Shuhudia Sheikh Muhammad Bachu Alivyokimbia Mjadala Kwa Swali Moja Na Kujikojolea Kwenye K /Sh.ABOUD

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • Shuhudia Sheikh Muhammad Bachu Alivyokimbia Mjadala Kwa Swali Moja Na Kujikojolea Kwenye Kiti / Sheikh ABOUD
    Mashaa Allah Sheikh Aboud akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Shuhudia Sheikh Muhammad Bachu Alivyokimbia Mjadala Kwa Swali Moja Na Kujikojolea Kwenye Kiti / Sheikh ABOUD
    usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
    Support us DARSA TV
    M-PESA +255 765100906
    Airtel Money +255782466586
    Paypal 👇👇👇👇
    paypal.me/Dars...
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
    Subscribe
    Comment
    Like
    And
    Thanks
    Tu follow katika social media zetu
    Facebook @Darsa tv
    Instagram @Darsatv
    UA-cam @Darsa tv
    TikTok @Darsa tv

КОМЕНТАРІ • 41

  • @ahmedmattar4661
    @ahmedmattar4661 Рік тому +3

    Kwa kweli bachu yupo cheke chea annajifanya anajua kumbe hajui anataka asifiwe mwenzake alitulia hana papara lakini buchu alikua anaruka ruka tu kawaaibisha mawahabi wote

  • @HassanJuma-j8j
    @HassanJuma-j8j Місяць тому

    Vizuri sana wasanii wetu

  • @RayRey-ji1em
    @RayRey-ji1em Рік тому +3

    BACHO UMETUANGUSHA SANA LAKINI AIBU YA ZAIDI NI KUKOJOLEA KITI SHEHE WANGU BACHO AAAAAAAAH UMETUUMIZA BACHO😢😢😢

    • @abubakarhussein2186
      @abubakarhussein2186 Рік тому

      Hatuna uhakika kuwa ni haja ndogo au jasho lilimvuja kwa kutojibu swali moja tu ila hakika kiti kililoaaa😂😂😂

    • @KhalfanKishki
      @KhalfanKishki Рік тому

      Hamutambui. Washenzi wakubwa washirikina.

    • @abubakarhussein2186
      @abubakarhussein2186 Рік тому

      @@KhalfanKishki thibitisha iyo shirki utaulizwa mbele ya allah

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl Рік тому +2

    Leo nimeamini kuwa maulidi sio ibada aliyokujanayo mtume wetu Muhammad ()

    • @abubakarhussein2186
      @abubakarhussein2186 Рік тому

      Unaijua maaana ya neno ibada wewe kisheria??

    • @anwarahmed3267
      @anwarahmed3267 Рік тому

      ​@@abubakarhussein2186 hawa mawahabi ni wagonjwa.shida yao hawasomi alafu wanaongea sana kudhuhurisha ukosaji wao wa ilmu.waswahili wanasema muungwana akivuliwa nguo huchutama hasimami sasa wao hawakusoma wala hawataki kusoma,jamani dini sio mashindano ya mpira.Bachu mwenyewe alizubaa na vimondo alivyokuwa akipewa alafu kuna mwengine hapa anasema maulid si ibada.mnatuaibisha ndugu zetu waislamu someni acheni aibu

    • @anwarahmed3267
      @anwarahmed3267 Рік тому

      Huyu Diudakozi heheh wallah kila anaemfuata bachu anamtihani yani mnafanana na kiongozi wenu kwa kila kitu.vishindo vyenu matusi yenu ilmu hamna mnapenda kujiabisha.kweni mkisoma kisawa sawa mtakuwa mumekosa nn ili mupate kuyajua vzury haya mambo? Bachu mwenyewe amerowekwa mpaka ameroeka kisawa sawa.kama huamini kama bachu alishindwa mfatilie kuanzia munaqasha ishe clip alizotoa ule ushujaa alipkuwa nao kabla bado sasa yuko nao.amezima na sio kuzima bure huezi kutaka kuizima nuru ya bwana mtumi alafu mungu akuache bure bure.

  • @Muhammad-g1n8d
    @Muhammad-g1n8d Рік тому +3

    TULIONA MJADALA MWANZO HADI MWISHO NA TUMESHUHUDIA KUA BACHU HAKUKIMBIA BALI TUMEJUA KUA WATU WA BIDAA HAWANA HOJA YOYOTE YA KUWAPA NAFASI KUZUA KATIKA DINI

    • @HemedSerious
      @HemedSerious Місяць тому

      😂😂😂😂😂

    • @HemedSerious
      @HemedSerious Місяць тому

      Hao mawahabi wamekubali ww mwehu unasema sio kweli

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl Рік тому +1

    Dj saidi alikimbia hoja za sheikh Muhammad bachu kiujanja tulikujuwa sisi .Ulifanya vile Kwa kukimbia hoja

  • @TijosHaba-xi8vy
    @TijosHaba-xi8vy Рік тому +2

    Ukweli umedhihirika bacu alishinda tumezitumia akili zetu kwakufuatilia

  • @rashidinjoe8167
    @rashidinjoe8167 Рік тому +1

    Tumche ALLAH.Chupa ya maji ya kunywa ilikuwa karibu.

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf Рік тому +2

    Bachu ameshinda

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 Рік тому +1

    mawlid ni bidaa si miongoni ya ibada , na mashiri ya bazrajni ni uwongo na ushirikina , na yeyote anayempa mkono mwongo ni mwongo dalili hadithi imepokelwa imaamu muslim من حدث عني بحديث يُرى أنه كذب فهو أحد الكاذبِِينَ" رواه مسلم (1). وقد ذهب جماعة من أهل العلم إلى كفر من تعمد الكذب عليه صلى الله عليه وسلم ‎

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw Рік тому +2

    Akimbie. Tu 😂😂😂😂

  • @jabirkasunzu6841
    @jabirkasunzu6841 7 місяців тому

    Nyinyi DARSA TV, content kama hiyo ya nini mnairusha?

  • @MuhammedBalkiss
    @MuhammedBalkiss Рік тому +1

    Ajakipiya.alijibu.akuna.muhongope allah nyiye bacho ukosahihi tumejihoneyasisiwenyewe musituhadisiya maulidi nihuzuchi

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 Рік тому

      Mh hata kiswahili hujui akili kama yabachu

    • @abubakarhussein2186
      @abubakarhussein2186 Рік тому

      Mada ya jana haikuwa maulid ni uzushi au c uzushi mada ilikuwa ni owongo katk kitabu cha barzanji dhibiti nukta hiyo

    • @anwarahmed3267
      @anwarahmed3267 Рік тому

      User_ws7_ Bachu ameingia kwenye hasara kubwa watu wengi wameona udhaifu wake ukiwa na haki siku zote mungu anakupa utulivu ukiwa mkweli siku zote unakuwa na utulivu.ndugu yetu bachu alipoaanza alidhihirisha udhaifu wake.macho yake yalikuwa yamejaa hofu.mikono yake ilikuwa haitulii mara nikama anajikonyoa.mara kofia haijakaa vzury.mara kiti kimoto.hofu ilimpa joto akawa anakunywa maji sio mchezo.matamshi yake yakukejeli.yani bachu aliaibisha mawahabi kwa ujumla hakuwa na ilmu ndio maana wale waliokuwa wawakilishi wake wakati wa maandalizi walikimbia munaqasha walijua tayari bachu atashindwa.kwa hvyo ukiwa unamuunga mkono bachu na kupinga mawlid nisawa lakini someni hapa kuna siri mnafichwa someni

  • @YussufMassoud-xe3rc
    @YussufMassoud-xe3rc Рік тому +1

    Ww sheikh acha ujinga hyo ni mambo ya kawaida tu acha ujinga mtu mzima hujielewi

  • @YussufMassoud-xe3rc
    @YussufMassoud-xe3rc Рік тому +1

    Kweli mijitu ya bidaa haijielewi jitu Zima Ata aibu halina

  • @faridsalummaulid4681
    @faridsalummaulid4681 Рік тому

    Mi nadhani Bachu arudi darasani na asisome kwa google apige goti maana anazunguka saana saana...

  • @YussufMassoud-xe3rc
    @YussufMassoud-xe3rc Рік тому +1

    Maulid hayafai hata mujifarji kiasi gani

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl Рік тому +1

    Kumbe maulidi ni uzushiii mtupu

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 Рік тому

    Sh bachu lete ushahidi wapi MTUME alikula urojo....

  • @عبداللهمليلو
    @عبداللهمليلو 2 місяці тому

    Kajikojolea

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf Рік тому +1

    Hakuna maulidi katika ahly sunna

    • @suleymanmohd3418
      @suleymanmohd3418 Рік тому

      Kwani maulid ni nini kwa akili zako na unavyojuwa wewe....,!!!?

    • @neronapoleon6054
      @neronapoleon6054 Рік тому

      Hakuna maulidi kwa Mawahabi

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 8 місяців тому

      Neno ahli sunnat ww ulipata wapi? Sahaba alijiita hivo Amir ao rasul?

  • @Muhammad-g1n8d
    @Muhammad-g1n8d Рік тому

    CLIP INAYOFUATA IWE NI HOJA NZITO ZINAZOTHUBUTISHA KUA MADAI YA MAWAHABI JUU YA KITABU CHA BARZANJI SI UKWELI .MUTIE DALILI SIO KURIPOKWA.BIRRRRRIIII

  • @MuhamediswaleeMjenga-yn8oc
    @MuhamediswaleeMjenga-yn8oc 4 місяці тому

    nyimbo za mbosoo halalii maulidii yawa haramuuu tusitafute dalili kwa jambo lenye dalili

  • @FarahJey
    @FarahJey Рік тому +1

    Mashia ndio wasomaji maulidi

  • @ahmedmattar4661
    @ahmedmattar4661 Рік тому

    Buchu katia aibu kukimbia akibanwa anakmbia mpaka kakojoa

  • @saadmbarak1903
    @saadmbarak1903 Рік тому

    Tena bachu ati auliza wataka nini ww ..... hahahaha siwajifanya mume ww