Nasema ukwelii na mungu anisadie nipo china nafatilia huu mdahalo kwa karibu sana huyu kiongozi wa dini kama ndini zote wagehubiri kama faza kitime nakuambie tanzania igekuwa kitofu cha amani kwe kwelili
Huyo shehe aliye sema anamtukana rais umemsikia.hawo ndiyo wasomi tunawategemea.himo bungeni hayupo -.Hata moja anaye lingana naye kielimu .hayupo mbunge Anaye fanana kielimu huyu mtu Angalikuwa rais dunia yote ingekuja hapa naapa tungekuwa na watu 20.serikarini kama huyu hiyo serikari wameuwa watu wa mungu
Mungu akubariki Sana ww ni zaidi ya kiongozi wa dini unaitendea haki elimu yako
Asante sana ubarikiwe Kitima 🎉🎉🎉
Wewe ni mtu wa haki, unapenda utu, uhai na ukweli.
Fact Father 🤜🤜🤜🤜
Father Kitima ni kiongozi bora kabisa wa kiroho kuwahi kutokea nchi hii kwa mtizamo wangu!
Viongozi toweni haki haki itawale viongozi mtangulize haki haki anazaa amani amani haiji kipatikana kama kitu haki hakipo..
😢watanzania tulikosa elimu sahihi. Nani anahamasisha mauwaji. Na ili iweje.
Ukweli mchungu
Siasa ni nying sana siku hz kila mahali
Nasema ukwelii na mungu anisadie nipo china nafatilia huu mdahalo kwa karibu sana huyu kiongozi wa dini kama ndini zote wagehubiri kama faza kitime nakuambie tanzania igekuwa kitofu cha amani kwe kwelili
Comment nyingine hazihitaji kujibiwa,ni sawa na kubishana na upepo😂
Huyo shehe aliye sema anamtukana rais umemsikia.hawo ndiyo wasomi tunawategemea.himo bungeni hayupo -.Hata moja anaye lingana naye kielimu .hayupo mbunge Anaye fanana kielimu huyu mtu Angalikuwa rais dunia yote ingekuja hapa naapa tungekuwa na watu 20.serikarini kama huyu hiyo serikari wameuwa watu wa mungu
Kitima usidanganye watu na amini husomi biblia siasa ni uongo ulio karibu na ukweri kama ulivyo sema hapo awali
Kitima Acha maneno mengiiiiiiiiiiiiiiiiiii...
Muhimu chagua upande..japo tunajua upo wapi na kwa maslayi gani?
Ukweli mchungu