PAF yaanika Sauti za Mwakinyo kususia pambano, Ugomvi wa mwanamke watajwa, Tutapambana kisheria.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 149

  • @alexanderjustine1523
    @alexanderjustine1523 Рік тому +3

    Hakuna bondia hapo

    • @FrankVicent-l3x
      @FrankVicent-l3x Рік тому

      Kwani kakwambia nibondia wako😂 tulia yule anamsimamo wake

  • @floridauhagile8615
    @floridauhagile8615 Рік тому +1

    Ktk maisha Kila mtu anamsimamo wake binafsi mwakinyo yupo sahihi Sana Ila Kama huna ajili huwezi elewa

  • @MussaIdd-pb8hr
    @MussaIdd-pb8hr Рік тому +1

    Mzee umekoseya uripaswa kumshika mkono siyokufosi kwamtu ariye mgombanisha nandunguyake siyosawa kwahiro mungu hamsamehi anaye sababisha hawerewani siyosawa

  • @ashrafurwegoshora4227
    @ashrafurwegoshora4227 Рік тому +4

    Aukuwa serious boss tamaa zimekuponza,wewe ndo umevuruga pambano, usisahau sheria msumeno

    • @hamzamoshi8275
      @hamzamoshi8275 Рік тому +1

      Amevuruga pambano au amevuruga mkundu wako 😅

  • @Officialking23
    @Officialking23 11 місяців тому

    😂😆😅😂tanzania bado sana jamn, mambo gani haya sasa

  • @MultiKelvin1994
    @MultiKelvin1994 Рік тому

    Mwakinyo sio tu bondia... ni Mkurugenzi wa Mwakinyo Pros kampuni ya ngumi ambayo mlikuwa mna ubiya kuandaa hilo pambano... acha sanaaa babu

  • @hamdincatalonia3272
    @hamdincatalonia3272 Рік тому

    Wauza unga wapo kazin

  • @dominicrobert266
    @dominicrobert266 Рік тому +1

    Apelekwe tu kortini Ghana!

  • @senixdanethox
    @senixdanethox Рік тому

    Hapo kwenye hasara sasa duh 500mil wakati dola 20000 huwez kulipa hata uwanja wa taifa ukujaa huwa hawafikishi mil 580

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn Рік тому

    Mwakinyo yupo sahihi

  • @dominicrobert266
    @dominicrobert266 Рік тому +1

    Promoter uko sahihi ,wanaokupinga ni wapuuzi tu.

  • @benedictinelusambo069
    @benedictinelusambo069 Рік тому +2

    Jicho la kushoto la huyo jamaa linacheze cheza ovyo ovyo

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 Рік тому

    Mwakinyo jifunze kusamehe saba mara sabini iyo misimamo sio mizuri flan simtaki flan simtaki si mizur katika maisha ❤ nakupenda

  • @dominicrobert266
    @dominicrobert266 Рік тому

    Apelekwe tu kortini bana.

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Рік тому

    Mwakinyo acha maringo,,kwastaili iyo watu wameuza pambano liiiileeee la ulaya

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c Рік тому

    STRAIT KAWEKA KAFUNGA NDOA,STRAIT KAWEKA MIMBA.KUNA WATU WANA SHABAHA KWELI KWELI😊

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Рік тому

    Ngumi ni sanaa kwahyo bondia anaweza kuwa na misimamo yake juu ya maslahi yake na ninyi kama mnalazimisha awasikilize ninyi kwa maslahi yenu mnakosea. Diamond yule pale amezaminiwa na Pepsi kwenye show yake akija coca hawezi kuwaruhusu hata wauze tu soda au maji. Ninyi mmemkosea sana Mwakinyo mnapaswa kumplz jambo liishe vzr

  • @abdallahsimba3516
    @abdallahsimba3516 Рік тому +3

    Champez niko pamoja na wwe

    • @newmuslim8714
      @newmuslim8714 Рік тому

      Una bondia apo bondia gani anachagua wakucheza nao

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 Рік тому +1

    Kumbe ndo maana Mandonga huwa anamponda kwamba anashinda kimchongo!

  • @HassanAbdallah-f6o
    @HassanAbdallah-f6o Рік тому +1

    Mwakinyo yupo sahihi . Ww mzee huna hekima mtu kashakuambia kwamba apatani na mafia kwann ulazimishe , na pia umemzalau mwakinyo kusema mabondia wake hawajiwezi hata hao wakubwa walipewa nafasi kipindi hawana mashabiki

  • @PaulMethusela-yp3ok
    @PaulMethusela-yp3ok Рік тому

    Kimsngi mzee unakurupuka sanaa kwaerezo yako tu hauko sahh huwez kumrazimisha mtu

  • @bausmohammed6673
    @bausmohammed6673 Рік тому

    Umejifanabisha iyo siyo picha yako

  • @kambilukwele2831
    @kambilukwele2831 Рік тому

    Yupo sahii

  • @dominicrobert266
    @dominicrobert266 Рік тому +1

    Duh hatuna bondia hapa,tuna dramatic man.

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Рік тому

    Hapo wote mnaonekana ni wajanja watupu Sasa mmekutana,,

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 Рік тому +3

    Nadhani mwakinyo
    Amesha jitambua
    Anaelewa professional boxing
    Sio kuburuzwa buruzwa
    Na wajanja kufaidika
    Nadhani utakua mfano mzuri

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 Рік тому

      Kujitambua ni kususia ngumi kwa sababu ulipokonywa demu au ni kusimamia misingi ya uweledi "professional bases"? Yaani masuala binafsi yanaingilianaje na kazi ambapo maandishi hayasemi taratibu husika? Kuliko kumsifia na kumchochea ashike misimamo inayoweza kumrudi baadae ni vyema tumshauri apunguze mihemko ya mambo binafsi kazi isiathirike hizi ni biashara na ni maisha ya watu.

    • @othumanlorenzo260
      @othumanlorenzo260 Рік тому

      ​@@mckobatz5861kaka ahsante Kwa kuelewa Mimi sijui watz wakoje, wanasema Kwa mfano jamaa ana msimamo Mimi nimemuonea mtu ambaye ana uelewa mdogo Sana katika ngumi, na utawala wake Kwa haiwezekani uka personalize jambo kama hili mambo binafsi yanaingiaje katika professionalism pili Kwa anavyojinasibu nilitegemea atakuwa ana MTU anaweza kuongea nae, analeta mambo binafsi na Hana adabu

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Рік тому

    Sasa huyu mzee haya mambo ya mwanamke mbona Mwakinyo hajaongea! Huyu kweli alikuja kugombanisha sio kupromote

  • @EvanceBujiku-dc9rh
    @EvanceBujiku-dc9rh Рік тому

    Ningeomba wanamichezo wa boxing kukataa huyu promota taperi ,,kwanza anapiga hela kwa ability boxing harafu anawapeleka mahakamani,mkataeni,hana hela keshi,anatafuta vikampuni uchwara vya uswahillni vitamins pambano,mwakinyo Ana brand kubwa hata asipopiganna ,aingie ukumbini watu wanajaa,boxing mkataeni huyoo taperi

  • @maweni5332
    @maweni5332 Рік тому +1

    Mumechemsha sana na mukienda mahakamani atakunyoosheni

  • @emmanuelsichone4681
    @emmanuelsichone4681 Рік тому +1

    Tujue kua mwakinyo ni Brandi ni promota pia analesini zake ana kampuni kwaihuwezikumweka sehem Moja nakampuni aliokosananayo umuweke men kad tujue nayeye anapro yake itwayo champez

    • @contempo_builders
      @contempo_builders Рік тому

      Kwani mkataba aliingia kama kampuni au kama bondia?

    • @emmanuelsichone4681
      @emmanuelsichone4681 Рік тому

      @@contempo_builders hapo ndo panaufafanuzi kwenye chama Cha ngumi

  • @SamMchinja
    @SamMchinja Рік тому +3

    Mkienda mahakamani atawauliza me nilipaswa kupigana na nani??

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 Рік тому +1

      Nani aliyepropose mabadiliko ya bondia kati ya kampuni na yeye?

    • @eliaskasambala3408
      @eliaskasambala3408 Рік тому +1

      Kanuni za ngumi znaruhusu kubadili opponent

    • @krispinkomba4606
      @krispinkomba4606 Рік тому

      ​@@eliaskasambala3408kanuni zinasema unaweza kubadili mpinzani ndani ya muda gani

    • @alexanderjustine1523
      @alexanderjustine1523 Рік тому

      Hujui ngumi n mikataba usipende kukariri

  • @nyungwajunior1301
    @nyungwajunior1301 Рік тому

    Mwakinyo analeta uswahili katika mchezo ambao tayari ulishaqnza kupendwa na mashabiki na wadhamini kuvutiwa na kuanza kuwekeza fedha nyingi.

  • @jamilmwinge3695
    @jamilmwinge3695 Рік тому

    Mzee kila mtu kamkataa basi si ungeomba upige nae gem tuone izo dollars 9000 ujinyakulie mwenyewe. 😢😢

  • @saidimoshi1276
    @saidimoshi1276 Рік тому

    kwann unaongelea mwanamke ongelea tatizo nini bila kutaka mwanamke pili haujatuonesha mkataba wa Indogo acha janjajanja

  • @Ullymed
    @Ullymed Рік тому

    Acha tamaa promota

  • @luminary9506
    @luminary9506 Рік тому +1

    Kwa mtazamo wangu sidhani kama mwakinyo anapigania njaa saivi anapigania brand..... So mzee izo story za nilimlipa nilimlipa hio njaa ya ivyo alisha amalizaga sana zamani

  • @hamdincatalonia3272
    @hamdincatalonia3272 Рік тому

    Mwakinyo mwamba sana amumuwezi

  • @ramadhanirashidi4175
    @ramadhanirashidi4175 Рік тому +1

    Nipo nawewe mwakinyo

  • @millenium-tz7151
    @millenium-tz7151 Рік тому +1

    Mwakinyo yuko sahihi

  • @hamdincatalonia3272
    @hamdincatalonia3272 Рік тому

    Nyinyi uzeni unga tu

  • @samwel7975
    @samwel7975 Рік тому

    Kisheria hapo hakuna mkataba. Kusema tu kwamba mpinzani anakuja mwingine ambae hajaandikwa kwenye mkataba kisheria mmeshapuyanga...Sheria inasomwa ilivyo sio kwa kuongezea vilivyo kichwani kwako

  • @abdallahsimba3516
    @abdallahsimba3516 Рік тому

    Tapeliiii mkubwa weeee

  • @WinfridaDavid
    @WinfridaDavid Рік тому +1

    Uyu mwakinyo choko xn na sasa hv atutaki habari zako maan analeta ushoga tuh bora tukomae na madonga mtu kazi anatupa burudani xafi tuh

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 Рік тому +3

    Huyu mzee muongo sana hasara milioni 500 unashindwa kumlipa bondia dolla 20000 😀😀😀😀haya mambo profesa jay aliimba promota anabeep nakumbuka mapromota wa bongo flavour kipindi kile ,wamewafanya wasanii wengi wamekua mateja sasa mmekimbilia kwenye ngumi,bongo noma kweli.😂😂😂😂😂

    • @aloyceisdory7855
      @aloyceisdory7855 Рік тому

      Kuna gharama za maandalizi apo kwanza ata bei ya mkanda tu umeisikia kweli

  • @machumbeliesto2694
    @machumbeliesto2694 Рік тому

    kwa maelezo yako inaonyesha kabisa mlikuwa na makubaliano ya kushirikiana kuandaa hili pambano kati yako wewe na Mwakinyo. kwangu mimi Mwakinyo yupo sahihi kwa maamuzi aliyochukua

  • @abdallahsimba3516
    @abdallahsimba3516 Рік тому +1

    Ataje mmbo mbaya akuambie we inakuhusu nni

  • @saidinalmsofethatsgoodwaya6454

    Mjanja mjanja sana Mwakinyo ila wakishamba

  • @MsafiriBaruti
    @MsafiriBaruti Рік тому +1

    Knachokulalamisha ni nn acha tupambane

  • @ashrafurwegoshora4227
    @ashrafurwegoshora4227 Рік тому +2

    Sasa kama ukipitia maangaiko yote ayo ukishindwaje kuachana na udhamini wa mafya (ulilazimika kutowatoa mabondia wa mafya maana ulikuwa na na mkataba)acha janjajanja mzee

    • @filbertnaje8953
      @filbertnaje8953 Рік тому

      Sasa na wewe unampangiaje promota Cha kufanya wakati pesa umeshachukua si tamaa izo atakuja kufirwa uyo mwakinyo wewe umeshachukua pesa sponser usimpangia watu wanaenda kwa mkataba anko

  • @AllyRobinson-x8y
    @AllyRobinson-x8y Рік тому

    Huo mkataba unahusu mwakinyo na okwiri na sio mwakinyo na indonga sasa ukienda mahakaman nani atashinda kesi

  • @daffangov6074
    @daffangov6074 Рік тому

    Wanamchafua mwakinyo tu

  • @hassanalawy4325
    @hassanalawy4325 Рік тому

    Mzee nimekuelewa saaana….. biashara na mambo yako binafsi wapi na wapi? Mara oooh, kiatu wamenibadilishia mara glove mara kiatu kimenibana…..leo anasema mtu sielewani nae….kwakweli mwakinyo ni mtu wa mipasho…… Sasa kama inafikia hatua kaka yako tumbo moja hamlewani wewe c, mtihani

  • @AllyRobinson-x8y
    @AllyRobinson-x8y Рік тому

    Yaan ww karigo ni boya mtu unayeshirikiana naye kibiashara kasha kwambia hawaelewan ww ukofosi sasa nani mwenye tamaa hapo

  • @jastinmsigwa4154
    @jastinmsigwa4154 Рік тому

    Poromota unamakosa yakukiuka makubaliano. Hivyo wewe ndiwe uliyesababisha haya yote. Ukwel nikwamba mwakinyo amenyooka. Icon yetu yatz nimwakinyo.

  • @SamMchinja
    @SamMchinja Рік тому +1

    Je hayo maandishi mnayo ya huyo bondia wa pili mliemleta

    • @gwajimagwajima
      @gwajimagwajima Рік тому

      Aliomleta yy,aliomchagua yy,maana anachagua mabondia kaa nguo

  • @dominicrobert266
    @dominicrobert266 Рік тому

    Dogo kachukua kàoa kalenga ,duuh!

  • @ibrahimyusuph7544
    @ibrahimyusuph7544 Рік тому

    Mwambiki mwakinyo alejesha hizo ps alizochkuwa

  • @saidisalumu103
    @saidisalumu103 Рік тому +1

    Kayakanyaga

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 Рік тому

    Wewe hustahili kuwa promota umebebwa kwasababu ilukuwa ni mipango ya kumharibia Mwakinyo. Wewe ndio umeharibu mkataba kwakuweka mambo yaliyokuwa nje ya mkataba. Ungekua unahitaji kushirikiana na Mafia mungekwenda nyote na Mwakinyo asaini mbele yenu nyote kuonesha kuwa amekubaluana na hapo angekataa baadaye angekuwa na kosa lakini umeweka ulaghai ktk mkataba. Unaposwma barua rasmi, kwani una barua rasmi ya Makubaliano kati ya Mwakinyo , PAF na Mafia? Kama nchi hii ni yenu wewe Mafia na Mwakinyo? Maandishi hayo unayoyaonesha yalikuwa hakali mwanzoni lakini sasahivi ni batili. Halafu Kwani Mafia ni mdhamini au Promota?Hayo maneno ya kunyang'anywa mwanamke yapo kwenye maandishi? Mbona ya mwakinyo unataka yawepo kwenye maandishi? Hao walioahirisha kuja kwasababu mwakinyo hapigani ni kiekelezo tosha cha ukubwa wa Mwakinyo.

  • @simbajumanne9718
    @simbajumanne9718 Рік тому +1

    Mwakinyoo wewe ni kengeeee kabisaaa

  • @stanleygeorge-lg8et
    @stanleygeorge-lg8et Рік тому

    Aendelee kua mgangaa

  • @MsafiriBaruti
    @MsafiriBaruti Рік тому +2

    Jamani huyu mtu alishawakataa hao watu Kuwa hawataki na alimwambia huyu Mzee mapema naalimwambia Kuwa hao watu walisha kosana huko Tanga na matatzo makubwa hivyo asitafute utetezi

    • @isayajohnson2150
      @isayajohnson2150 Рік тому

      Aliwakataa kwenye mkataba au kwenye nini?

    • @abdallahsimba3516
      @abdallahsimba3516 Рік тому

      Mzeee hana jipyaa

    • @gwajimagwajima
      @gwajimagwajima Рік тому

      Hiyo biashara ,usichanganye biashara na maswala yako bunafsi

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 Рік тому

      ​​@@gwajimagwajimanakupa mfano mdogo tu kakutombea mkeo na mwanao kike na unajua ukamfumania halafu anatafuta kazi na wewe upo kwenye jopo la usaili. Vipi mtu huyo utampitisha kwenye huo usaili mufanye kazi pamoja kwenye ofisi yako na kuweka pembeni matatizo yako binafsi?

    • @gwajimagwajima
      @gwajimagwajima Рік тому

      @@rogertuga007 Kwa hiyo yy katombewa sio ?kama anafaa apewe kazi halaf ww uliotombewa ondoka maana kutombewa kwako hauhusiani na maswala ya ofisini

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 Рік тому

    Kiburi si maungwana

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 Рік тому

    Maelezo ya promota yanaonesha wazi kabisa alikuwa na nia ovu sana...

  • @HassanAbdallah-f6o
    @HassanAbdallah-f6o Рік тому

    Mzee anajitahidi kujisafisha lakini bado anajikandamiza mwenyewe bora angekaa kimya wakayamaliza . Promota matapeli tunachohitaji nyie mlikubaliana nn kuhusu mwakinyo pro na promotion yenu

  • @abisaimuhanji3687
    @abisaimuhanji3687 Рік тому +1

    Watu wa michezo hasa waratibu wamejaa migogoro migogoro kinoma ndio maana hatuendi mbali..

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 Рік тому

    Ni kwanini mwakinyo hakucheza pambano tatizo ni wewe mshenzi unatamaa sana acha unafiki acha tamaa mandishi baki nayo mshenzi mbwa,kungunguni ww mahaka ma angalieni hilo

  • @MussaCharlessongo-iw5hf
    @MussaCharlessongo-iw5hf Рік тому

    Promota wezi saana hawa jamaa

  • @Gude415
    @Gude415 Рік тому

    Hapo Mwakinyo Amefanya Nini Sasa Mbona Amema Ualisia na Co Kama Unavyo Sema wewe Mzee We Mzee Jau

  • @MultiMbongo
    @MultiMbongo Рік тому

    Kutombewa kunamchanganya😅

  • @bausmohammed6673
    @bausmohammed6673 Рік тому

    Huyu mzee anatumiwa na wabaya kumualibia mwakinyo namng'ata sikio kw hilo kafeli mshamba pigana wewe

  • @ellymagoke6079
    @ellymagoke6079 Рік тому +1

    Mkataba huo auhusiani na pambano la pili hauna jina la mzambia

  • @salimulaya1866
    @salimulaya1866 Рік тому

    Huyu jamaa kama mbele ya vyombo vya habari anaongea hivi, akiwa huko pembeni je inakuwaje?

  • @ahmedsalim4930
    @ahmedsalim4930 Рік тому +1

    MWAKINYO ANAHARIBU SANA HATAKAMA YUKO SAWA HUYU MZEE AU MWAKINYO YUKO SAWA ANAHARIBU KUSEMA (MIMI NIMEKOSANA NA NDUGU YANGU HATA AKIFA SISEMI NAE DUH😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 NDUGU YANGU MUISLAMU MWAKINYO TAFADHALI MUOMBE MSAMAHA NDUGU YAKO ILIUPATE REHMA YA ALLAH

    • @abdallahsimba3516
      @abdallahsimba3516 Рік тому

      Ya hasemi nae kwa sabbu huyo mafia ndio kasababishaa

    • @gaspercharles2244
      @gaspercharles2244 Рік тому

      Tatizo sio yeye kwa kauli inaonyesha wamegombanishwa na inawezekana kaka yake ndio hataki kumsamehe

    • @williamjohn7907
      @williamjohn7907 Рік тому

      Kwenye mchezo ndyo sehemu sahii ya kuombana msamaha mwakinyo ana shida

  • @fahadfarid8561
    @fahadfarid8561 Рік тому

    Ww kazi yako ndio kupromot nothing else,hassan kazi yake ni kupigana nyote mnalinda brand zenu so acheni ushamba kuchafuana huu mchezo still bado mnajitafuta vp kila siku uchafu tu tena hadharan huo ni ushamba sana...

  • @bausmohammed6673
    @bausmohammed6673 Рік тому

    Mwakinyo hapigani akale wewe njaaa

  • @moizjohnston3841
    @moizjohnston3841 Рік тому

    Usenge tu press gani haina maswali?mzee amekomaa mwanamke mwanamke si uongelee point mambo personal tena ya kuskia yanakuhusu nn?

  • @jummane3306
    @jummane3306 Рік тому +1

    Kargo njaa yako mbaya haufai ndio maana uliwahi kulikoroga pale yanga kwasababu ya njaa yako

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 Рік тому

    Huyu Mzee Inaonekana ni tapeli

    • @rahimsadru-ct4ot
      @rahimsadru-ct4ot Рік тому

      Yan km umeshindwa kumuelewa huyu jamaa ,,bas ww n mjinga

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Рік тому

      @@rahimsadru-ct4ot na wewe ndio Unaweza kuwa mjinga wa kutupwa kwa kushindwa kufikiria nje ya boksi

  • @saidinalmsofethatsgoodwaya6454

    Hakika Hassan amekosea sana

  • @AllyRobinson-x8y
    @AllyRobinson-x8y Рік тому

    Huyu mzee ni muongo alafu hiyo voice note inamfunga unayefanya naye biashara kashakwambia hawezi kufanya biashara na mtu aliyemfelisha kimaisha sasa iweje usimsikilize

  • @iamdarlez2683
    @iamdarlez2683 Рік тому

    Mzee acha uwongo voice note 100 unafta ndani ya sekunde moja tu sasa mtu anafta ukamuita mtu akusetie si nusuu nzma apo imetmika sasa voice note 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂acha uwongo

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 Рік тому

    Mzee huna Sera unamakosa uwezi kuwakutanisha mtu na adui yake hata Kama ungekua wewe

  • @saidkizota3595
    @saidkizota3595 Рік тому

    Huyu mzee choko katumwa

  • @luganokibona7328
    @luganokibona7328 Рік тому

    😂😂😂 Karingo Godson Karingo

  • @DullahIweni
    @DullahIweni Рік тому +2

    Mwakinyo akamatwe apigwe fimbo 1000

  • @hafidhdrogba3392
    @hafidhdrogba3392 Рік тому

    Wewe mzee unarohombaya fikilia ingenue wewe unauwadui namtu alafu unambiwa ufanyenae kazi ofisini kwako ungekubali?.wewe mtumzima tena unawatoto kama mwakinyo punguza rohombaya

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 Рік тому

    Mnafik huyu mzee

  • @Marjeby
    @Marjeby Рік тому +1

    Hassan Mwakinyo
    1.Ana roho mbaya sanaaa
    2.Mshamba
    3.Elimu yake ya darasa la saba inamtesa sanaaa.
    4.Anna uanamke mwingi

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 Рік тому

    MANDONGA ALISHASEMA SIKU NYINGI HASSANI NI BONDIA WA MCHONGO! NA KUMBE NDIO MAANA KULE UINGEREZA ALISINGIZIA KUIBIWA BEGI KUMBE NI MCHONGO!

  • @dominicrobert266
    @dominicrobert266 Рік тому

    Kaka yako huzungumzi nae! Kweli wewe kilaza.

  • @filbertnaje8953
    @filbertnaje8953 Рік тому +2

    Mwakinyo ni shoga lile

  • @kubewaiddy9088
    @kubewaiddy9088 Рік тому

    hakuna mtoto mkubwa akamzidi mzazi, Hassani Mwakinyo ni mchezaji kama walivo wengine na anatakiwa kufuata taratibu na kanuni za mchezo no matter ana jina kubwa au laa,kwa hili achukuliwe hatua ili apate akili na kiburi kimshuke na iwe fundisho kwa wapuuzi wengine kama mwakinyo....

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 Рік тому

    Yaani hata kaka ako huongei nae? Ujinga kabisa

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 Рік тому

      Unajua sababu au unajiongelesha? Watu hawaongei hadi na wazazi wao sembuse ndugu