UCHAMBUZI: KINACHOENDELEA NDANI YA CCM, CHANZO KINANA KUJIUZULU
Вставка
- Опубліковано 7 вер 2024
- Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
- www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz
Safi sana crown 👑 kwa kazi nzuri sana
Unaweza ukajua bbc waoo crown fire
Kikeke mmoja ni sawa na watangazaji na waandishi nchi nzima hatari sana huyu mtu
Hii Makala Imeshiba, ni ya viwango vya Kimataifa.
Rudisheni bandari zetu.....acheni masarakasi
Hivi mbona hamsemi makonda Yuko wap mnajifanya hamuoni au
Tunamtaka makonda wetu jmn
Deal done.
Baada ya watu kujitwalia bandari zetu za Tanganyika....sasa wamemega chao, wanakaa pembeni.
Unafiki ni mwingi sana TZ, alichoka wakati wa Magufuli, akajiuzulu....kisha akapata spare za kuwa makamu mwenyekiti....huyu huyu aliyerekodiwa akisema Magufuli kugombea urais ilikuwa kosa kwake.
WaTZ wanafiki sana
huyo Hana kishawishi mwenye kishawishi ni makonda
Huyokinana anauzalendo ganikwenye nch hii? au kwenye Chama.? Zanahizi zikowazikilamtu anauwexo wakijua kinachoendelea kwenye nchi yake.
😊
TUNAMTAKA MAKONDAAAAAAAAAAAAA
Makonda
Ipo siku TU mtakaa pembeni chama kizima
Makonda Yupo wapii Uuwi
Kwani imekuaje kuhusu makonda?? Mi sipo 🇹🇿 sijui kinachoendelea ndugu zangu nijuzeni
@@mohamedmangopola5657inasemekana Makonda kalishwa Sumu leo ni siku ya 12 hajatokea hadharani ,yuko south Africa kwa matibabu tumuombeeni sana kiongozi wetu.
@@SuleAmber-lw2txDuuh nashukuru ndugu kwa kunipa up to date, mambo ya kisiasa hayo. Mungu amsaidie maana alikua anajaribu kwa wanachi
Ivi kwenye Azam TV mnaonekana wapi
Makondaaa
Ccm Makonda yupo wapi?
Hapa ni nyumbani
Chama kimechoka mno hichi tokea tukiwa watoto
Wameshachukua bandari zetu baada ya Magufuli kuondoka, wameshatimiza mambo yao😢😢😢
Kikeke wewe ndio umebobea aya mambo ya kufukunyua aya mambo kiundani Tuletee taarifa kamili kuhusu Makonda
Rudisheni bandari zetu.....acheni masarakasi
Wanamuandalia Samia wakati Mgumu kuliko kipindi cha Magufuli. Wamejifunza kutoka kwa Zuma. Makonda KOSA lake ni kuanza kulopoka kama Magufuli. Magufuli alianza kusema sema badara ya kufanya kimya kimya
Wakat mgumu kivip kwan kinana ndiye anapiga kura za rais? Na Makonda yeye ndiye anaropoka wew unaongea sio Acha dharau mzee
Rudisheni bandari zetu.....acheni masarakasi
Watuelezeee alipo RC wetu makondaa,
Rudisheni bandari zetu.....acheni masarakasi
Mimi ni team kikeke wewe je?
Rudisheni bandari zetu.....acheni masarakasi
Ccm kushawishi Hilo mnajidanganya
Fanyeni survey watu wa chini alafu msirushe video zao muwahoji msikie
Rudisheni bandari zetu.....acheni masarakasi
Mafisadi wa taifa kazi kusifia tuuu
Rudisheni bandari zetu.....acheni masarakasi