BEFORE I MET YOU 💔 { 5 }

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 267

  • @QwerQwer-p8x
    @QwerQwer-p8x 3 дні тому +27

    Naona mambo yameanza kuchangamka tunabaki na siku mbili tufike mwaka mpya mungu atuvushe salam wana donta❤

  • @UnrulyHope-e9j
    @UnrulyHope-e9j 6 годин тому

    Huyu mama ake n loveness mbona n kama n mama ake ukweli wanafanana sana🎉❤

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 2 дні тому +1

    kelvin is so much talented jaman pongezi nyingi kwake ,anamshauri vizuri sana mwenzake kwakweli ,bahati mbaya jarufu kuitwa tu mume wangu akili ikazidiwa na hisia 😂😂😂😂😂

  • @MwanalimaMwalimu-c4m
    @MwanalimaMwalimu-c4m 3 дні тому +6

    Nimechelewa sana ila nimefika nawapenda sana kwa uwezo wa Allah from Kenya pamoja sana❤❤❤

  • @PrettyMarie81
    @PrettyMarie81 3 дні тому +15

    Uyu mma love mbona km wanafanana kwel 😌😍

  • @JenniferAntony-b9v
    @JenniferAntony-b9v 2 дні тому

    Mko vizuri sana love,kevi na jarufu nawapenda sana love mpz hebu badirika Kuna mwisho badara ya umaraya

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 3 дні тому +3

    Kelvin nakupendeanga mawaidha uko nayo mazuri ubarikiwe sana 🇰🇪

  • @dhahabudeche926
    @dhahabudeche926 3 дні тому +23

    Hayo macho ya mama Lisa jamani nimimi tu ndio naona yananitishia ama 😂😂 mama jicho kali kweli

  • @ngusekisu6746
    @ngusekisu6746 2 дні тому +1

    Jarufaa msikilize daktari vinginevyo utatumbikia shimoni!!!!

  • @LeilaAbdi-p4i
    @LeilaAbdi-p4i 3 дні тому +3

    Allah atulinde wote na Donta family tuweze kuvuka mwaka salama inshallah pokeeni mauwa yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @edinanyagani9075
    @edinanyagani9075 3 дні тому +3

    Tunatamba na muvi nzuri mbarikiwe nyote

  • @VeenVv
    @VeenVv День тому

    Kevin una uchoyo mbona wamwambia akate simu nawapendana zaidi❤❤❤

  • @HoseaSanga-g9u
    @HoseaSanga-g9u 3 дні тому +2

    From kilombero morogolo, very nice all outhour from donta tv, love u so much

  • @Vee-h1f
    @Vee-h1f Годину тому

    Asanteee kwa move zenu nzur

  • @BMSChasasa
    @BMSChasasa 3 дні тому +1

    Nakupenda sana love nes mdogo wangu mrembo ww😊

  • @tonykonki1437
    @tonykonki1437 3 дні тому +6

    Love karembo ndo maana jarufu hawezi kukaacha 🎉🎉🎉

  • @MaA-kn9ty
    @MaA-kn9ty 3 дні тому +1

    Nawe pia kipenzi ❤❤🎉🎉🎉 hongera sana kwa kazi nzuri

  • @AishaH-e3k3w
    @AishaH-e3k3w 3 дні тому +8

    Hatar lakn laveness unafany sivyo hebu iyokaz wacha maana uyo baba ake jaruf haendan naweye na umr wako unamueza kweli

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 3 дні тому +1

      Anafata pesa hapo

    • @AishaH-e3k3w
      @AishaH-e3k3w 3 дні тому +1

      @JeannetteManirambona-o6m kama anamaraz je atakuja kumlaumu nan iyo pesa atakayo pata naafanye bishara achane na kaz hiyo

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 3 дні тому +1

      @@AishaH-e3k3w umeongea ukweli kwa ushauri niko upande wako

    • @AishaH-e3k3w
      @AishaH-e3k3w 3 дні тому

      @JeannetteManirambona-o6m s
      Asant

  • @aishalovesesibe
    @aishalovesesibe 3 дні тому +2

    Kaka pole sana unaponeya kwa mama mukwe wako😂😂😂😂👊🇧🇮🇸🇦👌🥰👆

  • @Swaum-h5b
    @Swaum-h5b 2 дні тому

    Donta vt mnafurahisha sana ahsanteni sana kwakazi nzuri

  • @EstellaMuteramyie
    @EstellaMuteramyie 3 дні тому +3

    Niwahali jamani mauwa yangu 🎉 tena nawapongeza kwakazi nzuli 🎉🎉❤

  • @ButoyiThierryve
    @ButoyiThierryve День тому

    Oooo wa bongo bona siwaoni nipeni like mimiurundi

  • @GladysKarembo
    @GladysKarembo 2 дні тому

    Kazi nzuri congratulations 👏🎉

  • @BintiM-di1wm
    @BintiM-di1wm 2 дні тому +6

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jmni mtaniua na kicheko eti umenitaje mume wangu,naskia uko wapi sasa tuonane wewee❤❤

  • @Swamycute-l8o
    @Swamycute-l8o 3 дні тому +104

    Assalam alaikum ndugu Zang bwana yesu afiwe wakubwa shkamo wadogo muhali gani kila atakae soma hii comment Allah amjaalie aweze kuvuka mwaka salam na amjaalie hitaji la moyo wake🤲🤲❤️❤️❤️❤️🌺🌹🥀🌹🥀🌹💕❤️💝🤲🙏🤲🙏🤲🙏🤲🌺🥀🌹🤲🙏❤️🤲

  • @NasraIbrahim-dw1hr
    @NasraIbrahim-dw1hr 3 дні тому +1

    King kelvin uko vizur kwa nasaha nawaombea Allah awafikishe salama 2025🙏

  • @OmanOman-y7z
    @OmanOman-y7z 3 дні тому +4

    Macho ya mama love 😂😂😂

  • @VeenVv
    @VeenVv День тому

    Kwan haya maisha ata kama bibi amekosa sana ukitajia mme mambo mazuri hapo hapo hisia upadilika jarufu woyeee

  • @aminandurya
    @aminandurya 2 дні тому

    Hongereni Kwa kz nzuri 🎉🎉🎉

  • @happygeorge-y1x
    @happygeorge-y1x 3 дні тому +1

    hii ndo inafany mtucheleweshee mtoto wa boss

  • @mariammuslim2987
    @mariammuslim2987 День тому

    Neno mume wangu lishamkoroga jarufu😂😂😂😂.....nyie mwanaume ukishamuita jina hlo kumbe unaivuruga mpka akili😂😂😂😂

  • @Alphonsine-zc8cp
    @Alphonsine-zc8cp 2 дні тому +1

    Kkkkkkkkkkk jarufu anachekesha kabisa😂😂😂😂😂

  • @HemediJuma-n1q
    @HemediJuma-n1q 3 дні тому +1

    Nakubal wote mlioigiz humu naomb like ata tano

  • @CatherineKirugumiCathy
    @CatherineKirugumiCathy 3 дні тому +1

    Hapo kaka kelvin umenena ukweli mtupu mtu akiongozwa na hisia mwisho wa siku analia

  • @123rehema-q9h
    @123rehema-q9h 2 дні тому +1

    Mapenzi bwana 😂😂😂

  • @arikibok4735
    @arikibok4735 2 дні тому +1

    Courage ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 7 годин тому

    Mama hujui mwanzao anabeba wazee😢😢😂

  • @MariusNSENGIYUMVA-h8w
    @MariusNSENGIYUMVA-h8w 3 дні тому

    Nawapongeza sana kwa movies hii ni nzuri sana❤❤❤
    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ZainabubEliasi
    @ZainabubEliasi День тому

    Amina kubwaa sana

  • @ترووكالحارثي
    @ترووكالحارثي 2 дні тому

    Hongeren nyote❤❤

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 3 дні тому +1

    Uyu mumama nae kazidi Sana kumfatilia mwanae

  • @Piliseleman-v6r
    @Piliseleman-v6r 3 дні тому +1

    Una baya kelvin 🎉

  • @PrettyMarie81
    @PrettyMarie81 3 дні тому +5

    Nyie nmewahii anyway wanaompenda cav km mmi like apa🥰

  • @gracenchimbi5126
    @gracenchimbi5126 2 дні тому

    😅😅😅😅😅 mapenzi shikamooh

  • @HawaJuhane
    @HawaJuhane 3 дні тому +5

    Leo na mm nimewaji like zangu please wana donta plus❤

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 дні тому

    😂😂😂😂Jarufu na Kelvin mmenicekesha😂😂😂hawezi kumuaca anamupenda sana Lisa😂😂😂

  • @IreneMwinuka-u7z
    @IreneMwinuka-u7z 3 дні тому +2

    U u umeniitaje apo!😂😂😂 Jarufuuu

  • @Malselinamgaya
    @Malselinamgaya 2 дні тому

    Nzr sana

  • @CollinsKamone
    @CollinsKamone 2 дні тому

    Jarufu bana😅😅😅😅

  • @SAMWELKIMTAI-v6i
    @SAMWELKIMTAI-v6i 2 дні тому

    Bongesi Sana Wana Donta ❤

  • @SalamaTaura
    @SalamaTaura 3 дні тому

    Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @VivianKemunto-x8g
    @VivianKemunto-x8g 3 дні тому +1

    Usicheze na mapenzi ya watu wawili😂😂😂😂kaitwa mume wangu hdi kachanganyikiwa

  • @MwanaishaChileta
    @MwanaishaChileta 3 дні тому

    Jarufu mapenzi shikamooo kelvin wacha wape mauwa yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 дні тому

    Jarufu kama umeamuwa hivo🎉🎉🎉 ila kama roho bado kwa Lisa kitakulamba mwache Lisa na duniya yake na amina wake

  • @olicej7837
    @olicej7837 3 дні тому +1

    Mapenzi haya 😂😂😂😂😂 jarufu weee kwisha habari yako😂😂😂

  • @samjabri2611
    @samjabri2611 3 дні тому +3

    Muvi mzuli sana

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 дні тому

    Kevin kaka ngoma nzito iyo jarufu mttisa kampagawisha

  • @rosemsafiri7568
    @rosemsafiri7568 3 дні тому

    Jarufuu hauwezi kuishi bila love 💓😅😅😅mapenzi haya kubabake

  • @RukiaShomary
    @RukiaShomary 3 дні тому +2

    Loveness mbona upo ivo usoni shosti

  • @MagrethJacob-z5f
    @MagrethJacob-z5f 2 дні тому +1

    Nzur sana

  • @FurahaChristine-g8w
    @FurahaChristine-g8w 3 дні тому +2

    Loveness una taka haribisha uchumba wako kwa ajili ya upumbavu wako wewe hau pendi ushahuri

  • @milkahmachana
    @milkahmachana 3 дні тому

    Loveness mama njia mbili zilimshinda fisi mama .....Moja salama

  • @MariamMula
    @MariamMula 3 дні тому

    Jamani du mapezi hay mumewangu imeweka.sawa. akili ya jalufo

  • @KapuneNaduo
    @KapuneNaduo 3 дні тому +2

    😂😂😂😂hakuna jina tamu km kuitwa mmewangu ama Mkewangu...isee haya majina naeza fanya utoe pin ya ATM bila kujua...much love from Mombasa ❤❤

  • @akimanamariam4451
    @akimanamariam4451 2 дні тому

    Kuitwa tu mume wangu usha changsnyikiwa😂😂❤

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481 2 дні тому

    😂😂😂😂 acha kushauri mtu kuhusu mapenzi kelvin 😂😂

  • @HabibaKhamisi-xo8tz
    @HabibaKhamisi-xo8tz День тому

    Jarufu ww ety mm simtaki tenaa kuanzia leo asinijuwe😅😅 fanyaa masiharaa nn na loveness😊😊😅😅

  • @IssaMlenga-z6o
    @IssaMlenga-z6o 2 дні тому

    Mbona saut hamna

  • @AishaSalim-u2o
    @AishaSalim-u2o 3 дні тому +3

    Nimekua mktu wa kumi nipo kwenye kumi Bora sas 😂😂😂 naombeni like zangu 😂 natak kujua izo like zinasaidia nin kwa mara ya kwanza kuomba like. Maana sielew zinasaidia Nini 😊

  • @Mrpasakaonline70
    @Mrpasakaonline70 3 дні тому

    Gusa achia twende Kwaö 🔰🔰

  • @KanyeremaBalisondole
    @KanyeremaBalisondole 2 дні тому

    Yaan huyo kashapenda kuacha czan

  • @HarrietrehemaHarrietrehema
    @HarrietrehemaHarrietrehema 3 дні тому +1

    😂😂😂 kelvin leo mumenibamba ❤❤

  • @NaicMalliack
    @NaicMalliack 3 дні тому

    Mume wanguuuu!! Umeniitaje apooo Mume wanguu chezea kuitwa mume wewe😅😅😅😅🎉🎉🎉❤❤❤

  • @HadijaVinyu
    @HadijaVinyu 3 дні тому

    Loveness Acha hiyo kazi jmn utulie na jerufu

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 3 дні тому +8

    Jarufu kaitwa mumewangu kachanganyikiwa😂😂

    • @allymwashambwa5920
      @allymwashambwa5920 2 дні тому +2

      mapenzi ni kitu kibaya sana endapo akili ikazidiwa na hisia,yanaweza kukuua 🎉🎉🎉

    • @rizikisam6481
      @rizikisam6481 2 дні тому

      ​@@allymwashambwa5920😂😂😂

  • @sashaamoha
    @sashaamoha 3 дні тому

    😂😂😂😂Jaruff etiiiiii umeniitaje apoo???? Nimeipenda iyoooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉chukua🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mojelydah1521
    @mojelydah1521 2 дні тому

    Jarufu kashindwa kuvumilia kulenga simu ya mpenzi wake🤣🤣mapenzi wee!🤣🤣

  • @اريناارينا-ق3ط
    @اريناارينا-ق3ط 3 дні тому +1

    😂😂😂 jaarufu mume wangu love jamani❤❤❤❤

    • @dhahabudeche926
      @dhahabudeche926 2 дні тому

      @@اريناارينا-ق3ط 🤣🤣🤣🤣eti umeniitaje hapo aki mapenzi wewe nikikushika utaniambia ulikua wapi siku zote

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 3 дні тому

    Jarufu🎉hutamuweza😂lovess🎉🎉huyo ameshinda mamake ww utamuweza

  • @TatuMkeso
    @TatuMkeso 3 дні тому +4

    Bandika bandua Sasa kelvi mbon mtoto wa boss unatuweka sana he

  • @mamamzungu-j1l
    @mamamzungu-j1l 3 дні тому

    Amen amen Allah atujalie

  • @AminaK0ikoi
    @AminaK0ikoi 3 дні тому +1

    ,😂😂😂sija cmenti hila leo umenichekesha sanaaa jarufu😂😂

  • @ChristineElias-bn4dw
    @ChristineElias-bn4dw 3 дні тому

    Uwiiiii nimecheka peke angu aisee mapenzi shikmoo!! 😅😅 Kpz changu Kevin ulikuwa unamshauri sharufu ona sas kakuacha kwenye mataaa mpaka mwenyewe umebaki ukicheka tuu jmn

  • @AplA-x9b
    @AplA-x9b 3 дні тому

    Jarufu kachangamka kwa kuitwa mume wangu cheza na mapenzi weee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SamuelvicentePamba
    @SamuelvicentePamba 2 дні тому

    🇲🇿 nakupata kutoka Mozambique

  • @MohammedSalum-d5q
    @MohammedSalum-d5q 3 дні тому

    nakubali xanaaa

  • @AmineMetin-wy2vh
    @AmineMetin-wy2vh День тому

    😂😂😂ukitaka mwanaume akusamee sema mume wangu 😅😅

    • @lusajomwamoto9589
      @lusajomwamoto9589 День тому

      Mmh ila apo sasa mbona icho kibanda kipo kwenye penzi la mtoto wa boss nauku mme kiweka tena

  • @Wamwakera254
    @Wamwakera254 3 дні тому

    Kaka Kelvin kushauri mutu kwenye mapenzi huwa nigumu sna 😂😂😂😂 muache jarufu ajitie kitanzi mwenyewe 😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @dhahabudeche926
    @dhahabudeche926 3 дні тому +1

    Jarufu eti neno mme wangu tuu ndo lakulegeza😂😂😂😂

    • @YuthaPlus
      @YuthaPlus 3 дні тому +1

      😂😂😂😂😂 yaan

  • @VanessaKalinga
    @VanessaKalinga 3 дні тому +4

    Wakwanza leo like zangu tafadhali

  • @MariamBongo-g1s
    @MariamBongo-g1s 3 дні тому

    Kelvin sai waboesha na wajisahau ama vile umeanza kupataa likes sana

  • @NoorNoor-y4w3t
    @NoorNoor-y4w3t 3 дні тому

    Amina anakupoteza lavonnes acha ujinga

  • @ascendtogreatness24
    @ascendtogreatness24 5 годин тому

    Movie kali Sana Donta. But upande wa sound Kuna shida. Upande wa vocals panning Mara ipo left Mala right inakua very bad ni ilo tu kaka. Pamoja sana

  • @fatuma6011
    @fatuma6011 3 дні тому +1

    Jarufu umeitwa mume wangu hasira zote zimekupotea😂😂😂

  • @KhairatAli-hx6xi
    @KhairatAli-hx6xi 2 дні тому

    Pambe 🎉🎉🎉❤❤

  • @AbdulKigoda
    @AbdulKigoda 2 дні тому

    Kazi Nzur jamn

  • @MaimunaNangabo
    @MaimunaNangabo 3 дні тому

    😂😂😂jarufu kaitwa mume kakolea😅😅😅mmm mapenzi weweeee🎉🎉🎉❤❤

  • @jubaidamiss2409
    @jubaidamiss2409 2 дні тому

    Next ❤❤❤❤🎉🎉

  • @LeilaAbdi-p4i
    @LeilaAbdi-p4i 3 дні тому

    Jaruff umekula nyuki gani hiyo punguza hasira kaka 😂😂😂😂

  • @JosephKibawa-s4h
    @JosephKibawa-s4h 3 дні тому

    NOMA SANAAAAAAAAAA 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉