WASIA WA SHEIKH NASSOR BACHU ENZI YA UHAI WAKE KWA SHEIKH KISHK

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 258

  • @omarihamisi4517
    @omarihamisi4517 Місяць тому +2

    ALLAH amjaaalie kila lenye kher maalim sheikh nassoro bachu na amjaalie pepo kwa rehma zake amiin

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 3 роки тому +42

    Allah awajaalie waliokua katika huu smikitu wote waliotangulia mbele yahakk Awajaalie minalfaizin na sisi tuko nyuma yao atupe mwish mwema👐👐👐😭

  • @mohammedjumakhamis8151
    @mohammedjumakhamis8151 3 роки тому +33

    Wallahi nilikosa bahati kubwa ya kuonana na shk Nassor Bachu ya!Allah tujaalie tuonane pamoja peponi

  • @ismailm325
    @ismailm325 3 роки тому +15

    Sheikh wangu bora kwa miaka yote Nassro Bachu, Allah amjaaalie malipo mema

  • @hadijamushi8674
    @hadijamushi8674 3 роки тому +4

    maashaAllah Mwenyezi Mungu amrehemu sheikh wetu sheikh NASSOR BACHU, NA awaongoze mashekhe wetu ,awape afya ili tuzidi kupate neema ya ilmu

  • @maimunahassan5047
    @maimunahassan5047 3 роки тому +6

    MashaAllah,Allah amjaaliye sheikh Nurdin kishk maisha marefu na afya njema,Allah amrehemu sheikh Nassor bachu na amjaaliye Jannatul firdaus iwe makao yake

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 роки тому +18

    Mashallah Allah atuzidishie furaha amrehemu sheikh nasoor bachu amlaze pema penye wema peponi

  • @arifsaid8080
    @arifsaid8080 3 роки тому +1

    INNALILLAHY wainna ilayhi raajiun.
    Ukiskiliza Daawaa ya Marhoum Sheikh Nassor utahis kua kama imerikodiwa masaa machache..
    DUA YA MWENYE KUDHULUMIWA
    MALEZI YA WATOTO
    AHKAAM JANAIZ
    RIYAADH SWAALIHYN...
    Allah amjalie nuru ktk kbri yake.....

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 3 роки тому +10

    Mashallah mashallah Allah barqi masheikh wetu allah awajaliye afya njema awaifadhi awape furaha ya dunia mpaka kesho akhera allahuma meen 🤲

  • @saidikingazi1995
    @saidikingazi1995 2 роки тому +1

    Allah nimlinzi mkubwa kwawaja wake na tunakuomba utujaalie kher nyinyi sisi pamoja na masheikh zetu, na vilevile umlehemu Sheikh wetu Nassoro Bachu, pamoja na marehemu wengine waliotangualia mbele za haq, Allahuma aamiin.

  • @mohammedmoshe6622
    @mohammedmoshe6622 3 роки тому +17

    ^INSHAALLAH^ ^ALLAH^{Subhaanahuu Wataala} AMREHEMU Sheikh Wetu, Na Ampe 'JANNATUL-FIRDAUS' AMEEN!!!!!

  • @mussakarata6831
    @mussakarata6831 3 роки тому +1

    😢😢😭wanllah sijapatapo kumsikiliza na kumuelewa shekh yeyote ispokua shekhe nasoro bachu Allah amlipe maripo makubwa mno juu ya mawaidha yake yanayoishi kiboko ya washirikina na wapenda vya kuzusha

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Рік тому +2

    Ya Rabiii muweke Sheikh nasoor bachu katika pepo ya Firdausi nuzulah ya Allah msamehe Kwa yake mapungufu kwani hakuna Alo kamilika ispokuwa wewe amiin 🤲 ya Allah

  • @kulthumkadir2636
    @kulthumkadir2636 2 роки тому

    Amin Allah ampe ma
    Kazi mema shehe wetu huko aliko nasoro bachu na shehe kish ampe afia njema na uwezo Zaid azid kutufuza

  • @professerayyub4825
    @professerayyub4825 3 роки тому

    Allah amjalie both masheikh wetu kishki na mkongwe sheikh wetu mwalimu mwetu sheikh fetheran nassor bachu.....walai I never us d to get tired of his daa'wah Allah hifdhak wote maa sheikh wetu inshaAllah 🙏♥️

  • @abouswaleh7375
    @abouswaleh7375 3 роки тому +30

    NAMPENDA SAANA sheikh bachu😭😭😭😭😭😭😭😭... ALLAH amuonee HURUMA YEYE Na SISI viumbe dhaifu

    • @radhiambwana8787
      @radhiambwana8787 3 роки тому +1

      Yaan mie kanibadilisha moja kwa moja Nasoro bachu hakika anafungu kubwa mno.

    • @ibnzabura4433
      @ibnzabura4433 3 роки тому +3

      wallah moja ktk mashekhe walionitoa gizani na kunileta ktk nuru ni huyu kipenzi wa waislam si tu Tanzania au est Africa lakini arabuni na kwengine duniani ni sheikh nasro bacho Allah amrehemu na wanachuoni wengine wote wa dini hii tukufu.

    • @zezezeze8408
      @zezezeze8408 3 роки тому +3

      Ameen ya Rabb l Alameen.......mm nampenda haswaaa maana nikiskia mawaidha yake najifunza mengi ....Allah ampe nuru kwenye qabri lake ....Ameen

    • @ahmadsaid5845
      @ahmadsaid5845 3 роки тому +1

      Duh kumbe tupo wengi nassor bachu nampenda kuliko maelezo natamani ningalihudhuria darsa zake moja kwamoja...mana huyu jmaa aliiisimamia haki kisawasawa na anajua kufanya daawa..maashallah huyu jamaa ni jamaa aliejaaliwa b

    • @صالحهصالحهالحربي
      @صالحهصالحهالحربي 3 роки тому +1

      Mashalla.shekh.nurdin.mungu.awape.mwishomwema

  • @ndalusanzekassim5902
    @ndalusanzekassim5902 3 роки тому

    Mashallah! Mwenyezimungu amjalie kauli thabit shekh Nassoro Bachu yarab ameen

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 3 роки тому +1

    😭😭😭Sheikh Bachu allah akupe kheri na baraka huko uliko nawapendeni saaaaaaaaana pamoja na al Akhi kishki MaashaaAllah Machozi yanitoka😭😭 nafuraha inaniongezeka saaaaana MaashaaAllah MaashaaAllah MaashaaAllah

  • @halimaramadhan2975
    @halimaramadhan2975 3 роки тому +5

    Allah amrehemu amjalie pepo firdous iwe makaaz yake yey Pamoja na masheik wote waliotangulia

  • @ahmadisaid9304
    @ahmadisaid9304 2 роки тому

    Wallahi machozi yamenitoka Allah akupe nuru shekhe wangu sichoki kusikiliza maneno matamu kabisa ya shekhe wangu naona kama yuhai Allah akupe pepeo amin

  • @faizahamim2799
    @faizahamim2799 3 роки тому +1

    Manshallah ALLAH ampe shifaa sheikh nassor bachu amzidishiye afya na pia masheikh wetu nyoote ALLAH akujaaliyeni mwisho mwema insha ALLAH

    • @naimaally7072
      @naimaally7072 3 роки тому +2

      Sheikh nassor bachu ni maruhum mda mrefu sana takriban miaka kumi au kumi na moja Allah amrahamu

    • @faizahamim2799
      @faizahamim2799 3 роки тому +2

      @@naimaally7072 Kweli? ALLAH amrehem amfunguliye milango ya pepo firdaus insha ALLAH

  • @mrishojumaamrisho3212
    @mrishojumaamrisho3212 3 роки тому +2

    Allah amrehem sheikh nasor bachu na waislam wote waliotangulia mbele za haki!...huu ni upendo wa juu xana

  • @ummuwawili
    @ummuwawili Рік тому

    Alhamndulillah waswalatu wassalam ghalaa sayyidina MUHAMMAD (s.a.w) waghalla alihi waswahabihii al iqram.......Yaa Rabbi mwenyeezi MUNGU wetu mtukufu uliyeumba mbingu na ardhi pmj na kila kilichomo, Ya RABBI nakuomba msamehe makosa yake sheikh NASSOR BACHU, umsamehe makosa yake, umtanulie kaburi lake, umueke jirani na kipenzi chetu MUHAMMAD (S.a.w) pamoja na wema waliotangulia, umvishe mavazi ya peponi na umjaalie pepo ya daraja la mwanzo kuwa ni makazi yake! kisha mjaalie na umlipe kheri sheikh NURDIN KISHKI pamoja na familia yake, umfanyie wepes ktk kila jambo lake, umzidishie subra pale anapokwazika au kuchoka, umjaalie kizazi chema, umpunguzie machofu na kila jema nlilosahau kulisema haa Rabby uwajaalie na utuongoze sote waislam kuyafanyia kazi wanayotukumbusha......uwarehemu maiti wetu wote waiotangulia na maiti wa kiislam, utusamehe makosa yetu ya vizazi vilivyopita tulivyopo na vitakavyotokana na sisi.......tujaalie kudumu ktk ibada sisi na vizazi vyetu......amin yarablghalamin....

  • @BABYRAMAMINA-rj4vy
    @BABYRAMAMINA-rj4vy Рік тому

    Mashaallah namuomba mungu ampe afuen ya haraka na kishk mungu amhidi na wototo wa kisilamu inshaallah

  • @Truthshallprevail1291
    @Truthshallprevail1291 3 роки тому +5

    Allah amrehemu sheikh Nassor Bachu. Allahumma Amin
    انا لله وانا اليه راجعون
    اللَّهُمَّ اغْفِرْ لَهُ ، وارْحمْهُ ، وعافِهِ ، واعْفُ عنْهُ ، وَأَكرِمْ نزُلَهُ ، وَوسِّعْ مُدْخَلَهُ واغْسِلْهُ بِالماءِ والثَّلْجِ والْبرَدِ ، ونَقِّه منَ الخَـطَايَا، كما نَقَّيْتَ الثَّوب الأبْيَضَ منَ الدَّنَس ، وَأَبْدِلْهُ دارا خيراً مِنْ دَارِه ، وَأَهْلاً خَيّراً منْ أهْلِهِ، وزَوْجاً خَيْراً منْ زَوْجِهِ ، وأدْخِلْه الجنَّةَ ، وَأَعِذْه منْ عَذَابِ القَبْرِ ، وَمِنْ عَذَابِ النَّار ..
    اللهم آمين يارب العالمين

  • @IngabireAisha3813
    @IngabireAisha3813 3 роки тому +2

    Allah marham kipenzi chawengi ninawapenda kwa ajili ya Allah namuomba Allah atukutanishe ndani yapepo tul Firidaus

  • @daatyabdul652
    @daatyabdul652 3 роки тому +1

    waallah nampenda shekhe bachu
    Allah amsamehe na ampe pepo ya daraja ya juu

  • @aminaibrahim7175
    @aminaibrahim7175 3 роки тому +3

    I love shekh nassor bachu, Allah amjaalie jannatul firdous

  • @ibraa1157
    @ibraa1157 Місяць тому

    Allah Amjaalie Qauli Thaabith bwana sheikh Nassor Bachu..

  • @mamymdogomamy3670
    @mamymdogomamy3670 3 роки тому +9

    Innahillahih wainnalillah rajhun Allah amjalie makazi mema 🙏🙏

  • @abdallahjuma4397
    @abdallahjuma4397 3 роки тому +10

    Ni ngumu kwangu kupitisha siku bila kumsikiliza Alsheikh Nassoro Bachu, Allah amrehemu namuomba Allah anikutanishe naye peponi

    • @yahayaamiri1253
      @yahayaamiri1253 3 роки тому

      AMIN, Naimani ALLAH atakapoijibu dua hii atanipa mithili ya wewe ulivyomwomba

    • @yahayaamiri1253
      @yahayaamiri1253 3 роки тому

      AMIN, Naimani ALLAH atakapoijibu dua hii atanipa mithili ya wewe ulivyomwomba

  • @leilazulpha3205
    @leilazulpha3205 3 роки тому

    Masha Allah tunakupenda sana sheikh wetu Allah akupe umri mrefu mwenye mafanikio uzidi kutuongaza

  • @alimsabah4921
    @alimsabah4921 3 роки тому

    Mashalla ALLAH amrehem sheikh Nassor maalim daayy mkubwa Afrika Mashariki Sheikh Nurdiin umeshuka Sana kwwnye daawa jitahd urud Kama mwanzon

  • @أمخالدالعلوية
    @أمخالدالعلوية 3 роки тому +9

    رحم الله شيخ ناصر باش وأسكنه فسيح جناته، وحفظ الله شيخ نور الدين كشك من كل شر الدنيا والآخرة.

  • @yusuphmohamed8560
    @yusuphmohamed8560 4 місяці тому

    MAASHALLAH SHEIKH NASSOR BACHU Al maaruf SIMBA WA MIMBAR AFRIKA MASHARIKI NA KATI ALLAH AKUWEKE PAMOJA NA WEMA WALIO TANGULIA Inna lilah Wainna Ilayh Raajiuun.

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 3 роки тому +1

    Sas hiz video zilifutwa ee au zulikua hazijawekwa youtube Mashallah mwil unanisisimka watu wanavomfurahikia Sheikh nurdin kishk😍Nimefurah kumuon Sheikh Nassor bachu kipind amekuf mim nilikua nimdogo Mama ang alilia Sana alikua nimpenz wake Sana anamfatilia sana Sheikh Nassor Bachu Alhmdulillah Allah amlaze pema pamoja na wema😭😭😭😭😭👐

    • @canavarovaro9436
      @canavarovaro9436 3 роки тому +1

      mungu amrehemu sheikh nassor bachu pamoja nasisi sote

    • @abdallahkhator4878
      @abdallahkhator4878 3 роки тому

      Mbn munatusumbua shk bachu amefariki zamn na hii video inasiku tatu

    • @jumasaid1374
      @jumasaid1374 3 роки тому +1

      Mi nilijua bado anaumwa kumbe aliisha farik duh sheikh buchu mwenyezi mungu amuangazie nuru

    • @bintsalimalbimany5340
      @bintsalimalbimany5340 3 роки тому

      @@jumasaid1374 Ammin yarab😭😭😭👐Maziko yake uyo nayy alipata Watu Mashallah tulion CD yake

    • @bintsalimalbimany5340
      @bintsalimalbimany5340 3 роки тому

      @@canavarovaro9436 Ammin yarab👐👐

  • @SaniaNana-hn6dp
    @SaniaNana-hn6dp Рік тому

    Allah atukutanishe nae sh.wetu nasoro bachu! kesho yaumulkiyama katika rehema zake pana.

  • @mename6020
    @mename6020 3 роки тому

    MashaAllah Allah akuzidishie kheri nyngi kipenz cha Allah she Nurdinn...

  • @hatengekimanaajml7230
    @hatengekimanaajml7230 3 роки тому

    Allah warehemu kwahurumawako masheikh walotanguliya beleyakhaki inshallah nasitukonyima

  • @ibnkhaldun1164
    @ibnkhaldun1164 3 роки тому +2

    Allah amrehemu sheikh Nassor Abdullah Bachoo. Kwa hakika nimestafeed vitu vingi Kwake.

  • @Fahad_alves1212
    @Fahad_alves1212 6 місяців тому

    2008 hii siku nilisali nje kabisa msikitini Skh Nassor alikua tayar umeanza kuumwa hapa na alikua hapandi membar tena "ALLAHUMA IGHFIRLAHU WARHAMHU" 🙏

  • @mohammedjumakhamis8151
    @mohammedjumakhamis8151 3 роки тому +14

    Shk Nassor Bachu rahimahullah

  • @greatiq7835
    @greatiq7835 3 роки тому

    Sheikh Nassor Bachu.. Mzinduzi wa nyoyo za WAISLAM kuamkiana KIISLAM(Asalaam alaykum)! Allah ghfir lahu. Wa rhamhu. Wa skanhu fil Jannat. Amin!

  • @Fahad_alves1212
    @Fahad_alves1212 6 місяців тому

    Ila Shekh Nassor alikua anachukia sana haya mambo yakutukuzwa tukuzwa kama hivi anavofanyiwa sh Kishki Allah awahifadhi wote inshallah

  • @tundahatibu6738
    @tundahatibu6738 3 роки тому +2

    Sheikh nasoro bacho mungu amrehem nampenda Sana kwa ajili ya Allah

  • @ShSh-my8cw
    @ShSh-my8cw 3 роки тому

    Mungu ailaze roho yke mahal pema peponi, shekh nassor bachu

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 роки тому +6

    Shekhewetu kishk Allah akupe umri mrefu

  • @rahmamakwisa4089
    @rahmamakwisa4089 3 роки тому +2

    Kiukweli mmenichanganya muwe mnaandika kua ni ya mda gani...
    maaan ....nilikua najiuliza hy shekhe bachu ameisha fariki.....
    Allah amrehemu shekhe wetu........😢
    Asanten mlio comment.....

  • @muddyyussuf
    @muddyyussuf 3 роки тому +4

    Allah ampe pepo za darja ya juu Sheikh Nassor Bachu

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 роки тому

    Inalillahi wainailahi rajuun shehe Nnasor Allah akujaalie pepo lnshallah umetuachia mawaiza yanatufundisha Allhamdulillah utazani upo Hai ❤️❤️❤️❤️😭😭😭😭

  • @Ali-gk5mv
    @Ali-gk5mv 3 роки тому

    Innailahy wainna ilehy rajiuni,,Allah Awaeke Masheikh Wetu Wote waliotangulia Mbele ya haki pahali pema kwenye wema peponi

  • @kassimugulumu5460
    @kassimugulumu5460 3 роки тому +1

    Allah awahifadhi mashekhe wetu na c c pia.

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 3 роки тому

    Umma wakiisilamu Nafurahi saana nikiwaona mmeshikamana pamoja alafu nampongeza saaana mtangazaji wa sheikh kishki kumbe ukonae muda mrefu tangia Almarhuum Sheikh wetu Bachu Nae mungu amjaalie kwakuifanya kazi ya dini kwa muda mrefu na ajaalie tukiwa peponi InshaaAllah Awe ni mwenye kupendeza na mwenye milk ya vizuri vingi kuzid ss maamuma. Minanapenda woote jamani #_bi_idhnillah allah awakinge na hila za wanaafiqi wa ndani ya uisilamu na walionje ya uisilamu 🤲Allahumma Taqabbal duaaaa🙏

  • @adilihassan8455
    @adilihassan8455 3 роки тому

    Allah amueke firdaus ,na wote waliokua wanafunzi wake Allah awalipe firdaus n waislamu wooote waliomkubal mtume,Aamin

  • @aminaalli2287
    @aminaalli2287 3 роки тому +3

    Namlenda sana shekh nasoor bachu..Allah umuondolee mchanga wa macho

  • @alikhamis6326
    @alikhamis6326 2 роки тому

    Allah akurehemu shaykh nassor bachu wasia uliompa nordin kishk haufuata baada kwa sasa amekuwa Ansari sunn baada ya kuwa salafiyyah Allah amuongoze kama alivyokuwa nassor bachu mtu wa sunnah

  • @mbwanabaruti7496
    @mbwanabaruti7496 3 роки тому

    Allah amrehemu Shekhe Nassor Bachu .AllahAmjalie na mtia nguvu shekh Nurdin Kshki kataka kulingania Dini

    • @staffabasi5107
      @staffabasi5107 3 роки тому

      Ckuhizi wamegeuka masheikh maandazi serikali imekuwa juu ya dini

  • @awadhhadi446
    @awadhhadi446 3 роки тому +1

    Allah awasamehe mashekhe wetu waliotangulia mbele ya haki amin amin amin

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Рік тому +1

    Masikini bachu wallahi bachu hata hakuwa na mikogo kama mliyoendanayo nyie na paka leo hajapatikana wa kuvaa viatu vyake inshallah tunamuomba Allah atupatie mfano wake wallahi masheikh sasa hivi wengi wanapambana na dunia tu.

  • @aishafarah2456
    @aishafarah2456 3 роки тому +6

    Allah amraham Sheikh wetu Nassor Bacho

  • @shk.yussufsalafizanzibar5182
    @shk.yussufsalafizanzibar5182 3 роки тому +2

    Masha Allah... huyu ni sheikh mkubwa sana huku kwetu zanzibar

  • @saadikibinjazaa1511
    @saadikibinjazaa1511 3 роки тому +2

    Shekhe Nasoro Abdullah Bachu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Allah akusamehe makosa yako

  • @z.nalnabhani7194
    @z.nalnabhani7194 3 роки тому

    Allah,atukutanishe peponi,pamoja na mtume wetu Muhammad s.a.w Aamiin

  • @yoramabubakar8012
    @yoramabubakar8012 3 роки тому

    Allah amumiminie kila la kheri kwe kaburi yaka shekh nasor bachu

  • @umyusuphumyusuph5706
    @umyusuphumyusuph5706 3 роки тому

    Mungu mrehem sheheachu umraham nababa angu nawaislam wote waliotutangulia mbelel yahaki

  • @mariamkingazi6416
    @mariamkingazi6416 3 роки тому

    Kwa hakika alikua chuma cha mawaidha. Kama mwenyewe shekh kishki. Allah amuhifidhi shekh bacho huko aliko. Na pia akuhifadhi shekh Kishk duniani na akhera

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 3 роки тому

    Masha Allah machozi yananitoka kwa furaha Allah awafanyie wepesi kwalkila jambo ma sheikh wetu 🤲🤲❤❤

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 3 роки тому +1

    Mashaallah mashaallah mungu awajalie upendo yote lnshaallah

  • @suleimankhatibjogoo7236
    @suleimankhatibjogoo7236 3 роки тому

    Allah amrehemu sheikh wetu SH NASSOR BACHU

  • @saidihamadi6110
    @saidihamadi6110 9 місяців тому

    M/Mungu amlipe malipe malipo mema, yani nampenda sana Sh Nasir bachu

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 роки тому

    Maashaallah tabarakallah shukraan Sana sheikh wetu Allah akuhifadhi wajaza kumullah khaira

  • @mussakisope7207
    @mussakisope7207 10 місяців тому

    Mchango wa sheikh nassor bachu katika dini hii ya kiislam afrika mashariki Allah ampe qauli thabit na pepo ya firdausi kama mtume alivyosema ukimuombea dua ya pepo tafadhali muombee dua ya firdausi

  • @الفردوس-ن6غ
    @الفردوس-ن6غ 3 роки тому +7

    Maasha'allaah Allaah amrehemu Sh Bacho

  • @sabrinayounisaden7238
    @sabrinayounisaden7238 3 роки тому +3

    May Allah Almaighty have mercy on his soul (shiekh naseer bachu) i was in Tanzania when he passed away .

  • @mohdsultan130
    @mohdsultan130 3 роки тому

    Allah atujaalie mwisho mwema sisi si chochote si lolote mbele yake allah subhaanahu wataala

  • @sudaissoud3670
    @sudaissoud3670 3 роки тому +4

    BACHO MWANAZUONI..ALLAH KAMCHUKUA ....PEPONI KWA REHMA ZA ALLAH

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 2 роки тому

    Allah amsamehe makosa yke Amin. Pepo ya firdous .

  • @salumswaleh7058
    @salumswaleh7058 3 роки тому +1

    Allah amjaalie makazi mema peponi amiin

  • @ashalaurent4722
    @ashalaurent4722 3 роки тому +2

    Mungu ampe pepo ya firdau shek wetu nasoro bachu nakumbuka samawadha yake hasw yandoa

  • @hilalakida7016
    @hilalakida7016 3 роки тому +1

    Mashaallah shekh nasoro Allah akuifadhi inshaAllah aitie nuru kabri yake

  • @nazarethally9509
    @nazarethally9509 Рік тому

    Mwenyezimungu amrehemu shekh nasoro bachu

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 3 роки тому +1

    Sheikh nassor bachu allah amhifadhi na amsamehe makosa yake

  • @abouhafs2891
    @abouhafs2891 3 роки тому

    Allah amrahamu shiekh Nassor Bachu....azidi kumkundulia kabri lake

  • @khamismachu9612
    @khamismachu9612 3 роки тому

    Mashaallah yan Sauti ya sheikh Nassor Bachu inaingia moyon asa

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 роки тому +6

    Mashaallah mashaallah Allah amrehem shekhe nasoro Bach

    • @abouswaleh7375
      @abouswaleh7375 3 роки тому

      😭😭😭😭😭NAMPENDA SAANA WALLAH😭😭😭

  • @omanbarka2053
    @omanbarka2053 3 роки тому +5

    Nasoro bachu Allah amrehemu napenda sana mawaidha yake

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 3 роки тому

    Nawewe aaalllah akuhifadhi namahasidi nur amin yarrab

  • @abubakarmeena6429
    @abubakarmeena6429 3 роки тому

    Sheikh nassor bachu ewe Allah mrehemu sheikh wetu nassor bachu

  • @ramak.9587
    @ramak.9587 3 роки тому

    Mapenzi kwa ajili ya Allah.....Maa shaa Allah

  • @habibuchipeka7934
    @habibuchipeka7934 3 роки тому

    No one like bachu ktk daawa tz mzima

  • @saidmuhibu1306
    @saidmuhibu1306 3 роки тому

    Allahu Akbar 😢😢😢😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥 Dah Allah ampe kauli thabit kwa kweli

  • @Mwadaba
    @Mwadaba 2 роки тому

    Innalillah wainnaillah rajiun sheikh NASSOR BACHU

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Рік тому

    Allah amrehem shekh wetu bachu

  • @mustayoo
    @mustayoo 10 місяців тому

    Hadi leo hakuna anaemfika bachu..Allah alimpa kipawa sheikh nassor bachu.Allah amlipe pepo ya firdaus

  • @khamisjuma9050
    @khamisjuma9050 3 роки тому +1

    Mungu amjalie kabur lake liwe ni la heri

  • @chidolakhatib7847
    @chidolakhatib7847 3 роки тому

    Allah amfufue na walio wema Yaa Rabb.. Sheikh wetu Nassor Bachu

  • @ibrahimmasoud8385
    @ibrahimmasoud8385 3 роки тому

    Mwenyiz mungu amrehem shekhe nasoro bachu

  • @rashidmusasaid7423
    @rashidmusasaid7423 3 роки тому +1

    Allah amrehemu shekh Nassor bachu

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 3 роки тому +1

    Allah akuhifi nurdin wa waislam wote hapu kikwajuni🙏🙏🙏❤️❤️❤️

  • @bigirimanaazza6778
    @bigirimanaazza6778 2 роки тому

    Mashaallah Allah amrehemu nassor bacu