Mabalozi wa Ufaransa na Marekani, AY wamemtembelea Sugu nyumbani kwake

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 311

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 25 днів тому +20

    Walokole huwa Wana msemo wa " Fumbo la imani" tutaona mwisho wake . Mungu ibarik Tanzania 🇹🇿

  • @ClintonAward-y3u
    @ClintonAward-y3u 25 днів тому +24

    Ukiwaona haoh watyuh weupe waweza kufurahia ila kuna makubwa yanakuja mmi nipo

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 25 днів тому

      @@ClintonAward-y3u Tumewatuma wasake wabakaji waliombaka yule msichana Na nani kawatuma hayo ndio muhimu Na wale wafiraji wa watoto mbona polisi wenu hawaleti hao watu 🫵🏾🤔Watanzania Wacheni ujinga fuatieni ya maana polisi wanakula Rushwa hamlioni kweli Watanzania wajinga mitu ya wafuuu🗣️📢🫵🏾

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 23 дні тому +2

      Acheni kwenda kwao huko nje kuwaomba pesa

  • @allykwaya
    @allykwaya 25 днів тому +6

    Ni vizuri wakashughulika na matatizo ya Nchi zao kwanza.

    • @user-fr7jj1bo7y
      @user-fr7jj1bo7y 22 дні тому

      huyu no balozi wa USA Tanzania halafu unataka ashugulikie matatizo ya USA akiwa Tanzania?? uvunjifu wa wazi wa haki za binadamu Tz afumbie macho? si mzima ww kichwani

  • @user-rp1xx3vo4r
    @user-rp1xx3vo4r 25 днів тому +10

    Haaaa hao ukiwaangalia unaweza ukasema wana ipenda tanzania ......Ina sikitisha sana hao ndo wame iangamiza africa

    • @DiwaniMwafongo
      @DiwaniMwafongo 22 дні тому

      Na waaarabu ambao mama yenu wa kambo kawapa bandari ndio Wanaipenda nchi yenu. ?
      Mbo na mnawazia makalio na sio vichwa?

  • @hasanimkamba8377
    @hasanimkamba8377 25 днів тому +10

    ukishaona chama kinasapotiwa nahawa mashoga wa kimarekani na hao wengine juwa nivibaraka hao magu aliona mbari sana

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 25 днів тому +1

      @@hasanimkamba8377 jirani yako mbona anafira watoto yeye nae shoga nawe mmoja wapo someni Watanzania elimu ndio hamna ndio maana hamjui lakusema zaidi ya kuita kila mtu shoga Kumbe wenyewe ndio mashoga wa kufira watoto mitaani 🫵🏾😏

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 25 днів тому +2

      Sasa mbona mama yenu anachukua misaada huko

    • @JackKanyigo
      @JackKanyigo 23 дні тому +1

      Shoga ni ww usiyejielewa..

    • @jdanny497
      @jdanny497 19 днів тому +2

      Akili ndogo ..uwezo mdogo wa kufikiri

    • @user-kx4vr5ix4e
      @user-kx4vr5ix4e 19 днів тому +2

      Taja Chama kimoja ambacho hakijawahi kula pesa ya Malekani kwenye Bara la Kilitania!

  • @allymkuja
    @allymkuja 25 днів тому +5

    Naipenda sana tz mambo ayo y wanasiasa yasitufanye kukosa amani , wao ndo wakwanz kukimbia nchi , na kuwaacha wasiojiweza wakiteketea tuwe makini jamaniiiiiiiiii

    • @jasminngoya110
      @jasminngoya110 25 днів тому

      😂unaipenda nchi huku unajitoa kwenye siasa? Hahahaaa Kwahiyo unabariki kipigo kwa chadema? Huku ccm ikilindwa siyo? Okay

    • @bujashidaniel5537
      @bujashidaniel5537 25 днів тому

      Nyie ndo vijana mnaifanya hii nchi iendelee kua na Maisha duni na mifumo duni

    • @markoshem-ij6cf
      @markoshem-ij6cf 25 днів тому

      Yan kijana anasema au kutetea ujinga wa CCM ni mubwa 2

    • @KiringoMtemi
      @KiringoMtemi 19 днів тому

      Askari ndo chanson cha vurugu kazi yenu ni raisi sana wanapo andamana mnatakiwa kuwalinda wasivunje sheria kwanini mnawapiga ndio .livotumws na mamayenu?pumbavu zenyu

    • @kingnyamafutv8646
      @kingnyamafutv8646 17 днів тому +1

      Kweli

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 25 днів тому +25

    Tumesha waelewa kumbe ni Vibaraka wa nchi za Magharibi na Ulaya. Watachelewa sana.

    • @christianbihemo8211
      @christianbihemo8211 25 днів тому +8

      Tumia akili achana mihemko waliopigwa ni watanzania wenzako achana na siasa za mabavu

    • @stellanyamuhogota1832
      @stellanyamuhogota1832 25 днів тому +3

      😢😢mi mwenyewe nimeshangaa hao mabalozi w magharibi kwenda kwa nin wasije mabaloz wa africa

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 25 днів тому

      @@christianbihemo8211 lazima wawatembelee manake makamo wao anaunga mkono ushoga

    • @Kibaadvocate
      @Kibaadvocate 25 днів тому +4

      Akili yako ndipo ilipoishia

    • @user-ie2sr4fi4k
      @user-ie2sr4fi4k 25 днів тому +7

      Upumbavu ni kula chakula ujui kinatoka wapi unapoona barabara za ram zimeandikwa kwa msaada wa marekani unathani ni mama yako?

  • @SalehSonda-bz3hl
    @SalehSonda-bz3hl 25 днів тому +8

    Ccm oyeeeeeee

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 25 днів тому +5

    Chadema wangejua kua watanzania hawapendi mabeberu

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 25 днів тому

      wao wanahisi hiyo itawasaidi kumbe wanaharibu unadhani kwa hali hii hata aliekua kipofu ataona kumbe vuruguzo zoote hizo wanatumwa na mabeberu, duuh! police mpo sahihi fanyeni kaz yenu kipigo na kiendelee

    • @stellanyamuhogota1832
      @stellanyamuhogota1832 25 днів тому

      Umeona eee kumbe mabeberu wapo nyuma yao😢

    • @jasminngoya110
      @jasminngoya110 25 днів тому +1

      Pole mbona mnaishi kwa misaada yao? Mjitoe sasa kwenye jumuiya ya umoja wa Mataifa yaani unashangaza kusema hivyo ikiwa mpo kwenye umoja jiondoeni muone kama wazungu watakuja kwenu mnajua ya chadema TU ccm inavyoenda uarabuni na mama yao hamsemi

    • @aasatt78
      @aasatt78 25 днів тому

      @@jasminngoya110 hata huko kwa wazungu kila siku anakwenda kukopa na kuomba misaada uyo mama enu

    • @user-fr7jj1bo7y
      @user-fr7jj1bo7y 22 дні тому

      @@stellanyamuhogota1832 kwanini kila siku mnakwenda kupiga magoti na kuomba fedha za mabeberu wabaya??mwehu wewe

  • @user-ux3jl9cl4w
    @user-ux3jl9cl4w 25 днів тому +11

    Wanafiki sana ao jamaa , siwapend marekan na ufaransa wanaturetea ushoga

    • @victorngulwa2311
      @victorngulwa2311 25 днів тому +1

      Unampend putin sio

    • @valeriusfelix7379
      @valeriusfelix7379 25 днів тому +2

      Acha ujinga" Unapenda police wanaopiga watu wakijieleza.

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 25 днів тому +1

      @@user-ux3jl9cl4w 🤣😂🤣mnaofira watoto mitaani mbona halisemi pumbavu mnaongelea ushoga wakati nyie ndio mnafira watoto mitaani Na kubaka wanawake tutawapata tu ngoja siku sio nyingi✌️✌️✌️✊🏾✊🏾✊🏾🫵🏾

    • @abdulrazack9577
      @abdulrazack9577 25 днів тому

      Hata sasa ushoga umeshamiri nani kaleta

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 25 днів тому

      @@abdulrazack9577 waarabuuuuu🫵🏾

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 25 днів тому +5

    Wafadhirrrrr wao??

  • @BakariIssa-nx3yf
    @BakariIssa-nx3yf 17 днів тому +1

    Cc atunaakili magufuli alianza vizuri alisema sisi sio masikini tunamali mungu ametubaliki tuna weza jitegemea kwajuudizetu bila wazungu nakweli tuliona spidi ya maendeleo ata maisha yalikua nafuu watuwaaliyachini walimudu maisha maana apakua namatozo wala mfumukowabei sasaivi mawazili wanaiba mama anakopa

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 25 днів тому +9

    Mnawasema vibaya lakini mnachukua misaada yao kila kukicha mnaenda kuwaomba kwa sababu hamna uwezo wakujitegemea

    • @ImaniMadiba-yu7wn
      @ImaniMadiba-yu7wn 25 днів тому

      😂😂😂😂🤝🤝🤝🤝🤝

    • @reginaldmapunda6702
      @reginaldmapunda6702 14 днів тому

      Ni kweli na huu ndio ujinga tulio nao waafrika wengi na hii sio misaada bali ni chambo tu kama chambo cha kuvulia samaki. Mvuvi anapotupa chambo ziwani sio kwamba anawalisha samaki bali anawaua na hatimaye kuwafanya kitoweo.

  • @gabapentin8070
    @gabapentin8070 25 днів тому +4

    Kuna namna

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 25 днів тому

    Pole sana sugu get well 🙏

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 25 днів тому +2

    Very shame! Pole sn chadema

  • @bakarially253
    @bakarially253 25 днів тому +6

    Mama Samia awe makini sana na hawa viongozi wa mabarozi sio watu wnzuri katik inchi zetu

  • @AmaniKizinga-ew9mk
    @AmaniKizinga-ew9mk 25 днів тому +7

    Ogopa sana hawa WATU Tanzania,,ukiwaona wapo nyuma ya kikundi chochote,, hakuna UPENDO hapo Kuna MABAYA unatengenezwa,,ombea sana Tanzania.,

    • @MmohamediSaidi
      @MmohamediSaidi 25 днів тому

      Vipi mjane

    • @clemencelisonga8261
      @clemencelisonga8261 23 дні тому

      Kwa hiyo haha ni wabaya ila pest zao ndo nzuri ila nyinyi maccm mnamatingo kwanini usiseme hao polisi maccm ni kikundi cha majambazi yanayotaka kutoa Thai wa watu

  • @AdamKadiri-pw9kn
    @AdamKadiri-pw9kn 17 днів тому

    Pole sana kaka

  • @amirinestory
    @amirinestory 26 днів тому +15

    Hao mabalozi wa marekani na ufaransa ndio wanaomtuma achafue nchi...
    ukiona mwanasiasa anaurafiki na na watu wa magharibi ni ngumu kuaminika.

    • @christophermsekena616
      @christophermsekena616 26 днів тому +2

      Amechafuaje? Umemsikiliza Nape alichosema mbele ya Waziri Mkuu? Then uje uniambie how Sugu anachafua nchi

    • @wekezauchumi7440
      @wekezauchumi7440 25 днів тому

      Acha upumbavu kwan huwajui marekan na ufaransa kazi wanazofanya duniani​@@christophermsekena616

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 25 днів тому

      @@christophermsekena616 utakujajua huo mguu ukiondoka alafu ujue hao si wenzako hao wanaowatembelea kikinuka watawapokea sasa kazi kwako we shabiki uchwara🙄🙄

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 25 днів тому

      ​@@mamboshepea8888ndo uiambie serikali yako iache huu upuuzi dunia hii ya mwaka huu haya mambo ya hovyo sana

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 25 днів тому

      ame chafua nn kwani alie zuiya mkutano nani

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 25 днів тому +1

    Mnawachukia watu ambao viongozi wenu ndio mungu wao kila cku misaada kwao badala mdili na viongozi wenu mnakalia uchawa t na njaa zenu

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 25 днів тому +3

    Kumbe wanaoharibu amani ya nchi zetu ni Hawa watu weupe lazima tumkubuke vizuri magufuli Hawa watu aliwachukia sana wanakuza sana mambo

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 25 днів тому +1

      @@RBMBAKARI-bv6wn 🤣😂🤔🤔🤔✍🏽✍🏽Wacheni kuchukua misaada yao Na Wacheni kupanda train zao pumbavu wewe matatizo wengi hamjasoma ndio maana wakenya wanasema wafu mko wengi Tanzania 🫣🫣mnaita kila mzungu shoga wakati mitaani mnafira watoto wenu wenyewe pumbavu🫵🏾

    • @RBMBAKARI-bv6wn
      @RBMBAKARI-bv6wn 25 днів тому

      @@AfricaQueen wewe acha matusi unajiita sijui queen.wa malkia nani kakuambia hoja inajibiwa Kwa matusi.nyie ndio mnaoharibu upinzani Sasa akitokea mtu kama magufuli mnatanga tanga.jifunze kwanza historia ya nchi hii tofauti na hiyo Kenya unayoidai.ni jinsi Gani ulivyo na upeo mdogo wa elimu ya siiasa

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 25 днів тому +1

      @@RBMBAKARI-bv6wn maendeleo Kenya wako mbali Na elimu 💯💯💯Na wanajua haki zao kwa kuelewa Katiba yao bila ya kudanganywa kwa vijozi vya jezi Na wanajua haki zao hawadanganyiki kijinga wako mbali sana hilo kubali nyie ni wafuuuu🫵🏾

    • @RBMBAKARI-bv6wn
      @RBMBAKARI-bv6wn 25 днів тому

      @@AfricaQueen fikra ndogo kabisa kazi kufuata mkumbo hata elimu inaelekea ni tatizo kwako

  • @vincej9275
    @vincej9275 25 днів тому

    Get well soon. Freedom of speech and expression is very immportant without violating the constitution.

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 25 днів тому

    Congratulations to USA and Paris and AY

  • @KilonzoGodson
    @KilonzoGodson 25 днів тому +2

    Kwenye hili walioharibu amana au wanaotaka kuiharbu amani ni ma Balozi au ni police"
    Mnawaponda lakini kutwa kucha mko kwao na vibaba vyenu kiomba misaada
    Misaada hiyo kila siku tunasikia mafisadi wakiiba repot za CIG lila mwaka mabilioni yamepotea mnafikiri bila hawa wapinzani ingekuwaje
    Mimi ni Ccm kindaki ndali lakini mwana Ccm asiependa upinzani ana ufinyu wa kuelewa.

  • @thabit5775
    @thabit5775 18 днів тому

    Broo pole

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 25 днів тому

    Mbona safari nje kibao RIP Magu

  • @alphaigogo787
    @alphaigogo787 25 днів тому +4

    💔 So sad! Get well soon Mr. Sugu!

  • @pascalmanyama2304
    @pascalmanyama2304 25 днів тому +3

    Sijui tulitaka uhuru ili iwe nini?.Tunajidhalilisha sana katika jumuiya ya kimataifa.Africa bado hatuwezi kujitawala au..

  • @erickmollel-zv2eu
    @erickmollel-zv2eu 25 днів тому

    Hao washenzi ndo wanatungata na kutupuliza... watanzania tuwe makini, ogopa sana mtu anayetaka kuonewa huruma na anayejiona ametendwa, Amani tuliyonayo tuitunze sisi tuliopo huku kweny nchi za watu ndo tunaona umuhim wa Amani yetu

  • @JosephMbagala
    @JosephMbagala 25 днів тому +1

    Awa jamaa wanataka nn kwenye nchi yetu nikweli kama wangeanzisha mahanandamano ingekuwa mbaya hii inchi siyo ya chadema Wala ccm niyakwetu wamwache mama afanye kazi mahana mama anarudi kwenye mfumo turio utaka awa jamaa wanogopa makufulizetion is back we love it

    • @GraceDeo-g1n
      @GraceDeo-g1n 25 днів тому

      Hakili yako imejaa bange ,pia na uwuwaji

    • @suzysam6002
      @suzysam6002 25 днів тому

      Mbona mama yenu amewakabidhi vitu vyote vya thank Hilo hulijui bandari miaka Mia ww utakuwepo ?

    • @markoshem-ij6cf
      @markoshem-ij6cf 25 днів тому

      Wewe nimubwa kama mubwa wenzio

    • @annajohn175
      @annajohn175 22 дні тому

      Mahana ..maana

    • @annajohn175
      @annajohn175 22 дні тому

      Mahandamano-maandamano

  • @chemstry409
    @chemstry409 25 днів тому +3

    Absolutely bullishit...why AMERICAN POLISI WANAPOWAUA WATU WEUSI HAWAENDI KUWATEMBELEA WAFIWA???????....THEN WEWE WANAKUJA KUKUTEMBELEA UNAONA UFAHARI HALAFU UNA POST....WHAT FACK MAN????

    • @christianbihemo8211
      @christianbihemo8211 25 днів тому

      Kwahio wewe unaona hao viongozi kua hapo na kutoa pole na vitendo walivyofanyiwa ni sawa , kwanini hizi barozi barozi hazijaondolewa nchini kwetu na kwanini sisi tunawahitaji kua rafiki zetu acha kutumia hisia za siasa tumia akiri

    • @chemstry409
      @chemstry409 25 днів тому

      @christianbihemo8211 1st sio AKIRI NI AKILI...2nd sijasema kuwepo kuja kumuona Sugu ni vibaya hapana but wawe wanakwenda na kwenye other Victims....hope you will understand...Thanks Dude and have nice one....

  • @paulremigiuspaul3293
    @paulremigiuspaul3293 25 днів тому

    Get well soon Mkuu Sugu

  • @DivaMsukuma
    @DivaMsukuma 14 днів тому

    HapanA wamefanya vizur mmezowea kuwanyanyasa chadema

  • @willymdeka6034
    @willymdeka6034 25 днів тому

    Huyu ndio alipigwa sana huyu uongo mbaya sana

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 25 днів тому +1

    Sasa samia naye msaliti mana kila ck yuko nje

  • @jamesjahasa3348
    @jamesjahasa3348 25 днів тому

    Hao wazungu ndio walio watuma ili wachafue amani sio watu wema hao polisi hongeleni kwa kuzuia machafuko waliopanga yaanzie mbeya

  • @user-jy4um9bn9j
    @user-jy4um9bn9j 25 днів тому

    Mabalozi wanajifanya wanaupendo wakati wanaenda kuwachimba 😭😭😭mungu ibariki Tanzania🙏

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 26 днів тому +6

    Ni kibaraka wao lazima wakamcheki maana wana matumizi nae

    • @jasminngoya110
      @jasminngoya110 25 днів тому +1

      Hata rais wako nikibaraka wa waarabu shut up

  • @boniphace1
    @boniphace1 25 днів тому +4

    Mabalozi wa Tanzania mliyo marekani na nyie muwe mnatoa matamko watu weusi wakiuwawa au kupigwa mikononi mwa police ku show solidarity 😅

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 25 днів тому

      @@boniphace1 Watanzania ni wafu 🤔kuna vijana walimfanyia ubakaji yule dada Na mpaka Leo hakuna alie patikana Na watoto wanafira watoto vijana mitaani hayo hawajui kupigania kwa kweli Watanzania hawajasoma Na wengi hawajui maana ya haki ya binadamu wala Katiba ya Nchi yao wala historia ya Nchi yao cha zaidi wanaongea ya nje Mabaya ya kwao hawayaoni hii ni Aibu Na wakenya wanasema wafu Watanzania ✊🏾✊🏾✊🏾✌️✌️✌️

  • @EnekiMtawa
    @EnekiMtawa 25 днів тому

    MUNGU uinuliwe kwan kisasi chako JUU ya WATESI WETU UMEFIKA AMENI

  • @RamadhanWanga-t1q
    @RamadhanWanga-t1q 25 днів тому

    Wabongo kisiasa bado saaana....

  • @AliyyAli-ii1uz
    @AliyyAli-ii1uz 25 днів тому +1

    Nivibaraka lakini wakitoa misaada sio vibaraka

    • @NuruJuma-zv3yz
      @NuruJuma-zv3yz 25 днів тому

      Misaada gani na nikurudisha kile wanachoiba, we vip

  • @zanzibartaxiandtoursamranr7684
    @zanzibartaxiandtoursamranr7684 23 дні тому

    Hao wazungu km wanaimani si wawalaani waisrail kwanza

  • @wilsonkasyupa604
    @wilsonkasyupa604 26 днів тому +2

    Like zangu🎉

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 25 днів тому

    Kwa kupigwa sio lakini hao ni wanafiki Sanaa nchi zao wabaguzi mnoo na ukiona ubalozi wa ufaransa ujue ni vibalaka WA maghalibi hakuna kitu hao chadema wazushi tu ufaransa kwanza hawapendi nchi za Africa kuwa na maendeleo Wana Sera kandamizi eti wanapenda uongo wapo Kwa kitu furani walichoongea nao wapinzani wote WA Africa NI vibaraka WA wazungu hata hawawaelewi kama mambuzi tu

  • @user-cp8df8ik5h
    @user-cp8df8ik5h 18 днів тому

    Wazngu sio

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 25 днів тому +3

    Hongera AY

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 18 днів тому

    Hawa ndo wanaovuruga nchi

  • @mohdmnemo9281
    @mohdmnemo9281 25 днів тому

    Tunatakiwa tujiuleze sanaa watanzania aoo marekani na ufaransa wanahajenda ganii kwetuu mahana simataifaa mazurii kwetuu

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 25 днів тому +1

    Hawa jamaa wanatumika vby tuwe nao makin hiki chama kuna haja ya kufanya kife kwa kila namna

  • @josephmwita6012
    @josephmwita6012 24 дні тому

    god do something in our nation

  • @abuialmarjibi979
    @abuialmarjibi979 25 днів тому

    Nchini kwao watu weusi wanaifanyia ukatili mkubwa na wanachukulia poa

  • @sa3dasa3da87
    @sa3dasa3da87 25 днів тому +1

    Kama hao ndo marafikizao,hawa jamaa wakipata nchi lazima waanze kurudisha fadhira kwanza halafu ndo mambo mengine yaanze kama Kenya

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 25 днів тому

      Ccm kuzaa bandalii saw sio alaf Amna urruu saw 2 wemweuuu

    • @christianbihemo8211
      @christianbihemo8211 25 днів тому +2

      Kama Taifa letu sio marafiki wa haya mataifa basi tungeshakataa kua na hizi ofisi za kibarozi hapa kwetu na maraisi wetu kwanini wanaenda huko Tumia akili acha kuandika ovyo hawa waliopigwa ninwatanzania acha chuki za kisisasa

    • @sa3dasa3da87
      @sa3dasa3da87 25 днів тому

      @@christianbihemo8211 ndio maana unaona nchi za Africa zimeanza kujiondoa kwao hata JPM uliona jitihada zake hakuwakumbatia kabisa hao,na hata mama pia amejaribu kutokuunga mkono Ukraine,ni kupambana kujiondoa mikononi mwao ila sio jambo rahisi ni taratibu taratibu

  • @joshemman520
    @joshemman520 25 днів тому

    Vibaraka hawa watauza nchi ….. bora cha kile kikongwe najua chadema mtakuja hasira ila hii inchi hatuwap ninyi bora kijani kbsa

  • @BuberwaBenobesa
    @BuberwaBenobesa 25 днів тому

    Lakini tukiwa tunawaponda wazungu, ikumbukwe jeshi la polisi walifanya ukatili sana ambao hautakiwi kusamehewa😢😢😢

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 25 днів тому +2

    Tusipojitafakari hawa watu weupe wataigawa Tanganyika yetu.... Ccm tubishane kwa hoja..Tuipende Nchi yetu hatuna Nchi nyingine!!!!

    • @user-jh4hg2ev9s
      @user-jh4hg2ev9s 25 днів тому

      Aliyempiga Sugu sio mweupe tafakari unachosema

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 25 днів тому

      @@user-jh4hg2ev9s ..Hivi unajua nimesema nini _____?? Watu weupe ni hao Wazungu sio unajibia tu maoni ya watu bhana!!!!

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 18 днів тому

    Wazungu ndo wanafurahia mnavyovurugana ili watutawale

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen 25 днів тому +3

    Safiii sana Aibu yaliyotendeka huu unyama Tumechoka nao polisi wetu ni ma ccm tu wauwaji 🇹🇿🇹🇿✌️✌️✌️✊🏾✊🏾✊🏾🗣️📢Katiba mpya tuondoe haya ya kuteswa Na polisi🗣️📢

    • @aediayumgo8546
      @aediayumgo8546 25 днів тому +2

      Ukiingia madarakani utakuja Na police wako😂😂

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 25 днів тому

      ​@@aediayumgo8546hayo majitu yanayo furahia chadema yatakuja kuelewa kua chadema ni vibarak tu, tena binafsi ningeomba Kama inawezekana chadema kifutwe na wahusika wote washughulikiwe, ujumbe wangu kwa police wafanye kazi yao wasibabaishwe Wala kutishwa na hao wazungu yeyote atakae taka kuleta ujinga kipigo kimuhusi Kama wanataka kuwa watumwa na waende wakaishi euro

    • @JosephMbagala
      @JosephMbagala 25 днів тому

      We ni shoga eti

    • @aediayumgo8546
      @aediayumgo8546 25 днів тому

      @@JosephMbagala unamtukana babako 😭

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 25 днів тому +1

      @@JosephMbagala kijana kasome umalize masomo hasa historia ya Nchi yako Na Katiba ya Nchi yako 🫵🏾Na wale mnaofira watoto mitaani nyie ni mashoga wa kujificha Na ngoja tunakuja kuwasaka wafiraji wa watoto Na wewe Mmoja wapo je ni shoga wa kujificha weweee🫵🏾🫵🏾🫵🏾

  • @maase2023
    @maase2023 14 днів тому

    Hivi huyu sugu hawa mabalozi wa marekani anaongea nao lugha ipi sijui

  • @user-lq4cm4rq6z
    @user-lq4cm4rq6z 18 днів тому

    Kibaraka wao

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 24 дні тому

    Kiukweli Kuna polisi wengine ni mizinguwo

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 25 днів тому

    polisi kutumia nguvu kupita kiasi ni jambo lankawaid kwetu

  • @majondejohali5259
    @majondejohali5259 25 днів тому

    Hao mashoga wa Marekani na Ufaransa sio wakuwa chekea

  • @selemanimmeswa3556
    @selemanimmeswa3556 19 днів тому

    Hmmmmm;muwe makini sio vyema hao

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 25 днів тому

    🇺🇲🇺🇲🇺🇲💪💪

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 25 днів тому +2

    Hawa Marekani wameanza propaganda tayari, tokea Tanzania ipige marufuku utumiaji wa dola kwenye mzunguko wa biashara mengi yatakuja na mtayaona kwahiyo wanaona Hawa jamaa wakiingia madarakani watarudisha dola yao

    • @christianbihemo8211
      @christianbihemo8211 25 днів тому +1

      Kua na mtanzania mmoja mbovu wa kufikili ni hasara kubwa kwa jamii yetu

  • @erichakizimana6024
    @erichakizimana6024 25 днів тому +1

    Yooooo kumbe na Sugu nikibaraka kumbe Africa bado
    Kwa awa vibaraka
    Chadema ni vibaraka 2
    Welcome MAKONDA
    Niwahuku🇧🇮🇧🇮🇧🇮jamani
    ila naipenda tz sana sana
    MAKONDA ❤❤❤

    • @wadeelegbogun3015
      @wadeelegbogun3015 25 днів тому

      Nyie ndo vibalaka mlio uza nchi yetu #NONSENSE

    • @RobertMbeye
      @RobertMbeye 25 днів тому

      Kwa upande wapili ni mabeberu ila ndio wanao wakopesheni nchi yetu, so kama upinzani wakiwa nao wanakuwa ni vibaraka? Tunavyo wakopa na misaada tunapewa hapo vp

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 26 днів тому +4

    Vibalaka wa kubwa nyie

    • @Mrtwiga
      @Mrtwiga 26 днів тому

      Wamekubaka manaake kaka

    • @johnmichaellukindo21
      @johnmichaellukindo21 25 днів тому

      Mpumbavu wewe!

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 25 днів тому

      Co wewe kwa akili yako ulijua awana waku watetea uka frah kupigwa sugu sindio Sasa we boya na mpaka kielewekeee

    • @christianbihemo8211
      @christianbihemo8211 25 днів тому

      Hujui hata anaesaini makubaliano ya haya mataifa kua hapa kwetu ni Raisi wa nchi yako kwanini hawajafukuzwa

  • @bahatjuma7458
    @bahatjuma7458 25 днів тому +1

    Hawa chadema wanataka watuletee matatizo nchini

  • @user-sn9nm1wu9j
    @user-sn9nm1wu9j 25 днів тому

    hao mabalozi ni wezi macho si wazuri kwa African

  • @waluohopaulo2116
    @waluohopaulo2116 25 днів тому +1

    Wako wengi wengine wako ndani ya CCM wamejificha tu huko.

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 25 днів тому

    Apigwe tu

  • @user-ds7ho1my4u
    @user-ds7ho1my4u 18 днів тому

    Marekani na Ufaransa Mafia, Alafu Wahuni, Ufaransa ndiyo chanzo Cha Migogoro Mali, Kinawafadhili Magaidi wa Mali, Marekani anawafadhili Israel kuwauwa Palestine.

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 25 днів тому

    mmh 🙄🙄 hii atar kwa hawa mabaloz sjui naota nacho kiwaza

  • @FestoMassani
    @FestoMassani 23 дні тому

    Mabeberu wakubwa ni CCM wametonyonya na kutufilisi kila mahali

  • @twalibulomy-cd4zd
    @twalibulomy-cd4zd 25 днів тому

    Huyu nyundo kajeuri sana.

  • @user-es7jn7cp5d
    @user-es7jn7cp5d 25 днів тому +2

    Pole sugu❤❤

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 25 днів тому

    Kosa sio hawa jamaa wa chadema police wetu ndio wanawapaisha ili wasikike duniani kote

  • @user-md7sd3hk6l
    @user-md7sd3hk6l 18 днів тому

    waki wa tembelea viongozi wa chadema awa fai ila ccm powatu daa waki wa tembelea ccm juwa tuna pigwa madini

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 25 днів тому

    Humu imejaa mi CCM kama yote

  • @HashimSwale
    @HashimSwale 25 днів тому

    Huyo ni msaliti mkubwa, kwani ulimwengu woote wamejuwa Amerika na washirika wake ndio madui wakubwa wa Afrika

  • @JacksonDominicko
    @JacksonDominicko 25 днів тому

    Yan hawa wafaransa wachekeeni tu mtaona

  • @shashikanumi7673
    @shashikanumi7673 19 днів тому

    Vibaraka

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf 14 днів тому

    Kwanza marekani NI zaidi ya Tanzania Kwa kuvuja haki za raia wake na waufaransa ndio Askari wao wanaongoza nguvu

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 21 день тому

    Mafisiemu mafisiemu mafisiemu mafisiemu wooooooote mlaniwe maana hamna. Utu

  • @SalumJuma-iz2gj
    @SalumJuma-iz2gj 24 дні тому

    Kumbe mna urafik na wafirajii😮😮 apa nchi amuipat ccm oyee

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 25 днів тому

    YAN IN SHORT NINAMASWAL KIBAO WHY 😢😢😢😢 NIMEANZA KUCONECT DOT 😢😢😢😢

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 26 днів тому +3

    Na ungekufa kweli

  • @user-px3po9lt8g
    @user-px3po9lt8g 25 днів тому

    Hawa watu ni vibaraka mnawapiga sasa wanatuchafua

  • @hasanimkamba8377
    @hasanimkamba8377 25 днів тому +1

    mimi nilipongeze tu polisi kwakuzuiya mandamano yahiki chama walishaona viashilia vyauvunjifu wa amani maana ukitaka kujuwa mwenye mbwa ni nani we mpige tu utajuwa hawa chadema nivibaraka vyawazungu

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 25 днів тому

    Walimtembelea trump huko alipopigws risasi ya sikio?

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 25 днів тому

    Kunakitu hapo wametumwa hawa chadema. Naushoga utazidi Tz msipokua makini na hawawatu. Wa marekani naufalansa. Ila Mungu yupo atatulinda ni kuomba Dua tu. Inatosha kuwa fimbo la wanafiki

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 25 днів тому

    Najivunia kuongozwa na CCM chadema ina Vibaraka kutoka Ufaransa na marekan

  • @AnnaKabelwa
    @AnnaKabelwa 25 днів тому

    Popote pale heshima ilipo ndipo nami nami napenda niwepo,
    wangapi walinicheka shuleni nilipo feli pilika zangu mtaani zimenifikisha mbali 93 nipo borda naitafuta south Africa na kila ninapotaka nakwenda zangu America
    Suguuuuu

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 25 днів тому

    Kuna kitu nyuma ya pazia

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 25 днів тому

    CHADEMA MKIWA MAJUKWAAN MNAWAPONDA HAO WAZUNGU WAKIJA KUWEKEZA MNASEMA NCHI INAUZWA DUH AU NGOJA NKAE KIMYA😢😢😢

  • @joshemman520
    @joshemman520 25 днів тому

    Wa kuwaonea huruma tulitakiwa kuwa sisi na sio hawa vibaraka ufaransa na marekani na bila aibu na picha juu …. Hawa wamefukuzwa afrika magharb na sasa wanahamia mashariki … nlikuwa nasubr nione akili zao kumbe wameenda upinzani ….. na tunawaambia wazi kuwa nchi hmpat na njia pekee hapa mtaitisha maandamano na watanzania hatuna ujinga huo

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 20 днів тому

    Kuna jambo sio la kuchukulia poa,kupigwa sugu sio jambo la kiungwana,ni la kulaani kabisa ila kutembelewa na ufaransa na marekani inatoa sauti Flan hivi kwenye nchi yetu, anyways ngoja twende

  • @YusuphuMakange
    @YusuphuMakange 25 днів тому

    Tusipo kua makini watanzania nchi tutaiweka katika matatizo watu nivibaraka wa mtaifa jirani