MZEE WA SIMBA VITANI NA KIZINGA YANGA, BAADA YA MNYAMA KUMKAANGA SINGIDA.. WABISHANA KISA MUAMUZI!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 11

  • @kakore_jr
    @kakore_jr 18 днів тому +1

    Yanga mpaka leo hawajaamini neno la #UBAYA_UBWELA

  • @faisaloaljabry6400
    @faisaloaljabry6400 18 днів тому +3

    Ukweli hautabaki mafichoni shabiki wa yanga mpaka koo linamkauka kwa kufanya ubishi bila hata yanga kucheza shida ni nini ni ushamba tu kwanini simba ashinde. Hamtaki ashinde waambieni hao viongozi walioko madarakani watumiye mamlaka waliyo nayo waifute Simba isiwepo kabisa lakini kuahidi pesa na kushiriki vitendo vya kishirikina wataendelea kuumiza nyoyo zao 😂

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 18 днів тому +2

    Wazee wa Simba wanauwezo mkubwa kuliko chura churani.

  • @AshuraChamwana
    @AshuraChamwana 18 днів тому +1

    Kizinga hajui mpira nishabiki maandazi

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 18 днів тому

    Washinde kwa jina la yesu

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 18 днів тому +1

    Wenye Akili yanga wawili tu.

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 18 днів тому +1

    wachezaji toshekeni na mishahala yenu tu achaneni na hizo ahadi za uongo kama wanapesa wasajili wachezaji wazur tu matokeo utayapata huo ni ushamba tu singida wako vizur lakini hawezi kushinda na simba

  • @abdalahsuleiman8989
    @abdalahsuleiman8989 18 днів тому

    Mmemkomesha leo

  • @neemamwijage
    @neemamwijage 18 днів тому +1

    Ateba ana penati 2 hata hivyo penati sio gori?

  • @YOHANAAgustino-bh4cy
    @YOHANAAgustino-bh4cy 18 днів тому

    Huo ni ujinga maana kama kocha wa dodoma jiji anafungwa yeye afurahie wakati kama magori yaliofungwa kwa uwezo wa udhaifu wa uamuzi lkn yeye kocha anafurahia kwamba walisitahili kufungwa hiyo ni akili au tope..!