JEMEDARI AFURAHIA CEO KUFUKUZWA SIMBA/ AMWAGA SIFA ZA ANTI ZUUH KUMZIDI BABRA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лис 2024
  • Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
    Follow us on Social Media Platforms
    Instagram:
    Crown FM - / crownfmtz
    Crown TV - / crowntvtz
    Twitter (X):
    CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
    CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
    Facebook:
    CROWN MEDIA: www.facebook.c...
    TIKTOK:
    www.tiktok.com...
    SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

КОМЕНТАРІ • 30

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 дні тому +2

    Inatakiwa jkt wamtoe jemedar kwenye wadhifa wa ceo kwa vile mda mwingi anahangaika sana na uchambuzi.

  • @AdolfMhando-b9p
    @AdolfMhando-b9p День тому

    Umefungwa tulia muache aongee,we gusa achia nenda mbele

  • @AliyyAli-ii1uz
    @AliyyAli-ii1uz 2 дні тому

    Jemedari yuko sahihi

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 3 дні тому +1

    Simba wamchukue yeye jemedari kwa sababu kila kitu anajifanya anajua😂

  • @ip_header
    @ip_header 3 дні тому +6

    Kwa Jemedari Simba hawakoseagi, siku zote anawajaza tu😊

    • @annajohn2488
      @annajohn2488 3 дні тому

      Sasa kwani ceo lzm awe wa nnje

    • @visitDar2011
      @visitDar2011 3 дні тому

      Mbona anawawasha hapa

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 3 дні тому

      Uelewa wako finyu kweli...😂😂
      Huyo huyo Jemedari ndio aliwasema simba kuhusu huyo c.e.o aliyefukuzwa...sasa leo anfurahia simba wamebadili mawazo wewe unakereka😂😂 hovyo kabisa

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 дні тому

      Sindano FC

    • @mgeningogomeloathuman7230
      @mgeningogomeloathuman7230 2 дні тому

      Kama ambavyo SALAMBA Kwa utopolo haikosei. Ngoja tusubiri maoni yake baada ya kichapo Cha 0---2.

  • @matataoneproduction5355
    @matataoneproduction5355 3 дні тому

    Daaaaaah Zubeda ndio C.E.O wetu simba duuuuuh

  • @DanielBenard-c5m
    @DanielBenard-c5m 3 дні тому

    Yaani mwanangu hawezi kuwa mwandishi wa habari

  • @HarunakiongoziMohamed
    @HarunakiongoziMohamed 3 дні тому +1

    Huyu mpumbavu jambo likiwa simba basi aaah safi kabisa,yakitokea yanga hiki jemedar utsikia,nyenyenyenyenyenyenye..............

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 3 дні тому

      😂😂😂C.. Jemedari na wewe nani mpumbavu??
      Wewe huna inachelewa kwa hivyo ni pumbavu mara mbili kwa Jemedari 😂😂

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 дні тому

      Sindano FC

  • @GetrudeSusuma-pe5ui
    @GetrudeSusuma-pe5ui 3 дні тому

    Etii hiyo ilimkuta senior, anaongea kama aijuuuua simba kumbe hamna lolote mpewe kitengo hata kwa siku moja tunawasahau, jemedari jkt inaendeleaje?

  • @AljuhaniAllyy-dg4ld
    @AljuhaniAllyy-dg4ld 3 дні тому

    Ila simba walibugi sana kwa c.e.o kajula hamna kitu kabisa

  • @abuuaisha9095
    @abuuaisha9095 3 дні тому

    Yaan CEO anatakiwa awe amecheza mpira..? Vipi kuhusu Peter Kenyon aliewahi kuwa CEO wa Man U na Chelsea aliwahi kucheza mpira wapi..? Hans hapo hauko sahihi..!!

  • @JumaHUssi
    @JumaHUssi 2 дні тому

    Huyu jamaa kwake simba haina baya. Juzi tu, pamoja na kupewa elimu na mtaalam wa printing, bado alikataa kuwa jazi ya yanga sio njano.
    Angalia hiyo jezi alovaa huyo msichana kenye picha. rangi ya bluu iko level 3 tofauti na hakukosoa. Labda ndio huyo simba wa kihindi alomtaja, lkn hakuna simba mwenye rangi ya bluu.

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk День тому

      Hiyo jezi ni third kit,ambayo mara nyingi haiwi rangi za asili za club lakini home and away kits kwa tamaduni za clubs nyingi huwa na rangi za asili za club. Ni utamaduni wa clubs nyingi duniani

  • @MsokaBolamu
    @MsokaBolamu 3 дні тому +1

    Acheni kuwa kosea watu heshima jemedari ni mtu wa heshima zake

  • @EdwinAdAstra
    @EdwinAdAstra 3 дні тому

    Mnachambua mpaka maCEO 😅

  • @DanielBenard-c5m
    @DanielBenard-c5m 3 дні тому

    Chokoraa mpaka uitaje yanga

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 3 дні тому

    Huyu mmakonde kuhusu Simba everything is perfect.
    Ingekuwa Yanga angezodoa even decision making committee .
    This guy is possessed with hatred spirit.
    He is very 🤮 disgustingly

  • @HamisaHamedy
    @HamisaHamedy 3 дні тому +1

    Tunakujua jemedari wewe koro kabisa Simba aikoseagi kwako.

  • @MaherAbdulaziz
    @MaherAbdulaziz 3 дні тому

    jemedar abagui timu au watu punguzen chuki mashabiki uchambuz n mtu anaonaje kit atuwez fanan punguzen chuk

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 дні тому

      Jiulize kwann hawamzungumzii hans nawakt ni utopolo mtupu