Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Asante SanaFundisha pia kuhusu nyanya jinsi ya kuchanganya Dawa na kupiga
Asanteee kaka naomba namba yako monimkurima
Naomba namba zako Nahitaji hizo pipe za irrigation
Ningependeleya ukuwe natuhonyesha ahina ya mboleya unayo weka.
Ukiamua kutumia mbolea ya samadi wakati wa kupanda unatakiwa kuweka kiasi gani kwenye shimo?
Dripe line izo shingapi Lola
Kwa nusu heka unaweza panda miche mingapi
Hivi kwenye mteremko naweza kulima matuta badala ya sesa?
Ndio unaweza
Naomba namba zenu
Ukipanda tikiti maji mbolea unaweka baada ya siku ngapi
Sio mbaya
Naitaji hayo ma drip please
Kilimo cha tikiti maji kinachukua muda gan kuanza kuandaa shamba mpaka mavuno
Siku 75
Kililmo cha tikiti kinachukua muda gani kuandaa shamba mpaka mavuno kua tayar
Siku 75 au 65 kutengemea na aina ya mbegu
@@kangetakilimo6268 naomba namba zenu
Mbolea aina ganii
Ni aina gani ya mbolea nzuri kwa tikiti maji?
Matumizi ya mbolea hufanyika baada ya kupata matokeo ya kupima udogo
@@kangetakilimo6268 utaupimaje samahani me mwanafunzi napenda kazi zako
@@kangetakilimo6268 samahani kaka naomba namba yako nikucheck wasap kwa msaada zaidi🙏🙏🙏
www.kangetakilimo.co.tz
@@hilmiyayah9311 play.google.com/store/apps/details?id=com.app.kangetakilimo
Asante Sana
Fundisha pia kuhusu nyanya jinsi ya kuchanganya Dawa na kupiga