Albani Hana Uwezo wa Kusahihisha Hadithi Ilio Saihishwa na Bukhari | Ustadh Fadhil Ashirazy

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 98

  • @Muswlih
    @Muswlih 4 місяці тому +3

    Allah akuvunje UTI wa mgongo

    • @kadoditsa3805
      @kadoditsa3805 4 місяці тому

      Usije vunjika wewe

    • @user-pi4mv4vd5k
      @user-pi4mv4vd5k 4 місяці тому

      Amin

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 4 місяці тому

      Dua la kuku halimpati mwewe. Baada ya Imam bukhari ati albani 🤣. Yaani baada ya simba kwa ukali kaekwa mjusi kafiri 🤣. Kama kwamba hakukua na wanachuoni. Tena huyo kijusi amsahihisha akampiga makofi SIMBA 😂. DUNIA VITUKO. yaani albani na amsahihisha Imam bukhari 🤣. Mtu ambae hata hadithi 30 HAJAHIFADHI anamsahihisha mtu kahifadhi hadithi malaki au maelfu 🤣🤣🤣. Hii inaitwa myahudi kawanusa USHUZI 😃.

  • @salumabdallah4207
    @salumabdallah4207 4 місяці тому

    Mwehu

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 4 місяці тому

    SAFI SANA, MASHALLAH

  • @user-dp1dj8ti6h
    @user-dp1dj8ti6h 4 місяці тому

    Shukran

  • @أبومعاذسالمحميد
    @أبومعاذسالمحميد 4 місяці тому +1

    Sheikh Muhammad Nassiruddin Al-albani ni mwiba wa koo kwa kila alieenda kinyume na mafunzo ya Allah na Sunna za Mtume Salla Allahu 3leyhi wa Sallam.si ajabu maneno haya ya mzungumzaji na mfano wa kama yeye,kumsema Albani!naomba kabla haujaanza kunitusi katika comments,kasome kitabu kimoja tu(Chochote),cha Sheikh Al-albani au kaskize Audio yoyote yake,kisha kuwa hakimu mwenyewe kwa Uadilifu.

  • @abuuiqrimah1125
    @abuuiqrimah1125 4 місяці тому

    Hii dunia ina maajabu sana kweli ujinga ni maiti sasa kuongea kwenyewe awezi Allah akuongoze

  • @masoudmohammed4258
    @masoudmohammed4258 4 місяці тому +4

    Wewe mjinga waeza mfika sheikh Albani Allah amrehemu.
    Al Bani ni mwanachuoni wa fanni ya Hadithi na ameandika vitabu vingi sanaa . ALLAH AMREHEMU. Soma kitabu kimoja tu cha Albani uone Elmu utakayo toka nayo hapo
    Wewe mjinga tu mpuuzi. Unamdharau mwanachuoni
    Eti mm pia naweza . Waweza nini mjinga ww

    • @SaidiOmy
      @SaidiOmy 4 місяці тому

      Wewe inaonekana ndio mjinga maana hujui maana ya muhaddith kitaab .
      Na kama ALBANI ni muhaddith kitaab basi sio Ust fadhili tu pekee yake atakaye weza kufanya hivi bali hata mimi na wewe .
      Kwasababu ni kuangalia tu katika vitabu na kuandika .. Unajua fika kile ambacho kimeshaandikwa sasa faida yake ni nini ??.
      Halafu kuna Elimu Nane za hadithi. Suali ALBANI anazo ngapi. Kama wewe ni msomi kujibu hili suala. Ndio utajua kuwa ALBANI ni mtu wa mikopi na kupest .

    • @user-pu2uw2ib5y
      @user-pu2uw2ib5y 4 місяці тому

      Albani hakua mwanachuoni bali ni muhuni

    • @user-pu2uw2ib5y
      @user-pu2uw2ib5y 4 місяці тому

      Albani hakua mwanachuoni bali ni muhuni tu bali hakuwa na elim kabisa, na iyo kutunga vitabu vingi sio sababu ya kuwa yeye ni bingwa sana bali ivo vitabu je vimetungwa kifani au vimeandikwa km gazeti? Bali watoto wadogo sana kielimu Leo wanamkosoa Albani! Kinachoshangaza ni kuona km kuna watu ukimkosoa Albani hukuona mbaya/una chuki binafsi nk! Lkn kwa nini chuki ziende kwa Albani tu zisiende kwa muhadith wengine? Sasa hili linaashiria wazi km ni lazma iwe Albani ana matatizo kweli msimtetee Albani hakua aalimu bali alikuja muhuni tu ambae alikuja maksudio kuiharibu dini ya kiislamu lkn insha Allah, Allah atailinda

    • @hassanmohamedlaizer569
      @hassanmohamedlaizer569 4 місяці тому +1

      Mimi nawapa challenge , sheikh yeyote andike kitabu kama chake mfano swiffatu swalaatu annabiyy....hamna mwenye uwezp huo hapa ...na kama yupo angeshaandika ....wachilia mbali ...kitabu chake hadithi sahihi na dhaifu😂

    • @hassanmohamedlaizer569
      @hassanmohamedlaizer569 4 місяці тому

      Nichuki tu na hassadi zimewajaa😂

  • @islamswaleh5185
    @islamswaleh5185 4 місяці тому

    SUBHANALLAH, ITAQIILLAH

  • @IbrahimAllyDulle
    @IbrahimAllyDulle 4 місяці тому

    Sawa kabisa

  • @salahhddindasuvic6447
    @salahhddindasuvic6447 4 місяці тому

    Sheikh ALBANI rahimahu llahu, ni bahari nyengine katika fani ya hadithi , nimesoma vitabu vyake nimeona mengi na kujua mengi , usikae tu kuzungumza kuhusu huyu mwanazuoni mkubwa wa hadithi.

    • @user-pu2uw2ib5y
      @user-pu2uw2ib5y 4 місяці тому

      Hana anachokijua zaidi ya uvurugaji dini ya Allah

  • @maherzain989
    @maherzain989 4 місяці тому

    Sema baba

  • @rushu1232
    @rushu1232 4 місяці тому +1

    Mawahabi walazimisha masheikh wao itawezekanaje Albani awasahihishe Bukhari na Muslim haingii akili hata kidogo hao ni vibaraka wa mayahudi kutoa hadithi ambzo hawazitaki.

    • @hassanmohamedlaizer569
      @hassanmohamedlaizer569 4 місяці тому +1

      Huyu anayesema hivo hajahifadhi hata hadith 50 kwa riwayah😂😂....eti naye mfikie albani thubutu😂😂

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 4 місяці тому +1

    Sasa Albani sikaja juzi tu anavyo Sema huyu ni Sawa kwa sababu ili mtu aitwe muhadith Kuna sheria zake sasa bukhari amefikia viwango sasa vp aje mtu tu aseme amesahihisha maneno ya bukhari wakati daraja hiyo hana vitabu vya usuli hadithi vinasema namba Wan ni bukhari baadae Muslim sasa Leo atokea mtu asema kasahihisha Alban

  • @kadoditsa3805
    @kadoditsa3805 4 місяці тому +1

    Siku ya Qiyama Ndio Tutajuwa Watu ni kina Nani... Hawa Masufii mwuwawatukanao ni wacha Mungu Sana ... Tahadharini Na ndimi zenu .. kwani Nyama ya wana wazuoni ni sumu ... na Huyu sheikh Fadheel ni Mwanachuoni mkubwa ... Mwanafunzi wa Mwanachuoni Mkubwa ... Tuweni na Inswaaaf katika kupinga

    • @mohammadswaleh6900
      @mohammadswaleh6900 4 місяці тому

      Kweli kabisa maneno Yako matwarika wacha mungu sana hata Wana abudu makaburi,wanapiga Ngoma miskitini,wanasoma khitma Ama lahalika hakuna Wacha mungu kama matwariqa. Majahil wakubwa makhurafi

    • @tigerroar3545
      @tigerroar3545 4 місяці тому

      Umejuaje wachamungu? Mwanachuoni mkubwa ?

    • @mashrab_hani
      @mashrab_hani 4 місяці тому

      Maneno ya dhahabu... 👌

  • @MuhidiniNassor
    @MuhidiniNassor 4 місяці тому

    Mawahabi mwaka wenuuuuuuuuuuu

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp 4 місяці тому

    Watu wameacha kazi wanamsikiliza huyu zama zinaenda sehem mbaya hizi

  • @Muislamu
    @Muislamu 4 місяці тому

    مكانة البخاري محفوظة ولا أحد يستطيع أن يزعزعها لا المتقدمين ولا المتأخرين ....
    ولو اختلف البخاري مع أحد من المتأخرين لقدم قول البخاري على غيره بلا شك ..فهو إمام في الفنّ بلا منازع ..وكذا الإمام مسلم بن الحجاج ...
    والشيخ الألباني رحمه الله ممن استفاد من علم البخاري وله يد في علم التخريج والتصحيح والتضعيف..ولا يقلل من شأن الألباني شيئا كونك لا تعترف به بل تريد أن تنقص من قدره !! أبدا ...
    أنت لست بشيئ بس مجرد التهجمات فقط..
    والله أسألك سؤالا واحدا فقط في علم التخريج لما استطعت الإجابة عنه ناهيك عن التصحيح والتضعيف!!
    وقد حاول الدارقطني رحمه الحافظ تضعيف بعض الأحاديث في الصحيحين في كتابه التتبع والإلزامات ودافع الحافظ ابن حجر عنه..فالشيخ الألباني عالم وله جهوده معلومة مشكورة ..نقول اجتهد فأخطأ في تضعيفه لما في الصحيح لا أكثر من ذلك..
    ومتى سمعت أن أهل البدع مثلك يوما يجيد فن الحديث ؟؟
    أنتم شغلكم الشاغل ضرب الطار والناي والرقص كما يرقص الدبب..فحسبك من الشيخ الألباني ومن أنت حتى تعترف به أو لا تعترف ؟؟

  • @JibirilaSharif
    @JibirilaSharif 4 місяці тому

    Hayo ndio maneno ya chuki ya maghurafi juu ya Alhlu Sunna

  • @AbuuSaad7
    @AbuuSaad7 4 місяці тому +1

    Wewe ni nani wa kumkosoa imam albani, unamchango gani kwenye dini dini? Kuweza kumkosoa imam albani. Kuna yeyote anaekujua kwenye jamii yetu kama wewe ni sheikh? Imam Albani ni mwanachuoni mkubwa kwenye zama zetu na mwenye sifa kubwa, amesomea sayansi ya hadith zaidi ya miaka 50 na kuweza kusahihisha na kuziweka sawa hadith nyingi. Na wanachuoni wengi wakubwa wanamkubali na wanazitumia hadith alizozisahihisha kwenye tafiti zao za dini. Halafu unatokea mjinga mmoja umeshiba zako makande, unaenda mskitini unashika maiki (microphone) na kuanza kubweka na kuropoka. Iman bukhari alikuwa ni binadamu na alikosea na kukosolewa kwa dalili

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 4 місяці тому

      Skilizia hapa 0:18
      Utajua sheikh kamaanisha nini

    • @AbuuSaad7
      @AbuuSaad7 4 місяці тому

      ​@@IbraFareed kwa hiyo hakuna hadith ya bukhar ya kusahihishwa?

    • @AbuuSaad7
      @AbuuSaad7 4 місяці тому

      Bukhari ni muhadith mkubwa vigezo alivyotumia kupokea hadith vilikuwa ni madhubuti lakini kuna sehemu aliteleza na akasahihishwa kwa dalili. Pia imam albani alikosolewa kwa dalili na akakubali marekebisho. Hawa wote ni binadamu lazima wakosee hakuna aliyemkamilifu. Allah (s.w) ndio mkamilifu

  • @user-dm2uy3un5q
    @user-dm2uy3un5q 4 місяці тому

    Katika hii dunia watu watafuta umaaurufu tu hakuna lingine .albani alisema kwenye kitabu gani kuwa anachukua hapa na hapa mche Allah kwa maneno yako ....

  • @Muislamu
    @Muislamu 4 місяці тому

    Shida nyinyi watu wa maulidi fanni ya hadithi , tawhidi , lugha na fiqhi ni watupu ..hata mtu akitaka kuwafahamisha atapasuka moyo yeye ..

    • @sadofaraji5999
      @sadofaraji5999 4 місяці тому

      Kati ya Albani na Bukhari nani salaf?
      Nani afuate ufahamu mwenzie?

  • @GOP-Abdallah
    @GOP-Abdallah 4 місяці тому +1

    wewe ulipewa microphone ukaitia shkioni, alafu wasema waeza fanya alichokifanya sheikh al albani?

    • @user-hh6bq9sz4d
      @user-hh6bq9sz4d 4 місяці тому

      Wafuasi wa sheikh Albany mtihani

    • @GOP-Abdallah
      @GOP-Abdallah 4 місяці тому

      @@user-hh6bq9sz4d vumilieni basi kwa huo mtihani

  • @Boyhoodking
    @Boyhoodking 4 місяці тому

    Mara tu ,tushafika huku 🥲 ama kweli chizi karogwa mara ya2 duuuh

  • @Biziman-pu4kf
    @Biziman-pu4kf 4 місяці тому

    Wali wamaulidi unakusumbuwa

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 4 місяці тому

    Kwanza anza kukosoa khabari za sheikh albeidh😂,zile za mtu aliyekufa bila ya shahada kisha akaamka kutoka kwenye umauti akatoa shahada,al badawi hakuwahi kufanya dhambi mpka kufa kwake,maulidi ni tiba ya ukimwi,ukisoma suraatul jinni saana wawa mwehu,hizo khabari zifanyie bahthi,ukimaliza😂 ndo utuletee bahthi ya hadithi za mtume sasa kama utaweza😂

  • @ismaelokubere-yc4yt
    @ismaelokubere-yc4yt 4 місяці тому

    Wacha ujinga Matwariqa wanaujinga

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 4 місяці тому

    Eti na watu wamekaa wanakusikiliza

  • @khalidabas252
    @khalidabas252 4 місяці тому

    Anza leo bc na ww kuanza kuandika ili tusome vitabu vyako.
    قل موتوا بغيظكم إن الله عليم بذات الصدور.

  • @swalehmohamed712
    @swalehmohamed712 4 місяці тому

    Ajabu utaona watu wala3ni watu... kanena lipi lamakosa?😅😂

  • @yazidumussa3144
    @yazidumussa3144 4 місяці тому

    Chizi karogwa tena

  • @user-ql2om7qj3v
    @user-ql2om7qj3v 4 місяці тому

    Basi yeye hatakuzungumza hajiwezi kama mlevi

  • @allywaziry6419
    @allywaziry6419 4 місяці тому

    Hata mm naweza hahahaha mtihani kwa kweli, kweli unaweza kufanya alivyoyafanya ulamaaa????

  • @RamaNassry
    @RamaNassry 3 місяці тому

    KAMA NA WEWE WAWEZA AYA FANYA MJOMBAA😜😜😜

  • @JumaNurudinihassani
    @JumaNurudinihassani 4 місяці тому

    Ewe mola msamehe huyu hajui alisemalo na umuongoze.

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 4 місяці тому

    😂😂😂😂 ana udata kwani huyuu

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 4 місяці тому

    Kuongea kwenye huwezi

  • @IbrahimSallum
    @IbrahimSallum 4 місяці тому

    Unawez nn ww unamjua al aruban ww jahal

  • @ramadhankheir4793
    @ramadhankheir4793 4 місяці тому

    Icho kichwa au ngoma 😂😂😂😂

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp 4 місяці тому

    Haahaa 😂😂 anaweza kuwa kama albay haya kuwa tukuone

  • @mohammadswaleh6900
    @mohammadswaleh6900 4 місяці тому

    Jitu puuzi puuzi tu hili jahil kubwa.huyu ndie alisema maulidi ibada yamtakasa mtu.doooooooh

  • @ABUUJAAFAR92
    @ABUUJAAFAR92 4 місяці тому +2

    Umetanguliza ujinga badala ya ilmu ,,,wako wapi maulamaa wenu masufi mfano wa al allama albani..?
    Sheikh albani رحمه الله تعالى،،،ni mwanachuoni muhadith aliezifanyia bahthi Hadith nyingi , alhamdulillah ametoa faida kubwa kwa waislamu kwa kuwabainishia Hadith sahihi na dhwaifu ,,,,Leo unakuja wewe mpuuzi sufi khurafi unamfanyia thwa'an .
    Lazima kumzungumzia vibaya kwa Mana hamna mwanachuoni mfano wake.

    • @rashidjuma9169
      @rashidjuma9169 4 місяці тому

      Wewe jibwa una hadithi ngapi au kubweka tu

    • @masoudmohammed4258
      @masoudmohammed4258 4 місяці тому +1

      Kweli kabisa Akhy . Masufi ujinga mtupu tu

    • @AbuuSaad7
      @AbuuSaad7 4 місяці тому

      Anatokea wapi ulamaa mkubwa? Wakati wao mda wote wanawaza dufu

    • @yazidumussa3144
      @yazidumussa3144 4 місяці тому

      Tukipata umri tutaona mengi sana
      Sijawahi kukaribia kufikiria kama ktk zama hizi tunaweza kua na mwendawazimu kama huyu sufi

    • @user-pu2uw2ib5y
      @user-pu2uw2ib5y 4 місяці тому

      Albani ni sawa na padri tu

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 4 місяці тому

    Kwanza wewe ni kibawa cha mbu,albaaniii ni tembo,wakubali visa vya albeidh,afu wamkejeli sheikh albaani😂

  • @musashiundu
    @musashiundu 4 місяці тому

    Wacha ujinga na upumbavu wewe.
    Kazi yako ni kupoteza ummah huna haya . Wewe sio sheikh bali shehena

  • @mohamedhaji4827
    @mohamedhaji4827 4 місяці тому

    Wew jamaa ni jahil tena ni mwendawazimu

  • @abuunufaysah5328
    @abuunufaysah5328 4 місяці тому

    Jitu la bidaa' Allah akuongoze sufi wewe!

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 4 місяці тому

    Kwanza ukitaka kujua huyu ni jaahil,masaail ya elimu ya
    علل
    Bingwa wa mambo hayo na al imaamu ddaaraqutnwiyy,na sheikhul albaaniii rahimahu llah,kapita mapito ya wanachuoni wakubwa ktk kudhoofisha na kusahihisha hadiithi,swala si sheikh albaani,kadhoofisha au kasahihisha,swala ni kapita mapito gani?we mkosoe kielimu,sio kutoa macho na kutanua pua,kama upo kwenye sakaraatul mauti😂