Akili kubwa uwezo mkubwaa level kubwa sana brothers 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻Najiangalia nakujiona kitofauti since nimewafwatilia hii ni zaidi ya elewa .....yaan ataukiangalia masheehe eti nyota yako niya punda mara simba kumbe ni siri tuh 🤝🤝🤝🤝🤝
Narudia Tena kusema kwamba ,,Mimi ndiye Mtanganyika ninaye waelewa vizuri kabisa kuliko watu wote ,,Niko njiani leo kuja Tanzania nikitokea nchini SUDAN,,,Darasa liko wapi baada ya mapumziko yangu niwafikie ninyi Maulamaa wenzangu
Sasa jifunze kuelezea watu vizur kwa unachokielewa tofauti na hapo kwa watu wenye upeo wa juu kama mimi tunagundua hujui ila unakalili, kama unaelewa elezea maada vizuri kwa umakini sio point moja unaruka maada. Mfano unasema binadamu yupo kwenye space anaelea hewani ongea maada ieleweke kwa umakini.
Binafsi nakuelewa japo kuwa Mimi sipingani na maandiko ambayo unayaita ya DINI, unauelewa na hoja Safi Ila njia na namna ya kuwaelewesha wengine ndipo unapo feli Kuna mapungufu ndani mwako ningependa Sana Mungu aruhusu na akusaidie mapungufu hayo, kwa maana Mtu ndani ya mwili huu hajakamilika.💥
@@yamungungendu4839 hatari sana ndugu yangu, na sema tu hapo mtangazaji hakuwa na mfumo thabiti wa kuhoji maswali Kuna Mambo mengine angeshindwa aongee nini, jamaa anakisomo na data za Duniani kwa uthabiti wake anakosa nuru tu ya kuyaweka kwenye usahihi wake na baada ya hapo usahihi ule ndiyo angeuwasilisha kwa hadhira, Ni kweli kabisa Mambo yote ya Duniani tuliyo fundiswa tukajifunza siyo sahihi kwa asilimia kubwa Sasa njia ya kuyaweka kwenye usahihi ndiyo kipengele kipo hapo na ndipo watu wengi tunashindwa.
Sema wanaokuhoji nao wana upeo mdogo Mimi nakubana kweli kweli unyoke sio unaongea maada elfu moja kwa wakati mmoja ili tukuone unajua kumbe unakariri na usiku unakesha unakariri na unashindwa kuelewa unachokisema. Na kama huwezi elezea basi una upeo mdogo.
Nitakutafuta nikufanyie interview ili nikubane na maswali inatakiwa uzungumzie maada moja ieleweke. Pia inatakiwa utupe fact. Mwisho wa siku utasema maji yana rangi ya Urujuani
Hakuna kitu hapo,wajinga ndiyo wanaodanganywa na huyu jamaa😊😊😊,Sasa mtu anakwambia hakuna kufa wakati kila siku watu wanazikwa na hata huyu anayedanganya watu muda wake ukifika tutampeleka😂😂😂
Kuna baadhi ya issues nakubaliana na wewe ila kuna vingine naona kama vile unajichanganya na havina uhalisia wa kisayansi yani unachoeleza hapo ni totaly pseudoscience, maana hujafanya utafiti wa kisayansi, its like unaongea ideology zako za kufikirika. Mfano mbingu saba vp je umefanya tafiti gani ukazigundua hizo mbingu saba na ni cosmology ipi hiyo unayoisoma maana kwa cosmology ninayiofahamu mimi ipo tofauti kabisa na unachoelezea. Alafu pia kama kitu hukifahamu, ku admit kama hujui sio udhaifu, hicho ni moja ya sifa ya intelligent man.
Darubin kali wachokonoz nakul sana.
Huyu jamaa anabadili tu msamiati, elimu yake imemvuruga
Hongera Sana Kaka mkubwa..
Uko Nondo mkuu.. unajua vitu na kielezea pia mpk anaekusikie anasikia Raha....
This brother should be making longer videos... This so short and sweet ❤ Kazi nzuri!
Noted!
Aiseee huyu mwamba ana facts sana na anajua kupangilia maneno 😅 nataman afanye interview pale sns na Fredrick bundala
Akili kubwa uwezo mkubwaa level kubwa sana brothers 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻Najiangalia nakujiona kitofauti since nimewafwatilia hii ni zaidi ya elewa .....yaan ataukiangalia masheehe eti nyota yako niya punda mara simba kumbe ni siri tuh 🤝🤝🤝🤝🤝
Huyu jamaaa anasomaga wapi
kasoma kafundishwa kaelewa somo huoni jamaa ana flow tu hapo yan habahatishii😅😅
❤❤❤❤safi sanaa jamaaaa
Narudia Tena kusema kwamba ,,Mimi ndiye Mtanganyika ninaye waelewa vizuri kabisa kuliko watu wote ,,Niko njiani leo kuja Tanzania nikitokea nchini SUDAN,,,Darasa liko wapi baada ya mapumziko yangu niwafikie ninyi Maulamaa wenzangu
😆😆
Akili mingi sana🎉🎉
Great Thinkers..🙏🙏
Sasa jifunze kuelezea watu vizur kwa unachokielewa tofauti na hapo kwa watu wenye upeo wa juu kama mimi tunagundua hujui ila unakalili, kama unaelewa elezea maada vizuri kwa umakini sio point moja unaruka maada. Mfano unasema binadamu yupo kwenye space anaelea hewani ongea maada ieleweke kwa umakini.
Utaingia kweli kwenye mfumo awo ndio wachokonozi
Nahisi kuchanganyikiwa mnooooooo😇😇
Binafsi nakuelewa japo kuwa Mimi sipingani na maandiko ambayo unayaita ya DINI, unauelewa na hoja Safi Ila njia na namna ya kuwaelewesha wengine ndipo unapo feli Kuna mapungufu ndani mwako ningependa Sana Mungu aruhusu na akusaidie mapungufu hayo, kwa maana Mtu ndani ya mwili huu hajakamilika.💥
Mimi nimekamilika nadhani wewe ndio haujakamilika.
Jamaa Haamini katika Mungu sasa...ndo shida hapo😂😂Haamini kama kuna Mungu.
@@yamungungendu4839 hatari sana ndugu yangu, na sema tu hapo mtangazaji hakuwa na mfumo thabiti wa kuhoji maswali Kuna Mambo mengine angeshindwa aongee nini, jamaa anakisomo na data za Duniani kwa uthabiti wake anakosa nuru tu ya kuyaweka kwenye usahihi wake na baada ya hapo usahihi ule ndiyo angeuwasilisha kwa hadhira, Ni kweli kabisa Mambo yote ya Duniani tuliyo fundiswa tukajifunza siyo sahihi kwa asilimia kubwa Sasa njia ya kuyaweka kwenye usahihi ndiyo kipengele kipo hapo na ndipo watu wengi tunashindwa.
@@wachokonozi_ hakika siwezi kujiita mkamilifu na wakati bado nimo ndani ya mwili huu, tofauti na hapo Mimi Mwenye Mwili huu ni mkamilifu wa kutosha.
Mchokonozi nauliza ivi nyama ya ngulue katika uwelewa wa juu je inaliwa
Hahahaha 😅😅😅 ndugu una yako
Mche allah brother
Wallah time will tell punde atajua
Naomba nije Nisome shule yako Brother Ntalipa Ada nataka Kujua zaidi
Unatengeneza majini tengeneza moja Uniuzie
Kingdom Monera🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo jamaa ni mjinga sana kwasababu anapingana na kila kitu yaani huyo ni zaidi ya mpuuzi
@@alysingano1738 anapinga kwa hoja...hoja yako ni ipi?
Ni kweli. Mpumbavu pekee ndio anajua kila kitu. Sasa mbona ukifa unakuwa udongo?
Unaeleweka saaana mkuu.
Kifo hakipo
Mtu hafi anarudi kwenye asili yake
jamaaa anaenda kuchanganyiwa mtu si mrefu kila ki2 akipo jaman
🔥🔥🔥🙌👽
Mlindoka naomba utuelezee namna Wanadamu walivyotokea......Elezea Chanzo cha Kisababishi cha kuwepo kwa Wanadamu.
Wataelewa 2..Big Up..
Sanaa mwambaaa
pamoja bro
Nyie na ndo mnafaa muitwe maprofesa sio akna lipumba 😂
Kumuelewa lazima uwe na ulewa wa juu,vinginevyo huwezi kumuelewa 😅😅😅
Huyu mwamba ni noma😅😅
Umepigaje apo mzee😂😂😂😂😂 nakuelewaga sana.
Mbona moyo wangu umedunda kwa kasi na cjajua kwann nmekua ivyo
😊😊😊huyu ndio Abraham linkorin
huyu mwamba yuko dipli sana, ofkoz namkubali na tangu nimfatilie laifu yang imebadilika mara 100 mbele zaid
Naomba vipindi viongezwe muda vipindi unavyopost vinadakika chache sana
Mwendelezo wakuu
Uyu jamaa anajua
Kweli kabisa
Jamaa hawamuelewi 😂😂
Sema wanaokuhoji nao wana upeo mdogo Mimi nakubana kweli kweli unyoke sio unaongea maada elfu moja kwa wakati mmoja ili tukuone unajua kumbe unakariri na usiku unakesha unakariri na unashindwa kuelewa unachokisema. Na kama huwezi elezea basi una upeo mdogo.
@@sailantjoseph7411 jamaa anadata za kusoma halafu kafeli kuziangazia na kuzichambua, Kama usemavyo kakosa wa kumuhoji kwa uhakika.
Nilipo maliza kidato cha nne nilikataa kuendelea kabisa
Haa nimekuelewa mwishoni
Ahsante
Hili jamaa linajua sana😅
huyu jamaa anadanganya umma
Salute 🫡
Hapo studio wataelewa tuu wapige hayo mawe
Uyo fala tu hana lolote yan kacherewa kupata elimu yan vitu yan simuelew anaigaiga
Pepo yanini umesema hakuna mungu
Hapo kwenye shule nimekubali maana watoto wangekuwa wanapewa hata mwaka mmoja au miwili ya mwanzo ya kusomwa walichonacho kisha ndo kifanyiwe kazi.
😂😂hiyo ni upeo wa chini
atakuwa amepiga cha Arusha
Exactly
Mimi ni simba
Nawajubali saaaana ningependa myuwekee na namba zenu aisee
💯💯
MMEKOSA WAKUHOJI MMEONA MUANZE KUHOJI MACHIZI 😂
Kabisa
Sio ukikatwa Mguu tu hata vidole vya miguu vya Mbele uta change Motion.
Nakupata
❤❤❤❤❤❤❤❤
Duh!!!!
Watangazaji wamezima fegi hawajui waulize nni?!
Mimi Niko kwenye kundi la mafisi
Dah
Ulipo nipo😂😂😂😂
Inter the bad land "acn
Hiki kipindi cha redio kinacho kuhoji chaitwaje kaka?
Me ndo mkushi pekee ninae kuelewa nini unamaanisha
Watanzania wengi tuna matakataka kichwani ndo maana reasoning yetu ni ndogo
Tuekee muendelezo wa hii kripu
Sawa
Sasa mtu akitaka kuelewa ama kupata mafunzo ili aelewe ulimwengo mnaweza kumuelewesha ??
0785346032 WhatsApp
Nitakutafuta nikufanyie interview ili nikubane na maswali inatakiwa uzungumzie maada moja ieleweke. Pia inatakiwa utupe fact. Mwisho wa siku utasema maji yana rangi ya Urujuani
Utosi 🧠
Pale utamu unavozidi kusikilizwa video nayo inakua fupi walimu wangu natamani iwe hata ya masaa mawili
𝘋𝘶𝘩 𝘬𝘢𝘬𝘢 😂😂😂😂 𝘯𝘢𝘬𝘶𝘣𝘢𝘭𝘪 𝘩𝘶𝘬𝘶 𝘯𝘢𝘰𝘨𝘰𝘱𝘢
Eti wajinga pekee ndio wanaokufa 🤣🤣🤣🙌
Hakuna kitu hapo,wajinga ndiyo wanaodanganywa na huyu jamaa😊😊😊,Sasa mtu anakwambia hakuna kufa wakati kila siku watu wanazikwa na hata huyu anayedanganya watu muda wake ukifika tutampeleka😂😂😂
Kuna baadhi ya issues nakubaliana na wewe ila kuna vingine naona kama vile unajichanganya na havina uhalisia wa kisayansi yani unachoeleza hapo ni totaly pseudoscience, maana hujafanya utafiti wa kisayansi, its like unaongea ideology zako za kufikirika. Mfano mbingu saba vp je umefanya tafiti gani ukazigundua hizo mbingu saba na ni cosmology ipi hiyo unayoisoma maana kwa cosmology ninayiofahamu mimi ipo tofauti kabisa na unachoelezea. Alafu pia kama kitu hukifahamu, ku admit kama hujui sio udhaifu, hicho ni moja ya sifa ya intelligent man.
Facto!
@@AngelCarlos-ec8rv nadhani hayo ungeyafanya kwenye channel yako ungeoonekana mwanaume unajimwambafy kwenye channel ya mwanaume mwenzio!
@@wachokonozi_ OK kumbe hii channel unaruhusi kusifiwa tu, ila kukosolewa ni kosa kubwa, samahani mtukufu mjua vyote, usijali tutakuwa tunakumwagia sifa kedekede.
😁😁😁😁safi Sana broo@@wachokonozi_
Alafu wajinga wanamleta studio ili watu wamsikize akisema watu hawafi lkn wajinga wanakufa kwa hiyo yeye mwenyewe ni mjinga sababu atakufa
Nawakubali saaaana ningependa mtuwekee na namba zenu aisee
0785346032 WhatsApp