KISHINDO CHA AWAMU YA NANE NDANI YA WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI ZANZIBAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 11

  • @fadhilhimid2776
    @fadhilhimid2776 Рік тому

    Hakuna lisulowezekana Z'bar Hongera sana {Mh Dr Hussein Mwinyi Rais Wa Z'bar.

  • @rafaelmarquez9396
    @rafaelmarquez9396 Рік тому

    Safi sana barabara zikiwa safi na pana na mataa njiani ndio mwanzo wa kuifungua nchi kiuchumi na maendelea piga kazi kijana wa mkuranga

  • @fadhilhimid2776
    @fadhilhimid2776 Рік тому

    Safi Sana

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq Місяць тому

    Hamna,mpango,wizzimtp

  • @RioIpo
    @RioIpo Рік тому

    Hongereni wizara ya ujenzi.. tunawategemea katika ujenzi wa nchi yetu

  • @juma2979
    @juma2979 Рік тому

    Mh waziri vp kuhusu taa za barabara ziliharibika mkapa Road

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman Рік тому

    Vp barabara ya Chake mkoani imefikia wapi?

  • @juma3473
    @juma3473 Рік тому

    Na pembeni ya njia kue kunavutia

  • @abedomar5183
    @abedomar5183 Рік тому

    Haya ndo maendeleo tunataka tengenezi miundo mbinu mizuri, barabara za kisasa kabisa muweke na taa lazima Zanzibar iwe kisiwa Cha mfa no

  • @isaliisu3408
    @isaliisu3408 Рік тому

    Pemba mnajenga mwaka gani vile maana tumeshasahau

  • @mohddelo
    @mohddelo Рік тому

    Safi sana