara majaribu😂😂😂😂😂🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
James Tina kakufanyia dharau atakama ni move atakupigaje makalio¿¿¿?..
Nampenda sana❤
Jamess😂😂😂😂😂😂 uliguswa hagaa 😂😂😂😂😂
Na james we wachekesha huwezi fanya hivyo na macho umebakisha ukitizama mwili wa tina 🤔😂😂❤❤🇧🇮🇧🇮
😅😅😅😅😅😅 kakaaa kanipigaaa makalio😅😅😅😅
Kazi nzuri wana Donta 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Jamni unaweza jemsii hongela sana
❤❤❤
Nyinyi mnaregelearegelea movie ..sii kuna nyengine kama hii muliigiza Kunambi loveness na Tina..
Pole sana kk jemsi mfukuze uyo tina atakuhalibia ndoa uyo 😂
Kenya Watching, twapenda
Loveness ww unaroho nzuri na itakuponza dadangu
Kazi zuri
Shemeji Nina upwiru😂😂
Sasa kaka jemsi wewe ungeoganae TU uyo muhuni huyo.
😂😂😂😂 ka kupika makaliyo 😂😂
Loveness nguo fup hazikunogi na hayo matege utafir unapandisha milima ya lushoto
Love leo unamatege😂😂
Jamani nawapenda Bure,,,ila Kelvin simuoni now days,,,yupo wapi jamn???
😂😂😂Tina mbona Kofi la tako kwajems😂😂😂 haya nely baba wa ushaur
Tina nakukubali my dear 😘🇰🇪
Tina nimependa hilo konzi la makalio ulompa james😂😂
Makofi James unanichekesha kweli makalio yalikula makofi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Munarudia rudia movie hii lavenesa natina na kunambi si ndo hiii daah
😂😂😂😂😂 jamn jmsy ww siumpe shemej anataka mwenzio anaupwilu😂😂😂
Kupabika nayo,,kazi poa
Love kitakuramba
Wewe jamaa noma sana hatariiii kabila gn wewe
James wee 😂😂😂😂😂
🔥🔥
😂😂😂😂jemsi ban umenifurahish kwel kwaalichokufanyia shemej yako duhh
Love nawe acha kumuamini lafik utajuta kwakweri😮😮😮😮😅😅😮
Sasa umeshindwa kumushika sauti umusikirizishe mukewe😳😳😳😳 fumanizi😂😂😂
kz nzur
Uyo Tina anatk kupita na mume wako shtuka ww
Lake kwa loveness l love you 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Anatingisha moja moja😂😂
Jamani nimecheka sana😂😂😂😂
Hummmm mna nimaliza sasa, sasa dada Tina Wewe umemupinga hivo kwanini? Hummmm nyinyi !
Hawa viumbe noma😢😢
❤❤
Jemsi inazingua iyo haki ya mungu ya mchongo
Amekupinga makaliyo 😂😅😅😅😅
❤❤❤❤
Woooo
😅😂😂
❤❤❤❤❤
Umevutwa shat na umevaa taulo 😂😂😂😂
Shemej anashika tako 😂😂😂😂
Huyu lavu mbn hayuko kwa kesho yangu
Tizama vizuri alikuwemu yeye ndiye alikuwa akicheza Deal na kunambi ili wamkandamize kelvin
😂😂😂 James 😂😂😂
Omba hii isikukute
nice
Jemus 😂😂😂😂
🎉🎉🎉❤❤❤
shanaiza siku hizi yupo wap
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤tina
Love umekonda Sanaa what's wrong with you
❤
🎉🎉🎉🎉🎉
Eti unagubu la ukoo
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Habari
Yako
Laveness
Uko
Poa
😂😂😂😂
Hongere
Sana
Laveness
Pia
Nakupenda
Sana
By
Black
Boy
❤❤❤
🎉🎉🎉🎉 mwaga hapa like zangu hapa kama unampenda laveness
😂😂😂😂😅😅😅,t