Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mapishi mazuri.Tufanyie the best cooking pots to use if possible.
Did you pre-heat first?Can you bake on the tin directly?
Asante sana kwa somo zuri, Mungu akubariki
Amen na karibu sana
Umejuaje nmennua mult cooker juzi weekend nipike keki😅😍
Mm pressure cooker yangu Haina oppitin yakupika keki nafanyaje jaman
Nimejaribu na unga wa ugali (wholemeal) lakini sikutumia cocoa. Imetokea vizuri sana ❤Asante kwa recipe.
kams sina hicho lisufuria cha ndani nawezatumia kisufuria cha kawaida?
Hey, thanks 4 the video,je ukitumia unga wa purpose flour,Kuna need ya baking powder kweli?
Ndiyo ukitumia pof lazima uweke baking powder labda utumie self rising flour ndo unkuwa na baking powder ndani
Cake umepikia kwene sehem ya rice?
Aika alyon ina pressure nzuro kweli?
Watching from Uganda... how many minutes did she set???
40 minutes
Mbna mm nikipika maharage hayakauki majii jee hio cake itakauka kweliii
Sauti yako tamu sana.Asante kwa mafunzo
Naweza kuchoma kuku kwa pressure cooker kama hiyo?
Nice🎉
Ujaweka siagi ??
He unaweza kupika Keki kwenye rice cooker?
Nataka Kujua
Mmi haina jina la kek nabonyeza wap nikitak kupika
Hi dear, napenda recipes zako sana pliz tuonyeshe kupika keki kwenye gas
ua-cam.com/video/J8-uCZ-cffs/v-deo.html
Shilingi ngapai dada
Yummy 😋😋👌
Good
Huti maji kwenye sufuria ya pressure cooker
kama mtu hana hiyo sufuria ya keki, unaweza tu kupika keki yako kwenye kibakuli cha pressure cooker?
ndio unaweza pikia kwenye bakuli lake
Sgingapi dada
Je kama huna hiyo ya kupikia keki kwa kutumia jiko lake je haito kuja
Pressure cooker yangu haina menyu ya keki napikia wap
Inafanya tuu muhim ujue mda isiungue
Pressure cooker yangu ina menyu ya mvuke naweza kutumia kuoka keki
🔥🔥
Yummiest 😋 😋
Tumia jaggery usitumie sugar ama? Jaggery ujaribu
Can you use the manual one
Yes
Unajitahidi
Mapishi mazuri.Tufanyie the best cooking pots to use if possible.
Did you pre-heat first?
Can you bake on the tin directly?
Asante sana kwa somo zuri, Mungu akubariki
Amen na karibu sana
Umejuaje nmennua mult cooker juzi weekend nipike keki😅😍
Mm pressure cooker yangu Haina oppitin yakupika keki nafanyaje jaman
Nimejaribu na unga wa ugali (wholemeal) lakini sikutumia cocoa. Imetokea vizuri sana ❤
Asante kwa recipe.