#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 107

  • @BensonTemu-h6h
    @BensonTemu-h6h 12 годин тому +2

    Lengo ni chama kife waseme ni lisu kakiua😢

  • @IbrahimKasambala-ts8re
    @IbrahimKasambala-ts8re День тому +2

    Mboweeee urais tena kweli chadema TUNA kazi kubwa mnooo!!!!!!!

  • @ElizabethSteve-dc1sh
    @ElizabethSteve-dc1sh День тому +4

    Amina Hauna makuu Mungu akulinde

  • @JoachimRajab
    @JoachimRajab День тому +2

    Nakushukuru saana Mwamba umenibariki.

  • @josephnemgosi8804
    @josephnemgosi8804 День тому +3

    Mbowe baba mtaafu uko vizuri

  • @IbrahimMuro-q4z
    @IbrahimMuro-q4z 11 годин тому

    Atukutaki

  • @RichardTenga-yj3qo
    @RichardTenga-yj3qo День тому

    Saaaafi sana.mpo imara zaidiiiiii

  • @bernardshabanshija924
    @bernardshabanshija924 День тому +3

    Tundu Lisu na John Heche mkiruhusu huu uhuni mtakuja kukumbuka maneno yangu ccm wanataka kurudi kwa mgongo wa nyuma mkiruhusu huyu jamaa agombee mmeisha, kama kumuacha mbowe chama kitakufa Acha kife lakini nasisiza haikubariki.

    • @NyangoboNyangobos
      @NyangoboNyangobos День тому +1

      Kwani mbowe kafanya kosa gani kubwa kiasi kwamba hafai hata kugombea uraisi

  • @edwardmakonge6951
    @edwardmakonge6951 20 годин тому +1

    aaah hii hotuba ni ya zamani,imerudiwa kwa malengo yapi??

  • @NasaelManya
    @NasaelManya День тому

    Sawa tu,Nitakupa kura yangu.

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 10 годин тому

    Hamna kitu hapo

  • @JoshuaStephano-v1x
    @JoshuaStephano-v1x День тому +1

    Safi saaana kwa urais mm na kielewa nipo nawewe kabisa

  • @JamesMichael-y8l
    @JamesMichael-y8l 7 годин тому

    Wakishindwa watuletee huku mtaani majina tuwaambie nani akae

  • @JamesMichael-y8l
    @JamesMichael-y8l 7 годин тому

    Hotuba ya zaman msituleteee uhuni huyu tulishakubalian kumtoa na shutuma anazo chama kwq sasa kinatakiwa watu wenye kashfa yoyote wasijirudie kama mqmbo ya kina lowasa

  • @BensonTemu-h6h
    @BensonTemu-h6h 12 годин тому

    Bado hakubaliki kama lisu kwa wananchi wote bila kujali vyama. Ameandaa kundi lake lililofeli. Mbona simuoni mkiti wa chadema? Watakiua chama😂

  • @AYUBUTWEVE-i5s
    @AYUBUTWEVE-i5s День тому

    Mungu bless you

  • @majutojackson5718
    @majutojackson5718 День тому

    hii mbona ya siku nyingi!!

  • @TUKUYU_NTOKELA
    @TUKUYU_NTOKELA День тому

    Ivi nyi viongozi mna waza Nini mna niweka Tena mbowe mna Unguwa Yani agombee uraisi mlamba hasali au mlikuwa mna tafuta kiki kama. Mbowe ata gombea uraisi ntahama chama maan mnatuchangànya au mm kosa mtuwakugombea ulais ivi nivituko kumbe lisu hamna kitu uwo niunafik sasa

  • @kitomaryjr5354
    @kitomaryjr5354 День тому +1

    Hii ya siku nyingi😊

  • @jetymagereja4058
    @jetymagereja4058 День тому +1

    Imeisha hiyoo

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 23 години тому

    Ya zamani hii

  • @Fredykomba-w1v
    @Fredykomba-w1v День тому

    uhuuu madrid ya ufaransa tena

  • @annamushiaminaaa4367
    @annamushiaminaaa4367 День тому +2

    Njoo hai bbaa kwa ssaa unamuda mzuri na ssii

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 День тому

    Hicho kikao Cha Ukoo wa mboe. Atuwaitaji

  • @ditrickluoga7741
    @ditrickluoga7741 День тому

    We jamaa hukati tu tamaa, pumzika bwana, hakuna kitu hapo.

  • @Alphonce-z3c
    @Alphonce-z3c День тому

    Hawa doo wafuwasi wa mbowee KAZI Kwangu ukuna
    KAZI

  • @OmaryHeri-c3h
    @OmaryHeri-c3h День тому +1

    Pumzika mzee hauna jipya

    • @camilomassao8971
      @camilomassao8971 День тому

      Huna shukrani ndugu. Unafaidika nini kusema hivyo. Huoni jema kwake kweli.

  • @rajabushabani8386
    @rajabushabani8386 День тому +1

    Hii alifanya kabla ya kuondolewa kwenye uenyekiti

  • @TUKUYU_NTOKELA
    @TUKUYU_NTOKELA День тому

    Kweli chadema imekwaisha ccm kweli ninoma mhmbowe aka gombee urais kama mtu hakutata kutoka kwenye uwwenyekiti je urais itakuwaje hapo tutafakali makini

  • @bernardshabanshija924
    @bernardshabanshija924 День тому +1

    Chadema tusifanye kosa hili asilani, mbowe akaee pembeni kabisa huu mchezo awaachie wanaoweza. Chadema tutakuwa hatujatatua tatizo kabisa.

    • @NyangoboNyangobos
      @NyangoboNyangobos 23 години тому

      Benardct nahisi kama ccm wamekutuma uje kukigawa chama chetu

  • @praynath
    @praynath День тому

    Shenziiii

  • @LucianSanga
    @LucianSanga День тому +1

    Mbowe Tume sema Upumzike wajukuu wana kuitaji sana wakati huu Tuna Taka Uwe Mushauli Mkuu kwenye Chama chetu

  • @mosesibmshangamshanga7885
    @mosesibmshangamshanga7885 День тому

    Tulikupenda natunakupenda ila mabadiliko haya tuyapokee wote

  • @RichardTenga-yj3qo
    @RichardTenga-yj3qo День тому

    NCHI HI HAJAWAHITOKEA MTU ANAEJIAMINI KAMA WEWE KATIKA SUALA LA UCHAGUZI HURU NA HAKI NA UWAZI KUSIASA.UMETOA FUNZO.SIJUI KAMA KUNA ATAKAETHUBUTU KATIKA CHADEMA AU VYAMA VINGINE VYA SIASA.

  • @RwegoshoraPatt-os2ik
    @RwegoshoraPatt-os2ik День тому

    Umetumwa tu na upande wa pili

  • @Chale-cf6ie
    @Chale-cf6ie День тому

    Nakuelewa chearpason

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 День тому

    Ndiyo maana wameamua kukutoa baada ya kuona mtumwa na mla rushwa

  • @BichongolaInvestment
    @BichongolaInvestment День тому

    SAFI SANA MAPAMBANO YANAENDELEA,TUKO PAMOJA MH MBOWE

  • @RajabuSelemanibidida
    @RajabuSelemanibidida День тому

    Pambana mbowe wakati ndio huu umefika

  • @MashallaShimbi-pw7ix
    @MashallaShimbi-pw7ix День тому

    Hovyooooooo!?

  • @barakaabdallah3579
    @barakaabdallah3579 День тому

    Mmmm

  • @georgendibalema9062
    @georgendibalema9062 День тому

    WASIRA ntani yumo😂😂😂

  • @bernardshabanshija924
    @bernardshabanshija924 День тому

    Huyu alijua kabisa wale 19 waliendaje kuapishwa na leo ccm wamewakaribisha acheni kabisa hii kitu lea kitu kingine lakini siyo nyoka hana undugu na binadamu kabisa.

  • @frankmwinuka6298
    @frankmwinuka6298 День тому +1

    Huu uongo 😂😂

  • @emmanuelntalima1717
    @emmanuelntalima1717 День тому

    Hiki ni kikao cha kukubali kugombea uenyekiti wa chadema, ni ya zamani

  • @ChaulaBatweli
    @ChaulaBatweli День тому

    😊😊😊😅

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq День тому

    Ulisha halibu

  • @macdonaldmassawe6277
    @macdonaldmassawe6277 День тому

    Madrid ya ufaransa sio 😂😂

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c День тому

    niwape honest

  • @CarlMagi
    @CarlMagi День тому

    Hii ni hotuba ya Mbowe siku aliyochukua fomu ya kugombea tena uenyekiti ambapo hatimaye ameshindwa na Lissu

    • @Chale-cf6ie
      @Chale-cf6ie День тому

      Wewe ni lofa hii ni Leo ACHA ujinga

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 День тому

    Hapa mbowe anamaanisha nn?

  • @IsaayJohn
    @IsaayJohn День тому

    Kumbuka 2005 ukiwa pale Aicc ukifanya faragha ya kuhadaa cdm

  • @PriscaMsoke
    @PriscaMsoke День тому

    Asigombee mbowe agombee lisu,pumzika wewe mzee

  • @ZainabuHassan-uk2zt
    @ZainabuHassan-uk2zt День тому

    R.i.p Mheshimiwa pumnzika

  • @AboubakarRashid
    @AboubakarRashid День тому +1

    Mbowe nmtu mwenye busara za hali yajuu san najiulza nyinyi munao mbeza mbowe iv muna mioyo ya binadamu iv kwel chadema y a Leo ndo Ile ya eluf mbil

  • @EzekiaKyando-o2i
    @EzekiaKyando-o2i День тому +1

    Kama wanachana awakutak wanainch je kwani kupumzka

  • @HijaLuhumba
    @HijaLuhumba День тому +1

    Safi mkuu nakuonga mkono

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 День тому

    Wewe ndio Unataka kukipasua chama Mungu atasimama wewe ninani bwana kwendraaaaaaa!!!!!🙄🙄🙄🙄🙄

  • @olsolasindila694
    @olsolasindila694 16 годин тому

    ??

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 День тому

    Hufai kua raisi Tundu lisu ndio anaetakiwa kuoambana Na serikali ya CCM. Wewe ufai.wewe ni mnafiki ulisha lamba Asali. Huna tofati na LIPUMBA

  • @hajimjaja1163
    @hajimjaja1163 День тому

    Si tumeambiwa leo siyo sk ya kazi jamani!

  • @CosterMwakeleka
    @CosterMwakeleka День тому

    Mwamba

  • @JimmyJm-c1s
    @JimmyJm-c1s День тому

    Wanachama hawakutaki

  • @IsaayJohn
    @IsaayJohn День тому

    Hafai hat kwa mchuzi

  • @DanKirahi
    @DanKirahi День тому

    Kauli hii niya kibaguazi

  • @salminmayla
    @salminmayla День тому

    Anatambulisha timu yake, huyu ndiye aliyetuchelewesha anaanza kutuletea vurugu kamati lini imempitisha lini? Hii ni vurugu ccm wanahakikisha hamna upinzani

  • @MaulidHimidi
    @MaulidHimidi День тому

    Huna mvuto tena pumzika

  • @kuchimillionaire6683
    @kuchimillionaire6683 День тому

    Tunamhitaji Lissu

  • @micgaapary7216
    @micgaapary7216 День тому +1

    Simuelewa huyu mzee

  • @vitalisvedastus5191
    @vitalisvedastus5191 День тому

    Shenzi zenu hii press ni ya mwaka jana akitangaza kugombea umwenye kiti

  • @micgaapary7216
    @micgaapary7216 День тому +1

    Huna jipya

  • @EzekiaKyando-o2i
    @EzekiaKyando-o2i День тому +1

    Haelewki ata kidogo anaonekana alijiamn kama atatoka siapumzke

  • @micgaapary7216
    @micgaapary7216 День тому +1

    Hatukutambui

  • @DavidDeus-qb2uh
    @DavidDeus-qb2uh День тому

    hii taarifa ya zaman acha ujinga bc kutupoteza

  • @GodfreyJ.GMasunga
    @GodfreyJ.GMasunga День тому

    Polisi wamemkatalia mnyika kufanya press conference, tuweke kumbukumbu.

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 День тому

    Mbowe huna madaraka acha utakuja kuadhirika

  • @dengepandu9734
    @dengepandu9734 День тому

    Pumbavf

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 День тому

    Kwa uraisi unafaa mzee ila uenyekiti ulikua hufai

  • @johnbenson6648
    @johnbenson6648 День тому

    Hii ya lin

  • @johnbenson6648
    @johnbenson6648 День тому

    Hii nn

  • @abdulmajidmageja6562
    @abdulmajidmageja6562 День тому

    Sauti ndogo

  • @JovinusRwegoshora
    @JovinusRwegoshora День тому

    Acha kutudaganya mambo ya muda mrefu kwenda huko

  • @salminmayla
    @salminmayla День тому

    Mwamba katumwa na ccm , cmpendi

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 День тому

    Atukuitaji msenge wewe. Tushakuchoka na CHADEMA mkimsimamisha mboe Tunaachana na hiki chama

    • @CharlesLobulu
      @CharlesLobulu День тому

      Wewe ni mmoja tu Kati ya mamilioni ya wanachadema utaondoka mwenyewe.

  • @vitalisvedastus5191
    @vitalisvedastus5191 День тому

    Nawa block wasenge nyieeeee

  • @EzekiaKyando-o2i
    @EzekiaKyando-o2i День тому

    Atukutak uwenyekit ilais je

  • @AmbangileMahenge
    @AmbangileMahenge День тому

    Mh tangu lini nchi hii ikaongozwa na Raisi mlutheri????

    • @JohnKipalile-e2y
      @JohnKipalile-e2y День тому

      Udini wa nn sasa

    • @joshuaswai8203
      @joshuaswai8203 День тому

      Hivi ninyi mnaomtukana Mbowe Akili zenu zinafanya kazi kweli? Tumieni Akili acheni upumbavu acheni kutusi baba yenu

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 День тому

    Wewe unautubia Kama Nani Atukuitaji wewe Ni mlafi mwizi Ilooooo. Huna haya Kura zimekutoa unang,Ang,Ana tu Atukuitaji wewe mzeee. Kafie mbele

  • @FelixMurishi
    @FelixMurishi День тому +2

    Huna jipya😅😅😅

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 День тому

    Wewe Unaongea Kama Nani Atukuitaji kipele kinakuwasha

  • @landplanconsult580
    @landplanconsult580 День тому

    MBOWE ULISEMA LISSU ALIKUWA ANAHUTUBIA TAIFA KAMA MWENYEKITI WEWE JE UNAFANYA NINI? KWANI WEWE NI MWENYEKITI

  • @noussommecapable7570
    @noussommecapable7570 День тому

    Pumzika hauna tena kiongozi wachama

  • @MosesMnyantope-zw4ed
    @MosesMnyantope-zw4ed День тому

    D