KENYA KIMENUKA UPYA | RAIA WAINGIA BARABARANI | WATAKA RUTO AJIUZULU.
Вставка
- Опубліковано 1 лип 2024
- All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz - Розваги
Tunashukuru waandamanaji wa Nairobi Kenya. Ruto aliwaza anatawala mbuzi ao ngombe. Alisahau kama ni wanadamu. Yeye aache kiti cha uraisi kwa raia. Waandamanaji oye !!!
Sio kirahisi km unavyozidi!! Uchaguzi Mkuu ndio utakaoamua kwa mujibu wa Katiba.
I have enjoyed this conversation
Ruto must go
Dah Raisi anatimuliwa na marungu dah he must go
This love from Zanzibar keep doing it, stand up and don't give up
Hahaha hapa znz tuwaige ili tujiajiri wote?
Mimi nakuomba mheshimiwa RUTO, ww umepewa sifa ya kuwa, msomi zaidi katika maraisi chini ya Africa, tambua sisi waafrca ni dhaifu kuelewa. Kuwa mpole,
Umoja na tuache ukabila na udini katika Kenya mpya. Kenya spring...
Ruto must go ame tuma jeshi Congo kujiunga na waasi wa m23 ku mwanga damu ya wa Congo sababu haja tosheka na damu ya wa Kenya 🇰🇪 Vijana wa Kenya na Africa nzima msikubali hali hii ya viongozi kama ruto wa endelee kuwa pofusha macho ili wao wa endelee kujitajirisha na nyinyi mu baki maskini hata kama munazo diploma please stand up for your country and your freedoms you are the future of the country you have everything in your hands don’t let anyone else take advantage of your dignity
Ruto ni kama zombie anamwaga damu kama Hitler
@@SaintNjugunasio kama ni zombie lenyewe hili ruto
Wakenya ni wasomi bwana.
Ruto and museveni must go
Weldone
Wanaopenda aman karibuni taanzania
Amani tanzania ipo walakin lissu anataka kuleta vurugu
Watamtumbua kama mjomba😂@@abdullahalsharji9428
@@abdullahalsharji9428 lisu ni mdudu
@@abdullahalsharji9428hatutaki amani Kenya 😂
Amani sio uoga?
Kenya is beautiful please don’t destroy it. Let president lead the country
Ww ni wa nchi gani
Presidents wana-lead people sio country
Lakini sio kwa mabavu.
Ruto must go 🇭🇹
Sisi kama GEN Z,ata tukiitwa hatuedi.uyu jamaa sio mzuri he just want tukutane just to identify us akiamungu ili atuuwe mmoja kwa mmoja
Kweli kabisa, msiende.
Ruto toka pole pole nimeota umekufa
Na bado 😢😢😢
Ruto must go 😢😢😢😢😢
Ruto alichuuzwa
Amerika
BADO TANZANIA CCM AND SSH MUST GO. WASOME ALAMA .JUSTICE IS COMING GOD FORBID !
Ruto must go 🇶🇦
May the Lord protect our president and give him wisdom so that he may get away forward.
Nawashangaaa kenya
The Bible Say's ukishupaza shingo itavunjika.Msg sent in Africa.
Ruto must gop
Congratulation,I like your conversation about the Gens Z revolution,it is positive and balance.
Hawana kiongozi kweli nishida
Mko vizuli Kwa msima, Kwan tz tnalilia chumban
Nenda Kenya ukawaunge mkono sio kushabikia mtandaoni choko wewe
Tanzania Gen-Z baado hawajazaliwa 😂. Tusubiri 2040.
Kenya nyie mko vizuri mnabaki sion inchi nyingine Ivo wanauwa raiya wanapo andamana
wakenya porenisana ,🇹🇿
Kenya is more wise
Tumechoka rutoooo aendeee tumsaidie kupark mizingo uko na tamaa sana
Huyo jamaa ni mchochezi kakita habari zake
Ruto jiuzulu madaraka ni amali ya Dunia mrudieye Mungu Tafuta Ahkera achana na utawala wa kuua vijana TAIFA la kesho
Hawezi jiuzulu kwa sababu anaongozwa na shetani huyu, ss ye aoni asara kuona damu yy ndo rahaa yake ss kuachia hiki kiti ni ngumu sana mana akikubali tu anapokonywa kila kitu 😢
Who else the dude Need to b prezo
Viongozi wa Africa wapumbavu sana tatizo kubwa wanawasikiliza saaana AMERICA 🇺🇸 😢 🙏
kweli sana
Ruto ni mkristo angekuwa kama wengine ange wamaliza washenzi wale@@user-mo2iv1xo1g
Ruto must Go
Ni kweli kabisa, nia ni kuichafulia jenziis jina, ni hivo hivo walifanya kwa maandamano ya chama cha Azimio hapo mbeleni.
Yesu wasaidiye ingiliya kati maana imekuwa shida Kwa wamama na watoto
Ila Hawa ni wezi
ihi mandaman Nia lini
Mungu alinde Vijana na Neema na nguvu
Hiii ni kazi ya raila na hatawai kua raisi ya kenya
una shida nyingi dada. shida tupu wewe.
I can smell raila in this b’coz most of them ni wajaluo
Fikiria b4 uongee hamuoni wakenya wanaumia
umeongea vixuri sana
Very true
WE Ruto ??kwa Nini hutaki kuacha kiti ?? wa Kenya hawakutali sasa hivi ondoka acha mamlaka
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kuna watoto wadogo sana jamn Ola polisi wanepooza sana
Poleni wakenya
Wametumwa hao wakuharibie
Ila ruto kazaaa hao wasenge hao wanakujaribu utapita tu broo
Wazazi wataingia mitaani kuwaokoa watoto wao. Na itakuwa ndio mwisho wa Ruto
Ruto.,Mungu.akusimamie
Mfarisai mwenzake
Just the same way he has treated Kenyans. GOD is able. Ruto must go for the peace of the country.
Riziki kaivufya vyalazima
Msizani km African tuko salama na mabeberu , lazima watatufanya tugombane wenyewe kwa wenyewe
Geenzii barakiwe power belongs to people arrogant who become opses with power
City zen Tiv
Huyu ni mwanahabari wa wapi huyu mwenye anasema vitu ambavyo havina uhakika
Na wakipata ruto watoe kichwa pia watupie ndege wale vile Daudi alitupia ndege Goliata😅😅😅😅
Kenya hii watu wakielezwa maneno hawasikii. kuna mzee kutoka Eldoret alieleza wazi huyu mtu alikua mwizi tokea zamani kwa primary school kuingia serekalini amezidisha wizi na mauaji ndio haya kenyans tuamke tuungane huyu mtu atuondokee mastaka yake yafunguliwe ICC.
😂😂😂😂😂😂 kumbe toka kwa school alikuwa anaiba!!!!!. basi Tabia inakua kidogo kidogo
Huyu jamaa ameongea facts Sana kama ni hivyo Mambo iko MBAYA Sana RUTO ameangukia pabaya
Ningelikuwa mm ndio presidar mngekunya walah
Kenya Ruto hawezi kuendelea na Uraisi wake. Ni bora aachie ngazi ili kuepusha maafa.
😮
Polen sana ila sababu ya haya yote ni wanasiasa
😢
Hapo kw utaita nani kw maana hawana kiongozi utaita nani
Wakenya wanajiamini Sana 💯
Tumechoka na Ruto.are very arrogant.Enda kwenu
Itanikera sana kama wanafanya yote hayo kwa fitna na ushawishi wa vibaraka wa nchi.
It's very unfortunate that even now, Ruto planting goons.
Ruto simuoni kuwa Rais tena mwezi 8
Akuna atoke kashindwa
Ruto
Seems to knows everything
That's
Feeling stupid
Ruto want Us to think stupid
Marco manage all departments 😂😂😂😂
Kwani kenya Haina jeshi la police
It's that your vote Mr PRESIDENT 😅😅😅😅
Ivi uyo ruto yupo kweli Kenya au yuko nje ya apo😅😅
yuko area acha mungu afanye kazi ruto na shetani ni kitu kimoja bure kabisa
Msimuonee rais Hana kosa mbona uhuru amewaua sana
Social media na uongo nayo mtachoma kenya
Akuna kulala
Hasira nihasara
Kumbukeni
Libya ninyi mtakujakuikumbuka Kenya ya ruto
Libya ni libya,na sisi ni wakenya,kwa hivo hata kama tutamkumbuka tutakumbuka yeye kwa mabaya.Especially kuuwa vijana wakitetea haki.Ametukumbusha vile aliamlisha watu wachomewe kwa kanisa 2007😭😭😭😭😭
Alienda kwa mashoga acha akome
Nikuwamaliza hao waze wanakula inchi peke yao vijana wanataka kazi tupeni kazi
WAKENYA MMESAHAU YA LIBYA IKO WAP
Ruto ninakuomba uvunje parliament na wote muondoke
Usije ukawa ka m a raisi wa zamani wa Egypt aliyeaibishwa na kuishia gerezani.Ruto future generation no.longer want you in power.usione aibu kuacha urais.A game is over.Iam afraid that you might end up being aMkimbizi😢😢The earlier t h e better.Iam not Kenyan but I can far.Ondoka ndugu yangu😢😢
Ican see far .ondoka😢😢
UKIONA MWENZAKO ANYOLEWA ZA KWAKO TIA MAJI
Nchi imekufa tyr hiyo
Hii ndio vijana watajifunza kutokana na kukumbatia wanasiasa wa upinzanie ambao wanatoa ahadi nyingi sana kwamba wao wakiongoza in nchi wataleta mabadiliko lkn hatimae wanashindwa kufanya huyo kitu, Ila bi kujinufaisha wao na family zao tu. Hiyo vijana wajifunze hiyo kitu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
I Wander Why The Kenyans Are So Poor And Somalians Hindi Are So Rich How Come Kenyans Are So Slomes But Now They Get Up EnoughEnsor is enough
Jmni Kenya kusije kuchafuka ikawa kama Libya na kwengineko. Ila Ruto ametikiswa basi Kenya wampe nafasi atafanya maajabu
Aende tu tumechoka
@@dahbossqueentalkshow3778 hapa ndugu yangu..you guys will be in a worse-off state then now. we are praying for Kenya. May God cover this gigantic Nation in Jesus precious Name!
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂
Pongezi
Ruto go home 2year achafanya anything in this country in Kenya amaleta azala Kenya .
Makuma nyie yaan mnatia hasira nyie
You have been fed with lies.
Mtachoka ruto tano tena na tax mtalipa
Ukabila utakuponza .
punda akichoka jihadhari kwa mateke.
xxx
xxx
Usiongee na wasenge piga hao maumbwa
Kenya mucyunguze vizuli musiingizwe shimo ya maksbila kama rwanda ao bujumbula