Duh! Sikuwahi kumfahamu biteko vzr kumbe ni mtu makini Sana na mwenye hekima na hana makuu kwA cheo cha jina la kiongozi na pia ni mnyenyekevu Sana tofauti na viongozi wengi tulionao hapa Tanzania.
Huyo nyuma yake bitoke ni nani? Nae tena anakula kodi zetu, bado gar, bado nyumba, vitanda, Tv, mpya, mlinz wa getini, nk, kweli Afrika kwa hali hii maendeleo yatatoka wapi kama mtu mmoja anajichotea mihela yote hii, Da! Pole yetu wote wa Tz.
Nakuamini na kukuheshimu sana Naibu waziri mkuu.
Upo vizuri sana kwa nafasi zako zote unazopewa. Hongera
Well presented, kwa hekima na unyenyekevu kabisa, good leader
Mungu akulinde sana doto utafika Mbali Ni naimani sana wewe tangu nianze kukujua
YESU aedelee kukupa hekima🙏
Duh! Sikuwahi kumfahamu biteko vzr kumbe ni mtu makini Sana na mwenye hekima na hana makuu kwA cheo cha jina la kiongozi na pia ni mnyenyekevu Sana tofauti na viongozi wengi tulionao hapa Tanzania.
Mungu akutangulie
I am impressed by Doto'speach
Piga kazi kijana. Msaidiane na Majaaliwa. Kazi iendelee
Safi kiongozi
Yaani huyu waziri tungelimpata znz ingekua safi kabisa. Angembana hadi rahisi Mwinyi.
Magufuli Style vituko. Hadi raha
SAFI
Safi
Safi
Mmmmmmh na jet lee mara hii!!!
kiomgozi wa kweli na mwenye hisia
mzalendo
Mara nyingi Huwa namkubali huyu jamaA
Kina hawana wema
Huyu ni doto
Tatizo ni kina nfumila kuwili
Mmh hii hotuba na jinsi anavyoongea ni kamaaa kamaaa... daah kanikumbusha mbali sana ni kama apewe au vp jamani si apewe tu mbona kama anaweza