DUNIA INA FISADI - ZANZIBAR OLD TAARAB

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 76

  • @saidhamad-x9b
    @saidhamad-x9b Рік тому +1

    ❤ Mashallah sauti inanikumbusha mbali asnte kwa ladha tamu

  • @nashatahmed1995
    @nashatahmed1995 5 років тому +3

    Utunzi wake Marehemu kipenzi chetu Bi Khadija Baramia. Mungu akurehemu dada yetu kipenzi

  • @Gangalamu
    @Gangalamu 5 років тому +8

    Nyimbo hii haifi na ni moja kati ya nyimbo za kiswahili bora na evergreen 1. Wwwooowwwwwww

  • @fuadaladawi1255
    @fuadaladawi1255 Рік тому +2

    Unforgettable song.ufisadi original
    The best of the best

  • @Gangalamu
    @Gangalamu 5 років тому +4

    Wwwoooeww nyimbo hii hata kama una hasira ama umechoka u get relief ama wapata nguvu tena.What an arrangement lyrics and composition and singer Saida Jawad. Wwwwooooowwwwwww

    • @binapanju9266
      @binapanju9266 Рік тому

      Wow

    • @SaudaMnodwa
      @SaudaMnodwa Рік тому

      Saana mashaallha mm napenda sana. Jamani hizi nyimbo zanifariji sana katika moyo wangu

  • @azynasser5238
    @azynasser5238 4 роки тому +6

    I just love this song. It will never be outdated.

  • @sakinaabd5898
    @sakinaabd5898 7 років тому +2

    Dunia ina mafisadi tena wengi hasa wanaojigeuza rangi kila time heko mama mtanzania saddakta i love it

  • @zenaal-baalawy3262
    @zenaal-baalawy3262 3 роки тому

    The one of my best song. Na pia nimeipenda more for hii lyric waloweka.

  • @sakinaabd5898
    @sakinaabd5898 7 років тому +4

    Tena hivyo ni vinyonga asubuhi wanakuonesha sura za binaadamu usiku ni majini subhannallah

    • @SaudaMnodwa
      @SaudaMnodwa Рік тому

      Tena sana yani binadamu kazi sana katika makazi yetu mungu awalani naroho zao mbaya

  • @Gangalamu
    @Gangalamu 5 років тому +2

    What a mesmerising and tantalising lyrics by the Legend RIP KHADIJA BARAMIA AND MUSIC COMPOSER HIMSELF AND above all what a mesmerising and 1 of best singer female of Waswahili Saida Jawad. Wwwwwwooooooowwwwwwww

    • @suleimankhalid5978
      @suleimankhalid5978 Рік тому

      A

    • @kindi4926
      @kindi4926 Рік тому

      The song was originally sung by Madame Saida Abdullah and music by her husband Jawad, no Khadija

    • @Gangalamu
      @Gangalamu 3 місяці тому

      ​@@kindi4926lyricist was Khadija Baramia this song❤❤❤

  • @barkabat-haf8535
    @barkabat-haf8535 5 років тому +1

    Maishaaa Allah Zanzibar juuuuuuu

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 4 роки тому

    Old is Gold Taarab Zanzibar
    Never give up Zanzibar
    I love my home Zanzibar
    Asili haipotei

  • @khamistwaha4885
    @khamistwaha4885 6 років тому +4

    Nakumbuka kipindi hiki Niko bwamgodo kijijini saa nane tushashiba mihogo ya nazi na samaki tumetandika majamvi chini ya mwembe tunakula upepo saa 8 sauti ya unguja inatuburudisha namna hii, Ama kweli mambo yapiti kale

  • @khamissaleh921
    @khamissaleh921 10 місяців тому

    This song was originally SANG BY MRS JAWAD , SAIDAH ABDULLAH IN 60'S AND 70'S

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 3 роки тому

    Wwwaaaawww hizi zilikuwa taarab...

  • @abdulhamidsuleiman4953
    @abdulhamidsuleiman4953 4 роки тому

    Old is gold taarab Zanzibar
    Viva Zanzibar,Asili Haipotei
    @Abdulhamid Mmakunduchi

  • @neemajoseph582
    @neemajoseph582 6 років тому +1

    Dunia ina fisadi walimwengu mtambue naipenda sana

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 Рік тому

    MyFvSong❤🎻🎹🎤

  • @aminaosmannoor1565
    @aminaosmannoor1565 8 років тому +2

    mazoweya yana taabu- nyumba uliozowea kuihama ina kazi kwa kweli wazanzibari ni mashabiki wa mashairi.

  • @abdulhamidsuleiman4953
    @abdulhamidsuleiman4953 4 роки тому

    Wale walonikamia nawaambia waz waz
    Nyumba uloizoea kuihama inakaz

  • @vaceti
    @vaceti Рік тому

    im streming this masterpeace right now

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 6 років тому +2

    Zanzibar beautiful Island of Africa

  • @ashaaliameir5482
    @ashaaliameir5482 2 роки тому

    Dunia ina fisadi🤗🤗

  • @salumsaid7290
    @salumsaid7290 8 років тому +1

    Naipenda nyimbo nyumba uloizoea

  • @zakiaabdallah8841
    @zakiaabdallah8841 6 років тому +1

    wale walonikamiya nawambia waziwazi nyumba uloizowea kuihama ina kazi

  • @sulaiman9113
    @sulaiman9113 11 років тому

    Aaaaa bi Saida huyooooo mungu akuweke bin Seif.

    • @mhe643
      @mhe643 7 років тому

      tutafitie wimbo kuvishwa Pete si kuolewa

  • @perrychicken5876
    @perrychicken5876 7 років тому +1

    Old is gold

  • @khakeemafro6274
    @khakeemafro6274 8 років тому +3

    Hizi kazi wazanzibari lazima tuzitunze na kuzienzi maana haziishi ladha na ujumbe mzigolove Zanzibar

  • @rahimaally6471
    @rahimaally6471 6 років тому +2

    Hizi ndizo nyimbo za kusikiliza

    • @SaudaMnodwa
      @SaudaMnodwa Рік тому +1

      Umeona eeh hata kama una machungu kiyasi Gani katika moyo wako yatuliya tu

    • @rahimaally6471
      @rahimaally6471 Рік тому

      Nyimbo za siku hizi zinazidisha stress 😩

  • @abdallahkarabai5310
    @abdallahkarabai5310 5 років тому +1

    Nawaombeni jina la huyu msanii

  • @Gangalamu
    @Gangalamu 7 років тому

    my word what a song. Saida Jawad wwwooowww

  • @mudvuai4210
    @mudvuai4210 2 роки тому

    Hakika ni za kwetu

  • @zakiaabdallah2628
    @zakiaabdallah2628 7 років тому +1

    mashaallah Bi Saida

  • @rahimaally6471
    @rahimaally6471 5 років тому +3

    Kama kuvunja rahisi wangojea kitu gani? ameshindwa ibilisi mkubwa wa mashetani na wewe hatukuhisi bandia uweze Nini..... Raha tupu

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 років тому

    Nzuri safi sana

  • @dashuusalim6067
    @dashuusalim6067 7 років тому +2

    na miziz hufukia, nahrz milngon
    upte kunichukia, wakutie mikononi
    allah atvnja dhamir@ zao hawasmami ng,00

  • @daudsalum9768
    @daudsalum9768 11 років тому +2

    Heeee! Heee.. ...Ataishia kufukia HERIZI tu huyo lakini hawezi kupokonya Mwandani.

  • @abdulhamidsuleiman4953
    @abdulhamidsuleiman4953 4 роки тому +2

    Kama kuvunja rahisi wangojea kitu gani
    Ameshindwa ibilisi mkubwa wa masheitwan
    Hatukuhisi bandia wewe uweze nin

  • @mwadawakombo8768
    @mwadawakombo8768 3 роки тому

    😍

  • @Gangalamu
    @Gangalamu 7 років тому +1

    evergreen song of kiswahili

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 років тому

    Nice song

  • @mohdseif2459
    @mohdseif2459 9 років тому

    Nyumba uliizoea kuihama ina kazi

  • @zeyanaahmed6108
    @zeyanaahmed6108 7 років тому +1

    Maneno swadakta

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 6 років тому +2

    Kama shubiri ni tamu asali ni ladha gani usije kumeza sumu kwa kufaa kutamani utabaki marehemu alikuako fulani dada mtanzania maneno shwari

  • @jabiraxmed7898
    @jabiraxmed7898 7 років тому

    yaa thank you

  • @zenaal-baalawy1953
    @zenaal-baalawy1953 7 років тому

    👍

  • @ahlan2wasahlan
    @ahlan2wasahlan 8 років тому +1

    wazanzibari wacheni uchoko,kazi uchoko tu,mara talabu na mbatata za ulojo

    • @selaboy
      @selaboy 8 років тому +1

      mbatata za urojo tamu sema kipi kilokuuuma

    • @selaboy
      @selaboy 8 років тому +2

      sio ulojo no urojo unatoka lalago au wazanzibari wafalme wako sema

    • @ahlan2wasahlan
      @ahlan2wasahlan 8 років тому

      hahaa

    • @ahmeidyoung2410
      @ahmeidyoung2410 6 років тому

      ahlan2wasahlan .ndio nini kajifunze kiswahili kwanza lugha hujui nyau wee

    • @zahramunir8596
      @zahramunir8596 6 років тому +1

      Unawaonea wivu tu' kwanza nenda shule kajifunze kiswahili usitupondee lugha yetu eti talabu na ulojo😀
      sijui kiswahili cha wapi🤔

  • @abdullmazruiabdullmazrui9490
    @abdullmazruiabdullmazrui9490 9 років тому

    abdullmazrui

  • @hemedisaidi5220
    @hemedisaidi5220 11 років тому

    mh

  • @alihamisse7985
    @alihamisse7985 6 років тому

    maneno kuntuu