Hatimaye Spika TULIA avunja ukimya sakata la Wabunge 19, amtaja Sabaya na kesi yake

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 83

  • @eliapendakileo5151
    @eliapendakileo5151 Рік тому

    Kodi za watanzania zitawamaliza waliohusika wote kwa jina la yesu Kristi amen

  • @uhurunyereremusa8592
    @uhurunyereremusa8592 Рік тому +3

    Spika Mzima unakuwa muongo hata haya huna usoni there is a legal precedent on this matter wabunge 8 wa CUF waliofukuzwa walikwenda mahakamani hawakuhurusiwa bungeni tena

  • @paulmatikila
    @paulmatikila Рік тому +2

    Huna jipya mama! Unalopoka tu,hata mm nicyejuwa Sheria unidanganyi!

  • @lucyseraphin8545
    @lucyseraphin8545 Рік тому +2

    Ukweli unaujua ila umeamua kusema uongo.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому +3

    Huyu alikuwa akutane na tundu lissu au heche au lema ndo engekiona cha mte makuni

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 Рік тому +6

    Huyu mama hafai kuwa kiongozi wa watu elimu yake ya sheria anaitumia vibaya

  • @reginaldmakene5987
    @reginaldmakene5987 Рік тому +5

    Mbona wale wa CUF mliwafukuza siku ile ile

  • @rosestigeneriksson8387
    @rosestigeneriksson8387 Рік тому +7

    Nani aliwapeleka bungeni?!acha kusema uongo

  • @andrew.gadimrinji1713
    @andrew.gadimrinji1713 Рік тому

    Wewe spika muogope Mungu. Taratibu za juwapata hawa 19 haukuwa halali.mnapoteza hela za umma kutafuta uhalali usiopo.

  • @traudkamugisha8051
    @traudkamugisha8051 Рік тому +4

    Nani aliyewapeleka bungeni???? acheni kutumia vibaya kodi za watanzania na acheni kukanyaga sheria kwa makusudi

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 Рік тому +1

    Kodi zetu zinachezewe sanaa, Inakuaje mtu anatoka gerezani usiku asubuhi anakuwa mbunge...!???

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu Рік тому

    Takataka Huyu Anajua Anachoongea Ni Uhuni, Walienda mahakamani Kuitetea Uanachama Wao, Na Wameishitaki Chadema Sio Speaker au Bunge. Huyu Mwanamke Ni Laana Kuwa Speaker wa Bunge la Tanzania.

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 Рік тому +1

    Endelea kuchezea Kodi zetu ila itakugharimu

  • @samsonmwijage1869
    @samsonmwijage1869 Рік тому +2

    Hawa wabunge19 (covid 19) si wabunge halali. Hata kama mahakama itaamua vinginevyo chadema haiwataki wamefukuzwa na mahakama haiwezi kulazimisha chama chochote kuwa na wanachama isiyowataka. Watoeni bungeni ni kinyume Cha katiba na msimamishe mishahara na posho zao kodi zetu zinaibiwa.

  • @eliapendakileo5151
    @eliapendakileo5151 Рік тому

    Huu uhuni kushtakiwa kwa Hilo kundi badae demokurasia ikitengama kunatakiwa kuzingatiwe. Unatenda kiss kwa sababu Kuna kosa Kama Hilo liliwahi kutendwa zamani. Kazi ya wanasiasa inaonekana ni kudanganya wananchi tuu. Mbona wanaosimamishwa kazi hawapewi mishahara wanapewa masherti magumu mnoo. Au wao ni kwa sababu mishahara yao ni chini ya milioni moja. Wakikwepa laana ya mungu watakutana na ya kibinadamu ni si kitambo

  • @humphreyvidonyi253
    @humphreyvidonyi253 Рік тому +1

    Spika wa hovyo kuwai kutokea

  • @geraldtarimo3210
    @geraldtarimo3210 Рік тому +1

    Unajishushia. Heshima,ainayahawa 19 niyatofati

  • @kasianmabele8546
    @kasianmabele8546 Рік тому

    Hawa lazima watamaliza muda wao wa miaka 5,si msomi ila hapo sheria ipitie muda wa jambo kama hili,maana itakuwa wabunge hewa,(wafanyakazi hewa)jambo hili linakanganya,mh,Tulia upate muda natambua n mwanasheria utufafanulie,kunafaida kiuelewa

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 Рік тому

    Leo unajifanya kuelezea kwa adabu, wakati mwanzo ulikuwa unajibu kijeuri. Umeona mama hasapoti ujinga wako unajifanya kutoa maelezo.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Рік тому

    Inamaana hujui kuwa waliapishwa kizani nje ya bunge? Unamaana hujui kuwa hakuna barua ya cdm ya kuwateua, tume na msajili wamekupa barua kuwa wamepokea kuteuliwa kwao na cdm,wala cdm hawajakuletea barua? Wao kufungua kesi yao ya kupinga inahusianaje wakati unajua wamefukuzwa chama au una wagombea binafsi bungeni wasio na chama? Mungu anakuona 2Tim3:13

  • @ngejejemashubi4213
    @ngejejemashubi4213 Рік тому +2

    Mbona wabunge wa CUF walifukuzwa case ikiwa Mahakamani

  • @eliaseliaselia7766
    @eliaseliaselia7766 Рік тому +1

    Walipigiwa kura na nani

  • @antonytenga-hv9sb
    @antonytenga-hv9sb Рік тому +1

    Zito alikuwa alizuia uanacha wake usijadiliwe kabla hajafuzwa usitudanganye alikuwa hajafukuzwa

  • @clarencelazaro9600
    @clarencelazaro9600 Рік тому +2

    Huyu hafai kbs kuwa speak

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 Рік тому +2

    Unajidharirisha na sheria yako, hata leyman anajua unasema uongo. Kiburi cha madaraka

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 Рік тому

    Umeeleweka,wale wa CUF walikurupuka kuwatimua,hapa kuwa na subira.

  • @mbuyaelyaoni6266
    @mbuyaelyaoni6266 Рік тому +1

    Kwa nini nmaruhusu wawepo. Mnatunga sheria huku mkizivunja kwa makusudi. Hakuna mwenye akili ya ziada ya kuvumilia mambo ya kipumbavu kama hizi.

  • @collinmhema5443
    @collinmhema5443 Рік тому +2

    Anahisi kama anaongea na wajukuu zake vile

  • @godylyimo7471
    @godylyimo7471 Рік тому

    Mbunge kama hana chama ni raia kwa hio ccm wanahalalisha raia kia bungeni Bila chama

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi Рік тому +1

    Huyu kibaraka wa mzee baba na ndungai,anakumbushia staili ya wasiojulikana na ubabe wao.

  • @jamesmfikwa5093
    @jamesmfikwa5093 Рік тому

    Hapo mahakama inatumika kuwaweka Bungeni

  • @EliaHiluka-vd5cv
    @EliaHiluka-vd5cv Рік тому

    Wewe hutufai wala huna sifa za kuwa kiongozi

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 Рік тому

    Kwa nini ninyi wabunge mnatunyima sisi wananchi tunaosikiliza haki ya kuelewa? Kwa nini mnaongea kiingereza,Kwani mnawakilisha waliosoma tu au wote ambao hawakusoma na ambao bado hawjafikia hatua ya kusoma na kuelewa? Tulia ameeleweka vizuri sana na ametumia lugha fasaha na ya kueleweka kwa Kila mtu 'ya kiswahili' ninyi wengine mnatupeleka wapi? Ongeeni Kiswahili tuelewane. Hongera Mh mbungge na spika Tulia kwa kutoa somo na kuwasomesha hao wengine wasiotaka kukubali na kuelewa.

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 Рік тому

    Kinachoulizwa wanaingia BUNGENI kwa tiketi ya chama kipi kama CHADEMA haikuwatuma na imewafukuza ? Kama wamekishitaki chama kwa nini wasiendeshe kesi hukohuko wao nà CHADEMA wakiwa nje ya BUNGE ambako hawana kigezo Cha WAO kuwa BUNGENI .

  • @westchugagang5323
    @westchugagang5323 Рік тому +1

    HARAKA YA NYOKWE

  • @geraldbenjamin9870
    @geraldbenjamin9870 Рік тому

    Mtuhumiwa anachunguza sinabdi apishe uchunguzi akishinda ndoaendelee au ikoje jamni

  • @shebbyabisai736
    @shebbyabisai736 Рік тому +1

    Kiwewe

  • @robertmasele9895
    @robertmasele9895 Рік тому

    Chama Cha kuivusha nchi katka ndimbwi la umaskin Bado ,kama wabunge Hawa 19 pendwa walikubali kushawishka wakawasalt wezao hapa hakna chama hata walioko upinzan wengi majizi tu

    • @salmanmagwe2612
      @salmanmagwe2612 Рік тому

      Ni kweli hata wapinzani wengi ni waganja njaa tu,hakuna jipya watatuletea,ni yale yale tu km ya ccm wenzie

  • @kasianmabele8546
    @kasianmabele8546 Рік тому

    Mnisaidie mnao jua sheria,ikionekana si wabunge halali,watarudisha pesa ambazo n kodi za wananchi?

  • @geraldmassawe2663
    @geraldmassawe2663 Рік тому

    Naomba kuuliza, Mbunge ni mfanyakazi au anatambuliwa kama ni nani. Kwa maana mfanyakazi akiwa na kesi mahakamani hukaa nje ya kazi mpaka shauri lake liishe. Sasa hawa wabunge 19 wapata wapi wazo la kusema bungeni ikiwa hawana uhusiano na chama chao. Wako bungeni kwa maslahi ya nani!

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому +1

    Vp pesa walizo lipwa ikiwa watabainika walifoji

  • @sarahsaanane-jm5qn
    @sarahsaanane-jm5qn Рік тому

    Nilisubiri sana kutoka tawala, lakini ulipokuja wa sofy amesema yeye aliondolewa. Sasa kwa nini hakubaki kama hawa wengine? Lakini wale wengine wote waliemda mjengoni kihalali tofauti na hawa. Lakini mdau wako anakwambia hao siwajui kwani hiyo haijatosha kuwa tuhuma ya kuwatoa?

  • @mdemualphonce1559
    @mdemualphonce1559 Рік тому

    Sasa hao bungeni waliingia kwa magumashi

  • @richardmagaka9525
    @richardmagaka9525 Рік тому +1

    I fear to coment anything but the truth is that the ruling party is interested in this case

  • @johnsonmria3824
    @johnsonmria3824 Рік тому

    Mahakama imlinyima bunge kufuata KATIBA???

  • @gaspercharles4242
    @gaspercharles4242 Рік тому

    Unafanya maigizo walasiyo sipikahuyo .

  • @EliaHiluka-vd5cv
    @EliaHiluka-vd5cv Рік тому

    Wewe unawalinda kisiasa hao

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm Рік тому

    Acha uhuni . Be serious for the sake of the country. This must end. Playing with people please. Stop those manipulations.

  • @tosh7671
    @tosh7671 Рік тому

    Huyu mama anatuona wajinga. Issue ni moja Kwanza walifika vipi bungeni . Kufukuzwani ni jambo la pili. unasubiri mahakama iamue juu ya jinai. Kugushi kujipeleka bungeni na kupokelewa ni jinai ambayo spika anaikumbatia

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 Рік тому

    Hakuna taaluma hapa

  • @EliaHiluka-vd5cv
    @EliaHiluka-vd5cv Рік тому

    Nyamaza tukuelekeze

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 Рік тому

    Wakumbatie tuu

  • @bugumbasalehe4650
    @bugumbasalehe4650 Рік тому +1

    Tapeliwewe

  • @josephmugala1970
    @josephmugala1970 Рік тому

    Kwahiyo ikionyesha walikosea hizo hasara walizo kura nani atarudisha?

  • @ellymlay9266
    @ellymlay9266 Рік тому +1

    Nae Mungu anachakufanya kwa taaluma za watu Kama watazitumia vibaya kwa kuonea wengine.

  • @alexjovin2981
    @alexjovin2981 Рік тому

    Wale wa caf viti maalum

  • @emmanuelsitayo1977
    @emmanuelsitayo1977 Рік тому

    Huyu anatueleza uongo mtupu.
    Kwani walichaguliwa kwenda bungeni na nani???
    Aache uongo wa wazi.
    Anatutia kichefuchefu.

  • @feruziabdoul2523
    @feruziabdoul2523 Рік тому

    Uyu mama so mzima kwakweli kabla hawajafukuzwa nani kawapendekeza waende bungeni? Na chanzo cha kufukuzwa kwenye chama naimani unakifaham

  • @othmanali7408
    @othmanali7408 Рік тому

    mbona munajichanganya nini ccm mimi sina chama wala sipigi kura ila naomba ccm itoke madarakani kiingie chama chohote alau tubadilishe upepo ...kwani mulivomvua uraisi Abudu Jumbe kule Zanzibar kulikua na sababu ya msingi ??? nyinyi munafanya mutakavyo na sio kufata sheria musitushuhulishe

  • @johnsonbagambi1908
    @johnsonbagambi1908 Рік тому

    Mnathalilisha taaruma zenu

  • @anoldamkumba3208
    @anoldamkumba3208 Рік тому

    kwani ubunge ni ajira? walowachagua ni wananchi walowachagua wasimamie hilo wako bungeni kwa maslahi ya wananchi siyo chadema.inaonekana wapo wenye maslahi binafsi

  • @johnsonmria3824
    @johnsonmria3824 Рік тому

    Kilaza

  • @Veni584
    @Veni584 Рік тому

    Kuweni na aibu, maana ana mazuri pia alifanya malipo yake ndio hivyo?

  • @alfredmbwilo7354
    @alfredmbwilo7354 Рік тому

    Tulia hafai kuwa sipika wa Tanzania

  • @johnsonmria3824
    @johnsonmria3824 Рік тому

    Mahakama iko juu ya KATIBA?????

  • @geraldbenjamin9870
    @geraldbenjamin9870 Рік тому

    Hata anachoongea huyu hakieleweki kabsa

  • @issackmwakyami2740
    @issackmwakyami2740 Рік тому

    Dr Tulia Nina mashaka na elimu yako isije ikawa ndio walewale vieti fake taaruma yako na unacho kisema hapa nitofauti

  • @victoryngilangwa4574
    @victoryngilangwa4574 Рік тому +1

    Unasema hakuna kitakacho potea sasa swali langu kama mahakama itasema sio wabunge je,hizo posho na hiyo mishahara ambazo wanaendelea kupokea ambazo ni kodi zetu sisi wana nchi.speka watatuludishia?

    • @victoryngilangwa4574
      @victoryngilangwa4574 Рік тому

      Mimi kwa uelewa wangu ndogo naona kipo kinacho potea ni kodi zetu kama ambazo wanalipwa wakati sio wanachama.

    • @westmanmoses541
      @westmanmoses541 Рік тому

      Wache waendelee wanatoa mchango mkubwa bungeni

  • @daudimade9135
    @daudimade9135 Рік тому

    Mahakama ikidhibitisha kuwa walifukuzwa kwa njia sahihi je hiyo mishahara waliyolipwa watailudisha?

  • @EliaHiluka-vd5cv
    @EliaHiluka-vd5cv Рік тому

    Jiandae kufanya kazi nyingine na unaposema kwamba hakuna atakaye kuwa amepoteza kitu je fedha mnazowalipa ni za mfukoni mwako au ni Mali ya umma?

  • @odilomagungu8803
    @odilomagungu8803 Рік тому

    Uspika wako ni wamakumashi tu

  • @westchugagang5323
    @westchugagang5323 Рік тому

    MBUNGE ANAKUAJE MBUNGE NA CHAMA HAKIMJUI ACHENI USEN FUC

  • @stevenhinjo9664
    @stevenhinjo9664 Рік тому

    Unafaa kuwa rais

  • @jumakilinja6341
    @jumakilinja6341 Рік тому

    Unaongea kama unaongea na mpz wako chumbani