Amina pr Mungu akubariki sana na hazidi kukupatia mafunuo mengi maana bado kazi ni kubwa sana lkn yupo pamoja nawe barikiwa sana pamoja na familia yako na MUNGU atukuzwe kwa ujumbe aliyo kupatia
Pastor,nisaidie pia muda na wakati kila kanisa lilistawi na kutoweka kwa maana ya kwamba kila kanisa lilitokea kipindi gani na leo tuko katika ujumbe wa Malaika wa kanisa gani
Amen
My heart is moved bybthe sermon...... Amen
Amen pr.
Amina pr Mungu akubariki sana na hazidi kukupatia mafunuo mengi maana bado kazi ni kubwa sana lkn yupo pamoja nawe barikiwa sana pamoja na familia yako na MUNGU atukuzwe kwa ujumbe aliyo kupatia
Hongera Kwa ujumbe mzito.
Na ikipendeza unisaidie ni nchi gani makanisa hayo yanapatikana au yalipatikana
Naomba unisaidie ufafanuzi kwa Yale makanisa saba yaliyo tumiwa Malaika saba,, ambayo ni kitabu cha ufunuo sura ya 2 - 3
Pastor,nisaidie pia muda na wakati kila kanisa lilistawi na kutoweka kwa maana ya kwamba kila kanisa lilitokea kipindi gani na leo tuko katika ujumbe wa Malaika wa kanisa gani
Natambua na nafahamu ya kwamba unamajukumu mengi lakini chondechonde namba unisaidie ikiwezekan kabla ya tarehe 29