😂😂❤❤yanga inatupa raha san...ila furaha yng haikukamilika vzr cz mchezaji wng pendw Walid mzize hakupata goli...jaman azizi k ,pacome ,max, okrah pamoj na mudathir nakuomben muwe mnamuangalia na yy kwa jicho la 3 awe anashinda mpen pas za mwsh vzr km mlivokuw mnamp mayel
Mimi bado natoa comment ushauri,no matter ushindi,au tension lkn timu haikuwa compact(sold) wale jamaa walitakiwa wapate hata magoli mawili,hasa ya cross,(ANGALIZO MR GAMONDI NIMEONA ANAPENDA WACHEZAJI WENYE FOOTWORK NA SPEED )ombi langu tunahitaji central defender mwingine mwenye height za idi ya BACCA awe na speed na control but also defence haikuwa protected holding wetu sureboy alikuwa anaacha gape(shimo) so athari ya kuwa na Aucho lkn wanaomsaidia ni below standard mmeiona,lkn vilevile kama tunaweza kusajili mzee mkude why tuisimsajili Lotty ni mchezaji wetu wazamani.
😂😂😂kipa wa ihefu hii sms ni yako usikasirike jmn relax tu ata aisha manupa alikuliwa 🖐️bora ako ni 4 tumetunza chaji ya kuwapigia maboss wa chamanzi muda boy😂😂
IELEWEKA YA KWAMBA YANGA KUCHUKUA KOMBE LA NBC NI SHERIA KAMA SHERIA NYINGINE kama unasuport hilo weka #like_hapa
MUNGU tunakushukuru kwa kutujaalia ushindi mnono timu yetu ya Yanga, tunakuomba utujaalie tena ushindi dhidi ya Geita gold. Ameeen
Amiin Inshallah
Pĺ
Mechi tatu za mwisho kwa Guede, amescore- 3 na assist 1. What a performance
Great job let’s continue supporting our Team, jamani weka more likes to the video ndio Poa
Yanga yangu , najivunia kuwa yanga
Yanga bingwaaa 🎉
Ihefu wamefungwa lakini wame enjoy. Soccer safi kabisa na siyo papatupapatu😂
Yanga bingwa kama unanielewa nipe like
Insharah
Daaaa hili goli la tano hili mmmmh yanga tulirudishe
Nimeangalia mara kumi mpira haujaingia
Refa hakuwa na huo muda, hapo ilibidi matumizi ya VAR tu.
Hili tumemrudishia refa siyo letu hili. Nne zinatosha
Ihefu wamepiga sana mpira ,, sema kimewaua kutaka kushambulia wakawa wanaacha reli za pasi kwa Azizi key
Timu ya Wananchi 💚💚💚
kuna watu na kuna kuna wachambuz wamchongo hawapend wala hawaitakii Yanga mema Wanatamani wafungwe Tushawajua 🖐
Amina ni jambo la kumshukulu mungu
Sawa nakubali
Kikosi kilichomaliza match Kocha akiangalie vizuri Kiko na kasi sana. Kitafaa match za robo fainali
No kupigwaaa np like
Hiyo inaitwa mama mkanye mwanao. Msemaji wao alisema sana akajichafua.
Yanga ya sasa ni yamotoo sana hata makolo msisogee pale Kwa yanga
Tumshukuru Mungu
😂😂❤❤yanga inatupa raha san...ila furaha yng haikukamilika vzr cz mchezaji wng pendw Walid mzize hakupata goli...jaman azizi k ,pacome ,max, okrah pamoj na mudathir nakuomben muwe mnamuangalia na yy kwa jicho la 3 awe anashinda mpen pas za mwsh vzr km mlivokuw mnamp mayel
Mimi bado natoa comment ushauri,no matter ushindi,au tension lkn timu haikuwa compact(sold) wale jamaa walitakiwa wapate hata magoli mawili,hasa ya cross,(ANGALIZO MR GAMONDI NIMEONA ANAPENDA WACHEZAJI WENYE FOOTWORK NA SPEED )ombi langu tunahitaji central defender mwingine mwenye height za idi ya BACCA awe na speed na control but also defence haikuwa protected holding wetu sureboy alikuwa anaacha gape(shimo) so athari ya kuwa na Aucho lkn wanaomsaidia ni below standard mmeiona,lkn vilevile kama tunaweza kusajili mzee mkude why tuisimsajili Lotty ni mchezaji wetu wazamani.
Jinga wewe
Safi sana
shikamoo Yanga TV
💚🔰🔰💚💚 alhamdulilah
NimemuonA Duke abuyaa
Raisi wa TFF,tutaongoza wa Tanzania kwenye match za CAF robo fainali kama ni Simba tutavaa Simba kama ni yang'a tutavaa simba
Asikwambie mtu kitu Yanga bingwa
Kila la heri katika maandilizi dhidi ya mamelodi
Jameni C Kwaubaya Ila Ilo La Tano Mumewaonea Mi Nimeangaliya Vizuri Sana Limeigiaje😂😂😂😂😂
Goli la pili na la mudathir 😂😂😂ziligogwa pass 11 na goli likatokea
Hakuna wa kupinga
Tunataka kimataifa waone viwango, mpira mguuni .......
Hii yanga hata kama unaumwa jino, linatulia lenyewe huhitaji kwemda kung'oa. Ifundishwe shuleni kuwa ni dawa ya jino.
Kwa nini yanga bikwa kwa ripi na michezo bado tugojee tuone
Harafu anatokea mjinga mmoja hivi anasema Yanga hawana mpira wa kutisha,wanabahatisha tu.
Sijuwi ief wakezenu ni makolo ila wakowapi ivimnapoliwa na wananvhii huwaga kimyaaaa
😂😂😂kipa wa ihefu hii sms ni yako usikasirike jmn relax tu ata aisha manupa alikuliwa 🖐️bora ako ni 4 tumetunza chaji ya kuwapigia maboss wa chamanzi muda boy😂😂
Beki 3 ya Ihefu ije Yanga yupo kama jeshi jamaa.
Wamepata haki yao
🎉
Mr matobo loooooo
Mechi 4 tu zijazo tukishinda kolowizadi zitasurrender
Ief mlijifanya kuwa mnaiwezaga sanna yanga sasa janna likuwaje mulemkono izosifa zenu zikowap wapuuzi
Al kisasi haku
Natamani kusikia mtu akisema yanga inatumia bahasha😂😂😂😂😂😂,,5G ni chama la wana.wanajuana wote wana5G😂😂😂😂
Tena bigwa malayigi tu
💛💚💛💚🇹🇿🇮🇶🔥🏆🙏🔰
Kama na wewe umeziona offside goalis gongalike twende sawa
🟡🟢🟡🟢🟡🟢
Idiot hivyo mkuu
tujifunze kutengeneza HIGHLIGHT fupi sijawahi kuona highlight ndefu kama hii dkk 54 si kipindi kimoja icho cha mpila
twende tukaangalie @arsenaltv @liverpooltv @mancitytv wanavyotengeneza highlight fupi zenye kueleweka
Tunataka Highlights ndefu mkuu.