Mh. Rais imani yako ni kubwa mno kwa Mungu, nami naungana na wewe, naamini Mungu ataisikia sala yako na Dunia itakombolewa dhidi ya Ugonjwa huu. Amina.
Mwenyezi Mungu na akubariki sana Rais wangu na Baba angu mpendwa....! Zaburi 125:1-2 1 Wamtumainio BWANA ni kama mlima Sayuni, Ambao hautatikisika, wakaa milele. 2 Kama milima inavyouzunguka Yerusalem, Ndivyo BWANA anavyowazunguka watu wake, Tangu sasa na hata milele. Bwana wetu Yesu Kristo atufanyie hivyo na kuzidi. Katika Jina Kuu la Uweza na Nguvu la Bwana wetu Yesu Kristo... Amen.
Mungu akulinde raisi wetu ,Mungu alikuona kukuweka wewe kuongoza taifa letu Kama Angelikua raisi mwingine saizi tungekua tumeshafungiwa ndani kama kuku rais wetu Mungu akuongeze miaka mingi zaidi na zadi na utawale miaka yote ya maisha yako. Na wote tuseme Amina.
Kwa Imani hii ya Kumtanguliza Bwana wetu Yesu Kristo Mbele imegusa Imani Za watu wengi, kama Rais Wa taifa kweli umekuwa Unique president in Africa yaaani umenifurahisha hadi bure Munch LOVE JP Magufuli mwenyezi Mungu Aendelee kukutumia zaidi kwa hekima Yake 😍😍🙌🏽
MY PRESIDENT, MUNGU AENDELEE KUKUPA NGUVU. MOJA YA VITU UNANIFURAHISHA NI KUWA UMEIJUA MIFUMO YA DUNIA HII NA UNASIMAMA IMARA KATIKA KUITETE TANZANIA. WHAT A PRESIDENT WE HAVE. A PRESIDENT ON TIME, A MAN OF THIS SEASON.
Tuko pamoja na wewe mkuu,kama unavyojua Watanzania wengi wanapata mlo wanapotoka maana hawana hakiba ya chakula.Lakini wasijua hilo wanasema watu wa baki ndani hii sio sahihi sisi tuzidi kuomba Mungu na hili litapita kama mgonjwa mengine yaliyowahi kutokea na kupita, Mungu akubariki saana.
Tumpunguzie Mungu mizigo mingine , sio kila tatizo linalotupata ni Mipango ya Mungu, mengine yanatikana na ujinga wetu sisi wenyewe, unajua kabisa sehemu fulani kuna hatari fulani wewe unarusu watu waende na kuja kutoka sehemu hiyo unategemea nini ? Hata mtu akichepuka bila kinga akiathirika kesho anamsingizia Muumba ili hali aliisha kujaria akili yakujua jema na baya. Kwani corona imeretwa na manyunyu ya mvua ? Hadi baba yetu ahusishwe. Amakweli watu Huangamia kwa kukosa maarifa
Mwamba wa kanda ya ziwa anaunguruma, Chapa kazi, huyu mwamba ni thabiti sana katika ku handle matatizo, Ndo raha ya wasukuma hawababaikagi na matatizo hata kama ni makubwa. big up JPM!.
Watanzania kwa kweli Mwz Mungu amewapa kiongozi mzuri sana anewajali sana mimi natokea Kenya maisha yamekua mangumu sana haswa kwa Watu ya maisha ya chini familia nyingi wanalia watu wengi wamepoteza kazi wafanyabiashara wanalia secta ya basi hivyo hivyo na kunyanyaswa na polisi but nompongeza JPM ajafungia Watu kufanya chochote big up Africa leader JPM.
Kwa kweli namshukuru Mungu mno kwa ajili ya rais wetu JPM, ni mcha Mungu haswa na imani yake kwa Mungu iko thabiti, ila nina wazo kwako mh. Kama kumuomba Mungu kuhusu kuuondoa huu ugonjwa tumeomba sana tena kwa kufunga kila mtu kwa dini na dhehebu lake, ila nina nyongeza zaidi, naomba kama itakupendeza wewe kama mkuu wa nchi, utangaze mfungo na maombi kwa taifa zima, iwe hata kwa siku tatu tu, isiwe kama kwa kuwashurutisha watu ila kwa hiari, tufunge na kuomba kila mtu kwa dini na imani yake ila iwe ni kitaifa! Mungu atunusuru na hili janga na majanga mengine, na dunia yote itajua kuwa Tz tunamtanguliza Mungu, na hakika Mungu atatusaidia! Naomba ujumbe huu ukufikie kokote ulipo ewe mh. Rais wetu kipenzi na mcha Mungu, sikushurutishi mh. Ila ikikupendeza nakusihi ulifanyie kazi hili wazo wangu, bila Mungu hatuwezi kufanya chochote
Kama Mungu aishivyo,, Asikie maombi yetu na Tamko la Raisi wetu. Nakupenda sana Rais John Joseph Pombe Magufuli. Wewe ni zaidi ya Kiongozi. Mungu atasimama na kutupigania hakika.
Rais magufuli bado yuko na miaka kumi miaka 5 niya UGANDA 5 KENYA Mr john pombe magufuli ni rais wa east Africa mola muwezeshe aishi maisha marefu tu tunataka elimu oooh god bless uuu
1 Samweli 2:6 Bwana huua naye hufanya kuwa Hai, Hushusha hata kuzimu, tena huleta juu. Bwana hufukarisha mtu, naye hutajirisha. Hushusha Chini, tena huinua juu. Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, humpandisha mhitaji kutoka Jaani. Ili aweketishe pamoja nawakuu, wakakirithi kiti cha enzi cha utukufu. Kwa maana Nguzo za dunia zina Bwana. Naye ameuweka ulimwengu juu yake. Yeye atailinda miguu ya watakatifu wake.
HERI MTU YULE AMTEGEMEAE MUNGU WA MBINGUNI: MSAADA WETU U KATIKA JINA LA BWANA ALIYEZIFANYA MBINGU NA NCHI: ZABURI 124:8. TO GOD BE THE GLORY for THE WISE PRESIDENT WHO RESPECT AND WARSHIP THE LIVING GOD IN HEAVEN.
Kazi mzur mh Rais wetu umeongea km Kiongoz wa nchi pia umeongea Kama mzazi mwenye upendo na watu wako Mashaallaah Tumuombe Mola aliondoe hili janga la Corona hakika sisi hatuliwez hata kw secunde.. Stay safe please
Dr Magufuri ujue Mungu awekeza kwako Roho mtakatifu ili ulimwengu utambue na hili litakupa mpenyo mzuri wa kuliongoza Taifa na wewe watanzania tunakuombea mnoo na tunakupenda na uchaguzi ingependeza tuseme baba endelea Ila kwa kuheshimu katiba ya nchi tutachagua ili lazima upite kwa asilimia mia 100% ya wapinzani wako
Nimefurahi Sana Tanzania kuwa sehemu ya wanaoenda kanisani wakati huu huyu raisi nimemkubali Sana kwa hotuba take Ila mwandishi punguza kuandika gazeti wakati sauti ipo
We have a president sent from God, i wish ungeongeza muda wako ili nchi iendelee hivi hivi ilivyo sasa. lakini kwa Mungu alishindikani jambo akitaka uendelee baada ya muda wako inawezekana kabisa na nguvu akakupa ya kuongoza
Ipo haja ya kuepesha mikusanyiko hata ya kidini.Kiukweli virus vya Corona,maambukizi yake sio ya kawaida.Mikusanyiko inaweza ikawa chachu ya kusambaa kwa ugonjwa wa Corona.
Mimi naomba kujua, hivi hii channel ya Ikulu ni ya Serikali au ni mtu binafsi? Na kama ni ya Serikali yetu mbona Subscribers tupo wachache hivyo! Tena hapo Subscribers wengine ni wakenya maana wakenya wanaipenda Tanzania. Ndiyo kusema hiyo ni picha halisi ya jinsi Watanzania tulivyokosa uzalendo kwa nchi yetu! Kule kwa kina Diamond Subscribers ni Milioni halafu huku laki, kweli! Sasa nasema kama wewe ni Mtanzania na unajitambua na hujasubscribe hii channel; haraka sana SUBSCRIBE.
Haijalishi in Hebrew 11:1" imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo yasiyoonekana." Kila mwanadamu anaishi duniani kwa imani ndo maana tunajenga majumba nk. Mungu alimwumba mwanadamu ili aishi kwa imani. Biblia inasema pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu.
Hao wa kwenu mnaipakazia Tanzania, tunawafahamu na akili zenu za kipuuzi,Mnajiona kuwa nyinyi in kila kitu hapa Africa kisa mnajipendekeza kwa mabwana zenu wazungu!foolish Kenyans
Mh. Rais imani yako ni kubwa mno kwa Mungu, nami naungana na wewe, naamini Mungu ataisikia sala yako na Dunia itakombolewa dhidi ya Ugonjwa huu. Amina.
Amen amen amen
very true
Mwenyezi Mungu na akubariki sana Rais wangu na Baba angu mpendwa....! Zaburi 125:1-2
1 Wamtumainio BWANA ni kama mlima Sayuni, Ambao hautatikisika, wakaa milele.
2 Kama milima inavyouzunguka Yerusalem, Ndivyo BWANA anavyowazunguka watu wake, Tangu sasa na hata milele.
Bwana wetu Yesu Kristo atufanyie hivyo na kuzidi. Katika Jina Kuu la Uweza na Nguvu la Bwana wetu Yesu Kristo... Amen.
Amina Rais wetu, Ahsante kwa kumtanguliza Mungu, peke yetu hatuwezi
Mungu akulinde raisi wetu ,Mungu alikuona kukuweka wewe kuongoza taifa letu
Kama Angelikua raisi mwingine saizi tungekua tumeshafungiwa ndani kama kuku rais wetu Mungu akuongeze miaka mingi zaidi na zadi na utawale miaka yote ya maisha yako.
Na wote tuseme Amina.
Kwa Imani hii ya Kumtanguliza Bwana wetu Yesu Kristo Mbele imegusa Imani Za watu wengi, kama Rais Wa taifa kweli umekuwa Unique president in Africa yaaani umenifurahisha hadi bure Munch LOVE JP Magufuli mwenyezi Mungu Aendelee kukutumia zaidi kwa hekima Yake 😍😍🙌🏽
Mungu akubaliki kwaneno leo lachato
Huyu Magufuli ni mtume wa Mungu,,, God bless you our president🙏
Nakupenda laisi wangu namshukur MUNGU kwajili yako BABA YANGU
Hotuba ya.nguvu big up Raisi wetu.Mungu Kwanza.
I’m blessed by this speech!!! God bless the president
MUNGU ibariki TANZANIA mbariki Rais wetu Magufuli pamoja na watu wake, Amina🙏🙏🙏
I luv you Mr president Mungu akulinde akupe hekima na buasara zaid
Asante sana Rais wetu, Mungu atunusuru na janga hili la virusi vya corona. Hakika kwa imani tutashinda.
Mungu akupe maisha malefu Rais wetu
Amina baba katika msalaba sisi tumekombelewa mungu akubariki uncle magu.
MY PRESIDENT, MUNGU AENDELEE KUKUPA NGUVU. MOJA YA VITU UNANIFURAHISHA NI KUWA UMEIJUA MIFUMO YA DUNIA HII NA UNASIMAMA IMARA KATIKA KUITETE TANZANIA. WHAT A PRESIDENT WE HAVE. A PRESIDENT ON TIME, A MAN OF THIS SEASON.
Baba Nmefurahi Kukuon hapa
Tuko pamoja na wewe mkuu,kama unavyojua Watanzania wengi wanapata mlo wanapotoka maana hawana hakiba ya chakula.Lakini wasijua hilo wanasema watu wa baki ndani hii sio sahihi sisi tuzidi kuomba Mungu na hili litapita kama mgonjwa mengine yaliyowahi kutokea na kupita, Mungu akubariki saana.
Asante Raisi wetu kwa msaada wa MUNGU tutashinda.
Tumpunguzie Mungu mizigo mingine , sio kila tatizo linalotupata ni Mipango ya Mungu, mengine yanatikana na ujinga wetu sisi wenyewe, unajua kabisa sehemu fulani kuna hatari fulani wewe unarusu watu waende na kuja kutoka sehemu hiyo unategemea nini ? Hata mtu akichepuka bila kinga akiathirika kesho anamsingizia Muumba ili hali aliisha kujaria akili yakujua jema na baya. Kwani corona imeretwa na manyunyu ya mvua ? Hadi baba yetu ahusishwe. Amakweli watu Huangamia kwa kukosa maarifa
Fidelisi Boniphace Katole ubarikiwe baba
Mwamba wa kanda ya ziwa anaunguruma, Chapa kazi, huyu mwamba ni thabiti sana katika ku handle matatizo, Ndo raha ya wasukuma hawababaikagi na matatizo hata kama ni makubwa. big up JPM!.
Ni mwamba wa Tanzania, sio wa kanda ya ziwa. Tutake radhi Watanzania
Mungu na atunze Taifa letu,na Rais wetu aliye na Imani ya kumtanguliza Mungu barikiwa zaidi
Napenda sana Rais John pombe kwakumtanguliza Mungu kwakila jambo Corona itaisha tu kwa jina la yesu Barikiwa sana
Watanzania kwa kweli Mwz Mungu amewapa kiongozi mzuri sana anewajali sana mimi natokea Kenya maisha yamekua mangumu sana haswa kwa Watu ya maisha ya chini familia nyingi wanalia watu wengi wamepoteza kazi wafanyabiashara wanalia secta ya basi hivyo hivyo na kunyanyaswa na polisi but nompongeza JPM ajafungia Watu kufanya chochote big up Africa leader JPM.
Poleni,
Krb tz, nchi yenye neema
@@consesaphelician9266 asante
Poleni sana ndugu zetu. Tunawaombea.
Asante na Mwenyezi Mungu atawafanyia wepesi. Hili nalo litapita tu.
Kwa kweli namshukuru Mungu mno kwa ajili ya rais wetu JPM, ni mcha Mungu haswa na imani yake kwa Mungu iko thabiti, ila nina wazo kwako mh. Kama kumuomba Mungu kuhusu kuuondoa huu ugonjwa tumeomba sana tena kwa kufunga kila mtu kwa dini na dhehebu lake, ila nina nyongeza zaidi, naomba kama itakupendeza wewe kama mkuu wa nchi, utangaze mfungo na maombi kwa taifa zima, iwe hata kwa siku tatu tu, isiwe kama kwa kuwashurutisha watu ila kwa hiari, tufunge na kuomba kila mtu kwa dini na imani yake ila iwe ni kitaifa! Mungu atunusuru na hili janga na majanga mengine, na dunia yote itajua kuwa Tz tunamtanguliza Mungu, na hakika Mungu atatusaidia! Naomba ujumbe huu ukufikie kokote ulipo ewe mh. Rais wetu kipenzi na mcha Mungu, sikushurutishi mh. Ila ikikupendeza nakusihi ulifanyie kazi hili wazo wangu, bila Mungu hatuwezi kufanya chochote
Amina baba mungu akuongoze kwa kila jambo lililo jema
Utukufu kwa MUNGU juuu,barikiwaa baba MUNGU akutunze
Wewe ni jemadari,usiokatisha tamaa wanajeshi vitani,Allah akutie nguvu,uongoze kwa hakima,
Greaaat papa 😍 love you
Watanzania President wenyu yuko na hekima kupindukia....
Hapa kwetu ni kutishwa kila siku.
Poleni
Mungu akubariki sana Rais wangu
Utukufu na heshima vina wewe Mungu uketiye patakatifu pa patakatifu. Ninakuhimidi ee Mungu wa wokovu wetu.
kwanza tunamtanguliza Mungu ambaye yeye ni kila kitu big point sir
Mungu tusaidie tunamshuru Rais kwa mwongozo
John pombe maghufuli president for life in tanzania
Kama Mungu aishivyo,, Asikie maombi yetu na Tamko la Raisi wetu. Nakupenda sana Rais John Joseph Pombe Magufuli. Wewe ni zaidi ya Kiongozi. Mungu atasimama na kutupigania hakika.
Rais magufuli bado yuko na miaka kumi miaka 5 niya UGANDA 5 KENYA Mr john pombe magufuli ni rais wa east Africa mola muwezeshe aishi maisha marefu tu tunataka elimu oooh god bless uuu
tunakuombea raisi wetu mungu akubariki
You are the best my President
Huu ndo uongozi unaoacha alama.. We love you our President Hon. Magufuli.. We promice you to Work hard
Nakukubali mzee
Mungu akulinde Raisi wetu
May the blessings of almight god be upon u my president, stay safe.
Amina mh mungu akubariki
Nikisikiliza hotuba zako huwa nazikubali sana. Mungu azidi kukulinda katika afya yako. Tupo nyuma yako baba.
Amina mungu yupo na Sisi tunamuomba tu
Magufuli njoo Mozambique
MUNGU yupo pamoja nasi asante baba Magufuli❤
Big up our president we trust in God,trust in you also.
Mh,, Rais Mungu azidi kukubariki,, maana unahakili ya Mungu
Aisee God bless you beloved president
1 Samweli 2:6
Bwana huua naye hufanya kuwa Hai, Hushusha hata kuzimu, tena huleta juu. Bwana hufukarisha mtu, naye hutajirisha. Hushusha Chini, tena huinua juu. Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, humpandisha mhitaji kutoka Jaani. Ili aweketishe pamoja nawakuu, wakakirithi kiti cha enzi cha utukufu. Kwa maana Nguzo za dunia zina Bwana. Naye ameuweka ulimwengu juu yake. Yeye atailinda miguu ya watakatifu wake.
Nampenda mungu kwasababu Anatupenda kupita upeo,katupa rais ambae ni mfano wa kuigwa na mtu yoyote, mungu azidi kukulinda baba,
Rais wetu mzuri na mola akuzidishie hekima
Amina chato 2020 mungu kwanza
SANA COMMANDO WANGUU
SAFI SANA TUMEPATA RAISI MUCHAMUNGU NA TANZANIA YETU ITAKUA SALAMA
Mungu ambariki sana raisi wetu
Safi sana mtumishi wa Mungu
HERI MTU YULE AMTEGEMEAE MUNGU WA MBINGUNI: MSAADA WETU U KATIKA JINA LA BWANA ALIYEZIFANYA MBINGU NA NCHI: ZABURI 124:8.
TO GOD BE THE GLORY for THE WISE PRESIDENT WHO RESPECT AND WARSHIP THE LIVING GOD IN HEAVEN.
Asante
Raisi Dkt Magufuli Mungu akubaliki saaana!
Mungu akubaliki
Good speech 👏
Yes President_God bless you
Kazi mzur mh Rais wetu umeongea km Kiongoz wa nchi pia umeongea Kama mzazi mwenye upendo na watu wako Mashaallaah Tumuombe Mola aliondoe hili janga la Corona hakika sisi hatuliwez hata kw secunde.. Stay safe please
Unajua JPM bhana dah.... Mungu akuweke
Kiongizi shupavu huwatia moyo watu wake
Maghufuli tano tena 2020
Best leader with critical ideas
Sawa baba yetu
Dr Magufuri ujue Mungu awekeza kwako Roho mtakatifu ili ulimwengu utambue na hili litakupa mpenyo mzuri wa kuliongoza Taifa na wewe watanzania tunakuombea mnoo na tunakupenda na uchaguzi ingependeza tuseme baba endelea Ila kwa kuheshimu katiba ya nchi tutachagua ili lazima upite kwa asilimia mia 100% ya wapinzani wako
Safi sana
ASANTE BABA MUNGU AKUBARIKI
Kwa neno la mh raisi linaeleweka sana kwa wenye imani. Tunatakiwa kusimama kwa maneno ya kinywa cha raisi wetu
Yes, the president
Nimefurahi Sana Tanzania kuwa sehemu ya wanaoenda kanisani wakati huu huyu raisi nimemkubali Sana kwa hotuba take Ila mwandishi punguza kuandika gazeti wakati sauti ipo
Hakika ktk msalaba tumekombolewa
Haswaaa, tunao wokovu mkuu kwa msalaba
We love u our president
We have a president sent from God, i wish ungeongeza muda wako ili nchi iendelee hivi hivi ilivyo sasa. lakini kwa Mungu alishindikani jambo akitaka uendelee baada ya muda wako inawezekana kabisa na nguvu akakupa ya kuongoza
Alale Mahali pema
Prophet maghufuli
Good
Amen
𝙼𝚄𝙽𝙶𝚄 𝙰𝚉𝙸𝙳𝙸 𝙺𝚄𝙺𝚄𝚃𝚄𝙽𝚉𝙰 𝙽𝙰 𝙺𝚄𝙺𝚄𝙹𝙰𝙻𝙸𝙰 𝚁𝙰𝙸𝚂𝙸 𝚆𝙴𝚃𝚄 𝙼𝙷.𝙳𝚁.𝙹𝙾𝙷𝙽 𝙿𝙾𝙼𝙱𝙴 𝙼𝙰𝙶𝚄𝙵𝚄𝙻𝙸 🇹🇿
Mung azid kukulinda mwanaume
Our favourite president
Kwa nguvu ya Msalaba...tutashinda...imani ni bayana ya mambo yasiyoonekana....hongera Magufuli you look very far
Amina
Kwakweli sikuku ya ijuma kuu kwetu wa kristu ni huzuni ila ni fulaha kwasababu kuna mafundisho alituachia
JPM
Kama inchi zote zingekuwa na Rais kama huyu wa Tanzania corona virus :19 ingepigwa vibaya sanaaa ubarikiwe miheshimiwa
Sawa john Mungu ni mkuu
i wish nigelikua tz
Rais Wangu ....☝️
Safi
👏👏👏🙏🙋
Magufuli wetu kpz cha watu
Magufuri Ujue Mungu awekeza Roho mtakatifu ndani yako
Baba Mungu bariki huyu mtu japo sisi hatujui moyoni mwake anataka kutusaidia Ila hatutajua Kama anataka kutusaidia Bari mpaka akifa
Warumi 8:28,31Mungu akiwa upande wetu Nani atakuwa juu yetu
Ipo haja ya kuepesha mikusanyiko hata ya kidini.Kiukweli virus vya Corona,maambukizi yake sio ya kawaida.Mikusanyiko inaweza ikawa chachu ya kusambaa kwa ugonjwa wa Corona.
Rip
Mimi naomba kujua, hivi hii channel ya Ikulu ni ya Serikali au ni mtu binafsi? Na kama ni ya Serikali yetu mbona Subscribers tupo wachache hivyo! Tena hapo Subscribers wengine ni wakenya maana wakenya wanaipenda Tanzania. Ndiyo kusema hiyo ni picha halisi ya jinsi Watanzania tulivyokosa uzalendo kwa nchi yetu! Kule kwa kina Diamond Subscribers ni Milioni halafu huku laki, kweli! Sasa nasema kama wewe ni Mtanzania na unajitambua na hujasubscribe hii channel; haraka sana SUBSCRIBE.
MUNGU YUPO PAMOJA NASI, MH RAIS NAKUAMINI KWAMBA UNAMWAMINI MUNGU, TUMWOMBE MUNGU ATUEPUSHE KABISA NA GONJWA HILI LA CORONA LISIENDELEE KABISA TENA.
Two of the cases reported in Kenya, are from Tanzania....
U r so stupid
Haijalishi in Hebrew 11:1" imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo yasiyoonekana." Kila mwanadamu anaishi duniani kwa imani ndo maana tunajenga majumba nk. Mungu alimwumba mwanadamu ili aishi kwa imani. Biblia inasema pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu.
Richard Ndegwa
So
Kenge weee
Hao wa kwenu mnaipakazia Tanzania, tunawafahamu na akili zenu za kipuuzi,Mnajiona kuwa nyinyi in kila kitu hapa Africa kisa mnajipendekeza kwa mabwana zenu wazungu!foolish Kenyans
Kumrudisha mpenzi siku3 peteyabahati:popote ulipo unapata:0759356109
kajohn😂😂😂😂
Amen
MUNGU YUPO PAMOJA NASI, MH RAIS NAKUAMINI KWAMBA UNAMWAMINI MUNGU, TUMWOMBE MUNGU ATUEPUSHE KABISA NA GONJWA HILI LA CORONA LISIENDELEE KABISA TENA.
Amen