Wow!!! The great hoyana tunakungoja sana kenya 🇰🇪 karibu kenya (I honer your ministry be blessed 🙌 yohana)kelvin mulei songs like ngai wa ituni (mungu wa mbinguni) kutoka kenya 🇰🇪 nipeni likes please
Mungu aendelee kukuinua young boy,nyimbo zako zinanitia moyo Sana mm hubarikiwa sana may the Almighty God be with you and your family,barikiwa saaaaana karibu Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 uchaguzi tumemaliza na nchi imetulia
Huu mwaka hautaisha kwa jina la Yesu zidi kutuombea sana...na zaidi wenye wanasema single 4rever there is nothing like single Mungu aliumba mtu na akaweka clear that mtu anavaa kuwa na mweza Amen 🙏
Wimbo mzuri Sana umenibariki Na naamini ya kwambia Mungu ataniletea mbavu yangu God bless you our son Yohana Antony wakenya twakupenda and don't forget our promise🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪we love you🙏🙏🙏
Waaah I don't know y why I'm crying 😭💔💔 is talking about me,,,,is so touching....I will continue praying one day I will meet my soulmate send from God🙏🙏be blessed son
Jaman kijana siwezi kujua unataka mungu akufanyie vitu gan ila naomba ajibu kilaombi lako maana sita kata tamaa kuwaelimisha vijana kuhusu nyakati zamwisho nawimbo umebeba ujumbe wote vijana wanaharibika sitaachakupaza sauti kwa Mungu wa watakatifu ajibu kupitia wimbo huu nakupenda sana mmwaah 😘😘😘😘😘😘😘😘😘🙏🙌🙌🙏🙏🙌🙌🙏🙏🙌
Much loved ❤️❤️❤️👈 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya .. blessed Mtumishi Yohana right now am in emotions,,, I don know what to say ,,, really hv e partner marriage from Ur home Tz Ed am confused wht to do 🙏🙏🙏 hk ur song hv strength me for now I will think twice na Mungu atutangulie🙏
Wow!!! The great hoyana tunakungoja sana kenya 🇰🇪 karibu kenya (I honer your ministry be blessed 🙌 yohana)kelvin mulei songs like ngai wa ituni (mungu wa mbinguni) kutoka kenya 🇰🇪 nipeni likes please
Tunabarikiwa sana tukiwa Kenya.. karibu Kenya broo
A nice song
I like this message, May God bless you
Bondye beniw kijan ouye
aki si muniombea Penye nafanya kazi kwa hawa watu wangu ni makelele kila saa sieliwi ni nini mbaya ni Mimi Agnes Juma ukiulisa kitu ni Kelele
Kenya tunakupenda Sana Kaka mdogo,ni Messi kadenge 254.mziki umejaa baraka na masomo hongela kaka.🙏🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟
Mungu akuinue Zaid ya hapo
SISI KAMA MADORA TV NA MADORA PRODUCTION TUNAKUSHUKURU YOHANA ANTONY KWA KUFANYA KAZI NA SISI KARIBU TENA
Ubarikiwe sana mdogo wangu yohana
Barikiwa mdogo Karibu Garissa town in Kenya
Mtoto yohana jmn nitaolewa huu mwaka kwa wimbo wako huuuu kwani ni moja ya maombi yangu kabla ya kupokea mwaka mpya Mungu asikie ubarikiwe sana yohana
Aminaa jaman yohana uje namwanza tunakudai huku
Haki huyu mtoto nyimbo zake ni tamu Sana na za kubaridi mno, be blessed forever ❤️🇰🇪🇰🇪
Mungu akupe ujasi mwingi siku moja tujeonan mtoto yohana antony🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤❤ napenda wimbo hili
Nice song indeed wacha Mungu atufungulie njia n kututangulia aweze kutupa mwanaume mzuri ....my prayers to the Almighty God 🙏 ❤
🙏
Bwana apewesif by Nassan
Apenda huduma yakuimba sasa jinsi ya kuingia sijui naomba msada
Don't forget you promised to come Kenya after elections to perform so we are eagerly waiting for you ..barikiwa sana much loves from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amekuja leo kasarani
Ubarikiwe Sana Kwa wimbo cmart imenifuza mambo mengi
eagerly waiting too
@@okechalex2382 thanks
Waaaah may God bless you Yohana ,nikiangalia songs zako zanibariki sana , your the best.Nakuombea miaka mingi braza 🙏🙏🙏🙏
Yohana nakuombea siku moja ufike makueni Kenya utangaze neno ya mungu kwa jina la yesu
Aki nakupenda tu ❤ Antony one ukam kenya
Mungu azidi kukubariki yohana watching from saudia 🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Waau yohana God bless you usisahau ahadi yako ya kuja Kenya 🇰🇪
Hiyo yote Ni mimi aki nikama mungu amekutuma kwangu🙏🙏🙏🙏
Mmmh huyo dogo duuh kanisema mwanzo mwisho
Be blessed Yohana Anthony haki mungu anifungulie mm njiii nimpate mwenza wangu Asante sana mungu akuinue katika huduma Yako baba, siku zote 💙💙💙🙏💗💚⭐💝💖💕
fanya uoe maana maisha magumu huwezi kuyamariza
Changamka bwana
@Nancy Nyachama p
Mungu aendelee kukuinua young boy,nyimbo zako zinanitia moyo Sana mm hubarikiwa sana may the Almighty God be with you and your family,barikiwa saaaaana karibu Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 uchaguzi tumemaliza na nchi imetulia
amina kubwa mdogo wangu
Nice song God bless you yohana
Good song ,,Mungu akubariki mdg etuu kwa wimbo mzurii
YOHANA,YOHANA,YOHANA,UKO VITI KABISA.NAKUPENDA NA NAPEDA NYIMBO ZAKO.MUUUUUMWAH💗💗👏👏NAKULOBOTOVU SANA
Amen 🙏 Yohana mungu azidi kuongenza nyota yako natamani watoto waje kua waimbaji kama wewe barikiwa sana kutoka Kenya
Aky wimbo zako n nzuri Sanaa ubarikiwe sanaaa 2nakupenda sana apa kenya
Ubarikie sana mtumishi wa Mungu kwa huduma yako usidi kustawi niombe na mimi Mungu anipe mwenzangu ya kuishinae
Yohana keep singing don't give up mungu azidii kukupigania
barikiwa sana kwa wimbo hiyo johana unaenda mbari in Jesus name 🙏
good
Ninaitwa Erick Mpendwa kutoka Burundi🇧🇮 yaan ninapenda sana nyimbo zako zote ubalikiwe sana yohana antony🙏🙏🙏🙏
mungu akubariki yowane ❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤🎉
Wow nice song mtoto....aki barikiwa sana ...welcome kwetu tena ...kenya.
Huu mwaka hautaisha kwa jina la Yesu zidi kutuombea sana...na zaidi wenye wanasema single 4rever there is nothing like single Mungu aliumba mtu na akaweka clear that mtu anavaa kuwa na mweza Amen 🙏
Wow🙏 nyimbo zako zanibariki tu 💕💕 much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nimeipenda hiyo Mungu azidi kukutia nguvu katika huduma yako
Huwa nkitasama nyimbo zako uwa nabakiw xaaaan, n kkuwa n matumaini y kutafuta mungu kw nguvu God bless you in Jesus name 🙏 🙌 ❤ 💖 shalom
MUNGU akutangulie pia na akulinde na mabaya yote katika huduma na maisha yako pia na kibali kizidi kuwa juu yako mdogo wangu Amen 🙏🏻
Mdogo yangu Yohana Antony MUKUBWA yako Bikemwa from DRC Congo anakupenda bure
Wimbo mzuri Sana umenibariki Na naamini ya kwambia Mungu ataniletea mbavu yangu God bless you our son Yohana Antony wakenya twakupenda and don't forget our promise🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪we love you🙏🙏🙏
Powerful message to all people like me njameni nikama ulikuwa unaniona tu unjumbe huwo niwakwangu mimi
Mungu akutangulie uzidi kutubariki na nyimbo,unatubariki sana from kenya
Waaah I don't know y why I'm crying 😭💔💔 is talking about me,,,,is so touching....I will continue praying one day I will meet my soulmate send from God🙏🙏be blessed son
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu wimbo wako umenigusa Mungu alete mwanaume sahihi wa maisha yangu
Amen 🙏🙏
Yohana mimi ni kenya napenda nyimbo zakoo sana huwa naomba siku moja tutapatana mungu aniogoze🎉
Kama umeniona mtumishi hakika mungu akutie nguvu kijana umenugusa
Karibu Kenya one day hata pia sisi tufurahie kukuona
Kaza mwendo mdogo wangu kazi yako ni njema
May God's favour be upon you always big luv from.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪we're waiting for you
Wow amina yani nakupenda bure tu mungu akutangulie kwakila atuwa amina amina Sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤
Kongole Yohana, nyimbo zako za mafunzo kabisa,,, Mungu aishiye milele azidi kukuinua kila kuchao
Yohana Anthony Asante kwa wimbo mzurii huu na Asante kwa kutuombea,, MUNGU anitangulie akii natamani ndoa but naiogopaa
Like za Congo God bless you tupate ndoa nzuri kwajina la Yesu🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Tunakpenda San kwetu Burundi Antonny
Yooooo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kabisa mina taka kuwona mtoto Antony Niko Uganda bundibugyo Asante yohana
Mungu akubariki mdogo wangu napokea mungu asimame na kipaji.chako akuongoze
Jaman kijana siwezi kujua unataka mungu akufanyie vitu gan ila naomba ajibu kilaombi lako maana sita kata tamaa kuwaelimisha vijana kuhusu nyakati zamwisho nawimbo umebeba ujumbe wote vijana wanaharibika sitaachakupaza sauti kwa Mungu wa watakatifu ajibu kupitia wimbo huu nakupenda sana mmwaah 😘😘😘😘😘😘😘😘😘🙏🙌🙌🙏🙏🙌🙌🙏🙏🙌
Hakika unakuzwa na Bwana Yohana be blessed at all 👏👏👏
sikia hiyo nice,yohana God bless you ujumbe umewafikia,Kwa kweli🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 karibu sana Kenya
Ghai mungu wangu yohana nitaoleka kesho Kwa uwezo wa yesu umenifunza xana mungu ukubariki
Mungu akubariki xna,young pastor 🤲
Amen kaka nyombo nzuri yenye ujumbe mzito🙏Mungu akubariki kwa kutuombea mema
Congrats
Aki nabarikiwa na nyimbo zako mungu azidi kuimarisha talent yko
Wooo Ameeeeen imba ndugu yangu so amazing💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃🤣🤣🤣🤣
Piga hatua Dogo Antony unaweza kabxa.una kipaji tunakutaka Huku kwetu Mjini Bujumbura
Amina barikiwa sana Broo God bless more much love from Kenya,🥰💕💕💕🌹
Mungu akubariki Sanaa mdogo angu azidi kukuinuaaa nyimboo imenibariki sanaaa
Umetisha yohana dah asante kwa wimbo mzur ulio watukumbusha tuache kukaa tuoe na tuolewe ubarikiwe mdogo Wang
May God bless you . Wanibariki Mungu akupeleke viwango vya juu zaidi🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ujumbe mukubwa sana na muhimu kwetu sote shukirani yohana
More blessings ♥🙏na mungu akuzidishie baraka
Asante mtumishi wa mungu kwa maombi yako mungu akujalia na neema yake na utukufu.
Waaah hii wimbo inangusa tw mm aky😢😢😢 twombee aky
Much loved ❤️❤️❤️👈 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya .. blessed Mtumishi Yohana right now am in emotions,,, I don know what to say ,,, really hv e partner marriage from Ur home Tz Ed am confused wht to do 🙏🙏🙏 hk ur song hv strength me for now I will think twice na Mungu atutangulie🙏
Amen 🙏 Amen 🙏 Amen 🙏,napokea huu unabii katika jina la Yesu Kristo Amen
Wimbo wenye mafunzo mengi kwa ndugu na wadada zetu wakupenda kuchagua chagua, Mungu awafungue waoleke
Congratulations
Congratulations mdogo angu yohana MUNGU akubariki zaidi na zaidi nyimbo zako zina bariki kbsa❤️❤️❤️❤️❤️
Ubarikiwe sana mtoto Anthony mungu akuinue zaidi,na kipawa chako kiendelee ķwa jina la Yesu
Hakika Mungu akitangulia akuna jambo gumu barikiwa mtumishi yohana🙏🙏🙏
Mungu aendelee kukubariki yohana Antony
Yahana,mungu akubaliki saaaana
Pili,twakungojea Kenya
Tatu,wasalimu familia yako Kwa ujumla
Nakupenda sana Yohana god bless u na apanue huduma yako
Amina ubalikiwe Sana mungu akubaliki milele mungu tutanguliye Amina 🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️💐 🇹🇿
Amen wacha mungu atufungulie njia ohhh God 😭😭😭😭😭😭
Amina barikiwa sana mwanangu kwa wimbo wenye ujumbe mzito
From Kenya much love🎉🎉🎉🎉🎉
Waaah ! Mbn nikama Mungu amekutuma kwangu aki
Ubarikiwe sana Yohana,nakupenda kijana wa Yesu
Mungu asidi kukubariki 🙏🙏 but usisahau promise yenye ulitua hidi ku come kenya mtu mishi wa mungu 🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Congratulations Antony for serving God..I am blessed with your songs. Greetings to your family members 💗
Ubarikiwe
May god bless you 🙏🙏🙏🙏 Antony niombe Mimi aki
Dogo ubarilikiwe xna,,Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunakupenda na mm kibinafisi nakuombea maisha malefu🙏🙏🙏🙏🙏
Barikiwa sana wimbo mzuri wenye mauthui kamili Mungu akuinue
Mugu akubariki yohana for your good message to us tunakupeda san sis wakenya
Ubarikiwe sana ndugu,,,una kipaji Kwa kweli,,,, Mungu anipe mme apendaye🙏🙏🙏
Ubalikiwe Sana mdogo wangu upewe maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Barikiwa kijana mungu alikulinde ktk kaz yako wimbo mzr wenye ujumbe mzr
Wimbo nzuri yakutufunza wale ambao hatujaolewa
😭😭😭😭 mungu sikia maombi yangu
Yohana nakupenda sana pia napenda nyimbo zako sana 🙏 from kenya
Amen Amen barikiwa mtumishi wa mungu yohana Antony.
Mungu ukuongeze nguvu na uzima nimefulahi na hiyo nyimbo
Amen balikiwa mutoto wa Mungu nakupenda sana♥️