O Holy Night in Swahili (Usiku Mtukufu), Live Performance by Damu Takatifu ya Yesu Choir (Tegeta)
Вставка
- Опубліковано 18 гру 2016
- Toleo hili la wimbo huu liliioimbwa na kwaya mashuhuri kutoka Dares Salaam, DT-Yesu. Wimbo huu umeimbwa kwa Kiswahili, lugha ambayo huenda inapendwa kuliko zote barani Afrika.
Kupata DVD hii wasiliana na namba +255755958972
A rendition of O holy night by the seasoned Dar-based Christian Afro-choral group, DT-Yesu. The song is sang in Swahili, arguably Africa's most popular language. To order this DVD contact +255755958972
This is the best perfomance for me since i started learning and make follw up in music and live perfomance
Kweli mlitisha, kazi nzuri sana
Wow! Big up sana!
Wow!very pretty cool song
beautiful
Habari admin wa chanel hii nawezaje kuwapata walimu dr alex na ronald
Heaven culture on earth,
God bless you
Hongera Mr. Nakaka na wengine wote kwa kazi nzuri.
Hongereni kwa Utume!Namshukuru Mungu kwa ajili yenu, kwani zawadi hii nzuri sana ya Noel mliyotuandalia. Mungu aendelee kuvikuza vipaji vyenu
Nyimbo nzuri sana, vyombo vimepigwa kwa utulivu na mpangilio lakini nafikiri ingekuwa vizuri zaidi kama mngetengeneza audio kwanza studio ili kuboresha sauti zaidi na kuondoa HALL/CATHEDRAL REVERBS
perfect
D.T.Y you are always the best! hongereni sana kwa utume huu...
George Amandus Tumebarikiwa sana. Tunaomba Mungu tuzidi kuendelea katika utume. Krismas njema
I don't known Swahili but it sounds beautiful.
Real Christmas flavour! God bless you.
Hiki kitu ni kizuri sana, mbarikiwe sana
This is amazing
Vincent Mpepo we are so blessed that you feel that way! Merry Christmas
Amazing!!! When can I get the DVD?
Terence Silonda asante sana! You'll get the dvd from+255755958972
Terence Silonda asante sana! You'll get the dvd from +255755958972