EXCLUSIVE- Yadaiwa PAPA MUSOFE atimba SALASALA kudai eneo lenye makazi ya watu, TAHARUKI yatanda!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 200

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 Місяць тому +10

    Mwenyekiti wetu wa mtaa wa salasala uko vizuri sana tunakupenda kwa kazi zako kuacha hii ya musofe uko vizuli.

  • @bongo39
    @bongo39 Місяць тому +37

    Haya sasa picha linaanza kaibuka tena baada ya slaa kuondolewa huyu jamaa ni dhulma tapeli mkubwa watu wengi wamekuwa maskini na siku zote alikuwa wapi na zilikuwa kliniki za ardhi alikuwa wapi mama amefanya makosa makubwa kumuondoa slaa na bado mengi sana yatatokea na kurudia tena dhulma inarudi upya

    • @zainab8251
      @zainab8251 Місяць тому +4

      Kweli kabisaa mama anasapoty wa waendelee kuzulumiwa

    • @iantussa9064
      @iantussa9064 Місяць тому +2

      Kumuondoa slaa ardhi imevunja moyo watu wengi

    • @mamakayla6697
      @mamakayla6697 Місяць тому +1

      Mungu Baba mrejeshe tena waziri Slaa kwenye nafasi yake.Kwa jjna la YESU. Amen

    • @jamilaathumani5481
      @jamilaathumani5481 Місяць тому

      Mama kwann ulimtoa slaa jaman mbona mambo yanaanza tena?

    • @user-xg5wy8su1w
      @user-xg5wy8su1w 24 дні тому

      Hata Mh NDEJEMBI anaweza

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Місяць тому +6

    Mtani wangu Elias Shunashu uko vizuri sana, huyo Msofe mhuni na ni tapeli wa viwanja, mpambane naye.

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Місяць тому +10

    Kiongozi unanyoosha maelezo vizuri sana MUNGU AKUBARIKI kwa kuwatetea wananchi wako🙏❣️

  • @johnmhina2351
    @johnmhina2351 Місяць тому +16

    Huyo mzee lini ataacha utapeli atakuja kufa mdomo wazi kila siku papa msofe

    • @cleartzboy
      @cleartzboy 27 днів тому

      Yan kiukwel haya mambo enz z magufuli walitulia Hawa watu matapel lkn sasaiv wameanza Tena kutapel maeneo

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 Місяць тому +11

    Mama samia wasaidizi wako wanaokusaidia kuteuwa viongozi ni wezi na ndio hao ndugu zao wanawatumia kudhurumu watu sasa walivyopendekeza j siraha umtoe ardhi umetukosea sna

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 Місяць тому +10

    R.I.P MY BEST PRESIDENT MAGUFULI ANGEKUWEPO WOTE MNATIWA NDANI 😭😭

  • @ADVAMMIDA
    @ADVAMMIDA Місяць тому +6

    Huu ndo muda wa matajiri kuchukua ufalme wa RIP Magu tutakukbuka sana

  • @ezekielmwakyagi9330
    @ezekielmwakyagi9330 Місяць тому +6

    ALUDISHWE SLAA ALAKA SANA UTAPELI UMEANZA

  • @cornellmallya4455
    @cornellmallya4455 Місяць тому +7

    Aje mtaani kwangu tumgawane vipande vipande kwa faida ya wengine

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 Місяць тому +9

    Ila huyu Papa Msofe anatofauti na Mzee Mushi,tapeli mkubwa muda wote alikuwa wapi?,klinik ilifanyika Tanzania nzima yeye alikuwa wapi.Kaona Jerry kaondoka matapeli wameanza kurudi

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 Місяць тому +22

    Mama kawapiga watanzania na kitu Kizito kumtoa slaa 😂😂😂

    • @JohnCage-we6tp
      @JohnCage-we6tp Місяць тому +2

      Haipingiw hio usishangae kua aliambiwa mama afanye hivo maaan maybe alion silaa atafichua maovu ya watu wakubwa

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd Місяць тому +1

      Sana mno sana snaa

    • @frankngoloka5416
      @frankngoloka5416 Місяць тому

      Daaah kweli Slaa alikuwa Yuko vR

    • @ukweli255
      @ukweli255 19 днів тому

      ​@JohnCage-we6tp mlivyowapumbavu mnahisi Tatizo la Aridhi linaweza malizwa na mtu 1 kama sio Serikali ndio iamua kuweka mchakato bora wa kutunza Aridhi na sio njanja njaa tena kutumia Serikali za mitaa,hata huyo Slaa alishawambia kuwa Serikali hawahusiki na Aridhi na Sheria ya Aridhi haiwatambui
      Halafu Upinzani ulishashauri kuhusu MAMBO YA ARIDHI BASI TU CCM HUWA INABANA MAMBO MAZURI KUTOKA UPINZANI YASITANGAZWE.TUFUTENI INTERVIEW YA JOHN HECHE MTAELEWA SERIKALI ILISHAULIWA NINI KUHUSU ARIDHI

  • @PeterMshali
    @PeterMshali Місяць тому +5

    Oooohoooo, Janjaweed

  • @gilliansiara3324
    @gilliansiara3324 Місяць тому +6

    Silaa, silaa huko wapi?Nini kilijiri

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r Місяць тому +3

    Msofe na mambo ya nyumba anapenda kweli
    .

  • @GraceWilliam-d1w
    @GraceWilliam-d1w Місяць тому +3

    Jamaa tapeli toka kitambo sana wachina wamelia sana kipindi kile anawika papa msofe

  • @faridamkesso97
    @faridamkesso97 Місяць тому +3

    Unyonge kwa sisi wananchi umerejea 😢😢

  • @JohnLyakurwa-v8y
    @JohnLyakurwa-v8y Місяць тому +5

    Papaaa musofe na Alex massawe, most wanted, wananikumbusha harakati za kina billlionea erasto msuya,,,bob sambeke,,,augustine mrema,,,na kina mawalla,,, watu wa kaskazini noma na nusu

    • @HasanKisome
      @HasanKisome Місяць тому +1

      Hivi Huyu papa msofe Sio Alikuwa na Kesi Moja Yeye na Alex Masawe Aliyekimbia Nchi kwa Tuhuma Za Kuua Mfanya Biashara Mwenzao?

    • @jonathanmakupa7144
      @jonathanmakupa7144 16 днів тому

      Ushahidi unao...

  • @jerrixjax
    @jerrixjax Місяць тому

    Good job for spreading the news.

  • @HamzaMbasha-xs2ky
    @HamzaMbasha-xs2ky Місяць тому +5

    Tapeli huyo nani asiyemjua

  • @user-xg5wy8su1w
    @user-xg5wy8su1w 24 дні тому +1

    Nendeni mkasachi hiyo hati ardhi wilayani na wizarani

  • @shabanikitula645
    @shabanikitula645 29 днів тому +2

    Maisha yameshampiga anaendakusumbua wananchi Jerry silaa hatupo ardhi ndiyo maana ameenda kuvamia nyie mama kwa nini ulimtoa Jerry

  • @Obedon.
    @Obedon. Місяць тому +3

    HATARI

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n Місяць тому +3

    Daah huyu bingwa Magufuli alimpoteza kabisaa anapimaji, maji

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni Місяць тому +7

    Anakuja baada slaa kutolewa

  • @ngowibeatrice1701
    @ngowibeatrice1701 Місяць тому +1

    Huyu msofe amezurumu sana watu nyumba viwanja

  • @mbwanahasan2971
    @mbwanahasan2971 Місяць тому +3

    Tapeli karudi tena mzee magu alimficha segerea

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 Місяць тому +2

    Papa msofe siyo mkongo bali ni mpare wa same kilimanjaro

    • @apolleorevocatus8577
      @apolleorevocatus8577 13 днів тому

      Pia alishakua na kesi ya mauaji ya kudhulumiana hiv hivi na bwana Onesmo Kitundu kipindi cha JK

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 20 днів тому

    Shidaaa yaaaa mama samiaaa viongoziii wachapaaa kaziii anawabadirishaaa reoo zurumaaa yawaziii inahazaaa iviiiii aropokuaaa sirahaaa arikuaaa wapiii naiyooo miakaaa sabaaa arikuaaa wapiiii apaaa tanzaniaaa auu urayaaaa

  • @athanaskapongo7634
    @athanaskapongo7634 24 дні тому +1

    Nilijua tu baada ya Slaa mambo haya yataibuka

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c Місяць тому +3

    eneo lolote lenye utata jua kuna wajanja washaingia hapo😊;wamepiga na washasepa;kama ni kweli umeuziwa na kiwanja ni chako na hati ya kuuziwa unayo ndani hata ukae miaka 100,,pale ni pako tu..na kama sio kwake ni kwa nani; kumbe mchongo upo ardhi afu mnaongea nn;afu na ao wenyeviti na wajumbe jau sana ao kama una ela yako nenda mahakamani

    • @zedekiahjulius6
      @zedekiahjulius6 Місяць тому +1

      Iki upate title deed lazma document za serikali ya mtaa na kata lazma zikamilike

  • @AnatoriaRwabatwa
    @AnatoriaRwabatwa Місяць тому

    Hongera Mwenyekiti

  • @ChartyCharz
    @ChartyCharz Місяць тому +4

    Kipindi cha magu arikimbia uyo taperi kabisa uyo mama awe makini uyo taperi uyo

    • @Frosita
      @Frosita Місяць тому +1

      Alikuwaga jela kwa muda flani akaja kutolewa

  • @YunisJerald
    @YunisJerald Місяць тому +3

    Alikuwa wapi muda wote huo mpk watu wameshajenga

  • @navioma4882
    @navioma4882 Місяць тому +1

    Mwizi huyuuuu😢😢😢😢

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Місяць тому +2

    Serekali ya mtaa ilikatazwa kuuza Viwanja unachoonda Serekali ya mtaa ni kuhakikisha hiyo sehemu ni ya huyo muhusika.

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u Місяць тому +2

    WANANCHI WAKAZI WA ENENEO HILO LA SALASALA MUWE NGANGARI KWELI KWELI....IKIWEZEKANA MPIGENI MAPANGA MUMUUWE.

  • @athanaskapongo7634
    @athanaskapongo7634 24 дні тому

    Slaa Slaa tutakukumbuka kaka kwenye Wizara hii.

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 24 дні тому

    Papaa musofe ☝️

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk Місяць тому +3

    Wakazi washapigwaaaaaa hapooooo mtu ananunua kiwanja anatafuta hati anakaaaa ata miaka 20 alafu anayatimba kama uliuziwa imekula kwako wengine wananunua maeneo makubwa kwajiliiii ya kuuza baadae thamani ya ardhi ikipanda unakuta anamiliki kihalali hati miliki ya wizara ya ardhi

    • @TBCLINICKYELA
      @TBCLINICKYELA Місяць тому

      Haya mambo ni magumu sana, Dar es salaam uvamizi ni mkubwa sanaaaaaaa. Watu tunahitaji umakini katika ununuzi wa maeneo.

    • @usercabal
      @usercabal Місяць тому

      Sheria ya ardhi mpya kiwanja cha makazi mwisho sqm 2000

  • @HeriMagwaza-cd4wg
    @HeriMagwaza-cd4wg Місяць тому +1

    Huyu mzee ni tapeli Sana anadhurumu wanyonge wakati akifa anazikwa padogo 2

  • @desderymakoi6595
    @desderymakoi6595 Місяць тому +1

    Tunamtaka Slaa arudi mzigoni.Pili Mh.Mbunge Gwajima hataruhusu yatokee jimboni kwake

  • @BabuAli-zv8gn
    @BabuAli-zv8gn Місяць тому +3

    Mama tunakuomba umrudishe Silaha watu washaanza dhulma tena

  • @elizabethkikoti7265
    @elizabethkikoti7265 25 днів тому

    Kaka angu sonasho nakukubali sana

  • @AnatoriaRwabatwa
    @AnatoriaRwabatwa Місяць тому

    Pole

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 26 днів тому

    Jamaanii hii nchi ngumu sana hii kwasasa

  • @zablonnyanda6095
    @zablonnyanda6095 Місяць тому

    Mama si umrudishe silaa hii wizara jamani?? Hapa watu wataonewa sana na hii mi Papa.

  • @geofreymgeni2668
    @geofreymgeni2668 Місяць тому +2

    Nilijua tu mama anaongonzwa na kwa midomo ya watu
    Mtoe huyo anamtoa muweke huyo anaweka
    SLAA ALIKUWA AWZIRI ASIYE OGOPA KITU

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n Місяць тому

    Kashafanya sanaa na watu wa Ardhi..

  • @ibnkhaldoun9694
    @ibnkhaldoun9694 Місяць тому +3

    JE WIZARA YA ARDHI NI FUPA LILO MSHINDA FISI? NGOMA INOGILE”.

  • @BGHaule
    @BGHaule 14 днів тому

    Hili lijamaa linapenda sana kudhurumu ardhi,ndio madili yake,ukizubaa anakupora unajiona

  • @TBCLINICKYELA
    @TBCLINICKYELA Місяць тому +1

    Uvamuzi wa maeneo siyo mzuri kabisa.

  • @athanaskapongo7634
    @athanaskapongo7634 24 дні тому

    Turudishieni SLAA JAMANI DAAA😢😢

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 Місяць тому

    Huyo papa msofe siyo mkongo bali ni mpare wa same kilimanjaro

  • @kelvinmagesa6586
    @kelvinmagesa6586 29 днів тому

    Ivi sisi kama wananchi tunapaswa kufanya nyinyi pale viongozi wanashindwa kusimamia mambo yetu huku tukiwa tunahumia kisheria wataalam watusaidie ni hatua gani za ziada tunazopaswa kufanya maana hizi zimamoto mara silaa mara mjomba lakin jawabu la kudumu hatuna tufanye nini wataalam

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab Місяць тому +3

    Mi Nazani Serikali Ikitaka Kutenda Haki Mtu Akivamia Na Ikishibitisha Sio Lake Tapeli Basi Auliwe Kupunguza Kizazi Cha Ovo Tanzania Mana Izi Lawama Zimekua Kubwa Kwakua Watu Wanazani Pesa Iko Juu Ya Shelia Awajui Kama Walio Juu Ya Shelia Ni Mafisadi2 Ambao Wao Wako Kwenye Shelia Kama Picha2

    • @mustafakimalio9129
      @mustafakimalio9129 Місяць тому

      Shida kutopimwa ardhi ya nchi nzima,na kumilikishwa wakaazi ,

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 19 днів тому

    Tuna fuatilia kesi hii .
    Huyo jamaa ni tapeli na akipatikana na makosa ya utapeli lazima afungwe.

  • @liechmanyalla9599
    @liechmanyalla9599 24 дні тому

    Kipindi Jerry Silaa akiwa waziri yeye alikuwa wapi tapeli mkubwaa uyoo

  • @dorisgolden3472
    @dorisgolden3472 19 днів тому

    Huyo huyo heeeee hatari

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o Місяць тому +1

    Du baada ya kitambo sana kula bata pesa kuisha hatimae amerud kumalizia kilicho baki hakiba haioz

  • @simonchristian6319
    @simonchristian6319 27 днів тому

    Kwanza history ya papa msofe inasomekaje

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 26 днів тому

    Kwani baba alikuwa anawezaje jamaniii😢???Na hawa viongozi muwe mnawaficha sura zao kwa usalama wao jamanii

  • @ukweli255
    @ukweli255 19 днів тому

    Serikali za Mitaa na Aridhi wapi na wapiiiiiii ...Mjumbe sijui Balozi wa nini
    Aridhi zoooote zipo kwenye system sasa Nyie Serikali za Mitaa mnataka kuendelea kulaghai Wapiga kura kuwa mna mamlaka na Aridhi!

  • @user-eu5uy8vm6i
    @user-eu5uy8vm6i 29 днів тому +1

    Hawa jamaa wa upimaji ,Huwa wanaweka point zao usiku .baada ya miaka kadhaa alafu utokea na document .watu mnashangaa ,huyo angeibuka 2034 wote tungesgaa vipimo vinasoma vzur

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 20 днів тому

    Iv mlishawahi kujiuliza Kwa nn mtu akifanya kazi kwenye sekta yake vizur serikalini ghafla anaondolewa

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 24 дні тому

    Mama Samia mrudishe Jelly Slaa wetu Matapel walikuwa wamekimbia sasa wamerud

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 18 днів тому

    😅😅😅nilikua nashangaa Kweli hela walizokua wanatumia stagen Kumbe sio halali bn

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 Місяць тому

    Alikuwa wapi mda wote.??

  • @Halidmohamed-n1d
    @Halidmohamed-n1d 24 дні тому

    Wizara ya aridhi ndio wanatengeneza migogo hii mama samia upo wp

  • @mgololarwebangira6905
    @mgololarwebangira6905 Місяць тому

    Mwiziiiii mkubwaaa😂😂😂

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 Місяць тому +2

    Huyyu ni shuda mno alikuwa ndani muda ule wa magu mwenzake alikimbia nchi alex massawe mijiz mikubwa

  • @desmond-87
    @desmond-87 Місяць тому +1

    Matapeli wanarudi kama Slaa tunaomba arudi Ardhi.

  • @AdrusHassan-c5m
    @AdrusHassan-c5m 28 днів тому

    Yeye alikuwa wapi wakati wote huo hadi watu wanajenga na wanaishi kwa muda wote huo? Huyo alikuwa hana matumizi na hilo eneo

  • @hajiramadhanihaji355
    @hajiramadhanihaji355 Місяць тому +2

    Msofe ni mshenzi tapeli tu huyo.

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 Місяць тому +1

    Bang sio nzur

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 Місяць тому +1

    Mjumbe wa mtaani kwetu😂😂

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Місяць тому

    Kiukwer tunamuihitaji slaa wetu jamani mama samia sluu kiukwer tunakuomba umrudishe slaa mama tunakuomba...ili awanyooshe tena awa madhilifu wa ardhi ...kiukwel mama tunakupmba

  • @fatumahassanduale4701
    @fatumahassanduale4701 23 дні тому

    Huyu alikuwa yuko jela,kwa hiyo ni kweli yake kutokufika miaka 7.

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 25 днів тому

    Maeneo ya kinondo ndo uvamizi unafanyika.

  • @YusuphMwangobola
    @YusuphMwangobola Місяць тому

    Watanzia tujifunze kuhoji watu wanaokuja mitaani kwetu hata kama wapo na gari za serikali mtu anaweza kuja mtaani na kupima kupima na sisi Yuko kimiya tukiamini ni Mambo ya serikali kumbe eneo lenu ndio linapimwa hivo

  • @josephwilliammnyune5464
    @josephwilliammnyune5464 24 дні тому

    Huyo anataka kuanzisha vurugu tu. Kama alikuwa kweli anamiliki eneo hilo, alikuwa wapi miaka yote hiyo watu wanajenga na alikaa kimya.
    Hata kama kweli ni lake, Serikali imtafutie eneo lingine. Maana amefanya makusudi kukaa kimya ili awatie hasara wananchi na kuwafanya wananchi waichukie serikali.

  • @MohamediOmari-nz4vv
    @MohamediOmari-nz4vv 19 днів тому

    Papaa msofe ni tapeli mkubwa

  • @LaureenGodwin
    @LaureenGodwin Місяць тому

    Zote Hati za wizi ,Msofe Kibaka mzoefu,Jerry Jerry

  • @mwitawakimara3649
    @mwitawakimara3649 Місяць тому

    Iyo mnatakiwa muende ardhi inaweza ikawa siyo sahiii

  • @kitovasaidi6753
    @kitovasaidi6753 18 днів тому

    Huyo mheshimiwa papa bado anaililia jela kwa nguvu😂

  • @apolleorevocatus8577
    @apolleorevocatus8577 13 днів тому

    Ni huyu huyu Papaa Msofe kipindi cha JK alikua na kesi ya mauaji ya ndugu mmoja anaitwa Onesmo Kitundu ambaye alikua na ugomvi naye wa kutaka kumdhulumu nyumba maeneo ya Mikocheni huyo Onesmo alichukua pesa ya mkopo wa riba umiza kwa huyo Papaa Msofe matokeo yake siku 1 kabla ya kesi Onesmo akakutwa ameuawa kwa kunyongwa

  • @jerrixjax
    @jerrixjax Місяць тому

    Naona ume edit kipande muhimu, alitaka kusema tunavyomjua papa msofe ni ................., sns mbona ume edit hapo?

  • @user-md7sd3hk6l
    @user-md7sd3hk6l 23 дні тому

    tuta iyacha

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 28 днів тому

    Mwenyekiti usicheze na mapapa musofe

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Місяць тому +3

    Inawezekana ikawa ni eneo lake uhalali ndio utathibitisha na hizo nyumba hazionekani zina miaka alosema huyo Mtu wa kwanza kwa macho tu

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 25 днів тому

    Utashangaa,huku Bunju A Mkoani watu wasiojulikana ni wapi wanatokea wameweza kuvamia maeneo ya watu ovyo ovyo tu,utashangaa eneo la mtu lenyebfance wamebomos tofali kuzitumia kujengea vipanda hivyo,kulikovamiwa kuna jambo sio zuri linaendelea ofisi za serikali za mitaa hawachukui hatua yoyote.

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r Місяць тому +1

    Kwani ajaacha😂😂😂😂

  • @user-xg5wy8su1w
    @user-xg5wy8su1w 24 дні тому

    Kabisa huyu tapeli msofe kila mtu anajua. Rc chalamila hatomuacha

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Місяць тому

    Mama kwanin umemtoa slaa??? Tunakuomba mama mrudishe slaa ..aludie uwazir wa ardhi...ingekuwa kumchagua tungemchangua ila hatuna jinsi...ila slaa tunakuhitaji kwel kwenye mambo ya ardhi mama

  • @husseinmkanga7794
    @husseinmkanga7794 Місяць тому +1

    Papa msofe ni tapeli anajulikana vituo vingi vya polisi anajulikana anashikiana na watu ardhi. Ametapeli watu wengi kwenye madini. Alikuwa jela wakati wa Magufuri ametolewa wakati wa Samia.

  • @user-nf1tg3kt3y
    @user-nf1tg3kt3y Місяць тому

    Papa Msofe mbona tapeli mkubwa anajulikana

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 Місяць тому

    Huyu tapeli bado tu anaendelea na utapeli?

  • @PeterBachubila
    @PeterBachubila 28 днів тому

    Kuna Papa Msoffe fulani mwaka 2012 alikuwa mahabusu Keko kwa tuhuma za mauaji ya mdeni wake. Jiridhishe na identity ya huyu.

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 29 днів тому

    Unaweza kuona hati kumbe ni hati bandia pelekeni hiyo hati wizarani muone kama mtakuta nyingine na michoro ya mipango miji. Hiyo ni hati ya kughushi

  • @MurunguwetoshaDeheaven
    @MurunguwetoshaDeheaven Місяць тому +1

    MTU ana Hati maana yake,hao wengine hawakufuata utaratibu,,,,,

    • @josephwilliammnyune5464
      @josephwilliammnyune5464 24 дні тому

      Sawa, hao watu hawakufuata taratibu. Kwa nini kwa miaka yote hiyo, wakiwa wanajenga, hakuenda kulalamika popote?