Mungu nisaidie katika kumalizia maisha yangu kama utanifikisha uzeeni niishi Mwanza..japo kuanzia miaka 50+.. sasa nipo kwenye jiji nisilolipenda ila nakuomba nimalizie maisha yangu ndani ya jiji langu nililokulia
@@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl tuliwahi kupitia Morogoro, tazama hapa ua-cam.com/video/-twW2KbOIK0/v-deo.htmlsi=OSodrWQe2caTUIbR na tunakuahidi kupitia tena Ishaallah 🙏

Maombi yako yatimie, na ukifika Mwanza, tutakupokea Ishaallah
Napakubari sana rock city hom boi apo Yani, DSM namba moja mwanza namba mbili
Sahihi kabisa Hussein
Naipenda Sana Mwanza naipenda Tanzania
Wewe ni mzalendo
Naipenda mwanza
Nzuri
Nenda kule moro naona kwasasa nao wameamka wanajenga magorofa mengi sana
Sawa sawa 🙏
Mwanza ni Jiji morogoro ni manispaa wapi na wapi
Uwege muelewa mda mwingne ay majiji wametokea wap pia ujaelewa mtangazaji alivyo ongea usipende kudandia vitu kwanza kabla ajasikiliza kwamakini
@@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl tuliwahi kupitia Morogoro, tazama hapa ua-cam.com/video/-twW2KbOIK0/v-deo.htmlsi=OSodrWQe2caTUIbR na tunakuahidi kupitia tena Ishaallah 🙏
@@MadilishaSimon-sb9kk uko sahihi, Moro ni Manispaa. Kasema napo wameanza kujenga maghorofa. Siku moja Ishaallah tutapita 🙏