Je, Wapwani Tukidai Haki zetu Mutatupatia?! - Makala ya Pili.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @abdulqadirissa2535
    @abdulqadirissa2535 3 місяці тому +4

    Shukran sana stambul kwa bidi yako ya kuwailimisha hakizao wapwani jazakalah kher 👍💞

  • @hafsakirao398
    @hafsakirao398 3 місяці тому +3

    Stambuli kwa wanaomskiza kwa makini you get to know and learn a lot, Shukran sana my brother.

  • @FatwimaZahrau
    @FatwimaZahrau 3 місяці тому +3

    ❤tuamkeni wapwani na sisi tupate haqi yetu

  • @abdulazizislam1261
    @abdulazizislam1261 3 місяці тому +2

    Haki yetu hatutapewa kwa sababu tumelala na viongozi wetu ni wa kibinafsi na hatuna umoja

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 3 місяці тому +2

    Mudai hakizenu za wapani❤❤❤❤❤lnshaallah mutaipata❤❤❤❤❤❤

  • @hassanbinsalman1437
    @hassanbinsalman1437 3 місяці тому +2

    Thankyou Istambuli for this rare informative knowledge ..

  • @hamzarijal9093
    @hamzarijal9093 3 місяці тому +4

    Waislamu wamaeneo yote wa ukanda wa mwambao wa Afrika Mashariki wamelala usingizi wa Pono.
    Wapo katika malumbano na kusahau haki zao na namna ya kudai haki zao.
    Haki usioidai, hutaipata.
    Malcolm X katuambia: Early in life I learned that if you want something, you better make some noise."

  • @senetamtangazaji2901
    @senetamtangazaji2901 3 місяці тому +2

    Informative❤

  • @abdallahmasare3116
    @abdallahmasare3116 3 місяці тому

    aslm alykum, alhamdulillahi napenda kuona huu ushahidi

  • @ARNOLDKARISA-fs3ht
    @ARNOLDKARISA-fs3ht 3 місяці тому

    shukran saana mzee wetu
    naona nasoma mengi saana kupitia wewe

  • @KALUGOWAMENZA
    @KALUGOWAMENZA 3 місяці тому +2

    IPO siku haki itapatikana

  • @abdallahbadi
    @abdallahbadi 3 місяці тому

    Uko sawa

  • @otaibonny8835
    @otaibonny8835 3 місяці тому

    Lakini shekhe hiyo ardhi wakf, ikirudishiwe watu, itagawanywa vipi? mana niliona barua moja ambao kundi la waarabu, walikuwa wanadai maelfu ya acres ya ardhi.. itakuaje, si itakuwa uendeleaji ya dhulma ya zamani, hilo ndiyo jambo kumalizia kwanza, maana miongoni mwenu kuna makutokubaliano

  • @febamohammed2989
    @febamohammed2989 3 місяці тому

    Wewe mzee acha kujificha kwenye kivuli cha wa wapwani wakati lengo lako ni kuzungumzia waswahili na waarabu pekee ,,kati ya hayo ulioyasema yanamuhusu vipi mijikenda,mtaita na mpokomo? Iweje uchanganye wapwani wote ilhali wawakilisha jamii yako pekee,uliowataja wote unaosema wanafaa kupewa uawiziri wote ni waswahili na waarabu,,ivi kwa jamii nyengine hakuna wanaostahili kua mawaziri,,acha unafiki na kugaanya wapwani wewe mzee

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  3 місяці тому +2

      Wewe ndiye uliye na hayo unisingiziyayo mimi! Hebu tafakari, ni kwa muda gani mumekuwa mukitukejeli na kututenga jamii zetu na hata kufundisha Wakenya (na ulimwengu mzima) kuwa sisi (Waswahili) ni 'wana-haramu' wenu muliozaa na Waarabu wakati ukweli ni kinyume na hayo- yaani, mulipokuja kutoka Ethiopia si mulikuta Wazze wetu (Waswahili) wako kwenye ufuo huu, na wakawakaribisha?!!! Sasa, makosa ni kusema kweli?! Kwa hivyo, inakuuma sana?! Kwa hakika, mimi naamini mutakasirika sana! Kwa sababu, mimi nitaendelea kusema (na kuthibitisha) mengi ambayo wengi wenu hamupendi yasemwe (aidha kwa kutoyajuwa ama ni chuki mulizonazo dhidi ya jamii zetu tu). Jambo ambalo baadhi yenu musoyapenda ninayosema na kuyatolea ushahidi huwa hamufanyi ni kusema yenu na muyatolee ushahidi kama nifanyavyo mimi ili wanaoangalia na kusikiza waweze kuelewa asemaye kweli ni nani, na asemaye urongo ni nani! Kazi yenu ni kukashifu bila kutowa ushahidi wowote wa munayoaamini na kusema nyinyi. Lakini, musijali, mutaelewa tu.

    • @febamohammed2989
      @febamohammed2989 3 місяці тому

      @@stambuliwash.abdillahinass8123 sasa basi simama kwenye kivuli cha jamii yako,,usichanganye wapwani wote ilhali mlengwa wa mada zako ni jamii yako,,hatuna ulazima wala hatujawahi taka utuwakilishe au utesemee chochote maana wapo wazee wetu wanaotuwakilisha na kutusemea,,alafu hakuna jamii yoyote ya kibantu hapa pwani inayotoka ethiopia jamii zote za kibantu pwani zinatoka shungwaya na hakuna jami iliotupokea pwani zaidi ya jamii za wawindaji" hunters and gatheres",, na kwa sasa jamii hiyo haipo imemezwa na jamii za kimijikenda,,sisi wapwani tulio wengi kwa idadi ya millioni 3 tuna uwakilishi wa kutosha katika serikali na haianzi leo tu kutoka serikali ya kenyatta tuliwakilishwa na kina ngala,mwanyumba na matano na mpaka hii leo tuna kina kingi,mvurya,mwasera,mwinyika magavana wabunge na masenator kwaiyo ongelea jamii yako pekee ya watu elfu 50 sisi wengine tuache usitutiemo hata kidogo

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 3 місяці тому

      wamijikenda, wataita,wapokomo n.k wenyewe ndio wanaotenga wapwani wenzi wao na kujinasibisha na wasiokua wapwani....Tumekua serikali na kwa sekta za kibinafsi na tumeyashudia haya kwa macho na masikio yetu !
      Kina Ngala na wenzie wote walipigania 10 Miles coastal strip iwe pamoja na Kenya wakihofia watafanywa 'watumwa' na waarabu baada ya uhuru, ila leo mumekua watumwa wa 'wabara' na pia hadi ardhi zenu kunyakuliwa USIPINDUE HISTORIA KAKA !

    • @harshlinz6430
      @harshlinz6430 День тому

      Kweli kabisa sheikh stambuli mm nakuunga mkono mzee wangu ​@@stambuliwash.abdillahinass8123