Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

⚒️RADDI,KUBAINISHA TUHMA ZA UONGO ZA URASSA, SHEIKH ABUU ZAGHAR حفظه الله تعالى

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 лип 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @HassanHamad-rf9tq
    @HassanHamad-rf9tq Місяць тому +2

    Shekh abuu zaghar Allah akuhifadh piga raddi kwa hao mahadadiya waliomdhulumu shekh wetu shekh abuu muawiya rahimahullah pamoja na shekh muhamed imamu hafidwahullah

    • @mengihashimu1081
      @mengihashimu1081 Місяць тому

      Akhy mche Allah, mahadadiyah Una wajua? Km unawajua watolee tarjama Yao na sifa zao kama walivyo elezwa na wana wachuoni

    • @abdurashidinasorodini
      @abdurashidinasorodini 23 дні тому

      anhaa kumbe kimekuumà Eee mnavo waita wenzenu mahzibi wao wanapenda lakini nyinyi hampendi mnamatatizo sana nyie

    • @AllyJuma-hy7wj
      @AllyJuma-hy7wj 13 днів тому

      ​@@abdurashidinasorodiniAllah Akuongoze !!.

  • @HassanMrisho-j2i
    @HassanMrisho-j2i Місяць тому

    Allah akulipe shekh Abuu zagar usirudinyuma kutufahamisha haki

    • @ayubahmed9490
      @ayubahmed9490 Місяць тому

      Abu Zaghar tumeelewa vizuri endelea kuwanyoosha

  • @NassorHassan-no1cr
    @NassorHassan-no1cr 17 днів тому

    Kwan hakuna wanavyuoni walie umpa udhuru?? Mbona kassim ameuza kiwanja cha wakfu? Kimya kwa sasababu yey munamfanya mungu

  • @NuryaMusa
    @NuryaMusa Місяць тому

    Naaam moto unawawakia akina. Uraska

  • @as-salafy354
    @as-salafy354 Місяць тому

    Hapo m ndio nimekuona mjinga kwenye kumtetea muhammad imamu

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  Місяць тому

      Ww ndio mjinga usiojijua kwn sio yy sheikh abuu Zaghar aliyemtetea Bali WANAWACHUONI wingi saaana na sio WANAWACHUONI tuu Bali WANAWACHUONI wakubwaa sawa ukimuacha sheikh rabii na sheikh Abdullah jabir waliobakiwa wote wamempa udhuru hebu agalia mitandaoni zimejaa na wanawachuoni wa yaman wote wamempa udhuruu nyy ni nani mukatae na kwa Elimu Gani na kwa nafasi gn mulionayo ktk dawa'a hii mpk mutoe kauli, acheni nyy munajidhalilisha wenye wenu na munajidhihirisha usawaafiq wenuu

    • @AbuuSaad-ut4fd
      @AbuuSaad-ut4fd Місяць тому

      We kija hujui kinachojiri unapangiwa hadi akili yako. Fatilia tangu mwanzo hadi leo huyo Urasa kwa maneno yake tuu (kama ni muelewa )utajua ni mwepesi hajui anachokiongelea kiundani kabisaaa kwa kua mshamfanya ni shekhe hataki ajiangushee. Kama Abuu Umeir alivyoo ila kiuhakika hawawezi labda ndo udhuru wao kama wasemavo wamekosa mafuta wanatumia mate (hatakama ya mwenye TB?)

    • @AllyJuma-hy7wj
      @AllyJuma-hy7wj 13 днів тому

      ​@@Ibnsalim3Achana na taasub, achana na utata ww.

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev Місяць тому

    Dawa ya kihizbi niyakijinga na batwir ndio maana humuhumu kwenye comet watu wabarahiyan wamo 😂 nyei mahizb mnadai mpo kinyme na baarhiya mmo humu mmeungana sasa dawa ya haq sarafi ya ukwel haina kubebana kyk batwir cha ajabu nyie walinganizi wa kihizbi mnjua mpo kimya sasa nyie ni mahizb tu 😂

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq Місяць тому

      Hizbu ni wewee mzee na kikundi chako hicho

    • @AbuuSaad-ut4fd
      @AbuuSaad-ut4fd Місяць тому

      Hujui ata nini ukisemacho sababu hujui kinachoelezwa na kiwango cha msemaji tuu unajuilisha kipi kiwango chako cha ufahamu. Kusikia audio mbili tatu isikupe ujasiri kua ushajua hadi vitabu

    • @AbuuSaad-ut4fd
      @AbuuSaad-ut4fd Місяць тому

      ​@@HassanHamad-rf9tq nawe pia mbarambili maana hata hata ukisemacho hukijui sikiliza ruddudi jibu moja hadi moja hatupo sokoni hapa ukarusha maneno au kama huwezi nyamaza ukawaeleze watakao weza jibu

  • @as-salafy354
    @as-salafy354 Місяць тому

    Tena hata masalafy wanaojitambua hawawezi kukujibu we unabandika sufuria ya pure kwenye majivu unategemea lichemke ati unafanya difai kwa muhamad imamu loooh umechelewa tafuta njia nyingine ya kutafitia umaarufi

    • @ayubahmed9490
      @ayubahmed9490 Місяць тому

      ww unaejibu nikatika salafy wanaojitambua au wasiojitambua? maana umemjibu Abu zaghar

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  Місяць тому

      Ww unawazaa umaarufu tuu, unadhani umaarufu huja tuu Allah ndio humpa umaarufu amtakae, nyy mukiongea vibaya kuhusu mwanachuoni huyu ambaye apewa udhuru na WANAWACHUONI wakubwa km sheikh fauzan na n.k na bila shaka yy anastaki udhuru nyy hmtki km kwmb nyy na huyo sheikh wenu na hao masheikh wenu wa kiswaafiqa ni wanawachuoni wa kutegemewa ktk dawa'a hii, heee ukweli utabaki kuwa ni ukweli nyy pigeni kelele na mwiteni sheikh Muhammad Al imamu majina yote lkn haimdhuru mwenye nyumba kelele za mlango na maji ya moto hayaunguzi paaa

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 23 дні тому

      Wewee ni hizbu salaf kijana wa kihadadiya

  • @as-salafy354
    @as-salafy354 Місяць тому

    Sasa mtu alie tahadharishwa na maaulama ww ni nani au unani ambacho unawez kumtakasa nacho muhammad imam

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  Місяць тому

      Rekebisha kauli Yako, sema hivi sheikh Muhammad Al imamu ametaharishwaa na sheikh rabii na sheikh Abdullah Al bukhari tuu, achne talbisi zenu etii maulamaa !!!, Hebu tutajini maulamaa watano tuu waliomtahadharishaa ?? Acheni kuwadanganya masalafy waambieni ukwelii

    • @musarashid-xw1qm
      @musarashid-xw1qm Місяць тому

      ​@@Ibnsalim3p