🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 вер 2024
  • 🔴#Live: NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO AUWASHA MOTO TANESCO - "WATANZANIA WANATAKA UMEME"...
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 191

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Рік тому +2

    JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!

  • @marianajohn5415
    @marianajohn5415 Рік тому +3

    Wewe ni kiongozi na nusu 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 mtu anayeheshimu na kuwatia moyo watu anaowaongoza. Aheshimiwe sana! Mama kafanya chaguo sahihi saaaaanaaa

  • @mwenem8130
    @mwenem8130 Рік тому +7

    Salute Ndugu Naibu Waziri Mkuu!! Kipara ametuumiza sana

  • @berthatz
    @berthatz Рік тому +3

    Kuna viongozi sinaga maneno mengi juu yao..Mungu akuongoze mh Biteko..Tunaimani sana nawewe..Wewe ni kiongozi mzalendo,Tunakuombea tunaimani nawewe kaka yangu.Kazi nzito hiyo lkn kwa kumtegemea Mungu ,kuchapa kazi na uzalendo utashinda …Mungu akutunze.🙏🏾

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 Рік тому +3

    Akili kubwa na ni mtendaji👏👍👍

  • @christophermwashiozya5178
    @christophermwashiozya5178 Рік тому +2

    Doto Biteko, Mashaka hongera sana una maono mazuri, unaitengeneza vzr Tanesco mpya Mungu akurinde. 🎉🎉 Lakini Binafsi nakuona Waziri mkuu ajaye 2025 Yashike haya na uyalinde Mungu akusimamie.

  • @benedictogodfrey7712
    @benedictogodfrey7712 Рік тому +2

    Hongera sana Mh. Naibu Waziri Mkuu

  • @LAMBOMICHAEL-fq1bh
    @LAMBOMICHAEL-fq1bh Рік тому +1

    Sukumaland be blesed.

  • @amosijoshua8410
    @amosijoshua8410 Рік тому +7

    Naiona vazi la Magufuli limekudondokea naamini yordan river, itapasuka maana tunaona taa ya matumaini inawaka ktk msitu mnene wenye Giza Totoro, Mungu akubariki Sana Biteko.

  • @LonginoNgwada
    @LonginoNgwada Рік тому +8

    Waziri biteko wewe ni zaidi ya mchungaji honest your speech is very touching and motivational to the national thank you so much Dad❤

  • @labos1111
    @labos1111 4 місяці тому

    President in waiting...a very brilliant guy 👍

  • @eddytheophil7626
    @eddytheophil7626 Рік тому +3

    Umenekosha mdogo wngu..lkn iwe kweli..Mungu akutendeee..

  • @bishopkulwajz209
    @bishopkulwajz209 Рік тому +4

    Mungu akubariki na kukutunza,wewe ni tumaini jipya kwa Watanzania wanyonge,songa mbele upo kwa ajili ya matokeo makubwa.

    • @ngwegwenurdin4318
      @ngwegwenurdin4318 Рік тому

      Wazazi waliwaelekeza na waliwatii kwa muonekano. Yaaani HOFU YA MUNGU.

  • @marianajohn5415
    @marianajohn5415 Рік тому +2

    I repeat this one more time! Our president made the best choice ever 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 hapa kwakweli umeme hautosumbua tena

  • @frankmabubu2299
    @frankmabubu2299 Рік тому +1

    Speech hii imeenda shule kweli kweliiiiiiiiii 👏👏👏

  • @Deboracharles-pw6wg
    @Deboracharles-pw6wg 11 місяців тому

    Waziri , nakupenda ,ubarikiwe

  • @kyaruzilutaadolph1835
    @kyaruzilutaadolph1835 Рік тому +1

    It's one of the great speaches

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du Рік тому +1

    Good management style. Kazi ipo mara hii.

  • @halimadamasi2770
    @halimadamasi2770 4 місяці тому

    Uko vizuri mkuu❤❤

  • @zacharyyesaya
    @zacharyyesaya Рік тому

    Mheshimiwa Doto Mungu akuinue zaidi na akulinde.Umetufaa sana

  • @titomkeya1828
    @titomkeya1828 Рік тому

    ASANTE...Asante....Asante Sana.

  • @jofreusimon8514
    @jofreusimon8514 11 місяців тому

    wewe ni nabii usikatae kwa kuwa unaitumikia serikali uko upande mzuri kwa kumtumikia mungu na umesema huwa ukiwa kwenye maombi na familia yako unawaombea watu huo ndio unabii kama unamuabudu kwa roho na kweli. barikiwa sana mtumishi wa mungu watanzania wanataka umeme ova.

  • @dottomatola5905
    @dottomatola5905 Рік тому +2

    Hongeleni bukombe mmezaa mtoto mwema

  • @winnerjudith2007
    @winnerjudith2007 Рік тому

    Big up kiongozi ,yaani TANESCO mtusaidie kwakweli umeme umekua shida

  • @legendmmari8094
    @legendmmari8094 Рік тому +1

    Safi sana waziri nakuelewa sana watzanzania wanataka umeme

  • @JasilManjalam
    @JasilManjalam 11 місяців тому

    Safi sana kiongozi tunataka umeme ikiwezekana ata nguzo tusilipishiwe tulipie tu 27

  • @Budi-588
    @Budi-588 Рік тому

    Daaahhhh nime enjoy Sana kuskiliza hii speech

  • @pierremkelemi5548
    @pierremkelemi5548 Рік тому

    Mungu akutangulie Muheshimiwa Biteko naona nuru mpya kwa watanzania kwenye nishati Asante mama Samia Suluhu Hassan Raisi wangu mpendwa kwa maamuzi yako bora kwa kuwa wewe pia ni mama bora kwa sisi watoto wako wa Tanzania ❤

  • @chunkurikachondo5820
    @chunkurikachondo5820 Рік тому

    God wish u......

  • @greepheneexauth9188
    @greepheneexauth9188 Рік тому

    Mungu akubariki sana sana sana

  • @galluskanenge4898
    @galluskanenge4898 Рік тому

    Naona Mungu yupo ndani yake ! Asimwache aende zake !!,aendelee kumtukuza Mungu siku zake zote.

  • @damianjoseph4013
    @damianjoseph4013 Рік тому

    Aseeh Great Great Great Speech

  • @maphandeahmed7732
    @maphandeahmed7732 Рік тому +3

    Mimi nakuamini doto lakini srkl yako haijatulia mungu akusaidie biteko najuwa utafika mbali nimekuona kwa macho na akili ni mtendaji kazi mzuri

  • @PeterNdembo
    @PeterNdembo Рік тому

    Hotuba hii konk sana....
    Mungu akubariki sana....!!

  • @paschalsamuel2345
    @paschalsamuel2345 Рік тому

    Ubarikiwe kiongozi

  • @oswaldnyinge3287
    @oswaldnyinge3287 Рік тому

    Excellent speech

  • @nitikekubetta9152
    @nitikekubetta9152 Рік тому

    Mungu akupe uzima biteko smart mind

  • @HashimYahaya-l9g
    @HashimYahaya-l9g Рік тому

    Uko vzr kaka

  • @anickashasha
    @anickashasha Рік тому +3

    Bahati mbaya sana huyu kijana anapitia kwenye chama kibovu kilichojaa majambazi.

    • @omarymkamba3045
      @omarymkamba3045 Рік тому

      Chama gani ambacho hakina majambazi? Usiwaamini wanasiasa wote ni waongo.CHADEMA ni majambazi hafadhali hata hao CCM ni vibaraka wa Western countries.

  • @Ramadhani-ui8hl
    @Ramadhani-ui8hl Рік тому

    NaKupenda sana biteko wewe kweli kiongozi..mungu akutangulie..

  • @elifasiscawa5698
    @elifasiscawa5698 Рік тому

    Big up Biteko! naamini kazi yako

  • @jofreysinchenje1995
    @jofreysinchenje1995 Рік тому

    Great

  • @allywambona3022
    @allywambona3022 Рік тому +1

    hapa mama kateua mtu kwelikweli🙏🙏🙏🙏

  • @JohnGyunda
    @JohnGyunda Рік тому

    Hongera mzee MUNGU kwa kumtonya mh Rais amteua biteko kuwa naibu prime minister. Hongeren sana

  • @mosesbarnaba7851
    @mosesbarnaba7851 Рік тому

    Safi sana

  • @yudatadeimdoe9215
    @yudatadeimdoe9215 Рік тому

    Kaz nzuri Mh.buteko...ushaampita ata majaliwa,, maana yeye mda wote ni kusema tuu"""Dr Samia oyeeeeeeeee"" alafu utekelezaji ni zero..

  • @kelvinimasagasi7398
    @kelvinimasagasi7398 Рік тому

    Kazi,njema

  • @gidionkatulumla4022
    @gidionkatulumla4022 Рік тому +2

    Huyu ni akili kubwa Sana, kama hawatampiga fitina ....anaweza kuiweka vzr Serikali, nimkweli na hanaga unafiki....tumwombee, he is a future big Leader ....through him naamini Taifa Letu siku moja litafika mbali .... cheers 🎉🎉

  • @elizajumanne8059
    @elizajumanne8059 Рік тому

    Ubarikiwe sana

  • @enziseme4712
    @enziseme4712 Рік тому

    Daaah Biteko nimekuelewa sana,sijanza Leo lkn kuanzia wewe ni kiongozi mwenye maono,nakupenda aisee!!

  • @nicholaslikombe4900
    @nicholaslikombe4900 Рік тому

    Mtaniiii. ......nilijua Mungu atakuinua tu.....!! Mungu akulinde. .....

  • @rizikiagostino5768
    @rizikiagostino5768 6 місяців тому

    Naomba namba waziri tunachangamoto

  • @sihabahusseinmdee1102
    @sihabahusseinmdee1102 Рік тому

    kweli kiongozi sisi shida yetu umeme tu hayo mengine sisi hayatuhusu huduma kwa wateja tanesco mbovu sana wanafanya kazi kwa mazoea rushwa ndio mbele ukitaka kitengo cha dharura sio poa naomba waziri ushughulikie hilo sisi tunahitaji umeme wa uhakika tufurahie maisha yetu

  • @MwalimuD
    @MwalimuD Рік тому +2

    Kidogo moyo wangu imetabasamu japo kwa mbali

  • @paulmrutu8500
    @paulmrutu8500 Рік тому

    Safi sana Tunatak Umeme,Shikilia hapo hapo

    • @ManyemaManyema
      @ManyemaManyema Рік тому

      Mh waziri biteko tunakuomba utuludishie ile bei ya tsh27.000/= wananchi tunahali mbaya Sana

  • @brunondongolo9820
    @brunondongolo9820 Рік тому

    Mungu akupe nguvu

  • @kunyaobelela4062
    @kunyaobelela4062 Рік тому +2

    Km ingetokea akawa rais, nahisi watanzania tungepona maradhi yanayotusumbua ndani ya nchi yetu.

  • @teresiamgimba5498
    @teresiamgimba5498 Рік тому

    Umeme

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 Рік тому +1

    Rudisheni ile bei 27000 ili tupate umeme wengi na tanesco wapate malipo meng tunapo nunua mbona enzi za Jpm ilikua hivyo but ikashindikana kwa January

  • @AmonBoniphace
    @AmonBoniphace Рік тому

    Mungu akutangulie kila uendako na sekta yako nzima.
    Kweli umeme tunautaka na uwe wa uhakika.

  • @hajiissa9200
    @hajiissa9200 Рік тому

    Safi sana mkuu

  • @simonkasya6500
    @simonkasya6500 Рік тому

    Speech nzuri sana, kama viongozi wako wa juu mh. Biteko watakupa ushirikiano utafanya vizuri lakin kama Mamlaka zako za Uteuzi ni Mbovu hakuna kitu utafanya, nafaham sina mwanasheria lakin ukweli lazima niongee. Tanesco hawa nadhan hawana tatizo kabisa kama waliweza kukaa miaka takriban sita umeme haukua tatizo then ndani ya mwaka mmoja tatizo limekuwa kubwa hivi, ukweli nikwamba uozo upo kwa Mamlaka za juu yaan Executive. Binafsi ninamatumaini makubwa sana nawew mh. Biteko na ninakuombea ukawe wakili mwaminifu.

  • @DavidyOlange
    @DavidyOlange Рік тому +2

    Hotuba nzuri waziri kuwa mkali kwa wtendaji wako watanzania tunataka umeme Fanya jambo juu hili LA umeme Tanzania haiezi kuwa giza

  • @shungumwaisanila7193
    @shungumwaisanila7193 Рік тому

    Safi sana waziri Buteko

  • @Japhary-sx3je
    @Japhary-sx3je Рік тому +1

    Daa magufuli kafufuka sijawai kusikiliza utuba ya kiongozi yoyote zaidi yako toka magufuli afe

  • @elifasiscawa5698
    @elifasiscawa5698 Рік тому

    Karibu king,ori Arumeru

  • @mohamedikambona7537
    @mohamedikambona7537 Рік тому

    Amezungumza hapo kuwa baadhi ya watendaji wanataka tuwaone mungu watu hilo ndyo tatzo hafanyi kazi mpaka utoe pesa.

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 Рік тому

    I hope they now understand this simple language..tumechoka nao!! Watanzania tunataka UMEME!!

  • @jeamwenda7394
    @jeamwenda7394 Рік тому

    Future prezda!!

  • @zawadisisto8188
    @zawadisisto8188 Рік тому +2

    Umenifanya nitamani kukuamini zaidi

  • @GideonMalyego
    @GideonMalyego Рік тому

    Ukitka kwnda vzr pga chni hyu MD maana hawa wote ni maswaiba na Makamba weka MD mwngne.

  • @iddymtambo7186
    @iddymtambo7186 Рік тому

    Kiongozi Mungu akubariki nimefurahi pia kwa nini tanesco wanaleta miter mbovu zinazo zima na kuwaka

  • @elizajumanne8059
    @elizajumanne8059 Рік тому

    Mungu amekuona hekima kubwa sana

  • @joelwillson3437
    @joelwillson3437 Рік тому

    Nikweli Tunataka Umeme. Barikiwa Kiongozi. Sio Enzi Ya Vibatari!!!!

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du Рік тому

    Tanesco anthem - watanzania wanataka umeme - 3x

  • @bettyrugemalila9185
    @bettyrugemalila9185 Рік тому

    Mh anajua km tuna mgao toka miezi miwili iliyopita?

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 Рік тому +1

    Yani ww ndo uliye Baki kuwa tunaini la watanzania kiujumla doto biteko ndo tunaini lijayo

  • @mashakalonka7767
    @mashakalonka7767 Рік тому +3

    "watanzania wanataka umeme!",maneno mazuri mh.waziri wa Nishati na naibu waziri mkuu,umeme umekua kero mheshimiwa niko Mbeya hivi ninavyoandika sasa hivi umeme umekatika,nashindwa kusonga ugali,nashindwa kunyosha nguo maana umeme umekatika,msaidieni mhe.Rais wetu nia yake njema ya watz kupata umeme wa uhakika itimie!.
    Ila kwa hotuba yako mh.Biteko napata matumaini!.

    • @ngwegwenurdin4318
      @ngwegwenurdin4318 Рік тому

      ❤NAIBU WAZIRI LANGU BABAUUU. a.k.a ''WATANZANIA WANATAKA UMEME''. OYO OYO OYOOOO! WAKILEGA LEGA TUNAFAHAMU NI TANESCO NDIO KIKWAZO. MIHERA KIBAAAO. HUDUMA ASTE ASTE.

  • @ambelecheyo5667
    @ambelecheyo5667 Рік тому

    Mhe.Naibu waziri Mkuu Kwa kweli maneno yako nmeamini Bado Tanzania tuna hazina ya viongozi.

  • @bharyasarbjit1187
    @bharyasarbjit1187 Рік тому +3

    Mhe Naibu Waziri Mkuu sisi hatuja lipwa na JV Arabs sasa miaka mitatu na Nusu 11 B bila Sisi Becco Ltd wasinge fika site Nyerere Dam. Sisi tuna zungushwa kila kona.

    • @kunyaobelela4062
      @kunyaobelela4062 Рік тому

      Anavyooneka kwa macho ya nyama ni msikivu. Hebu mcheki inbox kwa hilo tatizo lako, huenda utapata msaada

    • @shangaraijr9472
      @shangaraijr9472 Рік тому

      Haki unapata kwa mahakama, unakwama wapi shitaki hao waliokutapeli

    • @bharyasarbjit1187
      @bharyasarbjit1187 Рік тому

      Tume enda Arbitration ime toka award moja badae waka fanya mpango ika toka ya 2 angine haija Anzwa wana taka muda ipite waondoke. Hapo ina takiwa order itoke waone ukweli ni Nini Hivyo wana zungusha miaka 3 na Nusu sasa.

  • @joramkimario9321
    @joramkimario9321 Рік тому

    Bitokeee🎉🎉🎉

  • @DicksonZacharia-t5h
    @DicksonZacharia-t5h Рік тому +1

    Leo mchana ni mwingi sana ila usiku sijui

  • @margaretjoseph6501
    @margaretjoseph6501 Рік тому +1

    Tanga pia umeme unakatika sana mara kwa mara kila siku... twataka umeme.

  • @InnocentYohana-c7z
    @InnocentYohana-c7z Рік тому

    Hotuba nzuri

  • @mussamashauri
    @mussamashauri Рік тому

    Shusha ghalama za umeme kutoka 27000, na had 517000 ni aibu kubwa wimbo wako hauna maana watanzania wataka umeme, kwa ghalama gani

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 Рік тому

    Kiukweli Tanesco Wana kazi hasa maeneo ya vijijini umeme wa Rea, vitongoji vingi havina umeme

  • @abubakarmaulidi9745
    @abubakarmaulidi9745 Рік тому +1

    Huyu ndio rais ajae

  • @edwinmwaitebele
    @edwinmwaitebele Рік тому

    Story tu za siasa hapa hakuna chochote kinachofanyila umeme uwe shida kinajulikana ni deals zao tu wakubwa zao

  • @shakukawele9959
    @shakukawele9959 Рік тому

    👏🏼👏🏼👏🏼🙏🏽🙏🏽

  • @tuntufyemwakafwisya8359
    @tuntufyemwakafwisya8359 Рік тому

    Nimefurai sana kupata waziri mchapakazi na anayejua nini Cha kufanya

  • @milegovicent7082
    @milegovicent7082 Рік тому

    Safi sana ila mpaka sasa giza tupu

  • @fenelisanitariumclinic
    @fenelisanitariumclinic Рік тому +1

    Hapa naona Magufuli anarudi ndani ya Biteko

  • @husseinibrahim2929
    @husseinibrahim2929 Рік тому

    👍🏽

  • @abiadhasmassawes3984
    @abiadhasmassawes3984 Рік тому

    shida tanesco iko peke yake tunaomba mlete shirika mbadala hata nje

  • @mussansese
    @mussansese Рік тому

    by nsese dodoma ,nguzo zinazowekwa barabarani ni zao la kanuni ipi?

  • @hemedbamja3197
    @hemedbamja3197 Рік тому

    Mh umenifumbua jambo.kumbe kwenye social life facts huwa hazishindi,bali perception na mahusiano. Nimekuwa mara kadhaa nakomaa kueleza facts kwenye jambo fulani,lakini nashangaa mbona wengi bado wanapinga.sasa leo nimejifunza.elimu haina mwisho

  • @amosnarzis8040
    @amosnarzis8040 Рік тому

    Du bright sana uyo jamaa anafaa kuwa rais ajaye

  • @ChristerShao
    @ChristerShao Рік тому

    Umeme tatizo kubwa Dar.

  • @yakobochacha1659
    @yakobochacha1659 Рік тому

    Inzi akidondoka kwa maziwa aondolewe na maziwa yaendelee kutumika nimekuelewa sana.

  • @EliauMtishbi-os5ky
    @EliauMtishbi-os5ky Рік тому +1

    Watanzania tunataka umeme tu , mgao wa umeme umezidi