Support yako kusubscribe 🙏... Kama umeingalia video mwanzo mwisho kuna tundu nimeelezea lipo juu ya mfuniko huwa linatoa mvuke ili kuregulate mvuke unaohotajika ndani ya pressure cooker na ikishamaliza kuregulate mvuke hautoki tena...na hicho ndicho unachosema kama inatoa gesi,,, hamna hatari yoyote hapo sababu inakuwa inatoa mvuke uliozidi.... Angalizo tu hakikisha unafunga mfuniko vizuri unapotumia pressure cooker
Support yako kusubscribe na kushare... Nisikudanganye best hiyo sijui maana yake na sijawahi kutana nayo,, kingine sijui ni pressure cooker ya kampuni gani unatumia... Na upload video inaonyesha kuunga nyama kwenye pressure cooker na ni video ambayo lazima itakuongezea maarifa kwenye pressure cooker
Please subscribe and share... Kuhusu cake sijajua,,ila I promise nitaandaa video itayoonyesha jinsi ya ku preheat na jinsi ambavyo unaweza fanya vitu tofauti tofauti ikiwemo kuunga nyama,etc
@@noelymedia6864 Subscribe na kushauriana please Hiyo ni leakage ya kawaida hata mimi ishawahi kunitokea,,cha kufanya hakikisha umefunga mfuniko vizuri sababu kuna muda ile rubber ya kuzuia mvuke inaweza shindwa kufit vizuri kwenye sehemu yake,,,lakini hiyo sio issue kubwa best
Hii video yangu ni bora katika video zote zilizoelekeza kwa lugha ya kiswahili,,naamini utaelewa vizuri sana ukiitazama yote,,, Support yako kusubscribe na kushare 🙏
Kama mashine yako haina shida inatakiwa ifuate process zote yaani ianze na warm,, ije pressure up,,ije keep pressure (hapa ndipo dakika huanza kuhesabiwa) kisha finish (ambapo dakika zinakuwa zimeisha na kuandika bb) ,,, kama ni mpya na ni nzima basi usiwe na haraka,,ukishaset dakika angalia process kama nilivyoelekeza kwa haya maandishi na video (Kwenye keep pressure ndo dakika huanza kujihesabu mpaka zinaisha).....pia nashauri uangalie video mwanzo mpaka mwisho ili uilewe process zote vizuri Support yako kusubscribe na kushare
Nahisi hujatazama video mpaka mwisho Dada angu Glory,,katika video za jinsi ya kutumia pressure cooker kwa lugha ya kiswahili nadhani video yangu imeelekeza kila kitu tena kwa usahihi mkubwa...so tazama video yote utaelewa..ila kwa kifupi dakika hazianzi kuhesabu tu baada ya kuwasha sababu kuna process ya kutengeneza mvuke (pressure) baada ya hiyo process ya mvuke kutengezwa ndipo dakika zitaanza kuhesabu.... Usisahau kusubscribe na kushare
Ninayo kama hii, mwanzo ilikuwa vizuri lkn saa hii nimekuwa nikiweka chakula nikibonyeza kwa mfano beans inaanza ku warm ila inapofikia kuesabu dk inagoma nakuandika 04, imeharibika nasijui fundi, please naomba msaada
Bone nadhani inafaa hasa kwa kitu kama makongoro kwa sababu yanakuwaga na nyama ngumu,,, Kwenye soup ni nyama ya kawaida so kwa utumbo napendekeza Kwenye soup,,lakini kuna stew pia ambayo unamaanisha mchuzi,,so cha muhimu ni kuzingatia unachokipika kadiria kinahitaji muda gani kuiva na ndo maana unaweza ongeza au kupunguza dakika.... Unaweza pikia nyama hata kwenye bean utachozingatia ni dakika zako tu uweke ngapi
@@SubyHurama usirudishe banaa utalielewa tu taratibu,,, sijajua yako imeandikwaje ila kama hiyo yangu chemshia kwenye soup,,na sababu utumbo unakuwaga mgumu kuliko nyama utaongezea dakika kama ambavyo nimeonyesha namna ya kuongeza dakika kwenye video yangu
Upishi wa kwenye pressure cooker ni kama wa kwenye majiko ya kawaida tu so makadirio ya chakula unachokipika ni muhimu,,, angalia nyama yako ina ugumu kiasi gani na itahitaji maji kiasi gani,, kwenye pressure cooker issue kubwa sio maji issue ni muda,,kiwango cha maji utayoweka hayatakauka itategemea tu umeset dakika ngapi kuivisha nyama yako,,,, Support yako kusubscribe na kushare
Unaelezea vizuri sana niliona dakika zimeganda mda nikawa najua mbovu😊
Support yako kusubscribe 🙏
Nadhani umeelewa kwanini dakika ziliganda pia,,
Asante sana nimekulewa vzr
Asante sana,,, support yako kusubscribe na kushare
Thanks bro... Hii mashine nnayo lakini nilikua naigopa kutumia.... Ngoja nifanye majaribio leo
Asante Sana,,
Support yako kusubscribe 🙏
Uwe umehakikisha umeifunga vizuri wakati wa kutumia rafiki
Shukrani boss
Asante pia,, support yako kusubscribe na kushare tafadhali
Hongera we ndio nimekuelewa zaid 👏👏
Asante sana,,, support yako kusubscribe na kushare please
❤
Wewe kweli ni mwalimu
Ukitaka kupika bila kufunika mfuniko kwa mfano kukaanga vitungu na viungo vingine bila kutumia pressure una bonyeza wapi?
Naahidi nitaleta video ya hii kitu hivi karibuni,,
Subscribe na kushare
Ukitaka kukaanga vitunguu na nyama bila kufunika na kutumia
pressure unabonyeza wapi?
Jamaa kashatupia video anakaanga kama unavyosema,,,iko poa sana jamaa anaeleweka
Samahn pia ni wap unaweza kuoka miakate au nyama ya kuchoma??
Makande twaweza pikia?
Yeah,,, kwenye sehemu ya maharage hapo..
Support yako kusubscribe na kushare
Bro vipi Kuna wakati wa kupika inakua unapiga kelele kama unatoa gesi na wakati mwingine inakua kimya tu... Vp nakosea wapi na sio hatari kweli hii
Support yako kusubscribe 🙏...
Kama umeingalia video mwanzo mwisho kuna tundu nimeelezea lipo juu ya mfuniko huwa linatoa mvuke ili kuregulate mvuke unaohotajika ndani ya pressure cooker na ikishamaliza kuregulate mvuke hautoki tena...na hicho ndicho unachosema kama inatoa gesi,,, hamna hatari yoyote hapo sababu inakuwa inatoa mvuke uliozidi....
Angalizo tu hakikisha unafunga mfuniko vizuri unapotumia pressure cooker
elekeza jinsi ya kuunga nyama
Jamanii yanguu ikiniandikia E4 manake ni nini
Support yako kusubscribe na kushare...
Nisikudanganye best hiyo sijui maana yake na sijawahi kutana nayo,, kingine sijui ni pressure cooker ya kampuni gani unatumia...
Na upload video inaonyesha kuunga nyama kwenye pressure cooker na ni video ambayo lazima itakuongezea maarifa kwenye pressure cooker
Je ukitaka ku pre heat unafanya je? 2.tunaweza kupikia keki?
Msaada tafadhali
Please subscribe and share...
Kuhusu cake sijajua,,ila I promise nitaandaa video itayoonyesha jinsi ya ku preheat na jinsi ambavyo unaweza fanya vitu tofauti tofauti ikiwemo kuunga nyama,etc
Mbona mimi inatoa mvuke pembeni nasio kwenye tundu na mfuniko upo locked
@@EzekielTv49 shukran kwa majibu🙏🏾
@@noelymedia6864
Subscribe na kushauriana please
Hiyo ni leakage ya kawaida hata mimi ishawahi kunitokea,,cha kufanya hakikisha umefunga mfuniko vizuri sababu kuna muda ile rubber ya kuzuia mvuke inaweza shindwa kufit vizuri kwenye sehemu yake,,,lakini hiyo sio issue kubwa best
Jamaa kashaweka video inayoonyesha ku pre heat
bora mmeweka hizo video nimenunua yangu but hta sijaitumia
Hii video yangu ni bora katika video zote zilizoelekeza kwa lugha ya kiswahili,,naamini utaelewa vizuri sana ukiitazama yote,,,
Support yako kusubscribe na kushare 🙏
Nmenunua kama hiyo ila nkipika maharage au nyama kwenye muda inabak 35 haitok ata nikiset muda
Kama mashine yako haina shida inatakiwa ifuate process zote yaani ianze na warm,, ije pressure up,,ije keep pressure (hapa ndipo dakika huanza kuhesabiwa) kisha finish (ambapo dakika zinakuwa zimeisha na kuandika bb) ,,, kama ni mpya na ni nzima basi usiwe na haraka,,ukishaset dakika angalia process kama nilivyoelekeza kwa haya maandishi na video (Kwenye keep pressure ndo dakika huanza kujihesabu mpaka zinaisha).....pia nashauri uangalie video mwanzo mpaka mwisho ili uilewe process zote vizuri
Support yako kusubscribe na kushare
Mim sielew mbona nikiwasha linakata alihesabu kwann naomba unisaidie
Nahisi hujatazama video mpaka mwisho Dada angu Glory,,katika video za jinsi ya kutumia pressure cooker kwa lugha ya kiswahili nadhani video yangu imeelekeza kila kitu tena kwa usahihi mkubwa...so tazama video yote utaelewa..ila kwa kifupi dakika hazianzi kuhesabu tu baada ya kuwasha sababu kuna process ya kutengeneza mvuke (pressure) baada ya hiyo process ya mvuke kutengezwa ndipo dakika zitaanza kuhesabu....
Usisahau kusubscribe na kushare
Jitahidi utazame video yote dakika 23 tu sababu sijaacha kitu kwenye hayo maelezo...
Asante kwa kutazama
Ninayo kama hii, mwanzo ilikuwa vizuri lkn saa hii nimekuwa nikiweka chakula nikibonyeza kwa mfano beans inaanza ku warm ila inapofikia kuesabu dk inagoma nakuandika 04, imeharibika nasijui fundi, please naomba msaada
Inawezekana imeharibika,,ila mafundi wa kutengeneza hizi ni wale mafundi TV na radio so unaweza wacheki hao
@@EzekielTv49 asante, nitawatafuta.
Sory utumbo unapikia wap kwenye bone au soup??? Tafadhar
Bone nadhani inafaa hasa kwa kitu kama makongoro kwa sababu yanakuwaga na nyama ngumu,,, Kwenye soup ni nyama ya kawaida so kwa utumbo napendekeza Kwenye soup,,lakini kuna stew pia ambayo unamaanisha mchuzi,,so cha muhimu ni kuzingatia unachokipika kadiria kinahitaji muda gani kuiva na ndo maana unaweza ongeza au kupunguza dakika....
Unaweza pikia nyama hata kwenye bean utachozingatia ni dakika zako tu uweke ngapi
@@EzekielTv49 kwahy utumbo unachemshia wap maan ndo nimenunua lin sik 2 sijui nilirudishe mbon litanishinda
@@SubyHurama usirudishe banaa utalielewa tu taratibu,,, sijajua yako imeandikwaje ila kama hiyo yangu chemshia kwenye soup,,na sababu utumbo unakuwaga mgumu kuliko nyama utaongezea dakika kama ambavyo nimeonyesha namna ya kuongeza dakika kwenye video yangu
@@EzekielTv49 ipo hvy km yako tu sem yang nyeus tu na campun hy hy tu,, nahc hat bata ni gumu nimshemshie ht hp si vitaivaa?
@@SubyHurama yeah na ukiwa na wasiwasi ongeza dakika za kupika yaani kama machine imesetiwa dakika 30 unaweza ongeza 10 ziwe 40
Namna unapika nyama, maji unakadiria vipi
Upishi wa kwenye pressure cooker ni kama wa kwenye majiko ya kawaida tu so makadirio ya chakula unachokipika ni muhimu,,, angalia nyama yako ina ugumu kiasi gani na itahitaji maji kiasi gani,, kwenye pressure cooker issue kubwa sio maji issue ni muda,,kiwango cha maji utayoweka hayatakauka itategemea tu umeset dakika ngapi kuivisha nyama yako,,,,
Support yako kusubscribe na kushare
Ya kwangu inaunguza kweli shida ni nn
Support yako kusubscribe na kushare,,,.
Inaunguza ukiwa unapikia nini??
Chakula chcht hta wali@@EzekielTv49
Chakula chcht hta wali
Tena huwa napunguza dakika mpk 5 lkn nakuta chini umeungua
Samahn pia ni wap unaweza kuoka miakate au nyama ya kuchoma??
Hii sijajua bado Dada angu labda nikiistudy nitapost video
@@EzekielTv49
Naomba nisaidie kwann ya kwangu upande wa muda inaa 35 ata nipike nyama
Thank ❤😅
@@SumaiyaHussein-z8z support yako kusubscribe na kushare