Hizi ni elimu na Karama ambazo Allah humpa amtakae hata kama sio swahaba. Na haina maana ya kwamba kila aliye mchamungu atapewa elimu hizo. Bali Allah humpa amtakae tu miongoni mwa waja wake walio wema na sio wote. Inawezekana akawa mwengine ni mchamungu zaidi lakini Allah asimpe elimu hii na badala yake akampa mwengine ambae yupo chini yake kiuchamungu kwa hikma yake mwenyewe Allah. Na Allah hufanya anachotaka wala haulizwi kwa nini kafanya hivi au hakufanya. Kwa sababu yeye ndio anajua zaidi lilo bora kwa mja yule kushinda hata yeye mwenyewe anavyojijua
Huna haja ya kutoa maneno machafu, kwani hulazimishwi kuamini, ni heri ungelinyamaza tu kuliko maneno hayo, tujitahidi kuchunga Sana ndimi zetu INSHAA ALLAH
@nuzlanhassan2316 Mhhhh!!! Maswahaba Radhi za Allah mtukufu ziwe juu yao walichukua masiku/miezi kadhaa kufikisha ujumbe waliopewa na kipenzi cha Umma huu Mtume Sala na Salamu ziwe juu yake katika maeneo tofauti ya Dunia, kama ni makarama yangali anzia hapo kutokana na utukufu wa unapotoka ujumbe (Kwa Mtume Sala na Salamu ziwe juu yake) na uzito wa ujumbe huo, lakini ... Kwa Mtume Sala na Salamu ziwe juu yake huko sisi Waislam ndiko tunako chukua mafundisho sahihi ya Imani na Dini kwa ujumla. Wewe unawza kubakia kwenye kile unacho amini kwa mujibu wa Imani yako, na kama huna Imani basi huenda kile kinacho kutuma akili yako kikakutisheleza UCHAWI NA SHIRK ZILIANZA MAPEMA SANAAAA....
@OMARMOHAMED-js9nj mambo kama haya Allah humpa amtakae. Wala Allah haulizwi kwa nini kampa huyu na akamuacha mwengine. Yawezakuwa wewe ni mchamungu zaidi kushidha mwengine lakini Allah akakunyima wewe na akampa huyo mwengine kwa njia ya kumpa mtihani. Ndio. maswahaba walikuwa wachamungu zaidi lakini haina ulazima wa kwamba kila kitu watakachopewa wengine na lazima wao wapewe. Kama innekuwa hivyo basi mitume ndio watukufu zaidi kuliko wote. Mbona wengine hawakujaaliwa kuruka kama alivyoruka mja mwema wa zama za Nabii Suleiman ambae yeye hakuwa Nabii. Pia Nabii Mussa mbali na utume wake alipewa mtihani na alizidiwa na mja mwema khidhr kielimu. Na bila ya shaka Nabii Mussa ana cheo zaidi mbele ya Allah kwa sababu yeye ni Nabii.
niliwahi kuahidithiwa karama za sheikh nassor na mzee Fulani Kuna wakati nilifika mtoni kutafuta kaburi lake lakini nilikosa hata niliwauliza baadhi ya watu lakini hawakufahamu naomba niongoze ili nitakapokwenda Zanzibar nizuru kaburi ya sheikh nassor
@@muhammadalibhaz1390 katika zama hizo. makaburi mingi yalikuwa hayajengewi Hasa ya wanazuoni wakubwa. Wengine walikuwa wakiusia kwamba hawataki makaburi yao yajengewe wakifa. Na pia kwa kuhofia endapo kaburi hilo litajengewa wanaweza kuja watu wakafanya mambo yao katika lile kaburi kwa itikadi ya kutabarruk kwa yule mwanazuoni aliye zikwa pale. Na kutoka na hivyo basi makaburi mingi ya wanazuoni wa zamani hayaonekani athari yake ama hayajuulikani yalipo hasa kwa sababu ya kutojengewa. Na hii ni kutokana na kupita kwa miaka mingi sana. Ukimpata mwana historia wa uhakika ana uwezo japo wa kukuonesha sehemu ambayo lilikuwepo kaburi lake hapo
Hapana. Kuna elimu maalum ambayo humpa Allah amtakae ndio inaweza kufanya hivyo. Na hii imethibitishwa na Quran katika kisa cha Nabii Suleiman قال الذي عنده علم من الكتاب..
@@omarcarlos4595 kweli kabisa. Zanzibar ina historia kubwa katika kuendelea kielimu na kiutamaduni na hata kiuchumi katika zama hizo. Ilikuwa Zanzibar ipo juu katika kila sekta
@abuuuyaynah8801 hapana sio kweli. Vipi utamuitaje Sheikh halafu wakati huo huo unasema ni mshirikina na Anafanya kufru. Kwa sababu Tanjiim ni kufru. Ni miongoni mwa makosa makubwa na kudai kujua ghaib
@@BinAli-m8e ni kweli kabisa. na kutokana na kwamba hivi sasa mambo kama haya hayapo katika jamii zetu kutokana na kupotea kwa wanazuoni wa kweli na pia kutoweka kwa Imani basi watu wanaona hichi kitu hakiwezekani kabisa
Kwa kweli Wazanzibar tumekuwa nyuma sana katika kutilia umuhimu historia yetu na athari walizoziacha wanazuoni wetu. Na pia vurugu za mapinduzi zilipelekea kupotea kwa vitabu vingi. Kwani ilikuwa ukikutikana una kitabu chochote chenye maandishi ya kiarabu utapigwa vita na kuchomwa vitabu hivyo. bali hata kuuliwa kwa sababu ya chuki za kikabila zilizozuka wakati ule. Lakini hata hivyo baadhi ya vitabu vyake vilinusurika na na kusafirishwa kwenda Oman kwa ajili ya kuhakikiwa kule
Wallahi thumma wallahi huyu jamaa hakuwa mwanazuoni kwa maana ya uanazuoni wa kiislam Bali alikuwa mchawi!! Katika uislam hakuna elimu ya siri!! Huu ni ushirikina wa kutumia majini. Nashauri mtoa post hii usiendelee kusimulia Mikasa ya namna hii ukiinasibisha na uislam!!!
Usiape ovyo. Kwanza soma. Sio kila kuruka ni uchawi kwanza soma historia. Bwana mtume alivyoruka katika safari ya israa na miiraj alitumia uchawi? Na yule mja wa Nabii Suleiman ambae kisa chake kimethibiti kwa wazi kabisa katika Quran na kwamba alipewa elimu maalum kutoka kwa Allah iliyomuezesha kuruka kutoka Palestina hadi Yemen pia ni uchawi? Unaposema hivyo akhui na kupinga elimu hii ama karaamat moja kwa moja basi itakuwa umekufuri yaliyokuja ndani ya Qur'an. Kwa sababu jambo limethibitishwa na Allah yeye mwenyewe ndani ya kitabu chake wala hakusema kuwa ni uchawi
@mahfoudhmabrouk809 tupe na sisi hiyo elimu uliyonayo ili tukuamini kama unasema kweli sio ujisifu kama una elimu. Mimi nimetoa ushahidi wa maneno yangu. Na wewe lete hoja yako na elimu ulonayo
@mahfoudhmabrouk809 mimi nimekueleza ya kwamba jambo hili sio geni katika history ya kiislamu na lipo wala haikutajwa kuwa ni uchawi. Sasa wewe unamtuhumu mwanazuoni ambae humkaribii kwa elimu na hata kwa ibada wala hujawahi kumuona katika maisha yako ya kuwa ni mchawi na ni mshirikina. Utakwenda kusimama mbele ya Allah na kuhesabiwa kwa madai yako na kwa kumvunjia heshima mwanazuoni huyu
@@ali_ford sijawasahau akhui. Lakini siwezi kuaelezea wote kwa pamoja katika clip moja. Wengine tukijaaliwa tutakuja kuwaelezea mbeleni inshallah. Na kumuelezea huyu haina maana ya kwamba nimewadharau wengine hapana. Wanazuoni wote ni warithi wa mitume na vigezo kwetu wakiwa wana karaamat au hawana.
@@nuzlanhassan2316 kabisa maallim wangu lakini kwa ushauri tuu kumraddi mtu ambae hajuwi nini anafanya itatutia dosari katika chaneli yetu sie tunaofaidika sheikh wangu samhanai lakn
Mashaallah Tabaraka Allah Allah akuzidishie elimu yenye manufaa tufaidike na ss Inshallah
آمين يا رب العالمين وأنت كذلك
جزاك الله خيرا❤ وبارك الله فيك ❤❤
@@Aljanaan4539 آمين يا رب العالمين وأنتم كذلك
جزاك الله خيرا
@@Hafidh0712 بارك الله فيك
Subhana Allah 😭 laa illah haillah 😭 Yarrab atupe khusni hatma Yarrab 🤲
Mashallah
@@salehkhamis-ob8ln بارك الله فيك
Maashaallah
hatuna cha kukulipa ostadh wetu shariif
Allah akuzidishie elimu
Allah azid kutunufaisha kwa elimu yako tukufu
اللهم آمين يا رب العالمين. بارك الله فيك وفي أهلك
First nilidhani hivyo 😈
But nilipofika mahali fulani
Nilijua Zanzibar ilikuwa kisingizio tuuu but the real point 🌊
Ulidhania vipi mwanzo. Sijakuelewa ulichokusudia
MANENO YA BANGI HAYA, MBONA HAIKU TOKEA KWA MASWAHABA WA MTUME S.A.W. EEHH WACHENI KUVUTA BANGI NA NJAA.
Hizi ni elimu na Karama ambazo Allah humpa amtakae hata kama sio swahaba. Na haina maana ya kwamba kila aliye mchamungu atapewa elimu hizo. Bali Allah humpa amtakae tu miongoni mwa waja wake walio wema na sio wote. Inawezekana akawa mwengine ni mchamungu zaidi lakini Allah asimpe elimu hii na badala yake akampa mwengine ambae yupo chini yake kiuchamungu kwa hikma yake mwenyewe Allah. Na Allah hufanya anachotaka wala haulizwi kwa nini kafanya hivi au hakufanya. Kwa sababu yeye ndio anajua zaidi lilo bora kwa mja yule kushinda hata yeye mwenyewe anavyojijua
Huna haja ya kutoa maneno machafu, kwani hulazimishwi kuamini, ni heri ungelinyamaza tu kuliko maneno hayo, tujitahidi kuchunga Sana ndimi zetu INSHAA ALLAH
@FahimaKhalid-d7i naam ni kweli maneno yako.
🎉🎉🎉
❤
جزاك الله الجنة ووالديك
MHHHH!!!!!!
HII INAITWA SHIRK.
@@OMARMOHAMED-js9nj umejuaje kama ni shirki. Kwa elimu gani ulonayo
@nuzlanhassan2316 Mhhhh!!!
Maswahaba Radhi za Allah mtukufu ziwe juu yao walichukua masiku/miezi kadhaa kufikisha ujumbe waliopewa na kipenzi cha Umma huu Mtume Sala na Salamu ziwe juu yake katika maeneo tofauti ya Dunia, kama ni makarama yangali anzia hapo kutokana na utukufu wa unapotoka ujumbe (Kwa Mtume Sala na Salamu ziwe juu yake) na uzito wa ujumbe huo, lakini ...
Kwa Mtume Sala na Salamu ziwe juu yake huko sisi Waislam ndiko tunako chukua mafundisho sahihi ya Imani na Dini kwa ujumla.
Wewe unawza kubakia kwenye kile unacho amini kwa mujibu wa Imani yako, na kama huna Imani basi huenda kile kinacho kutuma akili yako kikakutisheleza
UCHAWI NA SHIRK ZILIANZA MAPEMA SANAAAA....
@OMARMOHAMED-js9nj mambo kama haya Allah humpa amtakae. Wala Allah haulizwi kwa nini kampa huyu na akamuacha mwengine.
Yawezakuwa wewe ni mchamungu zaidi kushidha mwengine lakini Allah akakunyima wewe na akampa huyo mwengine kwa njia ya kumpa mtihani.
Ndio. maswahaba walikuwa wachamungu zaidi lakini haina ulazima wa kwamba kila kitu watakachopewa wengine na lazima wao wapewe. Kama innekuwa hivyo basi mitume ndio watukufu zaidi kuliko wote. Mbona wengine hawakujaaliwa kuruka kama alivyoruka mja mwema wa zama za Nabii Suleiman ambae yeye hakuwa Nabii.
Pia Nabii Mussa mbali na utume wake alipewa mtihani na alizidiwa na mja mwema khidhr kielimu. Na bila ya shaka Nabii Mussa ana cheo zaidi mbele ya Allah kwa sababu yeye ni Nabii.
kaburi la jaad bin nassor ipo wapi Zanzibar?
@@muhammadalibhaz1390 shekh Nassor alizikwa hapo hapo mtoni alipokuwa akiishi
niliwahi kuahidithiwa karama za sheikh nassor na mzee Fulani Kuna wakati nilifika mtoni kutafuta kaburi lake lakini nilikosa hata niliwauliza baadhi ya watu lakini hawakufahamu naomba niongoze ili nitakapokwenda Zanzibar nizuru kaburi ya sheikh nassor
@@muhammadalibhaz1390 katika zama hizo. makaburi mingi yalikuwa hayajengewi Hasa ya wanazuoni wakubwa. Wengine walikuwa wakiusia kwamba hawataki makaburi yao yajengewe wakifa. Na pia kwa kuhofia endapo kaburi hilo litajengewa wanaweza kuja watu wakafanya mambo yao katika lile kaburi kwa itikadi ya kutabarruk kwa yule mwanazuoni aliye zikwa pale. Na kutoka na hivyo basi makaburi mingi ya wanazuoni wa zamani hayaonekani athari yake ama hayajuulikani yalipo hasa kwa sababu ya kutojengewa. Na hii ni kutokana na kupita kwa miaka mingi sana. Ukimpata mwana historia wa uhakika ana uwezo japo wa kukuonesha sehemu ambayo lilikuwepo kaburi lake hapo
@@muhammadalibhaz1390 wataka Nini kwenye kaburi hilo kaka?😀
seing is beleiving kushuhudia historia
Hapana Cha elimu za Siri ni kuitumia majini tuu
Hapana. Kuna elimu maalum ambayo humpa Allah amtakae ndio inaweza kufanya hivyo. Na hii imethibitishwa na Quran katika kisa cha Nabii Suleiman قال الذي عنده علم من الكتاب..
Wewe hutoamini mpka kufa kwako
Hakuna elimu ya kueruka hayo ni machawi masufi yamejikita na uchawi wakadai makarama
Kipindi hicho elimu ya dini ipo juu znz Sio sasa ni uchawi kwenda mbele
@@omarcarlos4595 kweli kabisa. Zanzibar ina historia kubwa katika kuendelea kielimu na kiutamaduni na hata kiuchumi katika zama hizo. Ilikuwa Zanzibar ipo juu katika kila sekta
Huyu shekh alikuwa ni mnajimu mkubwa wa kiibadhi
@abuuuyaynah8801 hapana sio kweli. Vipi utamuitaje Sheikh halafu wakati huo huo unasema ni mshirikina na Anafanya kufru. Kwa sababu Tanjiim ni kufru. Ni miongoni mwa makosa makubwa na kudai kujua ghaib
Una ushahidi gani na umetoa kitabu gani?
Ni vitu vinavyo wezekana pasipo na shaka anae pinga Karama ni mchoyo wa Nafsi yke na ni mtumwa wa kifikra
@@BinAli-m8e ni kweli kabisa. na kutokana na kwamba hivi sasa mambo kama haya hayapo katika jamii zetu kutokana na kupotea kwa wanazuoni wa kweli na pia kutoweka kwa Imani basi watu wanaona hichi kitu hakiwezekani kabisa
tunavipata wapi vitabu vyake
Kwa kweli Wazanzibar tumekuwa nyuma sana katika kutilia umuhimu historia yetu na athari walizoziacha wanazuoni wetu. Na pia vurugu za mapinduzi zilipelekea kupotea kwa vitabu vingi. Kwani ilikuwa ukikutikana una kitabu chochote chenye maandishi ya kiarabu utapigwa vita na kuchomwa vitabu hivyo. bali hata kuuliwa kwa sababu ya chuki za kikabila zilizozuka wakati ule. Lakini hata hivyo baadhi ya vitabu vyake vilinusurika na na kusafirishwa kwenda Oman kwa ajili ya kuhakikiwa kule
Wallahi thumma wallahi huyu jamaa hakuwa mwanazuoni kwa maana ya uanazuoni wa kiislam Bali alikuwa mchawi!!
Katika uislam hakuna elimu ya siri!! Huu ni ushirikina wa kutumia majini. Nashauri mtoa post hii usiendelee kusimulia Mikasa ya namna hii ukiinasibisha na uislam!!!
Usiape ovyo. Kwanza soma. Sio kila kuruka ni uchawi kwanza soma historia. Bwana mtume alivyoruka katika safari ya israa na miiraj alitumia uchawi? Na yule mja wa Nabii Suleiman ambae kisa chake kimethibiti kwa wazi kabisa katika Quran na kwamba alipewa elimu maalum kutoka kwa Allah iliyomuezesha kuruka kutoka Palestina hadi Yemen pia ni uchawi? Unaposema hivyo akhui na kupinga elimu hii ama karaamat moja kwa moja basi itakuwa umekufuri yaliyokuja ndani ya Qur'an. Kwa sababu jambo limethibitishwa na Allah yeye mwenyewe ndani ya kitabu chake wala hakusema kuwa ni uchawi
@@nuzlanhassan2316 Alhamdulillah! Elimu niliyonayo inanitosha kujua hili ni sahihi na hili ni baatwil.
@mahfoudhmabrouk809 tupe na sisi hiyo elimu uliyonayo ili tukuamini kama unasema kweli sio ujisifu kama una elimu. Mimi nimetoa ushahidi wa maneno yangu. Na wewe lete hoja yako na elimu ulonayo
@@nuzlanhassan2316 ushahidi upi hapo ndugu yangu?
@mahfoudhmabrouk809 mimi nimekueleza ya kwamba jambo hili sio geni katika history ya kiislamu na lipo wala haikutajwa kuwa ni uchawi. Sasa wewe unamtuhumu mwanazuoni ambae humkaribii kwa elimu na hata kwa ibada wala hujawahi kumuona katika maisha yako ya kuwa ni mchawi na ni mshirikina. Utakwenda kusimama mbele ya Allah na kuhesabiwa kwa madai yako na kwa kumvunjia heshima mwanazuoni huyu
Wapo weng umewasahau wenye elmu ya dini ya kiislam kubwa na sio makarama.. ukitaka wewe pia kwa uwezo wa allah..
@@ali_ford sijawasahau akhui. Lakini siwezi kuaelezea wote kwa pamoja katika clip moja. Wengine tukijaaliwa tutakuja kuwaelezea mbeleni inshallah. Na kumuelezea huyu haina maana ya kwamba nimewadharau wengine hapana. Wanazuoni wote ni warithi wa mitume na vigezo kwetu wakiwa wana karaamat au hawana.
@@nuzlanhassan2316 in shaAllah
mchawii tyy hyo
@@JabirMohammed-fw9wu sio mchawi. Bali ni mwanazuoni mkubwa
UONGO MTUPU.
@@z34-kp9qq والجاهلون لأهل العلم أعداء
Kwa hiyo unamaanisha kuwa jambo kama hili haliwezekani kutokea? Sasa tuambie huo ukweli ndio upi?