EXCLUSIVE na MSANII wa JOTI anayekula NYAMA MBICHI /ANASALI kwa MWAMPOSA/Angalia Akila LIVE hapa..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 16

  • @reginamluviji9405
    @reginamluviji9405 2 місяці тому

    Mmmnh dam 😢😢😢😢😢 mbon kama wachawi

  • @happynesssamwel4249
    @happynesssamwel4249 2 місяці тому

    Najikuta namchukia2 cjui kwann alafu navotafuna mbona kavile anajikaza😂😂😂

  • @vailethpauloPaulo
    @vailethpauloPaulo 2 місяці тому

    Wamasai wanakula

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 2 місяці тому

    Sasa anacheck mwili mzima kwenye machine, kucheck bacteria ni kwa njia ya kupima damu si machine.

  • @Salma-zc1ec
    @Salma-zc1ec 2 місяці тому

    Mmmm uyu dada atakua anashida

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 2 місяці тому

    ukiumwa ututafute tukuchangie sawa mama

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 2 місяці тому

    Huyu bint ni jini muagalie macho yake tu na ukitaja swala la nyama anakuja sana juu

  • @NduwimanaAmina-io2cf
    @NduwimanaAmina-io2cf 2 місяці тому

    Muchawi. Uyu

  • @nesymichael4286
    @nesymichael4286 2 місяці тому

    Nyama mbichi sio mbaya kuna sehemu zinaliwa mbichi ulizeni masai

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 2 місяці тому

    Mmmh kunashida seemu!!

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 2 місяці тому

    😂😂😂😂et ananyonya mfupa mbichi nyie😂, ilo ni pepo tuache utani

  • @fauziasultanikilewa7602
    @fauziasultanikilewa7602 2 місяці тому

    Sio ushilikina jmn huyu alizoea tangu utotoni na hawaqumfatilia ndo ivo mtoto wangu pia yuqo hivi Ila namsema sema

  • @nicholauskapinga2284
    @nicholauskapinga2284 2 місяці тому

    Ushilikina unausika apo

  • @tungurilegemwakasege9782
    @tungurilegemwakasege9782 2 місяці тому

    Mchawi uyu dada

  • @NduwimanaAmina-io2cf
    @NduwimanaAmina-io2cf 2 місяці тому

    Ma. Ajabu. Ayo. Uyo. Binti. Anakitu. Anafichi