WOOW ASANTE KAKA YETU KUTULETEA UJUMBE MPYA TENA KUTOKA MBINGUNI, NAPATA UJUMBE HUKU NACHEZA, WEE HADI RAHA, BABA ANIACHE , MAMA ANIACHE, NINAE YESU MCHUNGAJI WA MOYO 🙏🏻🙏🏻💪💪💪
Ninaye yesu ametoa matopeni I remember being denied on a closing assembly by my biological father coz of fees errand to please my step siblings , but God ni mwema siku zote nina shahada ya sayansi ya tarakilishi
Kaka yangu Christopher hakika nyimbo zako uwa zinagusa moyo wangu mungu akutumie kwa viwango vya kipekee zaidi na zaidi naamini naendelea kujifunza kutoka kwako natamani unielekeze maana nami ni mwimbaji ninayechipukia nisaidie katika hili ndg yangu
Kenya twakupenda nipewe like huku
Kama kuna nyimbo hua zinanibariki niza huyu mtumishi wa mungu,
haimidiwe wetu mungu
mungu asifiwe sana na azidi kumupa mafutamwimbaji wake sababu nyimbo zake zinatufariji sana
@@muhamedkahozi3402 ,l
WOOW ASANTE KAKA YETU KUTULETEA UJUMBE MPYA TENA KUTOKA MBINGUNI,
NAPATA UJUMBE HUKU NACHEZA, WEE HADI RAHA,
BABA ANIACHE ,
MAMA ANIACHE,
NINAE YESU MCHUNGAJI WA MOYO 🙏🏻🙏🏻💪💪💪
Kweli Yesu ni Mchungaji wa Moyo.
Amen
WIMBO MZURI SANA MT HASA KWA NYAKATI HIZI ZA MWISHO WA DUNIA YESU ANARUDI UPESI KANISA NI WAKATI WA JIONI SANA
Kutoka Kenya mji wa kitale,ninaye Yesu mchungaji wa moyo,barikiwa sana Tanzania mumebarikiwa.
Nyimbo mzuri sana Brood Mwenyezi Mungu akubariki,sija chelewa sana jamani like 1000 Zina nitosha mm
Ubarikiwe kakangu
Tujuwana wanao itazama mara tano hii nyimbo
Kiukweli wimbo huu ni waajabu unaelaza jinsi Mungu wetu anavyo tupenda. Wote watakuacha ila Yesu hawezi kukuacha
Ninaye YESU mchungaji wa moyooo hata baba aniache mama aniache 🔥🔥🔥🔥 I love this song from GEITA
Baliki😂
Nice song God bless you Mtumish wa MUNGU, Mungu azidi kukuinua zaidi
Wa moyo wa moyo anajuwa kupenda anajuwa kijar niwatofauti na wanadamu YESU ni mchungaji wa moyo
Kama kuna waimbaji wa nyimbo za injili zinazo nitia moyo ni za huyu mtumishi sijutii kukutana nae barikiwa mtumishi Wa Jehovah's
Ni Barakaaa juu ya Barakaaa hahaha hakika yeye kanipa Meno kanipa na vyakutafunaaAA AAAAIIIIIIII
Hakika hakuna kama yeye. Yesu akuongezeye upako uzidi ku hubiri ku pitiya wimbo
Yesu Ni mucungaji wa moyo kwa sababu anani penda.That is Jonathan in Rwanda
Ninaye yesu ametoa matopeni I remember being denied on a closing assembly by my biological father coz of fees errand to please my step siblings , but God ni mwema siku zote nina shahada ya sayansi ya tarakilishi
Mm ninaye Yesu mchungaji wa moyo 🙏🙏🙏🙋
Wachawi amuna nguvu Kwangu Ni naye yesu ndani yangu 🔥🔥🔥 moyoni Wangu Kwa Maisha 💪🧎🏼♀️🙏🌟🌟
Yesu mchungaji wa moyo wangu ninapopitia majaribu yeye huniongoza God bless you baba
Hongera sanaaaa baba Askofu Muhangila,..hakika wimbo huu umejaa mafuta yanayovunja nira za shetani.
Amen kamanda ubarikiwe sana
Asante sana Baba askofu
Am Bonane emmanuel in kigali kimihurura napenda uyu mutumishi wa mungu amenituliza na nyimbo zake mugu azindi kukupatia guvu,
Bwana ni mchungaji wangu sita pungukiya na kitu. Ana ni lalisha majani mabichi. Yesu wangu nakupenda❣️
Congratulations my brother since DRC-LUBUMBASHI
Kabisa mtumishi wangu waniache wote kwangu sawa tu yupo Yesu kristio yupo Baba yangu asaiye shindwa Jambo
Kaka yangu Christopher hakika nyimbo zako uwa zinagusa moyo wangu mungu akutumie kwa viwango vya kipekee zaidi na zaidi naamini naendelea kujifunza kutoka kwako natamani unielekeze maana nami ni mwimbaji ninayechipukia nisaidie katika hili ndg yangu
Niatali sana kwakweli hii nimeelewa ninae Mchungaji
For sure Jesus is only shepherd in my heart
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mchungaji wa moyo ni Yesu pekeake hata watu waniache
Ni Jonathan kutoka Rwanda.
Huyu wimbo Ni nzuli kabisa
Chris ubalikiwe Sana na mwenyezimungu.
Kweli Yesu ni mchungaji wa moyo. Barikiwa mtumishi.
Mungu akubari namimi bwana aliniacya just yesu namupenda sana
Nyimbo nzuri sana nimeifata muji wa RDC
Great man of God continue prasing God until your last breath
Yesu hatuachi kamwe. Yuko nasi siku zote. Powerful song 🔥🔥🔥🙌
Yeye amenipa meno amenipa na vya kutafuna, mchungaji wa moyo wangu 🙏🙏🙏
Mimi napenda huu muziki ya Mungu nairudia Kila mara na Kila siku zidi mutumishi wa MUNGU
Go Go Kalumbu, the Sky the Limit. Ndagha
Yeye anajua kupenda anajua kujali mchungaji wa moyo 🌹🌹🌹
Nyimbo zake Zina baliki sana Zina tufundisha
Kweli hatuna kitu kingine tunacho jivunia kama yesu akiwa ndani yetu
Mwenyezi Mungu aendeleye kuku hudumiya kiroho mtumishi wa baba wetu Mungu 🙏
Acha nikupe saruti umeubariki Sana moyo wangu tuombee na sisi tunaochipukia karibu tena mpwapwa
Nyimbo iliyoiponya moyo wangu, hongera mtumishi wa Mungu
Good music christopher..umebarikiwa kweli...hongera sana
Hatari sana hakika ni mchungaji wa moyo ni Yesu pekee
Ninae Yesu mchungaji wa moyo Ahsante brother 👏👏 Nabarikiwa sana Mungu akupe afya njema na kuzidi kukuneemesha 🎉🎉🙏
Amen nimebarikiwa . Yesu mchungaji wa moyo
Amen 🙏🙏🙏 Yesu Kristo ni mchungaji wa moyo wangu haijalishi majaribu ninayopitia siogopi.Umenibariki sana mtumishi wa Mungu.Mungu akuinue zaidi
Unatubariki sana brother mwahangila,,, uinuliwe sana ili ufikie wengi
Yesu mchungaji wa moyo hata kama watu wote waniache
Yesu ndio yote yeye ndani ya yote yote ndani yake 🙌🏿
Hongera Saana Nyimbo Nimeipenda Hujawahi niangusha
Yaan huu wimbo nakesha nashinda nao yesu huyu jaman ni mtamu
Big up my brother hakika Mchungaji was Mungu
Sikutaraji kama utaimba sebene dat 🔥🔥🔥🔥🔥my brother
Ubarikiwe,Yesu kanipa meno na vyakutafuna kanipa pia.Amina.
Mungu ninaomba uaminifu wako usimame na huyu mtumishi kwa ajili ya utukufu wa jina lako .
Chunya tunakupenda
hakika, yesu ni mchungaji wa moyo, anatutosheleza katika yote, sana sana ananishangaza kwa namna anavyopenda🎺🎺🎺🎺, blessed ma bro.
Ninaye Yesu mchungaji wa moyo
Amen.. kweli yesu ndiye mchungaji wa moyo
Wow ninaye mchungaji wa moyo nyce one
Indeed Jesus is the the shepherd of our hearts. May God continue using you for his glory.
Amina mtumishi wa mungu nabarikiwa nikiwa mbeya uyole
wow wow! this is amazing and I love it ☺️
Barikiwa mtumishi nyimbo nzuri sana ii
Nimebarikiwa asubuhi ya Leo na huu wimbo 🙏 Kwa hakika unahubiri injili ya kweli Mungu azidi kukuinua🙏
Amina ninayesu nimujungaji❤❤❤❤❤
Amen Mungu ukubariki kaka.....kwa kutoa nyimbo za kuinua mioyo
Safi sana kaka
Powerful message.may God bless you more 🙏
Aisee wasafwa kumbe tupo vizuri sana hakika kaka hongera sana wimbo umejaa mafuta hakuna awezaye kuchunga moyo zaid ya Yesu,
Amen utukufu kwa Mungu
@@christophermwahangilaofficialhey
Balikiwa Sanaa aiseeeeee unaweza mungu aendelee kukutumia zaidi ya yeye apendavyo
Ubarikiwe mtumishi kwa nyimbo nzuri
Video nzuri sana big up to ED MEDIA
Nakupenda sana from Rwanda❤
Mchungaji wa Moyo ni Yesu pekee na si mwingine
Nzuri Sana my mentor Mungu akubariki saaana
Umejua kunisemea kaka
Kazi nzuri sana ndugu barikiwa sana
Ameen barikiwa Mtu wa Mungu umenibariki kazi nzduri
Nipe likes zangu wapendwa. Kazi nzuri kutoka kwa Mtumishi mwahangila 🔥🔥🔥🔥
Amen kubwaaaa 🗣️🗣️🗣️🗣️
Safi sana baba kazi nzuri sana
Mchungaji wa moyo ananilinda, Nice
Nitabaki kukubali ror moder wangu
Yawe mungu wangu weeeee uyu papa mungu akubariki Sana papa
Bado nimerudi kubarikiwa na huu wimbo
Ni kwelii ananilindaaaa❤
Amen Amen 🙏 barikiwa sana God bless u
Ameen ujasiri wetu na furaha yetu kubwa tuliyonayo ni kwa sababu ya mchungaji wetu wa moyo ni Mkuu kuliko vyoote Duniani koote
Yesu anajua kupenda na anajua kujali ni mchungaji wa moyo hata ninapolala hata nikiwa mbali na watu wangu
Hujawahi niangusha bro more 🔥🔥 song
Napenda hii Ngoma Kali inabariki sana
Yesu ndo, kila kitu.
Kazi nzurinsana my brother
Wimbo huu umenibariki Sana, ubarikiwe sana,
Wow 🔥🔥🔥🔥🔥this is amazing much ❤️ from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Gloire à Dieu soit béni abondamment l'homme de Dieu tes chansons sont🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ninaye yesu Muchungaji wa moyo ❤❤
Wonderful song. Jesus is the Guardian of my soul.
Amina kubwa mtumishi wa MUNGU
Tunaingojea sana 💥👏
Kutoka congo apa namkubali sana
🙏🙏🙏🙏hii imeniguza huu wimbo sana