DAAH! NG'OMBE WA AJABU AWASHANGAZA WABUNGE, WAANGUA VICHEKO WAKIMTAZAMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @DaudLucian-ld6tq
    @DaudLucian-ld6tq 5 місяців тому

    Fungueni maabara Kila wilaya muuze mbegu hizo Ili zitufikie watu wengi lakini Kwa mfumo huo mnajitengenezea wenyew izo mbegu

  • @marygaspary199
    @marygaspary199 5 років тому

    Dada kajitahidi ati wabunge semaa sema tu dada alipotaka kukwepesha maneno. Ahsanteni kwa somo zuri.

  • @LindaniBajuta-ph7zg
    @LindaniBajuta-ph7zg Рік тому

    Good job

  • @lamecktheonest225
    @lamecktheonest225 5 років тому +1

    Duh😁😁

  • @injili90
    @injili90 5 років тому +1

    Mwanamke huyu anaeleza Kwa ujasiri unapofanya kitendo😂🤣😂😂halafu wanaume wanapenda mada hii

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 5 років тому +1

    ahahaha ushoga wa ng'ombe huo hata mungu hapendi

  • @mkonlinetv2089
    @mkonlinetv2089 5 років тому +1

    Wawe wasafi

  • @barakamgimwa5273
    @barakamgimwa5273 5 років тому

    waongo 😄😄 wanaona wakiweka majike watakosea kukinga mbegu alaf dume atajilia uroda...

  • @raheemamkambha6013
    @raheemamkambha6013 5 років тому

    Nyumbani 👍

  • @kamgomoli3650
    @kamgomoli3650 5 років тому

    Sio libido sema nyege acha kuficha ficha

  • @bennymisheto1655
    @bennymisheto1655 5 років тому +1

    Heeeee! Wanamtumia dume kama jike😓 huu ni ushoga

    • @sarahpolite6343
      @sarahpolite6343 5 років тому

      Benny Misheto kitaalamu n g'ombe jike haruhusiwi kusogea eneo ilo na hapo kituoni hakuna ng'ombe jike hata mmoja na hao madume wako mbali sana na makazi ya watu na wamezungushiwa uzio ili wasije sikia harufu ya jike wakatoroka

    • @tuphujekumuhkunonyiile3739
      @tuphujekumuhkunonyiile3739 5 років тому

      Hahahahaha

  • @oswardnshoki1418
    @oswardnshoki1418 5 років тому

    Hakika nimefurahi sana kwa somo hili , Iringa huduma hii tunapataje?

  • @nasraharuna8500
    @nasraharuna8500 2 роки тому

    Ati bao hahaha

  • @kamgomoli3650
    @kamgomoli3650 5 років тому

    Haaa huyo mbunge eti bao

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 2 роки тому

    Kwahiyo mnawafundisha Na wanyama ushoga Mara paa siku mjikute huyo Dume amepata mimba.

  • @rubbymassawe788
    @rubbymassawe788 5 років тому

    sijpgaaa mpka kwa ng'ombe

  • @tuphujekumuhkunonyiile3739
    @tuphujekumuhkunonyiile3739 5 років тому

    Kwani uyo dume anaingikiwa au

  • @nehemiahbudi5753
    @nehemiahbudi5753 5 років тому

    Hapo ni kukopi na kupesti, unapopenda maendeleo yao upende na tamaduni zao, ushoga huo, tena ndani ya taasisi za kiserikali.

  • @jacksonswai1089
    @jacksonswai1089 4 роки тому

    Hizo mbegu mbona mikoani wanauza gali sana kuanzia 25000 na kuendelea.

  • @danielulomi8994
    @danielulomi8994 5 років тому

    kwanini wasinge muweka jike ndo awe anatolea mbegu

  • @yohanamuumbe4628
    @yohanamuumbe4628 5 років тому

    dume kwa dume nn

  • @nehemiahbudi5753
    @nehemiahbudi5753 5 років тому

    Enyi wasomi wa Tanzania siaminini akili fikra zenu, na mkifanya hivyo maendeleo yanajitokeza. Kwa ufupi " juu ya elimu bora Kuna imani, na juu ya imani kuna maendeleo, pia kwenye elimu isiyo bora Kuna kasumba, na juu ya kasumba Kuna umaskini" yashikeni haya mtafakari na mchukue hatua mbele yenu kutakuwa na maendeleo au umasikini.

  • @lazaronkanga2085
    @lazaronkanga2085 5 років тому

    Hapo kwenye libido najuwa nimekuelewa mimi tuu

  • @fatmahchambo3131
    @fatmahchambo3131 5 років тому

    😂😂😂

  • @dariustebby
    @dariustebby 5 років тому

    Stop cluck baiting Millard. Unazingua