Hakuna mimba wala nini kila mwaka mimba na haizaliwi mashabiki hamjajua tu kama huwa ni uongoo kila siku anakasirishwa na kutoa mimi yaan mimi kuamin kwangu hadi ajifungue
Acheni utoto Mimba miezi 5 haitoki kirahisi mpaka azalishwe kwa sababu miezi 5 inakua kashakua mtoto huyo hata itokee imeharibika bas anazaa na mtoto anazikwa kikawaida jiongezrni
Acheni basi kusingizia hawa watu wema hawezi toa mimba hata kama akiachwa kwa aliyoyapitia nakataa jamani navyokupmbea shabiki yako wema kweli unaweza ua
Asante mungu 🙏🙏🙏🙏
Yan. Mtu anatafuta mimb hapat alaf leo haitoe iyo siyo kweliii
Wema hawezi kutoa mimba
Hajaibeba iyo mimbA uongo
Hakuna mimba wala nini kila mwaka mimba na haizaliwi mashabiki hamjajua tu kama huwa ni uongoo kila siku anakasirishwa na kutoa mimi yaan mimi kuamin kwangu hadi ajifungue
Hahaha😂😂
Tupo pamoja😅
Ninuongo mimba haitoki kirahisi hivyo io mimba ilikua haipo toka mwanzo
Acheni utoto Mimba miezi 5 haitoki kirahisi mpaka azalishwe kwa sababu miezi 5 inakua kashakua mtoto huyo hata itokee imeharibika bas anazaa na mtoto anazikwa kikawaida jiongezrni
Acheni basi kusingizia hawa watu wema hawezi toa mimba hata kama akiachwa kwa aliyoyapitia nakataa jamani navyokupmbea shabiki yako wema kweli unaweza ua
Namimi si amini kua anaweza kutoa mimba
umeambiwa hajatoa bali imetoka kwasbb ya hasira