HOTUBA YA MWALIMU NYERERE ILIYOWEKA RECORD DUNIANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 19

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 4 роки тому +3

    Tumesha mchagua baba Mwalimu. Magufuli tunae. Nafikiri hao viziwi wanasikia leo. Tunataka nchi yetu tupate kiongozi safi kiongozi safi hawezi kutoka nje ya CCM. Kauli ya mwisho ya baba wa Taifa. Gonga like kama mwalimu ni MTABILI

  • @fabiantomas2753
    @fabiantomas2753 4 роки тому +4

    Tunamshukuru Mungu,ametupatia Magufuli na anauishi utashi wako,

  • @kingnyamoma5696
    @kingnyamoma5696 4 роки тому +3

    Nyerere alimtabiri @magufuri sifa zote magufuri anazooo

  • @malambughibahati8851
    @malambughibahati8851 4 роки тому +6

    Huko uliko mungu anakuona

  • @ezekielsangari9675
    @ezekielsangari9675 4 роки тому +5

    Nyere bado anaishi

  • @barakamollel9122
    @barakamollel9122 4 роки тому +7

    Tanzania is So Blessed R.I.P Nyerere

  • @itNeza
    @itNeza 4 роки тому +1

    Mambo ya Udini Udini ndo Unadidimiza Maendeleo ! Sisi Dini tufanye Nalo nini, Baki na dini lako sisi Tuondolee kelele ( Asante Baba Wa taifa ). ❤

  • @yukerycharlesnyaluke3746
    @yukerycharlesnyaluke3746 4 роки тому +2

    Naqubalih mr

  • @sadickmashaalahhsadick3452
    @sadickmashaalahhsadick3452 4 роки тому +3

    Side boy mwalimu alikuwa anaona mbali sana

  • @bryanmallemeh5730
    @bryanmallemeh5730 4 роки тому +2

    Mwanga wa melele ukuangazie popote ulipo baba wa taifa letu teule Tanzania..

  • @lazaromgaya2132
    @lazaromgaya2132 4 роки тому +3

    Good

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 4 роки тому +1

    Magufuli tumtetee. Mwalimu alisema..

  • @edwingwesso6818
    @edwingwesso6818 4 роки тому +4

    😭😭😭 R.l.P leo hii et kasaulika kwa mazuri yote wanamuabudu mtu mwingne

  • @SebastianChipuzi
    @SebastianChipuzi Місяць тому

    Sina comments

  • @patrickkikoba8855
    @patrickkikoba8855 4 роки тому +3

    R.I.P Nyerere.

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 4 роки тому

    yap.

  • @robertambrose1231
    @robertambrose1231 4 роки тому +3

    Maneno ya keel hayasahauliki kamwe.